Тёмный

Historia ya ALIKIBA, Alipozaliwa, Umri, Mapenzi na Maisha Yake 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 52 тыс.
50% 1

Historia ya ALIKIBA, Alipozaliwa, Umri, Mapenzi na Maisha Yake
Alikiba alizaliwa Iringa Novemba 26, 1986 kutoka kwa mama yake Tombwe Njere na baba yake Saleh Omari. Yeye ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wane katika familia yao, akifuatiwa na Abdu Saleh Kiba ambae ni mdogo wake huku wote wakifanya muziki wa bongo fleva.
Muziki ni kati ya vitu ambavyo zimekuwa vikipendwa na mwanamuziki huyu tangu utoto wake.
Asilimia kubwa ya wapenda burudani Afrika Mashariki kwa sasa wanazungumzia kuhusu ujio wa msanii wa muziki wa kizazi kipya Ali Salehe Kiba, maarufu kama Alikiba.
Baadhi ya watu wamekuwa wakimlinganisha na mwanamuziki nyota kwa sasa Diamond Platnumz, ambaye naye kwa sasa yupo katika nafasi ya juu kimataifa kama ilivyokuwa kwa Alikiba miaka mitatu iliyopita.
Si kwamba ndiyo anaingia katika muziki, kwa watu wanaojua historia ya bongo fleva wanakumbuka kwamba kijana alikuwa tishio, kwani amekuwapo kwenye gemu tangu mwaka 2004 na kufanikiwa kutoa wimbo wake wa kwanza ambao ulimtambulisha uliojulikana kama ‘Cinderella’.
Baada ya kumaliza elimu ya kidato cha sita mwaka 2004, alianza kujituma katika muziki na kufanikiwa kuandika wimbo wake wa kwanza, ‘Maria’. Mwaka huohuo Alikiba alianza kutengeneza albamu yake ya kwanza. Ilipofika mwaka 2005, alipata ofa ya kwenda kuchezea soka la kulipwa nchini Uganda, lakini baadaye aliachana na mpira ili kuendeleza kipaji chake cha muziki.
Mwaka 2007 alifanikiwa kuachia albamu iliyopewa jina la ‘Cinderela’, sambamba na kuachia wimbo huo redioni, ambao ulivuma na kusababisha albam hiyo kuuzika zaidi sokoni. Albamu hiyo ilikuwa ni kati ya albamu bora na iliyouza zaidi mwaka 2007 Afrika Mashariki.
Tangu hapo akaanza kupokea mialiko mingi kutoka Kenya, Rwanda, Uganda na Burundi. Aliifanya Afrika Mashariki kumjua kwa muda mfupi kupitia vibao kadhaa vilivyokuwepo katika albamu hiyo kama MacMuga, Nakshi Mrembo, Njiwa na Mali Yangu.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Развлечения

Опубликовано:

 

11 июн 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@ayubuswaya9813
@ayubuswaya9813 6 лет назад
King king 👑 again and again
@user-ox5zp3jl6d
@user-ox5zp3jl6d 7 месяцев назад
❤❤❤always king kiba shining in his music .
@maryannemwangi168
@maryannemwangi168 3 года назад
King ndo huyu Simba yuweza kuwakamtangulia Ila huyu ndo king kabisa
@naifajambae6008
@naifajambae6008 2 года назад
HAPPY BIRTHDAY KING🎉🎉🎈🎈
@alicenice1711
@alicenice1711 3 года назад
Kingkiva4life🔥🔥👑💐💕
@kimatachris1186
@kimatachris1186 4 года назад
Naishi kupenda Ali Kiba na mziki wake kabisa
@faidakanijo3574
@faidakanijo3574 Год назад
Namwaminia king kiba
@stevenckanumba7
@stevenckanumba7 3 года назад
King full power 🙏💪💪💪💪💪❤️❤️❤️
@NewMan-ei9cf
@NewMan-ei9cf 6 лет назад
Wow! Its a great profile.
@angelbenward4244
@angelbenward4244 6 лет назад
asante
@andasonsilvester9144
@andasonsilvester9144 Год назад
Sema
@HidayaOmary-qc9sm
@HidayaOmary-qc9sm Год назад
hongera kiba
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 Год назад
King kiba him self
@ivantompoo3420
@ivantompoo3420 7 месяцев назад
Uongo alikiba sio mtt wa kigoma history hii ni ya uongo
@mishisaidi8696
@mishisaidi8696 6 лет назад
mofayaaaaaa
@mshuamsuya789
@mshuamsuya789 3 года назад
King kiba ninoma
@dieudonnemto5722
@dieudonnemto5722 4 года назад
Yebaba
@kingsmusicfans1416
@kingsmusicfans1416 3 года назад
YEEEEBABA
@dieudonnemto5722
@dieudonnemto5722 4 года назад
Fally naye alikuwepo
@jaibukarimu3171
@jaibukarimu3171 4 года назад
Huyu Jamaaa Ana balaaa sana
@blavaemanuel7581
@blavaemanuel7581 4 года назад
Aaaaaaa mondiiiiiiiiiiiiii
@deoglatiaslameck3585
@deoglatiaslameck3585 6 лет назад
uongo mala kazaliwa dar mala iringa tuwaeleweje maana yy anatamka kuwa alizaliwa dar
@alexbathromeo4123
@alexbathromeo4123 4 года назад
Deoglatias Lameck ali kiba kwao kigoma. Wala sio iringa..kama kwao ni iringa je ule wimbo wa kigoma all stars unaitwa lekadutigite abdu kiba mbona ali imba km ali kiba ni wa iringa basi ata abdu kiba ni wa iringa sasa ya nn aimbe kwe wimbo ule? Afu kiba aliitwa aimbe kakataa kisa mondi
@zuhurabakari2076
@zuhurabakari2076 3 года назад
Baba ni iringa na mama kigoma yupo kotekote na kazaliwa iringa ila wazazi wake kigoma ndo walikaa Sana kikazi kabla ya kuja dar
@rokaldinhmartul7222
@rokaldinhmartul7222 4 года назад
Kigoma kwao acheni kutu buruza mikundu nyie sindelela hamuijui
@chilistospasabaga4836
@chilistospasabaga4836 4 года назад
Kiba kazaliwa kgm cinderala inatueleza acha uongo we mtangazaji
@wauwetz78
@wauwetz78 5 лет назад
Historia ya uongo iyo kabisa
@elphaceedward5644
@elphaceedward5644 4 года назад
Toa ya kwako ya ukweli
@ferdinandampoma5944
@ferdinandampoma5944 4 года назад
We mtoto hujui kitu
@maryannemwangi168
@maryannemwangi168 3 года назад
Toa yako
@davidmpungu8502
@davidmpungu8502 6 лет назад
Haituhusu historia.
@NewMan-ei9cf
@NewMan-ei9cf 6 лет назад
David Mpungu ukiambiwa profile unaelewa nini rafiki?
@K25795
@K25795 6 лет назад
ww David ww mwehu kbx
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 6 лет назад
Mm nachotaka kusema ukiwa na bahati..mbona sasanii wengi hawakupata sifa hizi nawakati wananyimbo nzuri zaidi yake.mm nampenda lkn kwasauti hana ila sifa mbona akiimba utazani anabana pua,
@anjunurdin2763
@anjunurdin2763 6 лет назад
Hata hivyo mbona hakuweza kuuinua mziki kama alivyouinua diamnd...mziki ulishakufa kabisa.na hata yeye pia alikua kisha kufa...lkn mtoto wa tandale kauonua kiukweli mziki.hata walioacha wamerudi kwenye gam
@paindevie8127
@paindevie8127 6 лет назад
David Mpungu kama haikuhusu inakuja Fanya nini kwenye Hutu pege jinga kubwa
Далее
Сколько метров чернил в ручке?
16:35
Дьявол - ТРЕШ ОБЗОР на фильм
19:10
Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
14:28
Просмотров 4,3 млн
UTAJIRI WA ALIKIBA UTAKUACHA KINYWA WAZI...
6:38
Просмотров 775 тыс.
HADI RAHA! ALIKIBA APIGIWA SHANGWE AKIIMBA RUN DUNIA
5:01
КОМПОТ В СОЛО
0:16
Просмотров 10 млн