Тёмный
No video :(

HUU JINUPENDO, Tazama MAKONDA alivyompakia mgonjwa kwenye HELKOPTA na kumuwahisha hopital 

Habari Digital
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@ChrisMwambeje
@ChrisMwambeje Месяц назад
Daah,makonda we jamaa sijui nichague neno gani zuri,itoshe kusema mungu akutangulie
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j Месяц назад
Fisadi au jambazi yote mazuri
@wilfredmaimu1958
@wilfredmaimu1958 Месяц назад
Hongera raisi mtarajiwa🎉🎉🎉🎉
@maduhuelias9813
@maduhuelias9813 Месяц назад
Daaaah arusha kuna inchi nyingine tofauti na tz❤❤❤❤. Hongera Paul makonda kwa upendo mkubwa huo
@barakakitomary2936
@barakakitomary2936 Месяц назад
Wewe tunamuomba mungu akupe maisha marefu na yenye baraka tele brooh wangu
@barakakitomary2936
@barakakitomary2936 Месяц назад
Kaka makonda sina mengi zaidi ya kusema mungu akutunze daima pamoja na familia yako
@JimmyCosmas-cl2kh
@JimmyCosmas-cl2kh Месяц назад
Mungu akutunze Makonda
@daudkindy8062
@daudkindy8062 Месяц назад
Makonda ni zaid ya mkuu wa mkoa Mashaallah
@NeemaNgovi-bu1tc
@NeemaNgovi-bu1tc Месяц назад
Kweli Makonda anaupedo uliotukuka Mungu ampe maisha malefu
@allybora4021
@allybora4021 Месяц назад
Mungu awabariki nyote
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 Месяц назад
Aende Bungeni. Msukuma anatutia aibu wa Tz
@AsilaKagambo-uv2ff
@AsilaKagambo-uv2ff Месяц назад
Hello my Malinda wangepatikana wawili Kama wewe nchi hii ingekuwa Kasi mpya mungu akubariki na kukulinda
@fatmamussa2927
@fatmamussa2927 Месяц назад
waziri mkuu mtarajiwa ....Amin
@barakajonas3209
@barakajonas3209 Месяц назад
Nice 👍👍👍
@mwinyichinchibera4875
@mwinyichinchibera4875 Месяц назад
Makonda oyee
@ifmknowledgepower7333
@ifmknowledgepower7333 Месяц назад
Ujio wa makonda Arusha, Umeifanya Arusha kuchangamka mno
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 Месяц назад
Mungu mwema akulinde wewe na familia yako.❤
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 Месяц назад
MH.. MAKONDA,,ulikaaa dar ukbuni,ulikuwa ccm KIONGOZI ukabuni na UPO arusha we MBUNIFU.... Allah AKUPE makubwa Zaid Ili utumikie WATANZANIA WOTE.
@JeremiaMnanka
@JeremiaMnanka Месяц назад
MAKONDA mungu akurinde nakumbuka siku umekuja TARIME nilifrai sana ilasiku MWIGURU arikuja SIRARI nililia nakusema JPM angekuwepo vijana wa SIRARI na NYAMONGO wasingekufa kama kuku
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Wallah wenzetu Arusha mmepata mkuu wa mkoa Huku kwetu wamelala tu hawana jipya
@IssaAbushehe
@IssaAbushehe Месяц назад
Wapi huko?
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
@@IssaAbushehe Tz nzima ww unaona wakuu wa mikoa wanafanya kazi km Mh Makonda?? Sasahiv mkoa wa moto ni Arusha tu mikoa mingine tunavumilia tu nakuknja joto la jiwe
@lutegomakoyeluhahula361
@lutegomakoyeluhahula361 Месяц назад
​Sio siri​@@IssaAbushehemwanza ni ovyo.kuna jitu limelalamika.
@agustinoezekiel
@agustinoezekiel Месяц назад
Sidhani kama wafanyabiashara Arusha watagoma kama wenzao,dar, mwanza,mbeya nk.nahis kesho mikoa nyingine itagoma kufunga biashara zao
@bibianakiwali1969
@bibianakiwali1969 Месяц назад
Mwanangu Mungu akubariki.saaaana Hakika wewe ni mtu wa Mungu na Mungu akuwekee mkono wake wajinga wasikuweze..Mungu akubariki sana.
@jumabonge8577
@jumabonge8577 Месяц назад
wapeni hongera zao
@yassinkimolo2943
@yassinkimolo2943 Месяц назад
Huu upendo umaanza lini? Huyu sio ndio wale wanaoitwa wasiojulikana😮😮!!!!!
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 Месяц назад
Kichwa Cha habari🙆
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Месяц назад
Makonda makonda
@user-pe8wh5bw2h
@user-pe8wh5bw2h Месяц назад
Afy km ip Kaka samahn
@dorinmichael2186
@dorinmichael2186 Месяц назад
Tanzania Kuna wagonjwa wangapi kama huyo fanyeni ata kwa wagonjwa kumi ni Kiki tuu akuna chochote saidieni wengi acheni umakonda wenu
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Месяц назад
Hata miifanyaje makonda anaweza ndivyo alivyo
@Nedjadist
@Nedjadist Месяц назад
Watanzania hawaombi mengi.
@ChivwadiMahumba
@ChivwadiMahumba Месяц назад
Bro MUNGU AKULINDE,TANZANIA TUNAKUITAJI,MUNGU AKUPANDISHE ZAIDI
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Месяц назад
Haya ndo maisha mama yangu Mh Rais anataka viongozianaowateua wawe hivi kama Mh MAKONDA.
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Месяц назад
Mmmmm labda
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 Месяц назад
Kabisa
@user-pd9xu8qg9x
@user-pd9xu8qg9x Месяц назад
Ushamba tu mbona hamuonyeshi usafiri wa aina nyingine.
@eusebionaungu1585
@eusebionaungu1585 Месяц назад
Bangi nyingi😂😂😂
@RehemaNgongomto
@RehemaNgongomto Месяц назад
Ukifa wewe nitalia mpaka nife
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Месяц назад
KUNA WAKAT UNAWEZA UKAWA UNAUMWA LAKIN HUSIKII MAUMIV 😂😂 NDO STUATION KAMA HIZ MUNGU AKUBALIK SANA
@user-pe8wh5bw2h
@user-pe8wh5bw2h Месяц назад
Najegaram
@Obasaniyo
@Obasaniyo Месяц назад
Garama ni bure
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j Месяц назад
Mimi sio ccm sio chadema ilo naliweka wazi ila ccm na andazi Mimi nachagua andazi
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 Месяц назад
Ww si kichwa kama andazi tu😢
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j Месяц назад
@@nicodemashaggite8429 Mimi sio ccm sio chadema ilo naliweka wazi ila ccm na andazi Mimi nachagua andazi
@enockmaige8936
@enockmaige8936 Месяц назад
Wewe umefanya nn kusaidia au hizo comment za kejeli zimeponya wagonjwa wangapi ovyo😢😢😢😊
@enockmaige8936
@enockmaige8936 Месяц назад
😢😢😢
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j Месяц назад
Uchaguzi tena umekaribia ndio wakat wanasiasa kujifanya wema au kujivesha ngozi ya kondoo kumbe chui
@elioimer8423
@elioimer8423 Месяц назад
Wewe ndio umegundua kuwa tunapelekwa Kama maduanzi
Далее
Insane Coffee trick EXPOSED 😱☕️ #shorts
00:20
Муж на час 😂
00:37
Просмотров 1 млн
Insane Coffee trick EXPOSED 😱☕️ #shorts
00:20