Тёмный

Zama za Ubeberu basi! Adai Traore baada ya Burkina Faso, Mali na Niger kuanzisha Muungano wao,AES 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Авто/Мото

Опубликовано:

 

7 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 78   
@RamadhaniMadanga-ne7jk
@RamadhaniMadanga-ne7jk 13 дней назад
Huyu jamaa anazungumza kama magufuli Africa sio masikini jamani
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 12 дней назад
Hata hvyo hawezi kudumu kwa muda mrefu maana wenye haki hawaishi
@cocotz1892
@cocotz1892 12 дней назад
Simba wa Africa 🦁🦁🦁
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 13 дней назад
Hawa jamaa ndo kizazi kipya, viva JPM
@user-kk2fz6en9p
@user-kk2fz6en9p 12 дней назад
inaumiza sana hawa jamaa kupatikana wakat magufuli amekufa 😢😢
@HaikaFredrick
@HaikaFredrick 12 дней назад
Hao ndo Gen Y na Gen Z
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART 12 дней назад
Free Africa free all nations
@nasorrboso5214
@nasorrboso5214 12 дней назад
Safi sana kijana natamani sana kwetu tupate kidume kama wewe tz iwe nchi huru mungu tuone sisi w
@user-vf8wv8hi5b
@user-vf8wv8hi5b 12 дней назад
Kakosekana jpm hapo hongere sana
@musajackson3289
@musajackson3289 13 дней назад
Kazi ipo Africa ikombolewe
@user-lx2yc8tj5h
@user-lx2yc8tj5h 12 дней назад
Tutamkumbuka sana baba magufuri tz
@Chida
@Chida 11 дней назад
Hawa ndo viongozi wanaoitajika Africa 🌍 big up saaana
@josephfrank4446
@josephfrank4446 13 дней назад
😂😂😂😂safi sana namkubar sana huyo mwamba❤❤
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 13 дней назад
Shikamoo traole
@abcdefghijklmno59466
@abcdefghijklmno59466 12 дней назад
Sijuwi Congo 🇨🇩 wanakwamiya wapi?
@mwakilamwaki7308
@mwakilamwaki7308 12 дней назад
Izi ndo nchi za kwenda kuishi viongozi wanajitambua
@Mumewangu
@Mumewangu 12 дней назад
M/ mungu awalinde na maadui hii Miamba
@NdovuDentalClinic_
@NdovuDentalClinic_ 12 дней назад
Hawa Gen Z
@edouardnsengiyumva1145
@edouardnsengiyumva1145 12 дней назад
Angekuwepo magafuli angeuna nawoo shujaa
@husseinc
@husseinc 12 дней назад
matatizo mengi ya afrika yamesababiswa na mabeberu
@billskeez92
@billskeez92 12 дней назад
Bro sky tuandalieni GPS kuhusu AES
@r14kgroup68
@r14kgroup68 11 дней назад
Hongera sana
@IddyAmir-gq1jr
@IddyAmir-gq1jr 11 дней назад
Angekuwepo na maguguri jamani😭😭😭
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 12 дней назад
hongera zao mashujaa
@collinndabi1914
@collinndabi1914 12 дней назад
Jaribio zuri but power yao ni ndogo sana
@JosephMbagala
@JosephMbagala 12 дней назад
Hiv ECOWAS awajielewi
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 10 дней назад
Tuko nyuma yenu vijana hapa kazi tuu mpaka kileleweke tushawachoka Hawa mabeberu wezi majambazi afrika stand up ❤
@sketadre1981
@sketadre1981 9 дней назад
AFRICA unity ✊🏿💚🖤❤
@emmadora7848
@emmadora7848 13 дней назад
All the best
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 12 дней назад
Safiiii
@HajiMwanz-to3vg
@HajiMwanz-to3vg 12 дней назад
Viva afirika nguvu mojaaaa
@jut1161
@jut1161 13 дней назад
Shida wakiondoka hao watakuja walewake na kurejea kule kule
@emmanuelkanyela275
@emmanuelkanyela275 12 дней назад
tatizo viongozi wa Afrika hawajitambui kama viongozi wanaiba pesa wanapeleka nje ya Afrika sasa hawa ndo wazalendo wa afrika
@josephkostans9128
@josephkostans9128 13 дней назад
Asaaaaaaaaaaaate sana mwamba wa Africa treole AKA mwana wa PUTIN. Shikilia uliposhikilia brother
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 12 дней назад
Wanajitambua😊
@EmanuelMkongwi
@EmanuelMkongwi 9 дней назад
💪💪💪💪💪
@user-kk2fz6en9p
@user-kk2fz6en9p 12 дней назад
Viongozi wa nchi huonekana kama hawa miamba
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 12 дней назад
Ukikosakuchukua maamuz magum yenye maslah mda huu, sahau. Watu wanatumia nafas adimu kujinasua.
@stanleymanya438
@stanleymanya438 12 дней назад
Mungu tufungulie waaftika wote macho
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 12 дней назад
Rutto ndo Kwanza anaenda huko huko 😂😂😂 kuwaleta wamagharibi n wamarekani
@bobdutchbobdutch8443
@bobdutchbobdutch8443 12 дней назад
@EwaldAntony
@EwaldAntony 12 дней назад
Traole
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 12 дней назад
❤❤❤💪💪💪🤴🤴🤴
@abdallahhuseinkabale7534
@abdallahhuseinkabale7534 12 дней назад
Ajiangalie tuu
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 12 дней назад
Natamani tanganyika ifuate nyayo
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 12 дней назад
Tinubuuuuu😅😅💣💣💣💣
@sanaf8367
@sanaf8367 12 дней назад
Halafu kuna watu wana isha eti wanadai utumwa umekwisha ktk dunia kwakweli huwa nawasikitikia hawajui walisemalo.
@IbrahimAli-yd1ng
@IbrahimAli-yd1ng 13 дней назад
Vizur 🎉
@user-oz3zu1qm9z
@user-oz3zu1qm9z 13 дней назад
Hawa ndio tunataka watuongose sio wakina ruto na samia
@Awatee
@Awatee 13 дней назад
😂😂😂😂
@MashaMbwana
@MashaMbwana 12 дней назад
😂😂😂
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli 12 дней назад
Umesau kagame na m7
@manassiibonja
@manassiibonja 12 дней назад
@@shukurumsebaloli ni bora M7 kuliko ruto na samia
@estephanowakilwakilwakil6023
@estephanowakilwakilwakil6023 12 дней назад
NAOMA MWANGA WA AFRICA SASA JAMANE TUANZE KAZI SASA MIMI MUIMBAJI NAOMBA PIA MUNISAPOTI TAFATHALI ASANTE
@cryptoboy-5
@cryptoboy-5 12 дней назад
kuna mtu aliona mbali sana aka mstaafisha mkuu yeye asinge kubar huu upuuzi maana alifia mikonono mwake na maono yake anayajuwa yalivo kuwa
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 12 дней назад
Huyo ni zaidi ya makufuli Huyo ansjiamini sana
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 12 дней назад
Hajamfikia magufuli tulia mambo bado
@manassiibonja
@manassiibonja 12 дней назад
@@subrynerysegerow1323 tangu lini magufuli aliwatowa mabeberu?
@betinvestment3204
@betinvestment3204 12 дней назад
Natamani east Africa ingeungana kabisa km ivi ikawa moja
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 12 дней назад
Ndoto hiyo ndugu yangu tena kenya watakuwa wa kwanza kutuingiza chaka😂😂😂
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 12 дней назад
Tanzania 🇹🇿 tunahitaji MABADILIKO mapema na haraka iwezekanavyo
@calossantos486
@calossantos486 12 дней назад
Kweli asee
@brunoh_bx
@brunoh_bx 10 дней назад
Kila la heri kwao ingawa najua mataifa ya magharibi lazma yatatafuta propaganda wahakikishe wanawaondoa madarakani kama ilivyokuwa kwa Muamar Gaddafi, Thomas Sankala na wengineo. Muhimu ni waafrika tuungane tuwe kitu kimoja, kwnn tunaendelea kukubal kuw watumwa wa mabepari😢😮
@CharafimalisalimoAli-qw3hk
@CharafimalisalimoAli-qw3hk 12 дней назад
ECOAS WATAKUJA KUJIONA NI MABWEGE PUNDETU. MANA VIJANA SASA TUNAITAKA AFRICAYETU NA MALIZETU. YANI HADI RAHA NIMEONA LEO KWENYE TIKTOK TRAOLE AKICHAKAZA NDINGA NA VIJANAWENZAKE. TUMEMPATA GADAFI NA PUTIN WA AFRICA.❤
@Aksa-yk1dp
@Aksa-yk1dp 12 дней назад
Kwaio unataka kusema Russia yeye hatokua kama hao wa France .afrka itabaki kutumiwa tu.iltakiwa wajishklie wenyewe tu
@Aksa-yk1dp
@Aksa-yk1dp 12 дней назад
😊hakuna kitu hapo .unawakimbia ulaya unawafata warus sasa hapo umefanyann sasa
@jumakibwana1810
@jumakibwana1810 12 дней назад
@Aksa-yk1dp Urusi anaeza kuwa rafiki mzuri kuliko hao ulaya ama wewe mwenzetu ni shoga?😅😅
@manassiibonja
@manassiibonja 12 дней назад
@@jumakibwana1810 uyo ni shoga achana naye
@Aksa-yk1dp
@Aksa-yk1dp 12 дней назад
@@jumakibwana1810 kumbe hoja kubwa ni ushoga sio kuibiwa mali.think big bro , ongeza shule ya siasa za DUNIA . Kunamahala umesikia kwamba urusi hakuna mashoga .hio ni pointless big .ongeza shule
@AliKaroyo
@AliKaroyo 12 дней назад
Toka Usome Ama Toka Ujielewe Ulisha Sikia Ama kuwambiwa Taifa la Urusi Linanyonya Taifa lolote lile Hapa Dunian wacha Ujinga ndugu Yngu Russia Ndio Taifa La Kwanza Dunian Na China Yasio Nyonya Nchii Yoyote Isipokuwa Kufanya Biashara tu 😂😂 ​@Aksa-yk1dp
@Aksa-yk1dp
@Aksa-yk1dp 12 дней назад
@@AliKaroyo unasema china ipi .waulze Zambia waulize Uganda kwenye kulipa maden wamefanywa nn ..kwenye airport zao .Leo mnamuina Russia kama ndugu yenu lkn kunasku mtarud kulia .sinamaana kua napenda tuendelee kua chini ya wa bepari sema njia sahh nikujitengemea ss wenyewe kuanzisha sarafu yetu .sasa brics inayopigiwa promo unazan itakuza u gum wetu au kuddmiza .njia sahh nikuungana waafra .njoo tz na Hela ya Burundi bank hawapokei ,Hela ya Kenya ikingia south hapokelew Hela Yako ukipeleka Ghana watakushangaa .alafu Leo mnakuja kuunga mkono Hela ya brics ambapo bado mtaendelea kuumia ndan ya bara la afrca .hio vta ni ya Russia na ulaya sisi tunajumuishwa kwasababu hatuna mising imara waliokuja nayo akina Gaddafi na mgabe akina kuruma waliotaka sarafu Moja ya afrka .nachukia kuona wa afrka bado tunaiman nahao watu weupe the only wants us for purpose
@musajackson3289
@musajackson3289 13 дней назад
Kazi ipo Africa ikombolewe
@abuusufian6506
@abuusufian6506 12 дней назад
All the best
@musajackson3289
@musajackson3289 13 дней назад
Kazi ipo Africa ikombolewe
@musajackson3289
@musajackson3289 13 дней назад
Kazi ipo Africa ikombolewe
Далее
Комфорт в Нива 2131  #offroad
0:18
Просмотров 1,5 млн
Агрессивный обочечник!
0:33
Просмотров 2,5 млн
Скидываю видео #bikeride #bikerlife
0:10