Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii: / simulizinasauti / simulizinasauti / simulizinasauti / simulizinasauti
Bado naendelea kuwa kumbusha hamakala fikirieni kuyakusanya sehemu moja Kisha muchapishe kitabu mukiuze kitabu kimoja 10000 , pia itapendeza cover ya kitabu 📚 iwe hiyo hiyo picha ya makala 360 , maana itafika kipindi teknolojia itabadilika huwenda mkaooteza hizi record lakini mkihifadhi kwenye kurasa itadumu , tafadhali fikirieni. Kwa kumalizia huyo jasusi yupo kwenye movie 🎥 au sires iitwayo. the black list
Acha ushamba wewe siutengeneze vya kwako nyie ndio wale waafrika kila kitu mnauza ...njaa itakuua ww ..tumepewa Bure hapa ingekuwa ww na akili yako maji ungeuza ...Sasa chapa vya kwako acha ushamba sjui kabila gan ww.
@@magretangel5242haya ndio madhara ya kupenda vitu vya bure bure , wewe unayependa vitu vya bure utasikiliza RU-vid na Mimi ambaye nipo tayali kuwachangia SnS nitanunu. Alafu ukisikia marafiki mzigo ndio ndio wewe.
@@magretangel5242 Ww pia kichwa yako haina kitu.....apa hujapewa buree bundle unalotumia ndyo PESA yenyew unayolipiaa..." imebadlika kutoka kwa karatas ya fedha mpaka kwa digital curency
@@magretangel5242yeye ametoa maoni tu, haina haja ukashifu mpaka kabila lake, kua na hekma soma comment yake vizur. Kuchapisha vitabu ni moja ya kukuza uchumi na kutoa ajira. Na serikali nayo itapata kipato chake apo kwa vitabu. Na pato ilo litakuja tena kwa wanaichi. Kuna barabara matibabu madawa shule na hali kadhalka
Urusi wasidhani wamarekani wamepigwa ,ukute ni mbinu zao wamefanya ili snowden akaichunguze urusi kwa ukaribu zaidi,mzungu ana akili sana ukizingatia huyo jamaa ni very smart .urusi ameliwa hapo
Wazungu si wanawaletea 5G Tunachekelea 😂 Mzungu Sio Auntie Akoo Weeeh angalia Simu Yako Inao Mic Mbili juu na Chin, Battery n ndan kwa ndan Owky Amna Shida
Geofrey umeona eeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwa sababu Kwa akili za kawaida tuu ,haiwezekani mtu kuharibu kazi tena anajua kabisa kuwa ni HATARI Kwa usalama wake Kwa kufanya hivyo na Hana kichaaa chochote mhhh.
Kiukweli, jinsi tunavyo zidi kutumia technologia hasa kuingia kwenye internet, social media sijui smartphone... Tunazidi kujiweka hatarini... BASI tu huu ukweli watu mnapingaga tu... Eti mnatafuta hela online... Haya bana..
@TikTok_afro Akili yako ndo ipo slow..Sasa si Kungekuwa hakuna haja ya watu kusoma au kujifunza historia ya mambo kadha wa kadha ya nyakati za nyuma. Sasa wewe umekujaje ku komment kama umeona historia ya Snowden ni ya toka mababu..Unajifanya unajuaa huenda leo ndo umeenza kuisikia na nauhakika umesikiliza mpaka mwisho..😅😅 NDEZI kweli wewe..