Fumua kwanza mh. Makonda kituo cha Murieti usiache hata askari mmoja pale na tnakuomba sana utembelee uone na wananchi watakueleza wenyewe kwenye mkutano wako wa hadhara usiache plz
Ingekuwa poa zaidi kama tukifahamishwa hizo hela zinatoka wapi. Tusiwachanganye watu hapa kuwa baba anatushishia. Formula ya fedha na utajiri ni kufanya kazi