Тёмный

MKE KAZIZAKE NI MBILI TU //SHEIKH OTHMAN MAALIM 

arkas online tv
Подписаться 132 тыс.
Просмотров 271 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 201   
@subyshaban
@subyshaban 28 дней назад
Sijui hata nalia nini mimi🥺🥺🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭, Ila namuomba tu ALLAH s.w, Rabb Inni Lima'anzalta Ilaiyha min khaiyrin fakhir🤲🏾🤲🏾🤲🏾🤍🤍🤍
@Aminamuhamed
@Aminamuhamed Год назад
S.A.W REHMA NA AMAN ZIMFIKIYE JUU YAKE NA MASWAHABA ZAKE NA AAL ZAKE ❤️
@mariammaulidlimo9332
@mariammaulidlimo9332 Год назад
Mimi sina la kusema .... Allah akulipe duniani na akhera shekhe kwa mafundisho yako
@samayraqueen134
@samayraqueen134 Год назад
MashaAllah sheh una mawaidha mazuri sana tunataka uje kwetu Burundi Inshallah
@AminKofa
@AminKofa 4 месяца назад
Mashaalah❤
@Sakasha-c8s
@Sakasha-c8s 3 месяца назад
Wajaalie wanaume wenye wake wajuwe wajibu wao
@HafsaBakari-p2w
@HafsaBakari-p2w 7 месяцев назад
Namuomba M/mungu amuongoze mume wangu
@kibambiibrahim5714
@kibambiibrahim5714 10 месяцев назад
Mashekhe Wangu nami niwakumbushe kuvaa Pete na saa mkono wa kulia Sio wa kushoto
@MaisalaKatele-w3r
@MaisalaKatele-w3r 9 месяцев назад
Allah😮akupe umri mrefu shekhe nakuoenda kwa ajili ya allah
@HawaAdam-t2l
@HawaAdam-t2l 8 месяцев назад
Mungu,akuzidishie Kila la heri.,ul
@ashrafyyousuf6821
@ashrafyyousuf6821 11 месяцев назад
Wana ume wote wange fata hivi, wallahi nsizani wange kuwepo wana waku dai talaka... Pale hambapo kiongozi kinapo geuka mashariti ndio inapo ingia shida... 😢
@MaryamHamad-uw9of
@MaryamHamad-uw9of Год назад
Alhamdulillah Allah atujaze ufahamu kwa wanaume na wanake na kutuwezesha elimu na moyo wa kutekeleza yalio kua ni wajibu kwa kl mmoja ktk maisha ytu
@mariamndarwemeye1761
@mariamndarwemeye1761 10 месяцев назад
Kwa kweli, Allah awape subra wanawake wote dunian
@ibugharib389
@ibugharib389 Год назад
JAZZAKALLAH KHERI.Bega kwa bega mpaka Firdaus
@ZuhuraSaid-sx8xh
@ZuhuraSaid-sx8xh Год назад
Unacho kisema nikweli kabisa ila waume wetu mtihani mkubwa tunavumiliat inshallah mungu awaongoze
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 Год назад
Bahati mbaya sana wanawake wanaona makosa ya waume zao na waume wanaona makosa ya wake zao hakuna ambaye anaona makosa ya nafsi yake... Je wewe unamtii mumeo ?
@NuruKasim-nz1fc
@NuruKasim-nz1fc 8 месяцев назад
Mimi hurauka Sasa kumi na nusu Nika mwacha mume wangu akiwa kitandani na nikirurudi kutoka soko hata hawezi niambie au kunipokea na ninapofua nguo zake huniuliza watafuta Pepo au thawabu Sasa Mimi hushangaa kwanini mume wangu huniambia hivyo
@HALIMAKOMBO-xx5gz
@HALIMAKOMBO-xx5gz 9 месяцев назад
Asalamu aleikum warahmatullah wabarakatu. Shukran kwa darsa lako Allah barik. Sheikh naomba jawabu lako kma mumeo haezi kanya dadake anapokosea na siku zote anaambia mke kuwa astahamili maudhi yote ya dadake . Jee ni sawa yeye kama kiongozi wa familia kuyanyamazia kisa anaogopa familia yake na kupuuzia anachopitia mke . Na jee hapo inaezekana patikana vp furaha ndani ya ndoa hii
@richbird.123
@richbird.123 Год назад
Natamani mume wangu apitie hapa wallahy
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
Pole sana Habibty! Zidisha Dua Allah amguse moyo wake ili akumbuke wajibu wake kama mume.
@enterenter7798
@enterenter7798 8 месяцев назад
😂
@ZuberiKikoti-zo2on
@ZuberiKikoti-zo2on 2 месяца назад
Mwenyezi mungu akulipe kwa elimu unayo itoa inshaalla
@RehemaMohd-yi9tu
@RehemaMohd-yi9tu Год назад
Shukran sheikh Othman maalim kw kutkumbush hakika weng wet tunashau wajib na majukum yet kw waum zetu ila na kwa wanaum nao nijkm lao kuwjibk kw wezawao shukrn kw ukmbush.
@AmourAbdallah-t9j
@AmourAbdallah-t9j 5 месяцев назад
Kweli hutosahau mpaka unatiwa kaburini kwa maneno machafu
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 Год назад
Sio kwa wanaume wa sasa mwanaume wa sasa ni gubu kero kwanza anataka pesa zako umlishe wanahitaji mwanamke uende kutafuta yeye analala unaludi hoi utatimiza majukumu ya ndani kweli wanaume mubadilike
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 Год назад
Ndivyo mnavyopenda hivo wengi ktk ninyi wanaona kazi ni bora kuliko mume
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Год назад
@@mirajiissa4603 Kwa hiyo akae nyumbani mle mawe...
@abdallahmahmoudy3528
@abdallahmahmoudy3528 Год назад
Sahihi, Allaah akuhufadhi
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Год назад
@@abdallahmahmoudy3528 Amin Insha Allah
@rahimaan6481
@rahimaan6481 Год назад
Yani kweli kbsa wanaume walio wengi sasaiv anatafuta mwanamke alie na kazi au biashara,wao wamekaa tu vibomu sasa khaaa 😂😂 haya hawana wanaomba haoooo balaaa yani mtihani,tena wakishajua upo ughaibun mamaaaaaaa weeeee na ndoa utatangaziwa,ili upigwe vibomu vzr,me ntafunga tu jmn maana kila nikiwawaza hawa jamaa wasasa asilimia kubwa wapigaji😢
@YusufuBakheresa-kf2iw
@YusufuBakheresa-kf2iw Год назад
MashaaAllah sheikh zama hizi mpk wanaume awajitabuwi tunapo toa darsa kw wanawake lawama nyingi ni kwamba wanaume awajui majukum yao sjui hao nao tuwambie nn
@mohammedibimkubwa4947
@mohammedibimkubwa4947 Год назад
Kwani ni uongo. Nyinyi ni viongozi kiongozi ni mfano.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Mtwambie nn na nyie ndio viongozi??? Wengi wenu siku hzi mnapenda mteremko. Utamkuta janadume zima kwenye tick-tock mkewe anafanya upuuzi nayy linabururwa km pumbavu hata haya halioni.
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 Год назад
Bahati mbaya sana wanawake wanaona makosa ya waume zao na waume wanaona makosa ya wake zao hakuna ambaye anaona makosa ya nafsi yake... Je wewe unamtii mumeo ?
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Год назад
Kwani hamuoni majumba siku hizi yana hudumia na wanawake wanaume wapo bze na TV au games unaingia fb utako tiktok uningia insta siku imepita na bado anataka mwanamke huyohuyo ampe pesa leo mnataka kuolewa na mama zenu kwasbabu ndio wanaweza wapa pesa na wala hamuwi nao kwa mapenzi bali kwasbabu hamtaki kazi mnakubali kuwa nao lwasbabu ya pesa
@mwajumamohamed4696
@mwajumamohamed4696 Год назад
Mashallah,Mungu azidi kukupa umri usaidie kuelimisha kizazi chetu.Akujaaliye kila yalo mema duniani na akhera inshaallah
@neemahassan5726
@neemahassan5726 11 месяцев назад
Mashaallah shekh ila wanaume wetu hawa niwazito Hata Katka ibada pia unamuambia mume wangu swali anakuambia nitaswal kesho kila siku kesho jee hayo Mengine atayaweza?
@AshaSaleh-qu8rk
@AshaSaleh-qu8rk Год назад
Mungu awaaongoze waume zetu watambue majukumu yao ili waturahisishie majukumu yetu
@mohamedjuma7206
@mohamedjuma7206 11 месяцев назад
Hili Sasa ndio neno.Sio wale wanaocomain Eti wanaume wa siku hizi.Mungu atuongoze wanaume tusitelekeze majukumu yetu
@caswaralbadry8481
@caswaralbadry8481 Год назад
Mwanaume akiwa mchamungu hapo anapaswa kumpata mwanamke mchamungu na mambo yataenda vizuri ama mwanaume akiwa wa hovyo akitaka mwanamke mwema i asije kumhatibu ni bora kwa mwanamke mchamungu kumkataa mwanaume huyo , mana mwanaume ananguvu ktk familia koliko mwanamke, nafasi ya kuchagua mwanamke mwema ni kwa mwanaume mwema tu si haki kwa yule asiekua mchamungu. Ama maswala kupokeleana vitu ni jambo la kujituma na kuzidisha mapenzi si lazima mpaka kusumbuana mambo mengine ukiashikilia mno yanleta hitilafu bora utafute lenye ukaribu wa kuleta mapenzi zaid.
@djafarsangara9465
@djafarsangara9465 Год назад
wanawake wa iyi carne walisha badilika sana kama wana jikamata kama wao ndiyo wa responsable wa wanaume , shukrani kwa ukumbusho sheikh
@abdallahmahmoudy3528
@abdallahmahmoudy3528 Год назад
Alhamdulillah, Allaah akulipe kheir maalim,darsa njema sana kwa mlokuwa bado kuolewa na kuoa,pateni faida ktk darsa hii Alhamdulillah
@hawamohammed6939
@hawamohammed6939 Год назад
Maashaallah Shekh Othman Maalim Unawapa Dawa Waume Na Wake Wajitambue Wajielewe Shukraan Shekh Allah Atakulipa Yalio Mema Inshaallah
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 Год назад
Ametoa darsa kwa watu wote wake kwa waume ,,, Bahati mbaya sana wanawake wanaona makosa ya waume zao na waume wanaona makosa ya wake zao hakuna ambaye anaona makosa ya nafsi yake... Je wewe unamtii mumeo ?
@ashrafyyousuf6821
@ashrafyyousuf6821 Год назад
Allahu Akbar,wakumbushe ya sheikh😭😭😭
@MupakatongaChimera-f2v
@MupakatongaChimera-f2v Год назад
Wengine wanaowa tu bila ndoa napia mwanamke ndo anayejitafutia mahitaji huyu nae nmume aina gani je anahitaji kuheshimiwa
@faizanassor6336
@faizanassor6336 Год назад
MASHA ALLAH shukrain sheikh wetu ALLAH akujalie afya njema akuifaidhi ALHMDULLAH tunafaidika kwa kutufuza
@samiramohamed5699
@samiramohamed5699 Год назад
Cheik maanlim ukweli kuna wake wajibu mume vibaya lkn kunao waume majibu yao mabaya zaidi yetu
@saidally2262
@saidally2262 Год назад
Allahu Akbar!.Allah atupe wake wema
@tausikhitentya3357
@tausikhitentya3357 Год назад
Walhamdulillah! Shekhe Othmani Allah akulipe kwa kutukumbusha. Pia Allah SW atujaalie imaan, inshallah. Maana kwa dunia ya leo, mitihani na hali ngumu za maisha zinatupeleka mahala sipo.
@abdallahmahmoudy3528
@abdallahmahmoudy3528 Год назад
Khs wakti kuwa na mitihan ktk maisha"Sisi ndo wassbabishaji baada ya kuacha majukumu yetu na kuwatwisha wanawake lkn kubwa zaidi ucha Mungu dhaifu vipi Allaah ataturidhia?
@allanmbilinyi4826
@allanmbilinyi4826 11 месяцев назад
MWANAMKE ANATAKIWA KUONGOZWA SIO KUIONGOZA NI AMRI YA MWENYE ZI MUNGU.AKIPATA NAFASI YA KUIONGOZA LAZIMA KUWE NA MATATIZO KWA SABABU SIO HITAJI LA MWENYE ZI MUNGU.
@BiubwaMohammed-wn4jz
@BiubwaMohammed-wn4jz Год назад
Kusemakweli sijuniseemeje jmni wanaumewengine wagumu kmngozi yangamia
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Год назад
Aisee kumbe wagumba hatuna ruhusa kuolewa subhan Allah! Na wajane pia marufuku sawa sheikh ahsantee!
@narknark4249
@narknark4249 Год назад
Mungu atakupa, hakuna lisilowezekana mbele ya Mungu... Kila la heri mummy
@hamadfaki2503
@hamadfaki2503 Год назад
Utapata,mi mwenyewe natamani nipate mke asiezaa iwe tunacheza cheza kila wkt
@elbattawy2864
@elbattawy2864 Год назад
Hujafahamu sister., Alitoa mfano Mtume S.A.W alioa wajane, fuatilia vizuri mawaidha yeye aligusia kwa vijana ambao wanataka kuingia sasa katika ndoa.
@daud405
@daud405 Год назад
Allahu Akbar, wanawake Mungu aliwapendelea sana yaani kumtii tu mume anapata pepo... kwa kweli wanawake walio wengi hawataona pepo. wanawake wana usheutena mkubwa sana sababu ya tamaa.
@mohamedjuma7206
@mohamedjuma7206 11 месяцев назад
Hehehe mungu sio mjinga bana.Alijua wengi watashindwa kutuheshimu tu ndio wakapewa hiyo offer
@shinayzashiraaz4588
@shinayzashiraaz4588 5 месяцев назад
Subhanallah Jazakumullah kheirun
@RossaMengo
@RossaMengo 8 месяцев назад
Kwahivyo wanawake wakomavu wazini wasiolewe..wadogo ndio wanafaa kuolewa
@SelemanMilungu
@SelemanMilungu 8 месяцев назад
Wake zetu ivisasa awajitambui kwenye mari
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 Год назад
MASHAALLAH ❤❤❤shukurani Sana ❤️ ❤️
@safianamani1375
@safianamani1375 Год назад
Siyo duniya ya lewo..... Makatili hawaogobe Mola
@FatmaJambwali
@FatmaJambwali Год назад
Masha allah m/mungu akujalie mwisho mwema In sha allah m/mungu atujalie upendo kwa waume zetu❤
@mariamsefukhamissi8809
@mariamsefukhamissi8809 Год назад
Jazakum'Allahu'khayran ❤❤❤❤❤
@MwamvuaSowa
@MwamvuaSowa Год назад
Shekhe wanaume wa sk hizi hawatak mwanamke asiefanya kazi au biashara wanataka wanamwake wapambanaji Sasa ndio maana tunachoka
@shamsaabdulkhadilly8106
@shamsaabdulkhadilly8106 Год назад
Wanaume wasasa waowanajua kufuja wakezao nakuwageuza kuwa sehemu ya uwanja wamazoezi
@mwajumaanthony5470
@mwajumaanthony5470 Год назад
Naombeni ushauri
@MohammedFakihi-k6j
@MohammedFakihi-k6j Год назад
Amina allah atujalie tuwe miongoni mwawaja ambao hatuwanyanyac wake zetu
@ndayisengaMelanie
@ndayisengaMelanie 10 месяцев назад
Huwezubadirisha duniya WWE kiricobaki wekura pess zamshahara tu
@enterenter7798
@enterenter7798 8 месяцев назад
Maa shaa Allah ❤❤❤❤❤
@wyckliffeamaasa5739
@wyckliffeamaasa5739 Год назад
TabbarkkAllah! Mafundisho mazuri Sana ila kwenye kizazi hiki hupati hata mmoja,maana hao wake wamegeuka vibaka tu,waenda mbio kumbe nyuma yako Kuna mwingine aandaliwa meza.
@pericykiko6198
@pericykiko6198 Год назад
Mwanamke akishapenda kapenda ila akupende na usimjali na madharau pengine na watu wa mume wa karibu wanyanyase heeee siku akiota mabawa si rahisi kumrudisha
@ashamshona9321
@ashamshona9321 Год назад
Mashaallah shekh wangu
@aminasaid9382
@aminasaid9382 Год назад
Maashaallah Tabarakaallah sheikh Allah atuhifadh sote lakini samahani km nitakuwa nimekwaza mtu sauti yako ina panda na kushuka maneno mengine hayasikiki vizuri .tafadhali sauti iwe vizuri sheikh Shukran kwa Mawaidha mazuri
@zania1295
@zania1295 Год назад
Shukran sheikh.
@YusuphShaaban
@YusuphShaaban 9 месяцев назад
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@fatimasaid9469
@fatimasaid9469 Год назад
Mashallah tabaraqah ❤
@nasrapaul270
@nasrapaul270 Год назад
Inshallah
@AishaAthumani-q1g
@AishaAthumani-q1g Год назад
Mashallah shehe kweli tupu
@habibahusein3883
@habibahusein3883 Год назад
Shukran Sana shekh kwa darsa zuri
@AzizaAhmed-x1e
@AzizaAhmed-x1e 3 месяца назад
🎉😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤
@RamlaAli-to7uo
@RamlaAli-to7uo Год назад
Shukraan yaa sheikh...jazaka Allahu khayran.
@biswalhadogani-wt8kv
@biswalhadogani-wt8kv Год назад
Shee mm nimemfukuza mime WG kwa kunifosi mid nikakope blaki ili pesa akafanyie mambo take na deni ya ribs nilipe mile tena ananiamrisha nikope boda nikichelewa ktk biashara na pesa zangu zatumika ktk kila kazi pesa zake anaficha na chakula Hanna tens tabligh na kitambulisho anacho nilichoka kwakweli anachezea dini tuu mmmh mmmmh hapana
@zubedamusa9048
@zubedamusa9048 10 месяцев назад
Mashaallah Allah akulipe
@Veronicahcharles61comAsia
@Veronicahcharles61comAsia Месяц назад
Maajabu hawataki kujua umepataje wapi yaani ata harambee,kuzini umezini ili umlishe subhanalla hao ndio wapo kwa sasa
@سيوابورندي
@سيوابورندي 8 месяцев назад
Sio kwa sasa
@AbubakariKifojo-nk7ek
@AbubakariKifojo-nk7ek Год назад
Ahsant kwa darasa shekh
@MauwaSama
@MauwaSama Год назад
Mashaallah❤
@AbdallaNdolo
@AbdallaNdolo Год назад
Shida ya bibi zetu, wamekosa taqwa ,subra na uvumilivu.
@khadeejahsaid6226
@khadeejahsaid6226 Год назад
Wapo waliosubiri na bado wanaendelea kusubiri law vituko vya wanaume
@daud405
@daud405 Год назад
tatizo kubwa lina wanawake . wana tamaa sana. wanaona ndugu zake ndo muhimu kuliko kujenga nyumba yake na mumewe kwanza. hawana subra ya kweli wanawake
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Год назад
Hâta wanaume walio na tamaa 😂wako,anapata pesa yupotayari akampe yoyote lakini hawezi kuiudumia familia yeke na akirudi nyumbani anataka alishwe upo😢
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
@@daud405. Ttzo ni w’me waliowengi siku hzi hawataki wake wasionakazi. Anavyotaka awakisanye mpaka wa4 kila mmoja ajitegmee mwenyewe halafu yy awe anazunguruka na kipesa chake cha mabamia tu na tungule basi! Ama utasikia wanachosema w’ke wanajiweza Ila wanachokihitaji ni tendo la ndoa tu. Masikini hawajijui km wao ni viongozi na wachunga wa wake na vizazi vyao. Wao wanaona kazi Yao ni kupita akilala tu.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Abdullah Ndolo. Allah amekuamrisha kumuhudumikq mkeo na kizazi chako na sio kujiachia ukamtegemea mkeo avumilie shida…. W’ke waliowengi wanavumilia sana lkn matokeo yake unakuta m’me akianza kupata hajui km kuna kueka ili kiwafae mbele. Yy akipata tu anakwenda kutafuta mke mwengine anaongeza. Ssa hii peke yake inafanya w’ke wakate tamaa.
@AzizaAhmed-x1e
@AzizaAhmed-x1e 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
@AzizaAhmed-x1e
@AzizaAhmed-x1e 3 месяца назад
❤❤❤❤❤
@user-ju9mi1ft4v
@user-ju9mi1ft4v Год назад
Mashaa Allah tabaraka Allah
@Veronicahcharles61comAsia
@Veronicahcharles61comAsia Месяц назад
😂😂😂 sheikh kwangu unanijenga wow Allah akupe ufunuo wa nyoyo za wazee wetu wa sasa,😢😢lau wakaulizwa wataka wakae ndani mke akamtafutie yeye...
@MwangazaBakari
@MwangazaBakari Год назад
Jazakkallahu lheir.
@ibrahimmaulid2704
@ibrahimmaulid2704 10 месяцев назад
Hata wanawake wa sasa ni balaaaaaa hawaelekezeki
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 Год назад
Jqzakalah kher ya sheikh
@ziadamsongo2302
@ziadamsongo2302 Год назад
hizo zilikuwa enz za mitume nakama wapo basi niwewe shekhe ila hawa waume tulonao mtoto utabebelea mgongoni na kichwani beseni la mboga unapita mtaani mbogambogaaa ukirudi jiko limenuna upike vitoto vile nae akirudi ale na kuoga alale anasema hela hana
@sihabahusseinmdee1102
@sihabahusseinmdee1102 Год назад
ndio maana tukaambiwa tuchaguane kwa usahihi, mwanaume anaejua dini hawezi kumfanya mkewe kijakazi wake na mwanamke mwenye dini hawezi mkasirisha mume wake pia hivyo tuoane wenye dini
@mwajumaanthony5470
@mwajumaanthony5470 Год назад
Jamani haya yote naona yanani husu Mimi hivi toka juzi nadai talaka yangu hataki kunipa.. maana kila kitu najijali mwenyewe yy mwisho wake akisha toa hela ya shule na ya chakula basi yaani Hana mawazo ya maendeleo hata kidogo mpka sasa tuna miaka 16 kwenye ndoa hatuna hata kiwanja kinacho niumiza yeye hata hajali ndio maana mm nadai taraka yangu na hataki kutoa sijui nimfanyeje mwenzenu
@elbattawy2864
@elbattawy2864 Год назад
Kwanini udai talaka? talaka ni kitu chengine mfahamishe mumeo na usijaribu kumlazimisha majukumu ambayo yako nje ya uwezo wake ni kharam pia mwanamke kudai mambo ambayo anajuwa dhati mumewe hana uwezo., jitafakari
@omarissamashaallahpresiden2920
Miaka 16 ishi na mumeo huyo ni wako mumestahamiliana mpaka kufikia kuwa na watoto wakubwa Alhamdullillah zidisha upendo utamuona anabadilika nampe nasaha mume wangu watoto wetu washakuwa tuwatafutie kiwanja (kama hukupata kwa mume watoto watakutaftia kwa uwezo wa Allah
@AyshaHamis-qw3gi
@AyshaHamis-qw3gi 8 месяцев назад
Kumbe unahudumiwa chakula watt shule shukuru dadang kuna watu hata kula awahudumiwi wanahudumia wanawak wenyew kwahy tulia kidgo hyo wak anajitambua mamb na kiwanj pengn hana uwez akiwa na uwez sidhan kam yy ataki kuwa na nyumba yakwake binafsi
@RamadhaniMteganda
@RamadhaniMteganda Месяц назад
Kaswida
@mohammedibimkubwa4947
@mohammedibimkubwa4947 Год назад
Mm ningeomba pia mufanye jitihada yakuelimisha hao wanaume, maana mwanamke hujitahidi ila mda mwingine wanaume ni wauwaji wa mapenzi ya ndoa zao.
@totop3815
@totop3815 Год назад
Very true
@kholaabdulrahman1750
@kholaabdulrahman1750 Год назад
Sheikh Allah akupe umri twaawil.
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Год назад
siyo wa sasa hivi wamekuwa wanaume suruali ila hawapendi kutafuta wanazurura kwenda kucheza bao au vijiweni anangoja mkewe akimbizane na biashara alete chochote mke anatoka yeye anabaki amelala kitandani na ndiyo maana wanawake nao wamewabadilikia akatafute chochote bora alete chakula hajui km mwanamke kafanya ukahaba akalete chakula haya yote chanzo ni wanaume na mwanamke akishajua njia za hella tuu ataaanza kumdharau mwanaume yaani akishanogewa nje sahau ndo imetoka hivyo hatakuheshimu tena mjue hilo tabia mbaya zote wananzofanya wanawake wengi wa sasa zimesababishwa na wanaume kutokujishughulisha na kazi yoyote
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 Год назад
Bahati mbaya sana wanawake wanaona makosa ya waume zao na waume wanaona makosa ya wake zao hakuna ambaye anaona makosa ya nafsi yake... Je wewe unamtii mumeo ?
@abdallahmahmoudy3528
@abdallahmahmoudy3528 Год назад
Swadakta, umesema Kweli, Allaah lkariim akuhufadhi, wengi ktk wanaume wapo hivyo,basi jutahidini msimuasi Allaah kwa ajili ya kutulilisha pia kutuvisha, Allaah akulipeni kheir na akusameheni madhambi yenu...
@caswaralbadry8481
@caswaralbadry8481 Год назад
Hatari hii kwa kweli nalo jibu
@aishasaidi1182
@aishasaidi1182 Год назад
Jee shekhe kama mwamke yukonanyumba yakeharafu piayukonakaziake mumeakafunga ndoanayule mwanamke mwenyenyumba harafu matumizimengi anatoa mwanamke kulikohatayule mume aidha ukutemume hanakitu kabisa hapo nidhambi sidhambi
@issaathumani7610
@issaathumani7610 Год назад
@@aishasaidi1182 siyo dhambi bali mke atoe kwa ikhlasw na asimseme kwa alichotoa mume wake amsubirie mume wake juu ya hali yake na amstiri kwa kila hali maisha ya ushirikiano ktk ndoa na kumcha Allah Mtukufu ndio yataleta furaha na mafanikio wengi walikuwa kama nyinyi na leo wapo ktk mafanikio makubwa sababu ya subra juu ya waume zao ambao hawakuwa na kitu
@AlmasihKiandiko
@AlmasihKiandiko 4 месяца назад
Okay
@MwamvuaSowa
@MwamvuaSowa Год назад
Alhamdlilah
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
Sisi ambao wake zetu hawafanyi kazi tunastarehe jaman
@aminanahimana8759
@aminanahimana8759 Год назад
Hhhh Kabsaa Ma sha Allah Allah awazidishie kheri na wanandoa ote
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
@@aminanahimana8759 Aamin... Mana hawa wanaofanya kazi wanaodai wakiwezeshwa wanaweza lazma mume ajiandae na wali wa rice cooker
@khadijamgambo6874
@khadijamgambo6874 Год назад
Wali wa rice cooker ni haki yako kumpkia mkeo... Hakuamrishwa mwanamke kupka wala kufua wala kuosha vyombo...
@sultansallah8772
@sultansallah8772 Год назад
@@khadijamgambo6874 na kufanya kazi je kaamrishwa? rudi tena chuoni.... Ww unafikir mtume alikua anapikiwa na nani......
@NasraAmosi-or6sx
@NasraAmosi-or6sx Год назад
Ni kweli
@MwangazaBakari
@MwangazaBakari Год назад
Jazakkallahu lheir
@SharifShaurifhaji
@SharifShaurifhaji Год назад
Sio wote
@ndayisengaMelanie
@ndayisengaMelanie 10 месяцев назад
Huyajuwi chekh werogota tu ugewambiya wakezako
@MuhidinKombo
@MuhidinKombo Год назад
Ukisema ivo utakuwa huko sahihi hiduniya mwanaume anojali familiya yake kwa ukarimu huyu ndo mwanaume halafu kila mtu na mapungufuyake
@mohammedibimkubwa4947
@mohammedibimkubwa4947 Год назад
Shekhe samahani, naomba kuuliza jee hao wanaume wale wamebeba kweli hayo majukumu yao?
@chikusellah5671
@chikusellah5671 Год назад
Dini ni ile ile nmwamke n mwaume niyuleyule mpaka siku ya kiyama hivyo tubadilike
@SalmahSalmahsaleh
@SalmahSalmahsaleh Год назад
Asante shehe othman maalimu kwa mawaidha yako mazuri
@HalimaKatotoally200-bw6xj
@HalimaKatotoally200-bw6xj Год назад
🙏🙏
@hadiadaoman1981
@hadiadaoman1981 Год назад
Wanaume wa sasa hv sasa anakwambia nataka mwanamke mpambanaji yaan ukiwa mkaa nyumban wanasema we sio wife material 😅na ndio maana asa hv tunafanya hadi kaz ngumu wanawake na ndio maana hamu ya ndoa inapotea ukirid hoi😅😅
@muslimmuslim512
@muslimmuslim512 Год назад
Masha Allah
@daud405
@daud405 Год назад
tamaa za wanawake ni shida. tena imani ya magharibi ya kugawana mali nusu kwa nusu imeleta shida.hamna haja ya kuharibu hela kwa ajili ya Katiba. Katiba kipo tayar '' Quran ''. lakin washenzi america na washirika wamechafua dunia
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Год назад
Kwanini ! unazavyodhani wanaume wamekamilika hapana na wao pia wapo wanaume ukouko nnchi za kimagharibi wanaolelewa kama wao ndio wanawake hawataki kufanya lolote😮 unalijuwa? ILO! basi usitia mabaya yote kwenye kapu moja
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Ttzo nyie w’me. W’me wengi siku hzi wavivu na hawataki kusoma. Wao wakishaambiwa na masheikh oeni mpaka wanne wanaoa hata km hawana uezo nao. Ww unategemea maisha ya ssa ukusanye wake bila ya uwezo na wtto wanahitaji kusoma, matibabu na mambo mengine na m’ke anamahitaji ni m’ke gani atakayevumilia ujinga wako??? Oa kwa mujibu wa uwezo wako ili utimize majukumu yako na mkeo apate utulivu nyumbani akulee ww na watto wako. Ww pesa ikibaki baada ya kuekq akiba unakimbilia kuoa bila ya kufikiria km unajizidishia mizigo.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Isitoshe wanaume wengi siku hzi wanatafuta wake wenye kazi zao wawakusanye mpaka wanne halafu wao wawe kazi Yao kupita wakilala tu. Ati wanasema w’ke haja zao ni kustiriwa tu?
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Ww umeyaona ya kugawana tu? Mbona hamusemi ya mke kumlazimisha kufanya kazi akabeba majukumu ya ndani yote na ww ukajifanya unajenga baadae ukamgeukq na nyumba ikawa kwa jina lako??? W’me wengi mnaishi mnawafanyia udhalimu w’ke ni matapeli, mnapenda bure na kusaidiwa na mkishafika malengo mnayoyataka mnaacha wake na kutafuta wengine. Hamuishi kwa kufuata uisilam lkn wkt wa kuachana ndio mnaukumbuka uisilam.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
@@kassimmanaramalika8592. Hao wanaume wavivu hawapo magharibi tu hata hapo Tnz wamejazana tele. Nikukusanya wake tu na kila mke anajitegemea/anakazi yake. Yy kazi yake huona kupita akilala tu. Ukiwauliza wanakwambia w’ke wapo wengi tuwahifadhi. Mana wanavyoona wao au wanavyofundishwa na masheikh ubwabwa kua mke wajibu wake kwake ni tendo la ndoa tu na huduma wala kumlinda na kumtunza.
@BiubwaMohammed-wn4jz
@BiubwaMohammed-wn4jz Год назад
Boranistaghfiru 2
@AishaMahadhi-n2m
@AishaMahadhi-n2m Год назад
😊
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto Год назад
Sasa utajuaje kama atazaaa au laaa! Maana wanawake wengine wagumba
@ziyadaahmed4168
@ziyadaahmed4168 Год назад
Nimeipenda Dalsa ila apo kwenye kuowa bikra kwa Dunia hii Hakuna , alafu hapo kwenye mwanamke mgumba kama ni bint hajaolewa utamjuaje kama ni mgumba?
@elbattawy2864
@elbattawy2864 Год назад
Muoe sheikh kama hazai uislamu umekuruhusu kuongeza mke hadi 4, lakini haimaanishi umdharau na kumdhalilisha uyo ambae hazai, kumbuka kwamba Allah ndio hujaalia kizazi kwa mwadamu
@zulekhajama2894
@zulekhajama2894 Год назад
Hao wanaume wenye majukumu wakwapi?
@KuruthumOmmary
@KuruthumOmmary 10 месяцев назад
Wanaume wengine anataka wewe mwanmke umlishe na kazi anafanya lakini pesa yake hawisikii hata mlio wake ni wanyonyaji hatari hasa wanaume baadhi wakiislam
@SaadaShauri
@SaadaShauri Год назад
Wanaume wasasa hawana uwadilifu wanakwaza akili tu zawenziwao
@nalingarowl7048
@nalingarowl7048 Год назад
Huo ni imwengu wa kizamani, ulimwengu wa Leo mwanamke ni mchapa KAZI kama wanaume. Kwani hujasikia habari za mawaziri au maraisi wanawake?. * Kuna baadhi ya maandiko hayana nafasi katika ulimwengu wa Sasa wanawake wanaweza na pengine wanaweza kuliko wanaume*
@aminanahimana8759
@aminanahimana8759 Год назад
iyo ni imani ya kiyahudi ndugu yangu mwanamke ni mlezi wa watoto na mwanaume ni mtafuta Rizki
@daud405
@daud405 Год назад
hiyo ni imani potofu . ndo chanzo cha matatizo. sababu wanawake wanaenda kinyume na sheria za Mungu. ndo maana inakuja kugawana 50/50 mwanamke anaona anamzidi mwanamke. mbona ndoa siku hizi hamna sababu ya imani hiyo unayosema ya kisasa.tunaangaka na katiba mpya wakati katiba ya Mungu ipo '' Quran'' . mwanamke hafai kuwa rais lakin tamaa za kifedha dunia tunaishi maisha mafupi ataulizwa siku ya kiyama hata kama avae ushungi mara ngapi
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Год назад
Na hii ni katika Dunia inayoongozwa Na shetani sio katika misingi ya dunia Mwenyezi Mungu alivyopenda viumbe wake waishi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Hakuna andiko lilopitwa na wakati, ndio mana wtto wanaharibika na kuharibiwa kwa kutokufata maandiko.
@binaamour318
@binaamour318 Год назад
Unaongea nn w nalinga hii n misingi ya ndoa y kiislamu sio unaropokwa t kwa kwa mambo ucio yajua Tena ya kiislamu acha ujinga!
@pikanaauntzuu1466
@pikanaauntzuu1466 Год назад
Kila siku mi nasema mke si mfanyakazi leo wanaume wanaoa wafanyakazi na sio wake zao mume anataka umpikie umfulie umsafishie nyimba na ukisema usifanye hayo bac ni kosa huna sifa ya kuwa mke unaone si mke kabisa na haya yote ni Africa tu lkn nchi zingine zote huwezi kuona mke ni mtumwa km Africa hasa Tanzania mtihani huu tena sasa hivi ndio kabisa mambo yamebadilika kila siku waume wengi hawataki kazi wanataka fanyiwa kila kitu na wake zao na pesa wewe mke ndio uwape
@omarissamashaallahpresiden2920
Sio wote
@omarissamashaallahpresiden2920
Hao hawajui majukumu Yao
@yasodishonest9792
@yasodishonest9792 Год назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Ssa mke kw km punda kwa mizigo anayobebeshwa. Yy na mume wote wanachokq Tena yy anachoka zaidi mana pengine anabeba majukumu na huku anabeba na mizigo ya ujauzito/tumbo akitua. W’ke jamani ni dhaifu si punda wenu km abebe mtto miezi tisa atue, abbe mwengine na mwengine, afanye kazi, akuhudumikie ww! Ndio mana hua mkali km moto, anachoka ati? Ww ukirudi kazini umechoka na miguvu yako yote hio, unataka mtu wakukukqndq na kukuliwaza na yy akirudi kazini kachokq. Ndio inqpofika usiku mnajitupa tu km mijoka upepo tu unakutokeni.
@immtm4930
@immtm4930 Год назад
makubwa!!
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Год назад
😅😅😅dah
@DelightfulPenguin-wk4kv
@DelightfulPenguin-wk4kv 10 месяцев назад
Kakangu mashallah chenye wasema ni ukweli but vijana wa saizi wamesahu majukumu yao
@maryamhamdan5353
@maryamhamdan5353 Год назад
lakin mbona mke wakwanza wa Mtume s.a.w alikua mjane na ndo alompenda mpaka kufa kwake?
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад
Unamanisha nn kusema hivyo
@hussenmlimbila372
@hussenmlimbila372 Год назад
Uislamu unamthamini saaana mwanamke na laiti kama wangejua thamani yao wangeishi kama peponi lakini tatizo wamekosa elimu ya dini ndio maanawengi wao wanadhalilika kila uchaoo
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
@@hussenmlimbila372. Nyinyi wanaume mliowengi mnaijua thamani ya m’ke? Na km mnazijua watu wangefikia hapa tulipofikq leo? Kila m’me anatafuta m’ke mwenye kazi hakuna anaetaka goalkeeper! Isitoshe ukishamuonq kazeeka tu unajifanyq mtto unakwenda kutafuta wari unaoa yy unamtreat km mfanyakazi. Hayo ndio yaliopelekea w’ke kuchanjaruka.
@hekmamohamed5203
@hekmamohamed5203 Год назад
​@@Fear_Allah394 ahsante umemaliza yote dada wanaolea tamaa siku hizi
@omarissamashaallahpresiden2920
Haijakatazwa kuoa mjane uislam umeruhusu
Далее
Mambo ma 8 muhimu maishani
27:47
Просмотров 47 тыс.
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
duniya sio kitu OTHMAN MAALIM 2017
32:15
Просмотров 1,1 млн
KISA CHA MCHUNGA MBUZI// OTHMAN MAALIM
32:51
Просмотров 308 тыс.