Jamani Hii movie mafunzo yake niya ukweli bila chenga Hawa vijana walioigiza hii picha nikama vile mungu kawaonyesha kuwa matatizo mengi ya jamii now days yako hivi walai nimeipenda Sana. Kama nawewe uko Pamoja nao gonga like hapa❤
Hii movie ina mafunzo mengi aswa kwa wanawake jameni jifunze kufanyia mwenzio hata kama ni ajiwezi tupendane please,anyway nipe hata likes kumi🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wenye wanaimani kwmba cku yenye zuu atajaliwa kuonana na nyanyaah ndio mwisho wa uchizi wake....nakuuliza mbna mumenizunguka....!!? Niko wapi apa!!? Alafu mbn munalia😅
Movie nzuri mno Yenye mafunzo mengi sana ambayo ndani yake yana ukweli ntupu katika maisha tunayo ishi Mume wa mcho wa daa masozi acheni tamaa itawaponza😂😂😂😂😂niko pale 👉 nasubiri episode 35❤
Hii movie ikiisha tafadhali naomba kwa dhati ya moyo wangu iwe na sehem ya pili maan naona km bado itakuwa namaan san toka nimeanza kuwafatlia hii kitu ni noma san
Uhuum mambo kwa bibi zuu yananoga kwa kay yanazidi kua magumu haya si twaomba zuu apatikane atibiwe na kay atibiwe Candy kimurambe tena asiwe kica awemuzima afe taratibu tu😂😂
@@ZaithuniNassir hatari huyo bibi........ila canndy ashaumbuka....halafu rafiki yake mnafki kama nn...walielewana saa hii ashatombowa siri.....marafiki jamani