Тёмный

KUTANA NA GENIUS WA HESABU ALIYEONGOZA AFRIKA MASHARIKI, APELEKWA MASHINDANO YA DUNIA. 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 66 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

7 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 316   
@haikalawere2002
@haikalawere2002 Год назад
Hongera Mwanangu Haris, kwa Ushindi huu...Mungu akufungulie Milango mingi ya Baraka , hadi Chuo kikuu ili Baadae. .uje kuwa msaada & baraka kwa wengine🙏
@zainabhaidarymsangi3160
@zainabhaidarymsangi3160 Год назад
hongera sana kwa malezi hakika wakiweza tunawafurahia
@alvinchristi7361
@alvinchristi7361 Год назад
My dea many congrats babes
@salomeburaganya7967
@salomeburaganya7967 Год назад
Haika hongera sister,Barikiwa
@helenandutu8339
@helenandutu8339 Год назад
Nilikua najiuliza huyu mtoto namuonaga wapi, kumbe kwa Haika hongera sana
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Год назад
Hongera Sana mjukuu wa marehemu Babu Israel Magessa
@salminasalim5630
@salminasalim5630 Год назад
Mashaallah Tabarak Allah. MMungu azidi kukupigania kukuongoza na kukulinda na mahasidi azidi kukuongezea uwelewa zaidi Hongera sana mjukuu
@josephkaka6270
@josephkaka6270 Год назад
Hongera sana kijana sasa angalia huyu mtoto points anazotoa necta watazifanyia kazi tuachane na memory twende kwenye uelewa zaidi ndio itatusaidia
@user-zg9gh8er3t
@user-zg9gh8er3t 2 месяца назад
Vijana wa aina hii ni baraka, neema na hazina kwa Familia na Taifa, hongera sana dogo, endelea kuwa kipanga #Sky is the Limit
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Год назад
Had raha,Mungu aendelee kukutunza mtoto wetu
@kelvinrwegasira2082
@kelvinrwegasira2082 Год назад
Hongera sana dogo, serikali kama serikali Ina kitu Cha kujifunza na kubotesha kutoka kwa uyo dogo.... Dogo kwenda Cambridge ni kama tumempoteza ni hayo tu
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Год назад
Hakika mtoto ni mwenye uwezo mkubwa ni neema ya Mungu kwa kweli❤
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
MashaAllah 🎉🎉🎉God bless his journey
@harisphares4568
@harisphares4568 Год назад
Thank you. Blessing received🙏🏾
@Truly_Afrikan
@Truly_Afrikan Год назад
Mrudie interview by giving him a chance to explain him self in English,he is struggling
@alvinchristi7361
@alvinchristi7361 Год назад
Exactly
@josephmeshack3147
@josephmeshack3147 Год назад
Wamfunze na kiingereza this is his country sio sisi tumfate kwenye kiingereza.Anaweza akatamani kuwa kiongoz hapa home siku hawezi kueleweka akiongea hivyo
@godfreymaagi2973
@godfreymaagi2973 Год назад
Ata jinsi ya Nywele zake zililivyo inaonekana wazi uyu ni mathematics genus
@drisayaambulatoryvetclinic1514
Hongera dogo ,pambana mpaka kieleweke ,hesabu sio ngumu ungesoma kipindi chetu ningesema tukutane tushindane
@ezekielmwakalindile1922
@ezekielmwakalindile1922 Год назад
Big up dogo May God bless you
@marryeliasmarryelias9289
@marryeliasmarryelias9289 Год назад
May God continue to bless baby boy 🙏 I hope my kids will be like you🙏
@jehovajonas9284
@jehovajonas9284 Год назад
Tubadilike watz Tupendane Tusifiane kwa mazuri pia Leo mtoto wa mwenzako Kesho wako Tuache maneno kuntu
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Год назад
Kabisaaaa
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Hakika na wivu uishe kbs.
@jehovajonas9284
@jehovajonas9284 Год назад
@@ameria2332 kabisa unapofurahia mafanikio ya mwenzako Mungu naye anakubariki
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
@@jehovajonas9284 hudanyanyi ndg, baraka ndo zinatoka hapo kubarikiwa sio tu mpaka umsaidie mtu hata mawazo na maneno juu yake MUNGU uyatendea kazi.
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Ila yawe mazuri sio mabaya.
@geeva99
@geeva99 Год назад
Huyu ange dedicate mind yake kwenye kusolve mikeka odds 7000+ ingekuwa dili sana
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Год назад
Congrats dogo Mungu akusimamie vema
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 Год назад
Dogo nimemuelewa sana, na iwe funzo kwa wizara ya elimu kwa ujumla, maswali kwa masomo yote yalenge kwenye uelewa zaidi kuliko kukariri, nchi kama china wanaelewa zaidi kwa sababu kila kitu kipo kwenye lugha yao tofauti na sisi unaanza kwa kukariri unakuja kupata concept umeshafika form four, kwa waliosoma masomo ya science watakubaliana na mm
@davidcurtis175
@davidcurtis175 Год назад
Sio kukubaliana na wewe tu nakuunga mkono kwa asilimia zote, inakera sana siku zote huwa najiuliza hivi waziri wa elimu anafanya nini na kazi yake ni gani? Na ndio maama tunawakufunzi wengi sana mitaani hawana kazi na bado wanaishi kwa kukariri that ukisoma sana utapata kazi nzuri navutalipwa mamilioni ya pesa, wakati wanaosa vizuri wanajua tunasoma sababu tunapaswa kuwa na uelewa mkubwa kwendacsawa na wakati, nsio maana kwa wenzetu unakuta mtu ana masters lakini anafanya kazi ya kawaida sana tena hata supermarket’s ukibahatika kuwajua ukiuliza majibu yao utasikia siamini sana kwenye kuajiriwa so nipo hapa kwa muda kidogo nipate kianzio tu then nijiari, kwetu mru anasoma mpaka ana phd bado anazeeka kwenye ajira.
@josephmeshack3147
@josephmeshack3147 Год назад
Maswali yanatoka kuaccomodate jamii nzima..huyo ni mtoto wa kishua huko vijijini hawana izo access,kuna vitu vya kurekebisha ila si kwa level ya dizaini ya huyu mtoto wakishua asiyeweza hata kuongea kiswahili vizuri.
@pallangyodaniel8918
@pallangyodaniel8918 Год назад
MUNGU NA AIBARIKI KAZI YA MIKONO YAKE AMEN
@isackmosha4283
@isackmosha4283 Год назад
Hongera Mdogo wangu.. Mungu akubariki uwe zaidi na zaidi
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 Год назад
Anakuja kuishia kwenye u professor Tu kwa mchi yetu hii,mungu tu amuongoze mtt mzuri❤️🙏
@jaspertheonest
@jaspertheonest Год назад
kuwa proffesor kuna ubaya gani ?
@hijazhija316
@hijazhija316 Год назад
Unataka kusemaje
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Kwa Tanzania wenye uwezo wa hivyo hawapati maisha mazuri wote wameenda kwenye Siasa.
@ammaherman3391
@ammaherman3391 Год назад
@@jaspertheonest hakuna ubaya ila kuwa professor Tanzania ataishia kuwa lecturer tu na sio mvumbuzi. so atabaki kapuku akiwa TZ
@mohani7390
@mohani7390 Год назад
We hauoni professor ni cheo kikubwa hiko.
@methodiutou7278
@methodiutou7278 Год назад
Hongera mdogo wangu ! Mm nilipata mswaki Fm4 ! Uko vizuriii
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
😂😂😂😂😂pole mwenzangu na mimi, kumbe tupo wengi sio mi peke yangu.
@zephaniamwangu9857
@zephaniamwangu9857 Год назад
Hata mimi dadeki, nilipata 1/100😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hijazhija316
@hijazhija316 Год назад
Oya kausha
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
@@zephaniamwangu9857 we upo juu sana mbona
@obadiamshana2518
@obadiamshana2518 Год назад
Pole sana unapata F hesabu
@gracesilayo7670
@gracesilayo7670 Год назад
Hongera mwaya mdogo wangu
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Год назад
Hongera sana. Wazazi wapeni watoto wenu Samaki, Maziwa, Mbogamboga na Mayai lazima wawe na Akili sana. Big Up Mwamba wa Hesabu. Chuo Kikuu Namba 1 Duniani cha Havard kinakusubiria japo nakushauri ukasome China au Urusi uje usaidie Tanzania ya Viwanda. Tanzania Imara Kazi Njema Iendelee🇹🇿🇹🇿
@jaspertheonest
@jaspertheonest Год назад
china tena dah hapana aendi dunia ya kwanza kwa magenius
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema Год назад
@@jaspertheonest China ndiyo inaongoza kwa Viwanda, ikifuatiwa na Ujerumani na Japan. Unajua Muungano wa BRICS Brazil, Russia, India, China and South Africa. Marekani Dollar inaenda kupotea sababu ilikuwa inatumika kama Pesa ya Fuel yaani Mafuta ya Petrol and Diesel ila sasa Saudia Arabia hatumii Dollar tena.
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
Marekani wakimuona tayari watamchukua, watampa kila kitu atakacho halafu ndio imeisha hiyo
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 Год назад
Nenda ukasome urusi ...
@stellamsangi4281
@stellamsangi4281 Год назад
Aise umeongea jambo muhimu lishe ni muhimu mnoo.
@ik3934
@ik3934 Год назад
Honger Haris, hapa kuna kitu cha kujifunza kikubwa sana toka kwako. Sio tu kwa wazazi bali hata kwa wale waliopewa dhamana ya kutengeneza mitahala.
@HD-gm4jg
@HD-gm4jg Год назад
Upo vzr Sanaa kijana.. Hongera
@tukuswigaikasu5227
@tukuswigaikasu5227 Год назад
He is a smart boy!
@jonasnyanga8167
@jonasnyanga8167 Год назад
Kiswahili chenyewe shida tuu huyo sio mwenzetu sisi wa st. Kayumba tulieee tu 😢
@pendokissatu937
@pendokissatu937 Год назад
Mtoto Wa Fezaa Huyu
@jonasnyanga8167
@jonasnyanga8167 Год назад
@@pendokissatu937 ung'eng'e mwingi
@ommarysaid7391
@ommarysaid7391 Год назад
@@jonasnyanga8167 kiswahili Shida 😁😁😁😁
@mercyswai2746
@mercyswai2746 Год назад
Wahooo hongera sana Haika kwa kuzaa champion 🙏
@jasmineseph2907
@jasmineseph2907 Год назад
Allah akifanyiwa wepc.n.usadea.n wengine
@MagrethKessy-fj1ul
@MagrethKessy-fj1ul Год назад
Naripot kutoka Marangu Masiah nimejitolea kupitisha hii clip nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa mpaka kieleweke nimefurahi hadi nalia Mosha's
@romwaldkabwebwe6747
@romwaldkabwebwe6747 Год назад
😂😂😂😂😂😂
@roseamos2812
@roseamos2812 Год назад
Congratulation
@naslee1010
@naslee1010 Год назад
Hongera sana mdogo wangu
@adamamin6987
@adamamin6987 Год назад
amalize shule aje mtaani.. huku ndo kunahesabu za ukweli ukweli... 😃, by the way good job for the moment..
@humphreypeter5641
@humphreypeter5641 Год назад
Dogo wakishua hatoona mtaa mgumu
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
Huyo hata afeli maisha mtaani humuoni
@petrolconrad4250
@petrolconrad4250 Год назад
Time will tell, maisha bado mteremko kwa sasa
@mcback4384
@mcback4384 Год назад
@@petrolconrad4250 kwamba unasubiri muda ufike afeli maisha arudi mtaani? Mbona ninyi kama mashetani? Hahaha
@petrolconrad4250
@petrolconrad4250 Год назад
@@mcback4384 😂😂😂hamna kaka, mfumo wetu wa maisha hauna formula sisi wakubwa tunajua....waliofeli wakija mtaani wanang'aa na waliofaulu wakija mtaani ku'organize maisha ni utata
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Год назад
Mmmh ok hesabu ukiipenda nayo itakupenda ukiichukia nayo inakuchukia mara 100.
@rhodamgimwa356
@rhodamgimwa356 Год назад
Hongera an mdogo wetu!!! Napenda pia mtoto wangu akasome Cambridge,, tatizo Ni mtonyo.
@alextanzania
@alextanzania Год назад
Pambana Dada. Kamweneee...
@hijazhija316
@hijazhija316 Год назад
Ishu ya upinde vp
@zainabhaidarymsangi3160
@zainabhaidarymsangi3160 Год назад
hongera sana kijana wetu tunajivunia wewe na hongera kwa wazazi wako wanaokupigania ukamilishe ndoto zako
@harisphares4568
@harisphares4568 Год назад
Amen
@godfreysanga633
@godfreysanga633 Год назад
Big brain boy
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Год назад
Mfumo wa elimu Tz ni shida sana na bahat mbaya waliopewa dhamana kuongoza wizara Kila ajaye ana mfumo wake na maelekezo meeeeeengi thus why watoto wao wanasoma abroad
@emmanuelnkukura6736
@emmanuelnkukura6736 Год назад
Mungu hakupi vyote anakupa hesabu anapunguza kidogo Kiswahili😂😂😂
@angelmashambo1242
@angelmashambo1242 Год назад
😂😂😂😂😂
@easternyerembe7271
@easternyerembe7271 Год назад
Hongera Sana Magessa, mdg wangu
@godfreysanga633
@godfreysanga633 Год назад
Genius sana aisee phares family is blessed
@harisphares4568
@harisphares4568 Год назад
Ahsante sana
@victorphilibert1629
@victorphilibert1629 Год назад
​@@harisphares4568😅😅😅 dogo upo ongera mdogo wangu uko very smart keep it up focus on your vision God is our your side pray hard study hard
@stephanopeter373
@stephanopeter373 Год назад
Mtoto akiwa vizuri darasani, mtaani ni mtaani hajui chochote, wazazi tijitahidi kuwalea watoto balancing life
@wilsong520
@wilsong520 Год назад
Tatzo hatujui watoto wetu wana taka nn,wazazi wengi wana force wanayo taka wao sio kufata uwezo wa mtoto, Ndomana hata ngazi za uongozi Tz mtu kasoma kilimo anaenda kuwa kwenye ujenzi huwezi fanikiwa
@josamjoel2079
@josamjoel2079 Год назад
Ishu ni Mungu atusaidie tupate hela watoto wetu wasome pazuri hivi unafikiri mtoto Kama huyu atakuja kupata tabu mtaani????
@jacobmwaseba9142
@jacobmwaseba9142 Год назад
wanashindwa watoto wa masikini uyo mtaani huwezi kuja kuonana nae , ww umuini tu unazani anapanda bodaboda huyo
@zuhurasaidi9521
@zuhurasaidi9521 Год назад
Aliekwambia atakuja mtaani ni nani,,,,,😂😂😂 he has life already from his parents....labda aje kukutana na pear pressure huko juu ya kwenda kidimbwi sio hivo unavofikiria
@ndrwdotts4347
@ndrwdotts4347 Год назад
Mitihani ya necta ni mirahisi 😮😮😮😮😮😮😮 mimi nafkiria grade zangu🙉
@derickrweyemam
@derickrweyemam 4 месяца назад
Ningependa nimuone alafu nimpe swali langu la calculation moja tu...... Alf kingine kasoma shule zenye mitahara lain mzee so sio gineous... Ila hongera yk
@Kizanda_84
@Kizanda_84 Год назад
Congratulations
@gabrielsango8745
@gabrielsango8745 Год назад
Hongera sana kwake...❤
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 Год назад
Hongera ❤❤
@revilsonsariah307
@revilsonsariah307 Год назад
Good competition and good attempt
@deogratiusjacob5658
@deogratiusjacob5658 Год назад
Hongera saaan
@thedeepgamerdenny5364
@thedeepgamerdenny5364 Год назад
Mwenyezi amuepushe na warogi maana vitaa wanazidisha mahesabu......
@salmasultan3882
@salmasultan3882 Год назад
Dogo ni Fala 2 anashindwa kuzungumza kiswahili kilicho nyooka analeta mashauzi Kuna wahindi ambao wanazungumza kizungu na lugha ya nyumbani vzur sana huyo dogo ni mashauzi
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Год назад
Na lugha ni ya kiingereza ni tatizo sana kwa watoto wengi
@kanaelikanuya7919
@kanaelikanuya7919 Год назад
Hongera kijana lakini jifunze kiswahili ni muhimu kwako,
@MaaneML
@MaaneML Год назад
Hivi waandishi wetu Kingeli vipi? Huyu angejieleza vizuri sana kwa kimombo. Naomba mwandishi nguli wa lugha ya malkia arudie hii interview kwa Kiingereza.
@jamesnyarubandwa1500
@jamesnyarubandwa1500 Год назад
Huyu sio mwenzetu hivyo anahaki kabsa ya kusema hayo,hebu tumpate aliyetoka KALIUA SEC au st.kayumba yoyote ashindanishwe na wegne af aje anasema kuwa mitihani ya NECTA ya hesabuni ni miepesi hakika uyo nitamkubali
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Год назад
Kiswahili kinagoma goma sana 😅hongera dogo
@leemartin1419
@leemartin1419 Год назад
Dogo anajua sana Kuna Siri alio ijua tunachojifunza nitofaut sana nakile wanachojifunza wao sijui kama mmemwelewa?
@benancejohn1198
@benancejohn1198 Год назад
Huyu dogo sio mhaya kweli 🤔 Ila pongezi sana kwake
@edgarelikana7204
@edgarelikana7204 Год назад
Nyie mm 4m1 to 4m2 nilikuwa nafika 30% hadi 40% 4m3 to 4m4 Shangazi kaniloga sikuwahi pata zaid ya 20 😁😁 kifupi nina F Tujuanee 😁😁 Mleteni Hapa HGL hachomoi kila mtu na chake bhna🙌🏻🙌🏻
@wanjaras.mollel8251
@wanjaras.mollel8251 Год назад
Dah nmecheka hahahahahahahahaha
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Год назад
Hongera sana
@ZBOYTZ
@ZBOYTZ Год назад
Nice
@linluxe101
@linluxe101 Год назад
Smart🎉
@agnesschaote5583
@agnesschaote5583 Год назад
Mjuaji anasema shule za kayumba mbadilishe ufundishaji watoto wanakalili kuliko kuerewa ufundishaji wenu tofauti na shure zingine kilicho msaidia kusoma online seem mbali mbali yu tubu
@godwillkilangi9299
@godwillkilangi9299 Год назад
Naomba kwa mungu wanangu wawe ma genius kama dogo janja
@chrissg4026
@chrissg4026 Год назад
Uyu inaonekana wanamtenga sana hasa na jamii inayoongea Kiswahili! Ajichanganye na wenzake wanaoongea Kiswahili aelewe Lugha ya Kiswahili sasa! Ni muhimu pia!
@josephmeshack3147
@josephmeshack3147 Год назад
That's bad surely..!Anatatizika sana na lugha mama yake na anasoma Tanzania nyumbani.Atakuwa alienated
@jhoanpinto9648
@jhoanpinto9648 Год назад
Safi Sana kijana, Ila mbona kiswahili kinakupa shida sana ??
@lazaroleonard3630
@lazaroleonard3630 Год назад
Ety nimesikia yeye necta kwake ni rahisi, mmmmh lakin ni sawaa tuuh tunatofautiana alafu maths
@nawechi4818
@nawechi4818 Год назад
FEZA OYEEEEEEEEEEEEE👌👌
@neemaneema9969
@neemaneema9969 Год назад
Anasomea feza?
@amsangi9949
@amsangi9949 Год назад
Oyeeee
@haikalawere2002
@haikalawere2002 Год назад
Oyeeeeeh🎉
@rpynoel566
@rpynoel566 Год назад
Huyu aende India huko ndo Kuna ma genius na mabingwa wa hesabu Kwa haraka
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 Год назад
Ndiomaana wameficha matokeo ya mitihani Kwa kutotaja shule zilizofanya vizuri,, international school's wako juu hata tusipotaja shule zinazoongoza Bado watafanya vizuri 2.
@fabiano7887
@fabiano7887 Год назад
Huyu kasoma feza boys Internationals school wazazi wake wako vizuri.
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Hata wasipotaja wako sahihi ,make Tz yetu imebadilika mno ina wivu.
@nwntz
@nwntz Год назад
nekta mirahisi sana ...ahhahaa
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Год назад
Jaman kuna mwanangu yupo vzr kwenye civics na kiswahili kama ikitokea mtuambiee
@rockyvlogs2214
@rockyvlogs2214 Год назад
😂😂
@jrsaid4270
@jrsaid4270 Год назад
Huyo ajiandae kuwa balozi wa mtaa,au fundi viatu
@Soon815
@Soon815 6 месяцев назад
Kongole👏👏👏
@Soon815
@Soon815 6 месяцев назад
@@jrsaid4270 Huyu wa civics ni mwanasiasa tambua hilo!! Huyo ni waziri etc usishangae anakuja kupelekesha hao maTO ambao watakuwa madaktar etc
@jrsaid4270
@jrsaid4270 6 месяцев назад
@@Soon815 Aaha kumbe kwenye hii Siasa ya Leo ya Tanzania ambayo tayari walioshika Nchi wameshaanza kuingiza watoto wao kwenye Siasa huyu wa civics na kiswahili labda kama baba au mama yake au Kuna ndugu yake ni mwanasiasa ndio anaweza kuwa otherwise sijui
@neemamayila3096
@neemamayila3096 Год назад
❤❤
@bonifacesamwel4365
@bonifacesamwel4365 Год назад
Kijana smart sana
@Roym97
@Roym97 Год назад
Nakubali wadau kama hawa japokuwa nimekuwa kilaza
@ninahmbonea6248
@ninahmbonea6248 Год назад
Mbona kiswahili kwake ni kigumu?
@mariamezialor8911
@mariamezialor8911 Год назад
Hondera sana kijana kwa kutumia RU-vid kutafuta mbinu na njia ya kujisomea mwenyewe kuzidisha uelewa. Hio ndio kutumia simu jana kwa elimu ambayo ni manfaa katika maisha yako. Ushauri bora jitahidi kuboresha luggage yako ya Taifa. Jiepushe kutumia *ga* nasomaga, naonaga, nakwendaga, nakaagaa. Hiyo ga inatumika passport kuwepo. Wazo langu kwako. Boresha lugha yako nayo ujivunie...
@AdilMedir
@AdilMedir 3 месяца назад
@hazaaahmadhazaa2770
@hazaaahmadhazaa2770 Год назад
1:33 hapo amechanganya channel ya youtube ya hisabati inaitwa MindYourDecisions
@emmanuelmakaya7604
@emmanuelmakaya7604 Год назад
Eti NECTA kwako kitonga sana..😁😅🙌
@f.a6043
@f.a6043 Год назад
🤝🏽🤝🏽🤝🏽👏🏽👏🏽👏🏽💪🏽💪🏽💪🏽
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Kenya hawana kotu kichwani wasiwahadaa na kujidai wanajua english.hapa canada tunawakenya wengi wana feli nclex wanaishia kuolewa na vibabu vya kizungu na wanaijeria wenye pesa afu wanateseka kwenye ndoa na wanaijeria ila wamebanana
@deogratiusjacob5658
@deogratiusjacob5658 Год назад
Necta wamekusikia aisee umewachongea wenzio daaah wakina chumanchukunkazi wanayo
@erickagwe8841
@erickagwe8841 Год назад
Kwani hajui kiswahili vizuri?
@givenmalatu4146
@givenmalatu4146 Год назад
Kwanza.dgo kiswahili kinamsumbua so mtihani mgumu kwake ni kiswahili
@rosemery5751
@rosemery5751 Год назад
🙏🙏🙏🙏🙏
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Год назад
Necta rahic we mtoto weee 🙂
@jigga2554
@jigga2554 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂kunan
@richardrobert9492
@richardrobert9492 Год назад
na kiswahili yake ni ya marakani
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Hakuna kitu hapo. Hatujamuona popote kwenye mitihani ya Tanzania. Mnafundishwa majibu halafu mnakuja kutudanganya.
@Eddo-es7zs
@Eddo-es7zs Год назад
Hesabu mimi nilikuwa nakariri tu
@RynoFiree
@RynoFiree 7 месяцев назад
Anaonekana anauwezo mkubwa sana hata mdomo unazidiwa kuyamudu mambo yaliyopo kichwani.
@cleartzboy
@cleartzboy Год назад
Uyu mtoto nlichogundua kiswahil pia kinamsumbua
@ONEdreamfilmtz
@ONEdreamfilmtz Год назад
Kuanzia form one mpaka form4 sijawahi kupata Zaid ya 10 😁
@Untouchable_14
@Untouchable_14 Год назад
Kula chuma hichoo 😂😂
@ameria2332
@ameria2332 Год назад
Kumbe umejitahidi.😅
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@hijazhija316
@hijazhija316 Год назад
Pumzika
@moseslengai3121
@moseslengai3121 Год назад
Pole jamani
@mathtech_ik
@mathtech_ik Год назад
Hatuna tuu uwezo wa kifedha lakini watoto wapo wengi wenye uwezo
@benlangson2686
@benlangson2686 Год назад
Exposure pia sio tu uwezo wa kifedha maana full scholarship zipo
@MD-sz5ti
@MD-sz5ti Год назад
uyu dogo anafanana sana mchomvu adam
@brightontheogenes5093
@brightontheogenes5093 Год назад
vip Bakari Nondo Mwanyeto ajashinda
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
haaaaaaaaaa nimecheka sana
@Jonnibo
@Jonnibo Год назад
nikupe swali😎
@richq8678
@richq8678 Год назад
Hiyo sio mbongo bana acheni izoo
@joelkipilipili7976
@joelkipilipili7976 10 месяцев назад
Yah sijui kwanini hawafwaulu, wanakwama wapi awa🤔🤣😂😂
@wilfredsamson6128
@wilfredsamson6128 Год назад
Kiswahili gani hichi sio cha kitanzania
Далее
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 82 тыс.
Hii Ndiyo Weruweru Sekondari Mpya
11:57
Просмотров 7 тыс.