Тёмный
No video :(

HISTORIA YA ELIMU YA SHAIKH QASSIM MAFUTA حفظه الله 

NURU YA SUNNAH
Подписаться 1,6 тыс.
Просмотров 3,2 тыс.
50% 1

‪@Nuru_ya_sunnah.official‬ #elimunidosavanzamos #habarimubashara #habarizauhakika #historiayashaikhqassimmafuta
#habarimubashara #tanzanianyoutuber #zanzibarisland #habarimubashara #tanzanianyoutuber #habarizauhakika #livestream #livestreaming #juhany #bandar_baleela #awaztv #salafimanhaj #awaztvnews
#qasaim_mafuta #salafi #abdallahhumeid #abdallahhumeid #raddi #masufitanzania #shaikh_qassim_mafuta
#raddikwawazushi #zanzibartravel #ikulumawasiliano #ikulutanzania #mawasiliano #daressalaam

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
hahahahahahaha😆😆😆😆😆😆😅😅🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😛😛😛😛😛 shekhe anajisifia sana mpka anasahau kuelezea elimu yake
@user-ep7jw8gt5i
@user-ep7jw8gt5i 3 месяца назад
Mashallah Allaah akuhifadh shekhe wetu
@user-ep7jw8gt5i
@user-ep7jw8gt5i 3 месяца назад
Mm nakupenda kwajili ya Allaah
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
HALAFU HUYU SHEKHE WENU WA KISALAFI ANAJISIFU SANA
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar 3 месяца назад
maa shaa Allah shikh qassim mafuta allah akubarik na akuhifadh
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 2 месяца назад
Wafuasi wa Shetani wa Najid WALLAHI wengi wao ni wapungufu wa maarifa na uelewa.
@adamcity9441
@adamcity9441 3 месяца назад
Itikadi ya Mawahabi Sheikh Alislaami Ibnu Taimia Alharaani: كما في الحديث الصحيح المرفوع عن قتادة عن عكرمة عن ابن عباس قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: رأيت ربي في صورة شاب أمردُ له وفرة جعد قطط في روضة خضراء Kama ilivyo katika *hadithi sahihi almarfuu* kutoka kwa Qataadah kutoka kwa Iqrimah kutoka kwa Ibnu Abbaaas amesema: amesema Mtume wa Allah s.a.w.: “nilimuona Mola wangu akiwa katika sura ya kijana barobaro nywele timtimu nyingi chooko akiwa katika bustani kijani.” [Rf. Bayanu Talbiis Aljahmia 7/290]
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 3 месяца назад
naam ndugu yangu, Allah akubarik, nashkuru
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 2 месяца назад
Duh
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 2 месяца назад
Ww mpumbavu wkisufi acha matusi
@user-xs7zn5sq4t
@user-xs7zn5sq4t 2 месяца назад
Nyie wenyewe wapuuzi
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 3 месяца назад
Wewe shekhe mohamedi handeni shekhe kasimu kwama tuku handeni. Na wengine nawengine mli tangaziwa posho mka vuruga watu walio kuwa wameshikamana kisa misaada na kuletewaa Ng'ombe za kuchinja mle nyama huku mjkisena asie sisi hapati
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 3 месяца назад
Mme changia kuvuruga uisilam Tanga kisa njaa naleo tz nzima
@Abdallahsufiaan
@Abdallahsufiaan 3 месяца назад
hahaha shida sio njaa shida mnafanya bidaa mbaya sanaa
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
ILA HUU NI UPUUZI YANI ETI SHEKH ANASIMAMA MBELE YA UMMA WA KIISILAMU NA KUIELEZEA ELIMU YAKE NA WATU WANAMSIKILIZA, HIVI HISTORIA YA ELIMU YAKE ITAKUWA NDIO NJIA YA KUTUFIKISHA PEPONI HUU NDIO UPUUZI WA HUYU KIJANA KASSIM
@SameerMdumbemalongo
@SameerMdumbemalongo 3 месяца назад
Tupe historia yako au ukoo wako ambae amehifadhi hata jazz aam
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 3 месяца назад
Wenye chuki na Sheikh Qassim utaona komenti zao za chuki Allah awaongoze ...
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 3 месяца назад
Aliye soma hajisifu husifiwa wacha ujinga mwenye ilimu hajisifu
@azizaj776
@azizaj776 3 месяца назад
Kweli mimi ndiye niliyemkopesha vitabu vya dini huyu chizi na vingine nilimpa bure pale Al Itra dini kaipapatikia JAJUI BWEGE NJAA YA TUMBO NDIYO ILIYOMPELEKEA HUKO BADO MCHANGA KWENYE DINI SASA WEWW SENA CHUKI NA MAFUTAAA AU LAA ILA KWA SWALA LA DINI BADO MCHANGA SANA HUYOOOOOOO KWAKO WEWE BUBUSA UNAMUONA MSOMI LAKINI BADO SANAAAAAAAAAAAAAHUYO
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 3 месяца назад
kwani unamdai sh ngap shekhe wetu ili tukulipe?​@@azizaj776
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 2 месяца назад
Please mpeni heshima yake Sheikh Mafuta, Allah akuhifadhi sheikh uzidi kutuelimisha japo watu wanachukia haki itasimama imara imara mpaka watu wa elimike, Jazakallah khairan
@user-rw2hx5eb7p
@user-rw2hx5eb7p 3 месяца назад
Sheh kasimu nilikua nakuelewa sana lakini umekosea sana umesoma kwa mwalim wa shamsia umeenda shamsia miaka tisa una sema umejua vitabu 20 vya nahau umetoka apo kila kitu unajua washukuru awa masheh nakuwaombea mungu uko mpaka umeweza kuchukua vitabu ukasoma kama usingeweza kusoma huko kwa ao wazee usingeweza kusoma hayo
@gammamohammed6601
@gammamohammed6601 3 месяца назад
" Hakika ya neno lau(ingekuwa) hufungua matendo ya shaitwa lakini sema amekadiria Allāh anafanya atakacho"
@Abdallahsufiaan
@Abdallahsufiaan 3 месяца назад
yani hujaona cha kisema ila hiko tu
@user-ep7jw8gt5i
@user-ep7jw8gt5i 3 месяца назад
Allaah akuhifadh
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
hiyo YEMEN YA DAM MAJI ULIOKAA SASA HIVI WAPO MASHIA NA USHIA NDIO UNAOFUNDISHWA HAPO DAM MAJI
@Kajokashemmela-uu5vh
@Kajokashemmela-uu5vh 3 месяца назад
Ulivyo enda kusoma wake zako ulimuachia nani mbona Leo unamtusi kama elimu imeingia sawasawa
@MaarufuHussein
@MaarufuHussein Месяц назад
Wote ni wasomi wakubwa tuwe na Adabu katika kutoa comment zetu. Radd ni katika dini, tuwe na subira!! Kikubwa niwaombe masheikh zetu tufundisheni dini.
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Месяц назад
صحيح
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 3 месяца назад
Huyu si shekh huyu shenz tu mhuni kujifny kukukosoa wenzk kujifny yy mjuaj kulik weenzke wote
@omarimaulidi2847
@omarimaulidi2847 3 месяца назад
Akhi usiwatusi mashekhe wala wana zuoni jua nyama za wanazuoni zina sumu atakaye kula ata kufa kuwa makini na maneno yako usiwatusi mashekhe
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 3 месяца назад
Roho inakuuma bure ndugu bora using towa komenti Sheikh anasema alivyo elewa Usalafi kisha unakasirika
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar 3 месяца назад
😂😂 mbona makasiriko mkuu
@JamesMakes-rn6kz
@JamesMakes-rn6kz 3 месяца назад
yani ndo iwe vipi? kwamba ndo mjuaji sana au? wew salafi uchwara tu! salafi hawakuwa wkijisifu hyo ni sehemu y ujbu nariaa na kibri tu, kuna wasomi hp znzbar wamesoma kuliko wew wala hawajaji proud. acha sifa. ولا تزكوا أنفسكم هو أعلم من اتقٸ
@omarimaulidi2847
@omarimaulidi2847 3 месяца назад
Anga lia maneno yako akhi jua kuwa nyama za wanazuoni zina suma atakaye kula ata kufa usi wafedhehesha watu wenye elimu
@gammamohammed6601
@gammamohammed6601 3 месяца назад
" Hakika ya dhana ni uongo" na riyaa huwa ndani ya moyo wewe umelijuaje hilo? Umeyajuaje yaliomo kwenye kifua chake? Bali kuna umuhimu mkubwa wakufamu historia yake kwasisi matullaabu ili kufahamu wapi ameipata elimu yake? Je imesalimika? Nasisi tunajifunza kupitia hio historia yake mengi tu! Allāh amhifadhi na amchunge sheikh wetu
@user-dp8xb3vj6g
@user-dp8xb3vj6g 3 месяца назад
Kama so Shekh bali ni shenzi : basi babayako na mamayako wao ni washenzi kuliko yy.
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar 3 месяца назад
acha bange wewe
@JamesMakes-rn6kz
@JamesMakes-rn6kz 3 месяца назад
nahakuna dhehebu la salafi huo uzushi pia
@Abdallahsufiaan
@Abdallahsufiaan 3 месяца назад
kina usufi tu au vo
@JamesMakes-rn6kz
@JamesMakes-rn6kz 3 месяца назад
nyinyi musiwapotoshe watu salafi hawakuwa wakitia watu motoni wala kupiga makelele ovyo km nyinyi salaf uchwara. wasomeshen wnfnz dini sio misimamo ya kijinga
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 3 месяца назад
Huo ndio ukweli, Hawajamaa Wanafundishwa na kufundisha misimamo yao badala ya uislam sahihi.
@gammamohammed6601
@gammamohammed6601 3 месяца назад
Ni yepi hiyo misimamo ya kijinga? Ibainishe kwa ufafanuzi wake na ipimwe kwenye mizani ya elimu kama wewe ni msema kweli!!.
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar 3 месяца назад
acha bange wewe hujui usalafi
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 3 месяца назад
@@muhidini_abubakar Wakati anaivuta wewe uliisikia harufu au unamkataza kosa ambalo hajafanya kuhalarisha mambo yako? Tuambie hio bangi aliivutia chumbani au barazan?
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 3 месяца назад
@@gammamohammed6601 Dini ni nasaha na nasaha nzuri huongoa, Sasa badala ya kutoa nasaha na elimu kwa waislam kinacho fanyika ni kutetea itikadi yao na misimamo yao kama wao ndio wasomi wakubwa wakutumainiwa, wao ndio walio shika dini ya uislam vilivyo kuliko waislam wengine, Wao ndio wana suna na Wako njia sahihi na walio baki ni wapotovu, wazushi, wao uzushi wao kwao ni maendeleo ya sayansi na tekinologia, Mfano wao kufanya jambo au mambo ambayo mtume MUHAMMAD S. A. W hakuwai kulifanya kwao ni maendeleo ila kwa waislam wengine ni bidaa, Mfano saivi kuna mambo mengi ambayo yako katika umati MUHAMMAD S. A. W na hayakuwepo enzi hizo na yanatumika ndani ya uislam na waislam.Kifupi ni hayo na mengine ni haya unayoyatumia sasa yote hayakuwepo enzi hizo za maswahaba na mtume MUHAMMAD S. A. W.
@JamesMakes-rn6kz
@JamesMakes-rn6kz 3 месяца назад
sheh wewe km mwema ungejishusha hdhi تواضع lkn masifa tu ndo unapenda. nakusoma saudia si kigezo cha uchamungu wala elimu wew hp zanzibar umezidiwa tu kielimu. sheh raddi tu wewe
@tibaasiligreatmoment8850
@tibaasiligreatmoment8850 3 месяца назад
Mbona Povu Tena Hhhhh
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 3 месяца назад
@@tibaasiligreatmoment8850 Mtume MUHAMMAD S. A. W hakuwai kuwa hivi wala kuwa na tabia Kama hizi, Alikuwa hawadharau waislam wengine wala alikuwa hajigambi kwa uwezo wake MUNGU alio mtunuku, Alikuwa hana makundi na mifarakano baina yake na waislam hayakuwepo enzi hizo, Tabia ya mtume MUHAMMAD S. A. W ilikuwa kiigizo chema na mawaidha yake ilikuwa dawa na tiba na ilikuwa sababu ya wasio waislam kuslimu. Tufuate suna ya mtume MUHAMMAD S. A. W na maswahaba zake tuache kufuata misimamo. Kama elimu unayo huhitaji nguvu kujulikana kuwa Wewe ni alimu. Kama elimu unayo isambaze Alafu ndio uje ututambie kuwa elimu yako imeleta athari nzuri kwenye jamii ya uislam. Sifa bila vitendo ni bure.
@SAIDIYABUSHINGEDJUMA
@SAIDIYABUSHINGEDJUMA 3 месяца назад
Hhhhhhhhhhhh sheikh Qassim mafuta usikubali bidaa itembeye ktk dini lazima tuikanushe
@gammamohammed6601
@gammamohammed6601 3 месяца назад
unaitwa james makes ??? Alafu kumbe kuwafahamisha wanafunzi vp umeipata elimu yako ni masifaee??? Aaaa
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 3 месяца назад
@@gammamohammed6601 Jina limefanya nini Kwani hadi uhoji Jina lake? Kwani akiwa na Jina hilo hawi mwislam? Au Jina hilo unalijua maana yake? Jee lina maana mbaya?
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.
HISTORIA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA -ALLAH AMUHIFADHI
30:04