Тёмный

HOUSE GIRL EP 22 || love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 137 тыс.
50% 1

#bongomovie

Кино

Опубликовано:

 

25 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 825   
@busatitv
@busatitv 14 дней назад
*JE UPENDI CHAT ILA UNATAMANI KUPATA LINKS KWA GROUP?* Usijali sasa tumekusaidia njia Mbadala ya Wewe kupata Links kwa wakati bila kupata usumbufu wa Chat 1. Tuna Group maalum la links. Group hili la Links tumelifunga ni admin pekee ndio utuma links za episode mpya hivyo hata ukiwa hauupo online unaipata link kwa wakati. Bonyeza maandishi ya blue kujiunga group letu la Links pekee. Pia tunatuma na links zetu za movie nyingine 👇🏻👇🏻 chat.whatsapp.com/Jf3PLbJkKbTLEiNFD1aJ3o Lakini pia tuna WhatsApp Channel... Hii itakusaidia zaidi kupata habari zetu zoote bila usumbufu wa aina yoyote. Na hakuna Mtu ambaye anaweza kukuona kama ume follow WhatsApp channel yetu 👇🏻👇🏻 whatsapp.com/channel/0029VaEXYzkEVccPBP347F2c *KARIBU BUSATI TV BURUDANI BILA KIKOMO*
@mvinyo99
@mvinyo99 13 дней назад
Natak group la kuchts na mamb mengn
@FatmaRajabu-qv2yv
@FatmaRajabu-qv2yv 13 дней назад
❤❤❤❤
@mvinyo99
@mvinyo99 13 дней назад
@@FatmaRajabu-qv2yv fatumaaa vipi join kweny hiyo link afu tafta namba yang jina naziri99 unicheki sawa
@user-gs4no7sm1x
@user-gs4no7sm1x 12 дней назад
movies ina nitowa machozi jamani
@user-se1qc5mx4o
@user-se1qc5mx4o 7 дней назад
Nawapenda kinoumar xan axeeeeh.aaaaaiiiiih
@Vivianmusiega
@Vivianmusiega 14 дней назад
Wakenya tuliotazama tokea episode 1 nipeeni likes😘
@Riziki-ek3ko
@Riziki-ek3ko 14 дней назад
Tupo wakenya😂😂
@RehemaFabian
@RehemaFabian 14 дней назад
Wakenya mpo kumbe nkajua mnaandamana😊
@Mwanajaa
@Mwanajaa 14 дней назад
❤❤❤❤❤
@JoyJoy-ie8dp
@JoyJoy-ie8dp 14 дней назад
❤❤❤
@scolas3134
@scolas3134 14 дней назад
Maandamano hatusahau ​@@RehemaFabian
@Norah-dee
@Norah-dee 14 дней назад
Wanaotaka candy apewe talaka ni wng tujuane 😂😂bhn candy goo
@user-hq1rn2zi8i
@user-hq1rn2zi8i 14 дней назад
Awe kichaaa
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w 14 дней назад
Kendi aendee
@maysaghjii5058
@maysaghjii5058 14 дней назад
Muongo ww
@maysaghjii5058
@maysaghjii5058 14 дней назад
Mume kakushinda wendaroga
@youthmediatv1
@youthmediatv1 14 дней назад
Nataka candy atembeee hana lolote
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
Kama unahiman kama bib zuuh atamasaidia zuuh asipate uchizii tujuane kwa like zakutosha ...😂😂😂😂😂❤❤❤
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
😂😂😂😅
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
❤❤❤
@user-gr8sf8jz3k
@user-gr8sf8jz3k 14 дней назад
atapitia tu lakini atapona nawaza tu lakini 😂😂😂
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
Ngoja tuone ila inaonyesha kama atapata uchiz
@JackrenEmanuel
@JackrenEmanuel 14 дней назад
Kwa kwel 😂😂😂
@user-bp6br5yo1l
@user-bp6br5yo1l 14 дней назад
Anoniamini kuwa candy utamrejea uchizi na talaka juu anipe like basi
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c 14 дней назад
Mwanzo hayo ndio maombi yngu umpate mwenyewe ndio akachekelee chooni
@RizikiZiki
@RizikiZiki 14 дней назад
😂😂😂😂😂​@@user-xo7ns7bc8c
@user-eb2me3xn1l
@user-eb2me3xn1l 14 дней назад
Candy uchiz unakurejea
@user-fk7sw1iu9g
@user-fk7sw1iu9g 13 дней назад
Sahihi
@sadequeentyra8513
@sadequeentyra8513 14 дней назад
Wanawo kimbiliya kusoma comment kama Mimi naombeni like apa😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s 14 дней назад
😂😂
@stelajana9487
@stelajana9487 14 дней назад
@zaitunibendera7988
@zaitunibendera7988 14 дней назад
😂😂😂😂
@nipaeliombeni4729
@nipaeliombeni4729 14 дней назад
Nip apa
@user-bf3ij2ie5k
@user-bf3ij2ie5k 14 дней назад
Zuu ako na kinga nyie bibi yake kiboko hahaa
@Asma-hn1jk
@Asma-hn1jk 14 дней назад
Team kai atuna baya km unaamin bibi zuu atamsaidia zuu asipate uchzi tujuane❤❤❤❤🎉🎉
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 14 дней назад
Ww asma umekopi commenti yangu ila big up sana
@user-xr1ru9li5t
@user-xr1ru9li5t 14 дней назад
Naomba mungu mabaya ya mganga yasimzulu Zuu na huyo Baba wa Kai
@lydiahkalume7195
@lydiahkalume7195 14 дней назад
Mm nae n wa pili kucoment leo msininyime likes team strong
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 14 дней назад
❤❤❤
@lydiahkalume7195
@lydiahkalume7195 14 дней назад
@@coolboymicky3651 ❤️
@johariabdalla3099
@johariabdalla3099 14 дней назад
❤❤
@JumaAmani-uh4vq
@JumaAmani-uh4vq 14 дней назад
Afadhali mana leo nnaona house girl ya mchongo kama umeyiona tujuane plz kwa like 😂😂😂
@UmmyZakiah
@UmmyZakiah 14 дней назад
😂😂😂kumbe tumepigwa wengi
@Saumu-vr4bc
@Saumu-vr4bc 14 дней назад
Mmeona eeeee😂😂😂
@JumaAmani-uh4vq
@JumaAmani-uh4vq 14 дней назад
@@UmmyZakiah wallah nimeudhika sana watu tena wana tuma link kwa grp
@JumaAmani-uh4vq
@JumaAmani-uh4vq 14 дней назад
@@Saumu-vr4bc sana tu sandio nn busatitv kuacha watu watume link zao kwa grp yetu
@JumaAmani-uh4vq
@JumaAmani-uh4vq 14 дней назад
@@Saumu-vr4bc webwana we
@Rehemajumanne-qy5mk
@Rehemajumanne-qy5mk 14 дней назад
Mpumbavu mwenzang ana mke mzur❤❤❤❤❤
@JudyDee-dt2fe
@JudyDee-dt2fe 14 дней назад
Wauuu wapi likes zangu ❤❤❤ leo nimekua wa pili wadau msininyime😢😢😢 nipee ata 5 tu,😊 team zuuu mko wapi
@alexjapheth2698
@alexjapheth2698 13 дней назад
Mambo cutie
@FestusJuvinary
@FestusJuvinary 14 дней назад
Kai maneno yamurudie anayo taka kufanyia zuhuuuu au mnasemaje wadau apo.
@user-zm8wo1ue7e
@user-zm8wo1ue7e 14 дней назад
Pamoja saaaaan 🎉🎉🎉
@user-tw6gb7xz5i
@user-tw6gb7xz5i 14 дней назад
Wakwanzaaaa jmn like ap kma unaikubali house girl
@Messia-ws4er
@Messia-ws4er 14 дней назад
Wadau team zuuuuh Mnaonaje kwa siku wawe wanaachia vipande viwili au mnasemaje🎉❤💪
@LoyceAyoub
@LoyceAyoub 14 дней назад
Waachiy vipande viwili maan Ina noga san
@irinemmasy8387
@irinemmasy8387 14 дней назад
Hata vitatu ikiwezekana
@HAJIKILINGA-ip8il
@HAJIKILINGA-ip8il 14 дней назад
Kwani ukiwa wa mwisho ndo atupati like 😢
@user-vb2co6cs9k
@user-vb2co6cs9k 14 дней назад
Nan anakumbuka episode ya 1 candy alimwambia zuu kuwa hatokuja kuionja ndoa maixhani mwake... Alafu leo anaangaika yeye maana anakalibia kuionja ndoa alaf yeye anakalibia kuitema😂😂
@user-mv1qs6vj1z
@user-mv1qs6vj1z 14 дней назад
Nakumbuka my
@IreneMwachaa
@IreneMwachaa 11 дней назад
Ni hatar
@KhadijaAbdully
@KhadijaAbdully 14 дней назад
Wakwanz jmn leo nipen like
@user-is8om2nk8k
@user-is8om2nk8k 14 дней назад
Team strong mkuje huku kumenoga tupunguze stress za waiguru na waititu
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi 14 дней назад
Tupo kipenzi ❤
@LatiffahHassan
@LatiffahHassan 14 дней назад
@@Marim-sj7oitup wng❤
@MaryamMaryam-ru1qt
@MaryamMaryam-ru1qt 14 дней назад
Hahaha kila cku waiguru wana2pa stres ila mi nikiangaliaga movi kma hzi huwa zinaniliwaz xna
@LatiffahHassan
@LatiffahHassan 14 дней назад
@@MaryamMaryam-ru1qt uko kama mm kbs
@ummyjux
@ummyjux 13 дней назад
kweli😅😅😅
@MoureenTendwa
@MoureenTendwa 14 дней назад
Mm sipo hapa Kwa sababu ya like lakini ngonga 10 pekee kama Kai anabamba😂😂
@Protais-Tv
@Protais-Tv 14 дней назад
Watu wa Burundi 🇧🇮 munipe like❤
@oman1oman179
@oman1oman179 14 дней назад
Tupo kama kawa❤❤❤
@NijimbereTeojene-uf8ns
@NijimbereTeojene-uf8ns 13 дней назад
Ok
@Queengifton
@Queengifton 14 дней назад
Niko dani mm watatu kwa comments plz team zuu naomba like plz apa ndo nilifika karibu nifunjike migu nikitorokea vifaranga za waiguru 😅😅😅😅😅😅team single ma am proud to be single ma mapezi shikamoooo
@brayoomontana5011
@brayoomontana5011 14 дней назад
Mm wa pili kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 let's take it to the 🌍🌎 nipeni likes
@user-cg8ti1re1t
@user-cg8ti1re1t 14 дней назад
mm naona huu uchizi utamrudia mwenyewe huyu candy🎉🎉🎉 munipee like bx
@user-wk2lm2ud3u
@user-wk2lm2ud3u 14 дней назад
Kesho asubuh tuamke na nyingine tamu sana🎉
@tausimct
@tausimct 14 дней назад
Nawakubali sana hamna baya like kama zote❤
@zainabumtego5873
@zainabumtego5873 14 дней назад
Mpo chapu wapenzi wangu hatarii wapi team zuuuh
@JacobKonyelo-sb6ln
@JacobKonyelo-sb6ln 14 дней назад
Kazi nzuri tumeipokea ❤ likes 👍 zangu kutoka Kenya 🇰🇪
@SalomeNkwabi-jy4nu
@SalomeNkwabi-jy4nu 14 дней назад
Candy hao waache mama huwawezi 😂😂😂like kwa bibi zuuu na baba kai❤❤❤
@sanunimnene
@sanunimnene 14 дней назад
❤❤❤
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 14 дней назад
Huyu bibi wangapi tulimwona kwa boss mchawi,tena kwa wrong house alionekana na sahii hapa kwa house girl bibi mzuri kazi yake nzuri I really love you guys ❤❤ keep it up
@EstherSidi-n5t
@EstherSidi-n5t 14 дней назад
Mm wa sita naomba like pia mm😂😂😂😂😂
@user-wp7uk5mb1m
@user-wp7uk5mb1m 14 дней назад
Wa kina burundi tunatazama hii mtupe like❤❤❤
@kihongolebaby-ku6vl
@kihongolebaby-ku6vl 14 дней назад
Mh mganga anaimba kihehe eti iyenA😂😂😂😂
@user-hl4yc8ul2r
@user-hl4yc8ul2r 3 дня назад
Wahehe ndo tumeelewa😂😂
@Marem-xu5xx
@Marem-xu5xx 14 дней назад
Namm Léo nimewayi😂😂❤
@jacklineshayo3962
@jacklineshayo3962 14 дней назад
Jmn nmechelewa lakin naomben at likes 10 ty. Kwa niaba ya busat tv🎉🎉mambo n 🔥🔥
@HabibaBakari-u1x
@HabibaBakari-u1x 14 дней назад
Iko vizuri wapenz ila Leo Niko happy kwajili ya zuu ❤❤😂😂
@user-cz2um1ti2g
@user-cz2um1ti2g 14 дней назад
One love from kigoma 🎉🎉🎉🎉🎉
@zuleykhasaid967
@zuleykhasaid967 14 дней назад
Ewaaaaaa Mambo ndo haya bhna 🎉❤❤❤❤kwa wote
@user-el3kf5uo2u
@user-el3kf5uo2u 14 дней назад
Jmn kwani namimi mukinipa like mnakifaa 😢😢
@BiterAthon
@BiterAthon 14 дней назад
Kwanza nimefurahia hii kitu inapoelekea ni patamu kuliko inapotoka wew bibi nimekuoenda bure♥️♥️👍👌🙏
@user-yd6xh1mr1k
@user-yd6xh1mr1k 14 дней назад
Naipenda hii movie nimeisambasaza kwa rafiki zangu walagh wameikubali❤️❤️❤️
@user-qv4kw4bq1s
@user-qv4kw4bq1s 14 дней назад
Nawapenda mnawahisha move mpak rahaa
@sadahamad6158
@sadahamad6158 14 дней назад
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 team zuu tupo chonjo
@hadejamohammadi9824
@hadejamohammadi9824 14 дней назад
ALIHAMDULILAH Leo wa kwanz ❤❤❤❤
@ministerlightnessrobert5342
@ministerlightnessrobert5342 14 дней назад
Na mimi Leo wakwanza naombeni like zenu tunao mkubali kahi
@NiyoFrancine
@NiyoFrancine 14 дней назад
Wa5 na like zenu sizitaki 😂
@user-hb2nn6ud2d
@user-hb2nn6ud2d 14 дней назад
Hahaaa nan mwingine kaskia mganga anaimba kiha❤❤❤
@mumfaraji5034
@mumfaraji5034 14 дней назад
Sasa House girl na kenya kuangamia inahusiana vipi kwamfano,tafuteni like kwakujadili thamthilia bana
@saydathyhakizimana9348
@saydathyhakizimana9348 14 дней назад
Asante Dj ❤🇧🇮🇧🇮
@LassonDominick
@LassonDominick 14 дней назад
Wale wenye wapenzi wenye mahaba tukutane apaaaa🎉! Ninapenda mahaba hadi nazimiaa!!! Naomba nitafte baby anicheki kweny comment please namhitaji😅😅😅 am sirious please
@irenestephen399
@irenestephen399 14 дней назад
Subiri candy anakaribia kuachika umchukue mpeane mahaba na si alisema kazi anayoweza ya kitandani tu 😅
@LassonDominick
@LassonDominick 14 дней назад
​@@irenestephen399Aweeeee! Hy anaweza kunichapa makofi weeeee simtaki
@eunice1808
@eunice1808 14 дней назад
Wakwanza naombeni likes zangu please
@PillysalimSengo
@PillysalimSengo 14 дней назад
wa pili jmn nimepni ata likes 10
@alexjapheth2698
@alexjapheth2698 13 дней назад
Wakenya wenye tunafyatilia tupeni like sisi jamani
@user-cy2rb4pf7e
@user-cy2rb4pf7e 14 дней назад
Leo nimekua wa kwanza kutoka mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@HappyJohn-zw5lu
@HappyJohn-zw5lu 14 дней назад
Oyooo nimewahi❤
@phorahmahaza638
@phorahmahaza638 14 дней назад
Nafuata nyayooo jmn 😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 14 дней назад
Mungu wangu zuuu anakua cizi ndomana bibi macale yame muceza sana maskini Candy unajisumbuwa zuuu atapona na bb mkwe atanusurika insha Allah yamekushinda mwenyewe sasa unaanza kutapatapa
@SalamayahayaJuma
@SalamayahayaJuma 14 дней назад
Waoooh leo nimekuwa wa kwanza hongereni sana busati tv movie nzur sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 14 дней назад
Enjoy❤
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg 14 дней назад
Hongera kai na wengine wote sooo nice move
@Saidy-eu1hc
@Saidy-eu1hc 14 дней назад
From oman naombeni likr
@Phanny-Nyonge
@Phanny-Nyonge 14 дней назад
Napenda pace yenu jamani... mnaachilia episode on time, hamtuweki❤❤ Big up sana wakuu💪💪
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w 14 дней назад
Kendy must gooo from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SalamaNtazigaya
@SalamaNtazigaya 14 дней назад
Laaa 😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@khadegaseed1413
@khadegaseed1413 14 дней назад
Me nauliza 2 izo nywele za cendi tok nianze kuifatia hii movei cjaon kufumuliwa😂😂
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 14 дней назад
😅😅 kwery rabuda anafumuwa arafu anasuka tena
@aishaomar2287
@aishaomar2287 14 дней назад
Kope nazo😮
@DamianoFisoo
@DamianoFisoo 13 дней назад
Kope ka za shetani. Mkali zuu na twende kilioni zake Kuna cku anabadili
@esterester3628
@esterester3628 14 дней назад
Candy Mapenzi hayatafutwi Kwa waganga dadangu jirekebishe uishi vizuri
@renatharjames2186
@renatharjames2186 14 дней назад
❤❤❤Jamani Nimekua wa6 mie
@busatitv
@busatitv 14 дней назад
😢😢😭😭😭🙏🙏🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JumaAmani-uh4vq
@JumaAmani-uh4vq 14 дней назад
@@busatitv 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪
@friconahndanu2746
@friconahndanu2746 14 дней назад
Kenya tuko pamoja ila tunaomboleza but God is with us,
@leahnyaguthie4175
@leahnyaguthie4175 14 дней назад
​@@friconahndanu2746 we will over come the battle 😢😢😢
@user-ql7to3rm3p
@user-ql7to3rm3p 14 дней назад
@@friconahndanu2746 Tumuamini Mungu watu wa kenya 🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
@LeilaAdija
@LeilaAdija 14 дней назад
Daaah zuu jmn pole Ila usijal utavuka❤❤❤
@rosesyombua4100
@rosesyombua4100 14 дней назад
Wa pili Leo ❤❤❤
@AliceBensoni
@AliceBensoni 14 дней назад
Huo uchawi anaorogea wenzie na umrudie yeye mwenyew
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c 14 дней назад
Kabisa
@AliceBensoni
@AliceBensoni 13 дней назад
@@user-xo7ns7bc8c ngoja tuone
@MaryGeorge-bw1yn
@MaryGeorge-bw1yn 12 дней назад
Malaika ako so cute, en black beauty 😍
@floramacheva5855
@floramacheva5855 14 дней назад
Yani huku watu hamjelewi😂😂😂eti ndio nimejaribu lkn wapi, naomba plans za candy zizame asifaulu kwa lengo lake
@PendoRobert-ph6ux
@PendoRobert-ph6ux 14 дней назад
Mm wa Kwanza 😘
@Jacintah681
@Jacintah681 14 дней назад
Waaaah but zuu awez kuwa chizi in the name of jesus
@SmilingBoombox-qk5uo
@SmilingBoombox-qk5uo 14 дней назад
Leo mmumeweza mm na familia filamu hii nikiwa kenya
@MarrySalama
@MarrySalama 14 дней назад
Waaah kwenye kwaenda nikubaya😢😢😢
@husnabilali3099
@husnabilali3099 13 дней назад
Kila mtu wakenya wakenya bx na cc wazungu tupeane like apa niwajue wazungu wenzangu😂😂😂
@user-hq1rn2zi8i
@user-hq1rn2zi8i 14 дней назад
Busati tv 🎉🎉🎉🎉🎉 chukueni maua yenu 1 ❤
@Kibumpenda
@Kibumpenda 14 дней назад
Haibu sawa mbona zuu😅😅😅
@JantyMoh-oo6gf
@JantyMoh-oo6gf 14 дней назад
At least leo nimefika mapema kidogo show me your love am from kenya🙏❤
@JabuMohd
@JabuMohd 14 дней назад
Hii movi haish hamu honger kw utunz
@user-us4dx7ok5v
@user-us4dx7ok5v 14 дней назад
Waaah nawapenda sana mnafanya kazi ipasavyo ❤❤❤❤❤
@rukiamohamed2884
@rukiamohamed2884 14 дней назад
Tamthilia nzuri Ila mganga hapo kwa alamtara hujafanya Sawa heshimu maneno matukufu na kuyafanyia kejeli tafadhali🙏... I came in peace
@busatitv
@busatitv 14 дней назад
🙏🙏
@zix847
@zix847 12 дней назад
Mpumbavu mwenzang Ana mke mzur❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@busatitv
@busatitv 12 дней назад
❤🥰🥰
@shukransadala
@shukransadala 14 дней назад
me wa 5
@VioletGerald-dl9wr
@VioletGerald-dl9wr 14 дней назад
Waaaa muvie tamu jaman daaah kama unaamini gonga like hapa
@qasimsef
@qasimsef 14 дней назад
Watatu Leo maskini 😢
@fatumabakari2640
@fatumabakari2640 14 дней назад
Nimewahi daa thuuu wa kwanza jamani munipe maua yangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂
@MariahJuliuss
@MariahJuliuss 14 дней назад
Tunao taka candy uchizi umludie tujuane 😅😅😅😅😂😂😂😂❤❤❤
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 14 дней назад
Kiramba mchuzi mke wako yup vizur balla mungu akuweke kabis kiramba mchuzi mbambavu mwenzangu 😂😂 umejua kuchagu mke kai nimepend hvyoo
@REHEMANYEMBO
@REHEMANYEMBO 12 дней назад
Team zuu msiogope bibi atamsaidia zuuu wetu😂😂😂
@Mariamuthoni-kh9vv
@Mariamuthoni-kh9vv 14 дней назад
I just like the way you listen to our complain thanks kutuwekea movie mapema
@busatitv
@busatitv 14 дней назад
❤❤❤
@AgnesAndrea-yi7ug
@AgnesAndrea-yi7ug 14 дней назад
Lazima apate kichaa na aweze kwenda kwa bibi ake apo ndo atasaidika na mchezo ndo unaenda kunoga wap zuuu😂😂❤
@salmamwakabutama
@salmamwakabutama 14 дней назад
Kumbe bibi mnyakyusa bhana😂😂
@JaelMkamburi
@JaelMkamburi 14 дней назад
Kazi nzuri sana 🎉🎉❤
@user-eg2wo2cj6q
@user-eg2wo2cj6q 14 дней назад
Sijui kwa nn nachelewa Kila siku❤❤❤❤❤❤
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 14 дней назад
Tatz dakk jaman
@user-md6cj5ii3h
@user-md6cj5ii3h 14 дней назад
Kukooo motoooo ... Bibi ya zuui fbya jambooo....🎉🎉🎉🎉team strong mpoooooo..
@denisgakuru7392
@denisgakuru7392 14 дней назад
Wow ...nice one Kenyans in the house ❤❤❤❤
@lucasmollel4919
@lucasmollel4919 14 дней назад
❤❤❤❤❤❤
@abelymzumbwe
@abelymzumbwe 14 дней назад
Jamani taratibu tutaganyagana😂😂👏
Далее
HOUSE GIRL  EP 23 || love story💞💕
18:37
Просмотров 140 тыс.
🤯 #funny
00:20
Просмотров 2,6 млн
HOUSE GIRL  EP 39 || love story💞💕
19:52
Просмотров 14 тыс.
WRONG HOUSE full episode 13
3:34
Просмотров 2 тыс.
SNAKE BOY | ep 27 | SEASON TWO
32:35
Просмотров 419 тыс.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /12/ #love
32:35
Просмотров 311 тыс.
MAPENZI YANAUMA | Full Movie
42:04
Просмотров 98 тыс.
HOUSE GIRL  EP 38 || love story💞💕
21:43
Просмотров 79 тыс.
game paling lucu🤣
0:43
Просмотров 32 млн
#фильмы #фильм #кино
0:58
Просмотров 833 тыс.
game paling lucu🤣
0:43
Просмотров 32 млн
Prank pengantin baru😂
0:19
Просмотров 20 млн
The 100 #Show
1:00
Просмотров 10 млн