Shukran kipindi kizuri nafikiri kingelipendeza zaidi wakati mahojiano yakiendelea kutupia historical photos za hilo daraja na palivyokua na yanayohusu hapo ili tupate picha ya uhalisia wake
Maa sha Allah shukran maalim salmin pmj na babu yetu mzee sudi uwe unamtafuta sana Hugo mzee wetu ili atufahamishe zaidi wajukuu zake shukran maalim salmin. Shukran mzee sudi .shukran AL Fatah maa sha Allah
Uo mto ulikua una upana gani na ulijengewa pembeni ,na pembezoni mwake mlikuwa hamna miti na kuendea malindi uliishia wp na watu walikuwa wanaruhusika kuogolea na kima chake kwenda chini kina urefu gani?