NI kweli dogo ...mimi sijajua nini kilitokea kwenye necta ...ila nilivyo enda nchi za nje nikawa mkali wa MATHS mpaka wazungu waka ni kubali na ikinijea ngea confidence ya kwenda Engineer mpaka sasa mimi Engineer.. 😊😊😊 CHANDY MPANGO MZIMA WANA PHYSICS IMEELEZEWA NI BALAAA..👍
Mwenyezi Mungu awabariki vijana wote wa kike na wakiume waliozawadiwa kwa ufaulu wa masomo yao wakimalize vyuo,wakiingia mtaani waendelee kung'ara katika shughuli zao.
Usiishie apo bro. Nataman sku moja nione Tanzania ikiwa represented katika International Mathematical Olympiad. Serikali inatakiwa kushugulikia hili swala. Vipaji tunavo lakin haviipaishi nchi yetu.
Chands ziko nyingi bro... Volume 1,volume2, Engineering mathematics all are chands... All in all form six mliyoko shule someni kwa bidii mathematics haina mwenyewe kwa kizazi hiki... Unaweza kuitwa bingwa ukapewa paper then ukala zero... Kibongo bongo mathematics bado tuko nyuma sana there no true mathematicians except Sir Saggaf and Sir Mwagen these are true mathematicians in our country .