Тёмный

HOUSE GIRL EP 29 || love story💞💕 

BUSATI TV
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 117 тыс.
50% 1

#bongomovie #housegirl

Кино

Опубликовано:

 

1 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 748   
@Christineedelase-vl8bi
@Christineedelase-vl8bi 3 дня назад
Mwenye ako na roho kama a baba kai kwa kupenda zuu like zetu 🎉
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 3 дня назад
Hii tabia yakuomba like kilasiku muache,mwataka kuzipekeka wapi😮😮
@busatitv
@busatitv 3 дня назад
😭
@ratifadidawachambekassimu4497
@ratifadidawachambekassimu4497 3 дня назад
Kwakweli
@DoreenOmmy-gw3op
@DoreenOmmy-gw3op 3 дня назад
😀😀 nawashangaa baada waongelee kuhusu movie wanaomba like
@khadegaseed1413
@khadegaseed1413 3 дня назад
Labda watak watie nazi wale
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 3 дня назад
@@DoreenOmmy-gw3op hawajui wengine tuko darasani
@BibiMohamed-zg5gp
@BibiMohamed-zg5gp 3 дня назад
Aibu itamtokea candy nipen likes
@UkhtyDeyder
@UkhtyDeyder 3 дня назад
Yani Kuna watu Wala hawatazamiii move wKifika tuuu nkuomba like mnakera
@JacksonNgari-fs2qt
@JacksonNgari-fs2qt 3 дня назад
katika maisha wanao juwa kuwa maisha nini na hiki kipind kinatufunza nini jama tusome vizur tuwache tamaa penz lakufos kudharau mtu na uhuni Kama chakufunza Kama mmi plz nawaomba mujitokeze yoto kwa like 5 tu
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 3 дня назад
Kabisa
@busatitv
@busatitv 3 дня назад
🙏🙏🙏
@user-fy4fo5yx2b
@user-fy4fo5yx2b 3 дня назад
Kabisaaa tusichukuliee poaa hii house girl inatufunza
@Mwashashaali
@Mwashashaali 3 дня назад
Usiŵe mwema kwa kila mtu
@Mwashashaali
@Mwashashaali 3 дня назад
Kwl
@Irine-o7m
@Irine-o7m 3 дня назад
Wakwanza jaman kutoka Saudia naombeni like zenu ❤❤ daa zuu amekuwa sawa mashaallah ❤
@JacklineAlistides
@JacklineAlistides День назад
Aya ongera nshakupa like
@MauaSaid-t4b
@MauaSaid-t4b 3 дня назад
Leo nimechelewa nawapa hi nyote tunaefatilia movie hii yenye kutufundisha mambo yaliomo humu duniani ❤movie za kiswahili ndio fahari ya mtanzani 👋kazi nzuri 💪anaeniunga mkono like kwa sama mideko😊
@user-mq3zd9vk2p
@user-mq3zd9vk2p 3 дня назад
Yaan 2min tayari watu mpo haya n mm naombeni like n mm bc ❤🎉🎉🎉
@IshakaMachanoMakame-sb2xx
@IshakaMachanoMakame-sb2xx 3 дня назад
Jaman zuuu amerudi Tena like kwa anaemkubali zuuu jaman
@busatitv
@busatitv 3 дня назад
🥰🥰🙏🙏
@AggyGaredy
@AggyGaredy 3 дня назад
Pumbavu zenu mbwa mm hii SASA imezidi oooh mm wa kwanza naomba like , like za nyoko mnakera sasa duuh😐😾
@MaryMbithi-nw5sr
@MaryMbithi-nw5sr 3 дня назад
Nimefufuka sasa kuona house girl mwezangu ajafa congrats busati🎉🎉🎉🎉love from Kenya 🇰🇪 💖 pongezeni movie acheni kuomba likes mnapeleka wapy likes jamani
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj 3 дня назад
Tunaofuatilia kazi ya busati tv gonga like
@busatitv
@busatitv 3 дня назад
🙏🙏
@user-bb6oy5dl6y
@user-bb6oy5dl6y 3 дня назад
@@busatitv kazi Nzuri hila jamani muwe mnatuwekea ep mbili kwa siku
@user-bb6oy5dl6y
@user-bb6oy5dl6y 3 дня назад
@@busatitv one love from 🇦🇺🇦🇺
@rahelmhezi
@rahelmhezi 3 дня назад
Kazi nzr sana❤
@user-xi2yv4nc7h
@user-xi2yv4nc7h 2 дня назад
Fatuma❤​@@busatitv
@millicentwairimumuriuki8638
@millicentwairimumuriuki8638 3 дня назад
Jamani dada zangu na ndugu zangu naomba like
@EsterJaydan
@EsterJaydan 3 дня назад
Kachukue uliko ziweka,,,,,, like like like
@besuramahenge6032
@besuramahenge6032 3 дня назад
​@@EsterJaydankabisa akachukue alikoziona
@Ummyrahy6666
@Ummyrahy6666 3 дня назад
Ufanyie nini hzo like
@dorisdo3418
@dorisdo3418 3 дня назад
Huu ujinga c mwache
@rukcabby2572
@rukcabby2572 3 дня назад
​@@dorisdo3418kuacha nayo sidhani wataacha
@Chimamy-lv1eq
@Chimamy-lv1eq 3 дня назад
Mashallh tabarak Allah mungu awazidishie heri kwenye kazi nyenu❤❤❤❤🎉🎉🎉
@IshakaMachanoMakame-sb2xx
@IshakaMachanoMakame-sb2xx 3 дня назад
Tushakupea like naomba na mim bas jemani
@user-gc7xt5sf7q
@user-gc7xt5sf7q 3 дня назад
😂
@mariammohamedi7761
@mariammohamedi7761 3 дня назад
Jaman like zenu jmn wanabusati nawapenda
@MichaelMpwaga-wi7sb
@MichaelMpwaga-wi7sb 3 дня назад
Imekuwa vema zuu kuwa mzima wa afya njema tena mzima wa afya hajafa natumai muda mfupi hali ya uchawi wake utaisha na ndoa itafungwa dhidi ya kai,like zenu jaman nimekuwa wa kwanza
@ZabibusuphianialisuphianiAlly
@ZabibusuphianialisuphianiAlly 3 дня назад
Jamani waomba like punguzeni monkali hee hizo like mnakula ama badala mtoe maoni wapi panahitaji marekebisho nyie like tu mnaboa 😂🎉🎉🎉🎉❤
@user-bm2tq8kk8h
@user-bm2tq8kk8h 3 дня назад
Siyo mnaomba like2 naombeni patr 30 hapa Niko vay
@dorothykibet7690
@dorothykibet7690 3 дня назад
Watu wangu tunaopenda house girl weka like hpa
@macrinafuraha-zg3mi
@macrinafuraha-zg3mi 3 дня назад
Wooow nimewahi ata mm leo naomba likes aya njooni mnipige 🙄🙄🙄🙄😂🤭🤭🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️kenyan girl
@user-wj6yt7sz3n
@user-wj6yt7sz3n 3 дня назад
Wangap mnanamkubali zuu gonga like hap🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DamarisDammie
@DamarisDammie 3 дня назад
Ogopa mapenzi yaaani Kai wanakula lkn Kai anafikiria zuuu naye kendi anafikiria mubaba mapenzi ww 😂😂😂 watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@busatitv
@busatitv 3 дня назад
🤣🤣
@gracemuusi3421
@gracemuusi3421 3 дня назад
Nakwabia 😅😅😅mapenzi shikamooo
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 3 дня назад
Huwez amini mm leo wa kwnz ,ila dakk jaman Jaman
@AmanIiShy
@AmanIiShy 3 дня назад
Tunao fuatilia kutoka Kenya like zangu bc
@barakahsylvester7911
@barakahsylvester7911 3 дня назад
Me nilisema toka mwanzo yaani hawa urafiki wao mwisho wake utakua mbaya....😂
@adelinaomani9012
@adelinaomani9012 3 дня назад
Mngekuwa mna sabusraib basi angekuwa ashafikisha milion juu kuna wanao omba like hapa na hawaja subscribe
@user-ei6sq6li5u
@user-ei6sq6li5u 3 дня назад
Lini zuu na kai watafunguliwa jaman,nazidi kumhurumia zuu,kama nà wewe wataman wafunguliwe like hapo hata tano tu
@user-yd6xh1mr1k
@user-yd6xh1mr1k 3 дня назад
Watu kuomba like tu hata hawajatixama movie
@AlatwiklaNjiku
@AlatwiklaNjiku 3 дня назад
Jamn na me leo nimewah naomben like hata kumi
@abdulabdulally6265
@abdulabdulally6265 3 дня назад
Anae sema cendy anamimba gong like
@pur-ple-girll-304
@pur-ple-girll-304 3 дня назад
Hii ndio comment yenyew nilikuwa natafuta
@ZaituniAbdallah-pz2iy
@ZaituniAbdallah-pz2iy 3 дня назад
Namab 1 nipeni like 👍
@user-zq3eh6xi3r
@user-zq3eh6xi3r 3 дня назад
Ndio nimetoka kutoka hamam ya waiguru pia mimi Leo naomba like ata kumi❤❤
@JohnjobMilimo-nx9kh
@JohnjobMilimo-nx9kh 3 дня назад
wa kwanza jamni naombeni like zenu
@KRr-gn7fu
@KRr-gn7fu 3 дня назад
Tumeomba muwe mnatoaga vipande viwili viwili 💛💛💛
@MariamIddy-ve8eh
@MariamIddy-ve8eh 3 дня назад
Kwani kilamtu anataka like nizanini hizolike ama ndiozinasababisha mb zisiende fasta😮
@user-xh7xf2ki3r
@user-xh7xf2ki3r 3 дня назад
Busati TV hongera sana nazidi kujifunza 🔥💐
@RobinaRob-ln3ij
@RobinaRob-ln3ij 3 дня назад
Wakwanz Mimi from Kenya nko gulf naomba like plz
@YusuphSabuli
@YusuphSabuli 3 дня назад
😢😢
@user-su5oi5wb6c
@user-su5oi5wb6c 3 дня назад
Jaman atimaye zuuu ameachiliwa uenda akapatana na bibi akasaindiwa😢😢❤❤🎉🎉🎉
@VeronicaIbrahim-wv4dg
@VeronicaIbrahim-wv4dg 3 дня назад
Kwanini watu wanapenda sana kuomba like
@user-ii1ym5fe7j
@user-ii1ym5fe7j 3 дня назад
Mama p natowa sapot tu sinaga haja ya kitu chochote toka kwanu ila mnipe mahaba ya move t
@rukcabby2572
@rukcabby2572 3 дня назад
🥰🥰🥰
@rukcabby2572
@rukcabby2572 3 дня назад
Atleast leo imechangamsha but juzi n jana ka mm nilikuwa sielewi ndivyo sivyo🤣🤣🤣
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx 3 дня назад
Sina baati ya kuwa wa kwanza kuomba like ❤😢
@HildaKasiwa
@HildaKasiwa 3 дня назад
Wakwanza mm from Kenya team strong nipeni like ❤❤
@Cuteeeee477
@Cuteeeee477 3 дня назад
Kuomba like tu kuposti move zenu aaaaah 😅😅😅
@joharyhamees6706
@joharyhamees6706 3 дня назад
😂😂😂
@NasmaAdam-jq6mj
@NasmaAdam-jq6mj 3 дня назад
😂😂😂😂😂
@hlimaa5182
@hlimaa5182 3 дня назад
Kilamba na mkeo nawapenda mno kwaukarimu wenu mbarikiwe sana hivyo ndo tapaswa kuishi kama binadam 😊😊😊furaha kwa kipenzi 🥰 changu zuu bado tuko naeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-tg7ol1io8c
@user-tg7ol1io8c 3 дня назад
Yni nyie jmn goja najua mm wakwanza jmn khaaa😂nipeni hizo like bc nimejitahidiii
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 3 дня назад
Ila candy umepanda viwango vya kuigiza, ungebaki Kwa mkojani ungefubaaa😅😅😅
@user-xv4br7jo6b
@user-xv4br7jo6b 3 дня назад
Toka nimeanza mfwatilia zuuh kwa Mara ya kwanza nimewahi leo naomba like zangu ata 10 tuuu❤❤❤
@maysaghjii5058
@maysaghjii5058 3 дня назад
Jamn zuu
@maysaghjii5058
@maysaghjii5058 3 дня назад
❤❤❤
@GloryShirima-vb7mp
@GloryShirima-vb7mp 3 дня назад
hizo like unapeleka wapii😅😂😅
@user-xv4br7jo6b
@user-xv4br7jo6b 2 дня назад
Nampa zuuh😂😂😂
@rehemashinsi
@rehemashinsi 3 дня назад
wa mwisho leo jamani like tafathali nipeni
@aishaomar9621
@aishaomar9621 3 дня назад
Baba ka i wanihurumisha kwkeli kai kakosa kuijuwa thamn y baba 😢 natamani kuita baba 😢 mungu amrehemu bbngu😢zuu pole san hatimae mizimu imkusaidia hukubakwa😢
@user-nh2ik7lw1t
@user-nh2ik7lw1t 3 дня назад
Number one tujuwane watu tunafkiaga k comments bil hatujaona 😂😂
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 3 дня назад
Muwaache tu wanao omba like washazoea like kupewa msi laum sana tume zoeshwa
@officialijang
@officialijang 3 дня назад
Fanyeni ivi ukiingia watu 100 wakwanza tupeane like utajikuta kila mtu ana 100
@busatitv
@busatitv 3 дня назад
🥰
@JumaAmani-uh4vq
@JumaAmani-uh4vq 3 дня назад
Wee nimekua wa kwanza leo sijui watu wameendapi au kurauka tu lkn ku like aaaah
@Mwanamwakaathumamwandekw-zb2fq
Hii busati TV naipenda sna mana awachelew wanaleta vtu on time ,mniachie japo ngp na mie ,❤❤❤❤❤
@NeemaDenja
@NeemaDenja 3 дня назад
Jaman na mmi naombeni laiki zangu
@Norah-dee
@Norah-dee 3 дня назад
Yaani huu mguu ni wako ww candy hatuachiki😂kilarihi leo itamwagika damu wakulungwa itikieni tawile mganga wenu nipo hapa ni mtibuu suu 🎉🎉 cheketu cheketu mahepe cheketu cheketu itikien tawile 🎉
@oman1oman179
@oman1oman179 3 дня назад
Tawile😂😂😂😂
@janekanini
@janekanini 3 дня назад
😂😂😂
@user-dy9ht1on7y
@user-dy9ht1on7y 3 дня назад
We
@NaomiEdward-ef2cp
@NaomiEdward-ef2cp 3 дня назад
wacha weeeee 😂😂😂😂
@user-hq8hx6sq7y
@user-hq8hx6sq7y 3 дня назад
Jamani sijapend ndomani mi sitak wap like kak kai wap mk ameshakulog ndoman hawuchuz vizur kwasas
@jannetkarisa1749
@jannetkarisa1749 3 дня назад
Wakwanza nipeni like zangu❤❤❤❤
@user-sk7un6ls2t
@user-sk7un6ls2t 3 дня назад
Ivi nani kaanzisha michezo ya kuomba like na zina faida gani😂😂😂😂😂😂😂
@FrolaAmosy
@FrolaAmosy 3 дня назад
😅😅😅
@user-sk7un6ls2t
@user-sk7un6ls2t 3 дня назад
@@FrolaAmosy hahaha 😂😂😂🙌
@user-ie8cu9vm6p
@user-ie8cu9vm6p 3 дня назад
Safi sana nawapenda nyote kwa kaz nzuri ❤❤❤❤❤
@rehemaomary1739
@rehemaomary1739 3 дня назад
Jaman nauza like bei nafuu😅😅😅
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj
@HusnaaAbdul-rahmaan-lu8uj 3 дня назад
Utamu unazidi 😂👍 am like 👏
@MILDREDANDISI
@MILDREDANDISI 3 дня назад
Wow zuu amepona
@floramacheva5855
@floramacheva5855 3 дня назад
Woow ❤❤❤ Zuu kafufuka 🎉, sasa niko na tumaini kuwa atapona 🎉
@FatmaAli-wr7mm
@FatmaAli-wr7mm 3 дня назад
Nmwah wa73 afdhari polen team zuu🎉🎉🎉
@busatitv
@busatitv 3 дня назад
🙏
@RosaVicenteMulota
@RosaVicenteMulota 3 дня назад
Kazi mzuri sana Mimi natazama nikiwa 🇲🇿
@user-ks9ui8td7y
@user-ks9ui8td7y 3 дня назад
wao kumbe zuu uko sawa🎉🎉🎉🎉❤
@Igra254
@Igra254 3 дня назад
Zuu kwake itakuwaje Kwa baba mkwena bibi wake aash mashaka juu ya mashaka ❤wapi likes za zuu
@user-ls7ww5fg3y
@user-ls7ww5fg3y 3 дня назад
Leo nmewai naomba like zenu jmni
@angelinemoraa3394
@angelinemoraa3394 3 дня назад
Wanaoamini Cha candy kii motoni nipitieni 😅😅 much love from kenya ❤❤❤
@user-gm5ci5ps2u
@user-gm5ci5ps2u 3 дня назад
Sjawah PATA like naomben hata kumi tu😢
@fettylove1561
@fettylove1561 3 дня назад
Ukioata inakusaidia nn
@user-gq4ui1jk9l
@user-gq4ui1jk9l 3 дня назад
Na kichaa kitamrudia candy weka likes
@LinahEdward
@LinahEdward 3 дня назад
❤❤❤❤❤❤ wanaompenda zuu like hapaa
@mamasalhat
@mamasalhat 3 дня назад
Munao omba like ndio nyie munao sumbua mtaani kuomba omba ela watu kila kukicha 😝😝 unaanzaje kuomba like kwani muna za I like zina uzwa?? Huwo ushambaaaa
@marthadaniel4904
@marthadaniel4904 3 дня назад
😂😂😂😂😂
@user-ni8eh1fv4q
@user-ni8eh1fv4q 3 дня назад
Waomba like jamani duu mmezidi 😂illah hii move nitamu sana ❤❤❤
@PendoChazi
@PendoChazi 2 дня назад
Jaman zuu kaludi❤❤❤❤aibu yao
@Igra254
@Igra254 3 дня назад
Nipeni hizo likes ❤ Kwa moyo wa furaha
@user-rz7hz6hz1i
@user-rz7hz6hz1i 3 дня назад
Nimefurahia zuuuh ajakufa🎉🎉
@magdalenapogwe4410
@magdalenapogwe4410 3 дня назад
Jamn hizo like mnakul😂😂
@JerryMwandambo
@JerryMwandambo 3 дня назад
Jamani me Leo nimewai naombeni like zenu
@MohamedMohamed-wc8im
@MohamedMohamed-wc8im 3 дня назад
Sasa tamthilia imefikia patamu...aise jamani msicheleweshe basiiiiii
@MwanamisiSuleiman
@MwanamisiSuleiman 3 дня назад
Nlikuwa nasubiria kwa hamu🎉🎉🎉🎉🎉
@Ummy-cr9nf
@Ummy-cr9nf 3 дня назад
Jamanii tuna kosaa usingizii masha allah mutafika mbalii
@zulekha-jv9rn
@zulekha-jv9rn 3 дня назад
Nauza like jamani atakae anitafute😂😂😂
@Lizdee_08
@Lizdee_08 3 дня назад
Leo nimewai nipeni hata likes kumi nitashukuru 🙏🙏🙏
@Jimmymj_Kenya
@Jimmymj_Kenya 3 дня назад
Hii Series Nimeipenda.Sana kiukweli...Nime download kutoka episode 1 mpaka Nikawafikia Nyote Sasa Ivi Nipo Nanyi kusubiri Episode 30.......wapi makofi ya Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@busatitv
@busatitv 3 дня назад
Umeanza kutazama lini?
@nishimweinglide4158
@nishimweinglide4158 3 дня назад
Mi wakwanza like zangu ❤❤pleas
@Jennysolange8989
@Jennysolange8989 3 дня назад
Woyoooh wa kwanza leo jaman❤😂
@user-qv7dm4ok6g
@user-qv7dm4ok6g 3 дня назад
Tujuwane mashabiki wenzangu
@abedysteven4930
@abedysteven4930 14 часов назад
Busat tv mnajitahd kwa movie nzur hongera kwenu!!🙏🙏
@NasraKingazi
@NasraKingazi 3 дня назад
Mungu awapeni uzima ili muweze kutufunza zaidnazaid
@user-el3gb1jp7t
@user-el3gb1jp7t 3 дня назад
Wamwish naomben like
@Essy1492
@Essy1492 3 дня назад
Muombe like Sasa mfyuuu😅
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 3 дня назад
Kabisa wanasinya
@rukcabby2572
@rukcabby2572 3 дня назад
​@@sifamaureen2792n like like ata MTU haezi TOA maoni😂😂😂
@HidayaMbodze
@HidayaMbodze 3 дня назад
😂😂😂😂bahati yake Kai ameleta zuu LA sivyo tungeandamana😂😂😂
@rukcabby2572
@rukcabby2572 3 дня назад
@@HidayaMbodze 🤣🤣🤣🤣mpk kieleweke
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 3 дня назад
@@rukcabby2572 nakwambia
@Alinekwizerimana-sg1th
@Alinekwizerimana-sg1th 3 дня назад
Uwiiiii wa kwanza leo from Burundi
@user-dw7su2nh9r
@user-dw7su2nh9r 3 дня назад
Sijawahi pata like hata1 sijui nina nn duuuuh😢😢😢
@NasmaAdam-jq6mj
@NasmaAdam-jq6mj 3 дня назад
Mi nimekupa like bn😢
@user-wm7gu8os2i
@user-wm7gu8os2i 3 дня назад
Musiombe laki jamani ombeni tumbeni makotooo😂😂😂😂
@dorothykibet7690
@dorothykibet7690 3 дня назад
Jamani likes naomba hta tano
@eunice1808
@eunice1808 3 дня назад
Wa kwanza naombeni likes zangu please guys
@MwanamisiSuleiman
@MwanamisiSuleiman 3 дня назад
Nimewahii❤❤❤❤❤❤❤❤❤nipewe mauwa yangu🎉🎉🎉🎉
@AdamZainab-mb7qj
@AdamZainab-mb7qj 3 дня назад
Jamn kila mtu anaomb like yaan mumezd emb tueni maoni yenu tyu😚
Далее
HOUSE GIRL  EP 32 || love story💞💕
23:26
Просмотров 38 тыс.
MASHEMEJI | Full Movie
55:30
Просмотров 412
Лайфхак с колой не рабочий
00:16
Просмотров 604 тыс.
меня не было еще год
08:33
Просмотров 1,7 млн
HOUSE GIRL  EP 30 || love story💞💕
24:11
Просмотров 118 тыс.
HOUSE GIRL  EP 01 || love story💕💞
19:15
Просмотров 380 тыс.
Kuoga Aaah  Steve Mweusi (Official video music)
3:38
Просмотров 160 тыс.
DUBWI MASTER 01
32:49
Просмотров 57 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [1]
16:28
Просмотров 26 тыс.