Тёмный
No video :(

HUYU NDIO MWAMPOSA WANAMUITA BULLDOZA/ UPAKO WA AJABU. 

TimesFMTZ
Подписаться 535 тыс.
Просмотров 190 тыс.
50% 1

Mchungaji Boniface Mwamposa maarufu kama #Buludoza,
live akiwa na timu ya #maishamseto ijue historia ya huduma na vitu vingi kutoka kwake
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Опубликовано:

 

15 янв 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 361   
@barakamfugale1049
@barakamfugale1049 4 года назад
Kwa hiyo tukusaidieje Sis tunamjua kitambo ni mtu bora sana kwangu tena kanisaidia mengi
@sarahyusufu2626
@sarahyusufu2626 4 года назад
Mungu Ndo kakusaidia sio. Mwaposa
@presoursmasawanawakesiowat9419
@presoursmasawanawakesiowat9419 4 года назад
Wewe mujinga mtakufa vibaya wapi maandiko alisema atakuja mtume mwamposa
@happylubida9897
@happylubida9897 4 года назад
Galatia 1:8,_10. Mtumishi anaye hubiri kinyume na injili iliyokuwa ikihubiliwa analaana
@lizzyseif7871
@lizzyseif7871 4 года назад
Mungu azidi kukutia nguvu katika kuieneza injili ameen
@kessynurutajiri3075
@kessynurutajiri3075 5 лет назад
Bwana Yesu asifiwe sana. Hongera sana Mchungaji kwa Huduma yako.
@simonhaule6567
@simonhaule6567 4 года назад
Soma sana bubble upate marifa!!nyakati za mwisho!!
@syliviamsamati6708
@syliviamsamati6708 3 года назад
Mimi umenitia mbali Sana nilipambana na nguvu zangu nilishindwa kabisaaaa Ila wewe ulinifundisha na kunyanyuka upyaaas
@rossejoseph9312
@rossejoseph9312 4 года назад
mungu akuweke. maana mungu ameniponya kupitia wewe mtumishi. amina
@marthamollelloth7673
@marthamollelloth7673 4 года назад
Pole mkuu. Naomba nishuhudie alikuponya nini? Nimeshauriwa kutumia mafuta yake ili nipone
@hildamichael7526
@hildamichael7526 4 года назад
Amen mungu akulinde sana
@yassiniabbassi6674
@yassiniabbassi6674 4 года назад
Yani nyie mmoepotea wote mnashindwa kujiombea wenyewe mnamuamin mchawi nendeni mkatubu mswali swala 5 acheni kujitaftia moto bure
@batridapaul92
@batridapaul92 4 года назад
Rosse Joseph balikiwa
@rossejoseph9312
@rossejoseph9312 4 года назад
amina
@barakamweta9958
@barakamweta9958 4 года назад
Nabii Wa bwana, jembe letu hiloooo, ubarikiwe sana nabiii
@batridapaul92
@batridapaul92 4 года назад
Baraka Mweta sana tu
@simonhaule6567
@simonhaule6567 4 года назад
Watu wangu wataangamia kwa kukosa maarifa!!!
@rodamshom1090
@rodamshom1090 4 года назад
nakupenda sana mwamposa mungu akupiganie kwa kipindi hik kivup
@celinamgundoi5601
@celinamgundoi5601 4 года назад
@@simonhaule6567 Pole sana huenda wewe ndo umekosa maarifa halafu usihukumu usije ukahukumiwa wewe
@barakamweta9958
@barakamweta9958 4 года назад
Tatizo ni ufahamu Mdogo, kuna nabii fulani, aliwasema sana watumishi wenzake, anawaita majini, hawafai,yeye ndiyo mtumishi, akawa anawombea wafe, akafa yeye, siohekima kuwaambia watumishi Wa bwana wadini zozote, kuwasema vibaya, kamahujuikitu nyamaza, mbona ndiyo manahutamsikia akiwajibu, mafarisayo wamejaaa. Ufahamutu ni Mdogo, endeleakumsema, labdakama mungu kakakuonyesha, lakini kama unahisi!!!!!!
@naomychristopher5705
@naomychristopher5705 5 лет назад
we love you so much man of God unafanya kazi ya Bwana bila ulegevu na Mungu anakutumia sana na anakufurahia maana hulali man of God kwa ajili ya Bwana amen.
@mariammariam6307
@mariammariam6307 4 года назад
Naomy Christopher ahahhaah mungu awasamehe hamjuwi mtendalo namkumbuke mungu haziwakiwi
@mariammariam6307
@mariammariam6307 4 года назад
Naomy Christopher ndo mana mmesababisha mauaji ya watu
@naomijohn6759
@naomijohn6759 3 года назад
Napenda kazi yako hakika ume badilisha maisha yangu kwa huyo yesu ulie nayo
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 года назад
Nimefurahi Sana kumuona Mwamposa nimefurahi Sana Mungu azidi kukupa pawa zaidi wengi tumetoka chini ya Meza FROM LEBANON
@RenathaElias
@RenathaElias 3 месяца назад
Mungu akulinde baba yetu kupitia wew kama ulivyotumwa na mung maisha yetu hakika hayajabaki kama yalivyo
@angelaeliuta7399
@angelaeliuta7399 4 года назад
Tunakuombea baba yetu MUNGU akuvushe katika jaribu unalo pitia Kila jaribu lina mlango wa kutokea hakuna mwanadamu ambae hapitii kwenye jaribu Nabarikiwa sana na nahubiri yako
@mosisenga8307
@mosisenga8307 4 года назад
Ameni
@sophianjiku6524
@sophianjiku6524 4 года назад
Karagabao
@evambughuni5324
@evambughuni5324 3 года назад
Jembe letu 💪
@faithkapondo5383
@faithkapondo5383 Год назад
Nampenda huyu mtumish cjawah muona akmsema mtu wala kubshana na wale wanaomsema
@gresianangowi8011
@gresianangowi8011 2 месяца назад
Mtumishi wa Mungu mwenye kuwapa watu ujasiliiiii
@martinaelia1768
@martinaelia1768 4 года назад
Namuelewa saaaaaaaaaaana huyu mchungaj, gonga like km na wewe unamuelewaa😍😍
@aminagau3344
@aminagau3344 3 года назад
Mungu akuzidishie maisha marefu baba mwamposa,
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 года назад
Ana roho nzuri na anapenda watu wa aina zote nilifurahi nilipofika kanisani mwenge nilipona kabla ya kupona
@amurumtuya655
@amurumtuya655 4 года назад
Arise and shine man of God in your temptations
@pastorabellukumay6592
@pastorabellukumay6592 Год назад
Apostle am listening to you for the first time am humbled to hear God through your voice may the God that lifted you the father of our Lord Jesus Christ remember me and the Calling of His son Jesus in my life
@eliashibundabalinze670
@eliashibundabalinze670 4 года назад
Who is here 2020.. Na tukio la Moshi watu kugombania mafuta???? Yesu haeditiwi
@johnjuma3345
@johnjuma3345 3 года назад
Watu wanapenda miujiza wameshindwa kumwita MUNGU wa kweli wanamwita mwanadamu alieungwanishwa na mizimu
@ayubumitiyaki5840
@ayubumitiyaki5840 3 года назад
@@johnjuma3345 pole baba
@mwammyahmedy4296
@mwammyahmedy4296 4 года назад
Mungu akupe maisha marefu🙏🏼🙏🏼 buldozer
@eliahmahozi860
@eliahmahozi860 2 года назад
Huyu kweli ni mtumishi wa Mungu 100%
@matildamushi1741
@matildamushi1741 2 года назад
ARISE AND SHINE KWA YESU YOTE YANAWEZEKANA.AMINI TU.
@GeofreyNgalula
@GeofreyNgalula 23 дня назад
Mungu akujalie mtume mwampossa kwa hudumaaa Mimi naitwaaa raphaaa laizaaa muombeee mamaangu apone kichwaaa alafu namim niombee nipate kibaliii na nianjema
@mlugujames158
@mlugujames158 4 года назад
Fanya kazi ya MUNGU mtumishi usikatishwe tamaa na maneno kifo tumepangiwa sote wadamu na kama umetoa kafara kama wanavodai hata wewe pia udongoni utaludi hukumu yako utaikuwa kwa MUNGU mwenyewe hakuna mwanadamu anaeluhusiwa kuhukumu isipokuwa MUNGU mwenyewe kila MTU aliumbiwa imani yake wee imani yako watu wakikanyaga mafuta wanapona na MUNGU ndivyo alivyokupa neema hiyo ubarikiwe na uifanye kaz yake kwa uaminifu
@salumkurwa6303
@salumkurwa6303 4 года назад
nakukubali sana mtumishi wa Mungu mwamposa
@joycesalvatory7768
@joycesalvatory7768 3 года назад
Hakika Mungu alikuumba, alikujua, akakujaza hekima heshima na maarifa, unyenyekevu wa kuifanya kazi ya Mungu, tunabarikiwa kufunguliwa kukombolewa na mipenyo ya ajabu, barikiwa
@gracemikiara3081
@gracemikiara3081 2 года назад
L
@fatumaabdallah3856
@fatumaabdallah3856 4 года назад
Mungu azidi kukuweka mwamposa wetu
@mariamomar8046
@mariamomar8046 4 года назад
Fatuma Abdallah kha sub hana Allah
@saidking4868
@saidking4868 4 года назад
Fatuma duh unaamin huyu mtume wallah umepotea Allah akuongoze
@eveliciousjoseph6227
@eveliciousjoseph6227 4 года назад
Said king hata wewe pia umeamini tayari ndiyo maana umeita mtume.
@saidking4868
@saidking4868 4 года назад
Yani mi niamin kafiri kama hyu mtume wangu ni Muhammad s.a.w sio huyu kafiri mwamposa hana lolote
@safielijohn2940
@safielijohn2940 5 лет назад
We Love so much dady
@danielelias8012
@danielelias8012 3 года назад
Namba zakee
@gracejulius23
@gracejulius23 3 года назад
Daaaa nakupenda Sana baba angu Mungu akuhifadhi kwaajili ya utukufu wake
@esthererick6339
@esthererick6339 3 года назад
I so proud of you pastor
@neemamichae7869
@neemamichae7869 4 года назад
Yesu hakuwa Na wanafunzi kumi Na wawili Bwana.Alikuwa Na mitume kumi Na wawili pamoja Na wanafunzi wengi.
@gibsonlaureangmail.
@gibsonlaureangmail. Год назад
I appreciate this great man of God, long Live Mwamposa . We have a very reason to have this man of God,be blessed. Your are anointed.
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 2 года назад
Ayaayaayaaya...Nasikia upako in Mwamposa voice🔥🔥🔥🔥kawe kumenoga jmn
@felisteravija1901
@felisteravija1901 4 года назад
Amen mtumish npopamoja naww nakesho napeleka hili swala mbele za mungu ndan ya siku saba naanza kesho mpka jpili nafunga nakusali mtumishi
@musarichard2934
@musarichard2934 4 года назад
Watu wanahukumu Kwa mihemuko ya ajali iliyotokea..ifahamike hiyo ni ajali kama ajali zingine..dereva akisababisha ajali haimaanishi yeye siye dereva.hizo ni ajali tu..binafsi naamini utumishi na mungu anaweza kutenda makuu kupitia mikono ya watu
@Richbtz
@Richbtz 4 года назад
Ubarikiwe sana mtumishi Mwamposa
@upendomwakalibule3735
@upendomwakalibule3735 2 года назад
Ameen kweli maskini tungetupwa mbali Sana tungekosa Huduma lakini mmesikikia wito wa Mungu amesema mmepewa bure toeni bule Barikiwa mtumish Mwamposa
@kavishevicky1816
@kavishevicky1816 4 года назад
Nami nimemfwata nimfahamu vizuri ...asee Buldoza
@zaharahasan1912
@zaharahasan1912 4 года назад
Mwenyezi mungua tasimama tu ,na utabaki juu hiyo ni mitihan ya maisha tu hata ayubu alipitia
@irenebellabellah4003
@irenebellabellah4003 4 года назад
Mungu awe pamoja nawe mwamposa
@teddy11elieza27
@teddy11elieza27 4 года назад
Huu ujinga sinaga natafuta maisha na ninaomba Mungu na Mungu hajawahi kuniacha situmii mafuta wala ushuzi wowote wa mtu hao wanaoenda huko hawana kazi za kufanya
@mwammyahmedy4296
@mwammyahmedy4296 4 года назад
Teddy11 Elieza ulaaniwe acha kuongea upuuz kama ww iman yako inakupa hvyo mungu ni 1 na anasikiliza kila mtu so acha kukoment utumbo
@teddy11elieza27
@teddy11elieza27 4 года назад
@@mwammyahmedy4296 fala mjinga wewe ipo siku atawaambia mbong'oe awapake mafuta unyeoni amka kumekucha na ulaaniwe ww na kizazi chako maana mm Mungu kishanibariki ndyo maana sihangahiki na ujinga huo
@mwammyahmedy4296
@mwammyahmedy4296 4 года назад
Teddy11 Elieza sibishan na wapuuz kama habar haikuhusu na hata kucoment hapakuhusu mungu akusamehe haujui utendalo
@mwammyahmedy4296
@mwammyahmedy4296 4 года назад
Am happy 🙏🏼 coz my Sir God is already blessing my side.
@teddy11elieza27
@teddy11elieza27 4 года назад
@@mwammyahmedy4296 kwendraaaaaaaaaaaaaa
@masumbukomwanga3693
@masumbukomwanga3693 4 года назад
Hongera MTU wa Mungu maana hili litapita na Mungu atakupeleka juu zaidi kiimani
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 года назад
Tunakupenda sana mungu atakutetea
@rechoraymond3396
@rechoraymond3396 3 года назад
Mungu azidi kukubariki baba umeniinua sana kiimani
@lwanjiedna5233
@lwanjiedna5233 10 месяцев назад
Napenda mafundisho ya Mwamposa.Humble servant of God.
@meshackmanofgod8151
@meshackmanofgod8151 2 года назад
Umeongea point sana baba wamekuelewa nami hukuniliko napokeaaaaaaaaaa kwajina la YESUUUU
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 года назад
Ongera Kwa Kazi nzuri mchungaji mwema anatuchunga
@lizymasssawe6980
@lizymasssawe6980 4 года назад
I love u my sweet dady
@dorcasloy7935
@dorcasloy7935 Год назад
Mungu akupe maisha Bora nakupnd.kutoka moyoni ipo siku utanishika hata mkono tu I love you..
@mussamachepe1242
@mussamachepe1242 4 года назад
Mimi namwamini hata yesu alikataliwa zaman hakuwa mwana wa mungu hivyo mnao mponda nyiye ndo wayahudi wa sasa mungu akuweke waliofungwa wafunguliwe
@dorcusnsajigwa7499
@dorcusnsajigwa7499 5 месяцев назад
Mtumishi mungu andwlew kukupa neema iyoiyo nimepona bonge uvimbe mungu mwema na naomba nipate mtot amen 🙏
@RenathaElias
@RenathaElias 3 месяца назад
Mungu akupe afya njema sku zote za maisha yako na akupe miaka maelfu na maelfu
@fatumahelmers1763
@fatumahelmers1763 5 лет назад
Amena mchunganji,
@lucanassary4661
@lucanassary4661 5 лет назад
Amen nibarikiwa sana
@user-dr5kw3jh7v
@user-dr5kw3jh7v 2 месяца назад
Mungu akubariki mtume mwamposa
@babricksimon334
@babricksimon334 5 лет назад
dady I love you mungu akuweke kwaajil yangu
@user-cs6vc6ff5y
@user-cs6vc6ff5y 5 месяцев назад
Tunakupenda sanaaaaaaaaaaaaa mwamposa wata kusema sana tunakuamini sanaaaaaaaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Asante kwa uponyaji baba
@johnameennimebarikiwasanam308
@johnameennimebarikiwasanam308 4 года назад
Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi huyu ameniponya kiroho Mungu akupe maono zaidi
@peterwilson1325
@peterwilson1325 5 лет назад
Nimekuelewa
@user-ke6cp4vx4p
@user-ke6cp4vx4p 4 месяца назад
Asante kwakunivusha hapa na kuniweka pale
@consoselemani4872
@consoselemani4872 4 года назад
Piga Kazi baba mungu yupamoja nawe najua haya nimajaribu tuu majalibu ni mtaji wa kuongeza imani yako mwamini mungu atakushindia
@ChristinaFungama
@ChristinaFungama 5 месяцев назад
Mtumishi wa Mungu uzidi kuishi miaka mingi ili nawajukuu wetu wakakuone
@SifaelNoah
@SifaelNoah 4 месяца назад
A poatol barikiwa mtumish
@thomaslaswai183
@thomaslaswai183 4 года назад
Huyu mchungaji anawaibia masikini ,maandiko yanasema masikini atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho.
@jonhjackson5290
@jonhjackson5290 4 года назад
Kabisa na ndo Leo kaua watu 😥😥
@ajaymunisi6746
@ajaymunisi6746 4 года назад
we kama huna imani shauri yako kaponya sana wa2 wengi acha kumuongelea vibaya
@yusufukiwinga6978
@yusufukiwinga6978 4 года назад
Huelew ww
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣aise anaonekana mjanja mjanja
@danielmsuya7552
@danielmsuya7552 4 года назад
Thomas Laswai kitabu gani kwenye biblia kinasema ivyo,,,,,THIBITISHA..!
@benjaminngatunga3931
@benjaminngatunga3931 2 месяца назад
Mungu akulinde mtumish
@pendoelias4822
@pendoelias4822 3 года назад
Nakpenda sana mtumishi Mungu akubariki sana cjutii kila nikifka kanisan natoka tofaut na nlivongia
@kids_giftshopkids_giftshop3374
@kids_giftshopkids_giftshop3374 4 года назад
Nabarikiwa sana
@happymhonda6413
@happymhonda6413 3 года назад
If no
@happymhonda6413
@happymhonda6413 3 года назад
If
@BarnabaSamwel
@BarnabaSamwel 11 месяцев назад
Asante baba unanibariki sana
@Catherinedaudi-og9my
@Catherinedaudi-og9my 6 месяцев назад
Amina mtume mungu akupe maisha marefu uzidi kutusaidia
@annatkhan7507
@annatkhan7507 4 года назад
Nakupekunda bule mtumishi
@RenathaElias
@RenathaElias 3 месяца назад
Mungu akubariki sana huchagui dini wala kabila
@julianajchambala6954
@julianajchambala6954 4 года назад
Nakupenda sana Baba yangu
@cecilialymo2728
@cecilialymo2728 4 года назад
Unampenda kwa sababu humjui vizur huyu Ni tapel wa kufa
@simonhaule6567
@simonhaule6567 4 года назад
Watanzania tupendane lakini tucdanganyike jaman
@juliuskameli1282
@juliuskameli1282 4 года назад
ndo naelewa kua watu ni wanafki namepitia comenti waliokomenti kabla y'a tukio lakuuwawa watu wanamsifu tukio limetokea sasa ndo kila mtu anaponda acheni unafki kikubwa badilikeni
@lilyrose4066
@lilyrose4066 4 года назад
Bora na wewe ulivyoona
@marthashimba5166
@marthashimba5166 3 года назад
Mungu aendelee kukupa neema ya kuieneza injili.
@kennethngoleka517
@kennethngoleka517 3 года назад
Huduma yake naihitaji nipo kusini mwa nchi yetu mtwara sijajuwa napataje huduma yake ya mafuta na maombi ili nami nibadili maisha yangu.
@naomijohn6759
@naomijohn6759 3 года назад
Unatakiwa kwenda au wsiliana na wahudumu
@joycekafunga6457
@joycekafunga6457 4 года назад
Mungu ni mwema sana barikiwa baba
@zenahjacob7773
@zenahjacob7773 Год назад
Mwamposa mtumishi wa Mungu yuko vizuri maana Mungu yuko ndani yake
@nuhusingano181
@nuhusingano181 4 года назад
Amina mungu azid kuku weka
@aishamustapha7381
@aishamustapha7381 4 года назад
Acha uwongo ww
@mutimkono7028
@mutimkono7028 5 лет назад
Love u dad
@edithamichael7639
@edithamichael7639 2 года назад
Nakupenda sana baba mungu akupiganie Kila hatua utakayo piga 🙏🙏🙏
@BettyMsongole
@BettyMsongole 4 месяца назад
Ubarikiwe baba
@happymushi4982
@happymushi4982 4 года назад
Mungu akusaidie Kwanzaa jaribu ulilo pata utavuka jaribulako mtumishi ataukiwa wapiombawatu wanapona kwakupitia were
@mahamoudabas8555
@mahamoudabas8555 4 года назад
Hakuna nabii hapa, ni utapeli wa hali ya juu tunawajua hawa, Africa Rise! Huyu ni segerea moja kwa moja.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 года назад
Na MUNGU AJITUKUZE TUWAJUE WAONGO NA WA KWELI MAANA KUNA SHIDA JUU YA KUAMINI MAJI CHUMUVI NA MICHANGA
@gresianangowi8011
@gresianangowi8011 2 месяца назад
usihukumu usijekuhukumiwa
@elizabethsabuni7776
@elizabethsabuni7776 4 года назад
Yaliyotokea yamesha pita.ukweli ni kwamba amesaidi watu wengi watu wamepona kupitia mchungaji huyu ko watu wasiseme sana mabaya yake hakuna alie mwema wote tu dhaifu mbele ya Mungu
@loner_wolf
@loner_wolf 5 лет назад
HUYU jamaa Kama pesa anapiga April - Dec 2019 ....CIO kwa mtiti huu wa wachangia sadaka.....
@gresianangowi8011
@gresianangowi8011 2 месяца назад
jaribu na wewe upige tuone
@charleskuya7703
@charleskuya7703 2 года назад
huduma YAKO inalipawatu wengi wanapona NAOMBA mungu aweke wepesi akujalie ukafanye huma yauponyaji kwetu tabora
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 года назад
Mwakasege anao mkusanyiko mkubwa kuliko Wa kwako. Lakini watu hawakanyagani. Mungu akusaidie ukutane na Yesu.
@cecilialymo2728
@cecilialymo2728 4 года назад
Kabisa na katika wachungaji ninaowakubal Ni Mwakasege,hizi ibada za kukanyaga mafuta ufongo Mara vitambaaa zote Ni ibada feki,huyu Ni mwiz wa sadaka za watu
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 года назад
@@cecilialymo2728 Mungu atusamehe maana tunaongea tusiyo kuwa na huakika nayo Mungu tusaidie from Lebanon
@OmarKhamisi-lf8sg
@OmarKhamisi-lf8sg 5 месяцев назад
Mungu amzidishie baraka mtumishi huyu
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 Год назад
Neema imetupata nchini mwamposa true man of god
@janethbarongo4798
@janethbarongo4798 5 лет назад
I love u dady
@enjonico5301
@enjonico5301 2 года назад
Yaan nikienda kanisani kwa mwaposa asipopanda madhabahuni ibada yote inakuwa ngumu kwangu
@victoriamkumbo5866
@victoriamkumbo5866 4 месяца назад
Munguakupemaishamarefubabaanguwakiroho❤
@evaaron3078
@evaaron3078 2 года назад
Umefanyika baraka kwa maelfu ya watu,,MUNGU wa mbinguni Akulinde Amina
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 2 года назад
Weacha waseme wasemayo Mimi nimepona sii kilema Tena mnaokataa endeleeni kukata wapo wengi waliokataa baada ya kupona wameamini na wametoa ushuhuda piga Kazi baba upako uendelee Sina magongo Tena nipo huru
@ummiaziza7742
@ummiaziza7742 2 года назад
Habari yako pole na kazi
@RobertLuka
@RobertLuka 5 месяцев назад
Naenjoy nikimuona mtumishi mwamposa
@fredrickgasper9599
@fredrickgasper9599 4 года назад
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Watu wa Mungu simameni kwenye misingi ya imani zenu na makanisa yenu Mungu yupo kila mahali tatizo lenu mnapenda miujiza na sio kupenda kumjua Mungu na kazi anazozifanya. SOMENI SANA BIBLIA MSIPENDE MIUJIZA FANYA KAZI KWA BIDII NA KWA MALENGO UTAFANIKIWA. Siku za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo wote wakilitaja jina la bwana. ZIJARIBUNI KILA ROHO SI ZOTE ZITOKAZO KWA MUNGU. Mungu awasaidie sana mnaacha makanisa yenu mnakimbilia miujiza hata hapo ulipo muujiza upo kikubwa na kumjua Mungu, Kumtii na Kumwamini kila kitu kinawezekana kwake yeye.
@luciadominic8845
@luciadominic8845 4 года назад
Apa Kaka umeongea
@barakamwaitebele6929
@barakamwaitebele6929 2 года назад
Mungu asikupungukie ktk huduma yako..
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
😭😭baada ya tukiola moshi ngoja nikujuwe buludoza .daaaah kweli kiama kimefika nanabii wa ukweli na uongo ndio hawa sasa. Haya wafufuwe sasa wewe si mungu mtu
@maryjohnson7099
@maryjohnson7099 4 года назад
Hahahaaa umenichekesha Ashuu duh DUNIA imeisha Mungu atupiganie
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 4 года назад
@@maryjohnson7099 kazingua huyo. Yeye angewambia wapange foleni mojamoja apite.
@maryjohnson7099
@maryjohnson7099 4 года назад
Alikua anataka kafaraa
@jakobonyambo2098
@jakobonyambo2098 4 года назад
@@maryjohnson7099 Anakula kondoo mungu anamuona ☠️☠️🙈🙉👈
@mlugujames158
@mlugujames158 4 года назад
Achane kuhumu ya MUNGU mwachieni MUNGU mwenyewe
@NiceWatson
@NiceWatson Месяц назад
Alerujha Alerujha Alerujha 🙌 🙏🏻
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 4 года назад
*WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA* _Aliyeanzisha sijui ni nani maana wengi wanatoka Mkoa wa Mbeya_
@tupokigweniganile6002
@tupokigweniganile6002 5 лет назад
BULDOZER MAN OF GOD
@vionasindani1206
@vionasindani1206 4 года назад
Mungu nitie nguvu nimalize mwendo salama ,,,niongoze kwa njia za haki,niepushe na manabii wa uongo
@chescomwakipese3422
@chescomwakipese3422 4 года назад
Kaza but pasirta ss tupo pamoja nawe
@mudyxhumedmudy5888
@mudyxhumedmudy5888 4 года назад
Lailaha ilallah Muhammad Rasulullah.
@smartboy476
@smartboy476 4 года назад
Mudy Xhumed mudy Allah atuongoze ktk haki shekh wngu
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 4 года назад
Mwizi mkubwa hana lolote huyu
@saidking4868
@saidking4868 4 года назад
Swalallah alayh wasallama huyu jamma kaafir hana lolote uo utume kaupata wapi
Далее
HII NDIO SABABU YA MRISHO MPOTO KUTEMBEA  BILA VIATU...
14:05
Sevinch Ismoilova - Xayollarim 18-Avgust 19:00 Premera
00:19
ТАЙНЫ И ЗАГАДКИ ИНТЕРНЕТА 2
41:37
WOSIA WA MAMA RWAKATARE | UTAJIRI WAKE, HISTORIA YAKE
18:40
Sijawahi Kusema, Ninao Maadui Mtume Mwamposa
41:00
Просмотров 56 тыс.