Тёмный

"HUYU NDIYE MKUU WA USALAMA TANZANIA, WALA SIMFICHI" - JPM 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 416 тыс.
50% 1

"HUYU NDIYE MKUU WA USALAMA TANZANIA, WALA SIMFICHI" - JPM
RAIS Dkt John Magufuli, leo Juni 11, amezindua jengo la makao makuu ya jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Dodoma..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 108   
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 года назад
Speech zenye hamasa ya kuskiliza even today zinamake sense..RIP Mkuu wetu
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 3 месяца назад
Kumchagua mwanajeshi mangerez wapi na wapi..!
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
Daah 😥 Yani Kama bado siamin ila ndyo mipango ya Mungu 🙏
@myself4128
@myself4128 3 года назад
Aliyemuua Mzee wetu Mungu Atamahughulikia tu damu yake haitokwenda bure
@lukagulagekidehele5788
@lukagulagekidehele5788 3 года назад
Hongera mdogo wangu Athuman Diwani ulikuwa mtendaji mzuri msimamia haki ulipokuwa OCD Ifakara kabla hujaniacha ukaends Mbeya, Shinyanga, Mbeya tena, Mkurugenzi makosa ya jinai, katibu tawala TAKUKURU na leo juu juu juu zaidi
@daviesoscar1603
@daviesoscar1603 Год назад
Amina
@margitmargitt5935
@margitmargitt5935 3 года назад
CONGRATULATIONS makufuri💪💪💪
@sniper93999
@sniper93999 3 года назад
J.P.M rest in peace 😭😭😭😭
@sniper93999
@sniper93999 3 года назад
Inaumaaaa😭😭😭😭😭😭
@moriscollins4494
@moriscollins4494 4 года назад
Hii ni nchi yetu hivyo kila mtu ni mlinzi wa hii nchi yetu.....Mungu simama nasi
@kuchukuchu4856
@kuchukuchu4856 4 года назад
Ongera sana Ris wetu wew ni muwazi sana kwakila kitu
@chanangwatv3011
@chanangwatv3011 3 года назад
Mh. haangalii vyeti bali utendaji kazi, kila la kheri BABA
@piusmsekwa8502
@piusmsekwa8502 3 года назад
Much respect to him
@beatricmmpantaleo3420
@beatricmmpantaleo3420 3 года назад
Mheshimiwa anaakili nyingi xn ambayo c ya shule tu bali ya kuzaliwa pia kwa sababu Mambo mengi anafanya kwa kutumia akili na sio nguvu......mungu akubariki daima
@safarimallya4536
@safarimallya4536 4 года назад
Namuona Keisha
@mwanahamisimanglepa418
@mwanahamisimanglepa418 3 года назад
Dady i miss you
@heridadia9634
@heridadia9634 3 года назад
HOtuba zako ni mwangaza kwtu rip our hero
@hamisikalulumbe6857
@hamisikalulumbe6857 4 года назад
Mbona kama Keisha kwa mbali
@SauliBasso
@SauliBasso Месяц назад
Speech za maana kuna huyu iliyemuacha yupo jikoni anakaanga nyanya
@gastordominic410
@gastordominic410 4 года назад
Nimekuelewa mkuu kinachomata ni kuwa kichwani una kitu gani
@georgekimboka6218
@georgekimboka6218 4 года назад
Mwenyenzi Mungu Mkuu Mtakatifu akubariki sana Mh Raisi Magufuli nakupenda sana
@jamesasholiyo5012
@jamesasholiyo5012 3 года назад
Sawa Baba Mungu u pamoja na we
@felistamaembe4895
@felistamaembe4895 3 года назад
Tafuta namna ya kumaliza majeraha ya uchaguzi kupunguza mgawanyiko wa Watanzania. Hata ukipita mitaani Tanzani hatuko pamoja na hii ni hatari sana kwa usalama wa Taifa letu.
@jacoblaiser7634
@jacoblaiser7634 4 года назад
Mhe Rais dhamira njema uliyo nayo dhidi ya Tanzania, Mungu atakusaidia uikamilishe. Mungu akulinde Mhe Raisi.
@tumamapishi2184
@tumamapishi2184 4 года назад
Nimependa mkuu wa tiss ana heshma kubwa duuu sijawahi kuona
@carteq
@carteq 4 года назад
Support!!!!
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 4 года назад
Naipenda sana secta ya usalama wa Taifa. Muheshimiwa kama kuna uwezekano wa kupatiwa hiyo nafasi nami naiomba in shaa Allah.
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 года назад
Safi sana.
@anthonyasahani5270
@anthonyasahani5270 4 года назад
Yes boss
@kanukanute1514
@kanukanute1514 4 года назад
Tunakuunga mkono muheshimiwa ktk majukumu yako muheshimiwa diwani Hassumani
@ommimg2467
@ommimg2467 4 года назад
MH. NAKUOMBA NIPATIE NAFASI YA USALAMA WA TAIFA DAH NAIPENDA SANA NA NALIPENDA SANA TAIFA LANGU TZ
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 3 года назад
Unajua utzkachofanyiwa pale utkapotoa siri?
@ramadhanmatinya7053
@ramadhanmatinya7053 3 года назад
@@kuchimillionaire6683 hahhahhahhaaha
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Год назад
​@@kuchimillionaire6683 😅😅mm nahuu umbea wangu dooooo
@Daudi92Kapuya
@Daudi92Kapuya 4 месяца назад
Uncleee
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 4 года назад
Sioni sababu ya kutobadili mfumo,presidential terms to be 20years instead of 10years now, ni rahisi sana kupata bora RAIS ktk miaka 100 Lkn ni vigumu sana kupata RAIS bora ktk miaka 100.
@elizabethmabula101
@elizabethmabula101 4 года назад
Bora tu awe. Tumechoka kuona sura mpya bila maendeleo
@SampleKiller99
@SampleKiller99 4 года назад
It's not easy work! The issue of constitutional matters.
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 4 года назад
ni kama vile kubadilishana terms zisizo na maendeleo,sura mpya na kujaza majina tu,tunaitaji kiongozi bora na sio bora viongozi.constitution can be changed or amended, its possible.
@othmanalsherem7313
@othmanalsherem7313 4 года назад
Huyo Binadamu anaweza kufa muda wowote na akaja mtu mwingine asiyefaa akaitumia vibaya katiba, au ulitaka akifa rais huyu katiba irudishwe kama zaman?
@mussamwamoto8231
@mussamwamoto8231 4 года назад
PUTIN alikuwa waziri mwenye nguvu na mad wake ulipokwisha walikubadiliana kwa maslahi ya taifa awe rais mwenye madaraka ,na akapata urais na yupo hai,kifo hakiepukiki si kwa mzee wala kijana.
@Visionmaker70
@Visionmaker70 3 года назад
Raisi mchapa kazi nampenda sana Na ukali wake pia kazi yake
@sudaissoud3670
@sudaissoud3670 3 года назад
Mkuu wa mambo yale tuliofanyiwa Znz. .
@auntdorah9141
@auntdorah9141 3 года назад
Tunakupenda muheshimiwa..
@abuumfaki8445
@abuumfaki8445 3 года назад
Wazii iyoo
@morandraymond8602
@morandraymond8602 4 года назад
Nimependa nataka tuchape kazi kama wachina umetisha ila zawadi peke kwako ni kuongezewa muda tu na sinyingine
@abdulkadirizuberi6432
@abdulkadirizuberi6432 4 года назад
Tundu lissu
@hajjighanji5667
@hajjighanji5667 3 года назад
MFUATA UBELGIJI
@adammlonganile7921
@adammlonganile7921 3 года назад
Sufuri
@issabilali3539
@issabilali3539 Год назад
Binadamu ni vìumbe wa ajabu sana, huyo Kikwete kapata nini kumuuwa Magufuli?
@chachamwita6535
@chachamwita6535 4 года назад
Apa kazi ipo
@sharifunyengedi6322
@sharifunyengedi6322 4 года назад
Watanzania hakuna zawadi au fadhila tunayoweza kukuliZaidi Ya Kukuongezea Muda Tu Wa Kukaa Madarakani. Mungu atusaidie tulifanikishe hili
@obugobaraka141
@obugobaraka141 4 года назад
Iko vzri but bashindwa kuelewa kwani ili uweze kusimamia kitengo nyeti ni kazima uwe umepitia jeshi .kwaio ajira yoyete ya usimamizi lazima uwe unepitia jeshi!?kwaio sisi ambao hatuna uwwzo Wa kufika huko na tumesoma anagalau hizo kazi hazituusu tutabaki wasafisha viatu huku chini ,kila MTU anaweza kusimamia kitengo chochote aijalishi wew ni haskari cha muhimu ni uhaminifu tu,au sio wote nchi ni yetu
@upendohalisi80
@upendohalisi80 4 года назад
Nami naomba ukuu usaidizi wa Tis jamani, mkuu unapitia comment, zetu vijana.
@ramadhanmatinya7053
@ramadhanmatinya7053 3 года назад
Haahaahah safari ni ndefu kdg mpaka kufika hapo
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 4 года назад
Safi raisi wetu
@rambomachimu4286
@rambomachimu4286 3 года назад
Ongera.mkuu.wausalama.chpakazi
@makusanyanungnungu1123
@makusanyanungnungu1123 3 года назад
Kazi inaendelea
@jumannemlacha7318
@jumannemlacha7318 4 года назад
Taifa letu tulijenge,twende mbele Tanzania.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Год назад
Nyota hii tutaitafuta wameipoteza majasusi ili wale Bata,eemungu tusaidie
@jacoblaiser7634
@jacoblaiser7634 3 года назад
JPM nitaendelea kukukubali tu hata ukistaafu. Dhamira yako njema kwa TZ na uadilifu katika utendaji kazi vitakufanya uheshimike zaidi hata ukistaafu utaacha historia ambayo haitakuwa rahisi kuja kuvunjwa na mtu yeyote. Shkamoo Mhe Dr JPM, Raisi wangu, Raisi wa Watanzania na Amirijeshi Mkuu wa majeshi yetu yote TZ.
@daviesoscar1603
@daviesoscar1603 Год назад
Hotuba inashawishi kusikiliza tena na tena
@scholafelix8739
@scholafelix8739 3 года назад
Magufuli anatupenda watanzania anaviongozi wazulisana ilatu ukibolonga hunachako sisi wanyonge tunampenda kwasababu msema kweli laisi tunakupenda sana by SCOLA 0756538430
@aroonmuchunguzi3442
@aroonmuchunguzi3442 4 года назад
Huyu jamaa wa usalama mbona hapigi salute
@allymuhammad325
@allymuhammad325 4 года назад
Kavaa kiraia, hapigi saluti yakuinua mkono, anakakamaa tu
@adelatusiadolph8911
@adelatusiadolph8911 4 года назад
Hana uniform ya jeshi.
@emmanuelchizenga1572
@emmanuelchizenga1572 4 года назад
Huyo ni kitu ingine kabisa
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 3 года назад
Keisha wacha nyege
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 3 года назад
Unaweka jamaa zako ili akulinde tu ndio maana unawaweka kila pahala
@valeriananziku3561
@valeriananziku3561 4 года назад
Wengine waletwe kwenye kilimo watu wavivu kulima
@bashirsalimin4948
@bashirsalimin4948 4 года назад
😂😂😂😂
@johaally669
@johaally669 4 года назад
🤣🤣🤣
@aishajuma7739
@aishajuma7739 3 года назад
😂😂
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 года назад
Msitafishe kama kasha kuwa mzee
@faridamikindo4524
@faridamikindo4524 3 года назад
Uyu anaetafsiri ujinga apo ni nani ??anaharibu maneno yanayo ongea rais. Msitafsiri msochokijua please 🙏🙏
@kayealey1097
@kayealey1097 4 года назад
0:13 03:23 0:33
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 года назад
Safi sana Mhe Rais wetu
@omaryhaji1664
@omaryhaji1664 3 года назад
Nimekusoma boss
@allexchriss5425
@allexchriss5425 4 года назад
Mkuu wa usalama wa taifa nimemuona naanza kupita mbali
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 года назад
Basis Wewe kuna kitu moyoni mwako ,
@karimmkejina980
@karimmkejina980 4 года назад
una majanga nn?
@MwalimuPeter
@MwalimuPeter 6 месяцев назад
Mmhhhhh
@babylonyNgwembe
@babylonyNgwembe 4 года назад
Unatakiwa utumie akili sana kumwelewa mh magufuli haswa anapo mtambulisha mkuu wa usalama Tz..it means at all GVT instutions or directory it is available to work with TIS without identify hm/her so you should be carefully
@ramadhanmatinya7053
@ramadhanmatinya7053 3 года назад
Hiyo system iko tangu zaman sana ndugu tena yeye kaharibu kdg kumtambulisha yaan ukirudi miaka 10 nyuma ilikuwa ngumu sana kumjua kwa sura mkuu wa usalama
@jamesmapenzi1319
@jamesmapenzi1319 3 года назад
Nani anatafsiri huu utopolo? Lugha haieleweki
@adammwita3150
@adammwita3150 4 года назад
👍
@valentinemtei2927
@valentinemtei2927 4 года назад
Je
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 3 года назад
Ndiyo wasiojulikana
@nuruelymollel707
@nuruelymollel707 4 года назад
Kumbe huyo ndio diwani,
@geraldgodsontv7982
@geraldgodsontv7982 4 года назад
Kigogo huwa anamchambua sana😂😂
@goalpost6753
@goalpost6753 3 года назад
Police aende JW
@mrishojumaamrisho3212
@mrishojumaamrisho3212 4 года назад
Yan apo tyu kashaangalia wa2 wote fasta ni hatareee
@issaali5434
@issaali5434 3 года назад
Kuficha ni hapa Tanzania tu,nchi zilizo na democrasia na transparency, viongozi wa usalama wa nchi wote wanatambilka wazi kabisa
@ramadhanmatinya7053
@ramadhanmatinya7053 3 года назад
Kasema hao viongozi wa juu wa usalama huwa hawafichwi jaman khaaa
@shaibukaskas9594
@shaibukaskas9594 4 года назад
Pongez nyingi kwko mh rais ww ni jembe....
@margitmargitt5935
@margitmargitt5935 3 года назад
Ati ni jembe😃😃😃
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 4 года назад
N
@abelsimon9994
@abelsimon9994 3 года назад
Sifa mmmmh haya jmn
@ibrahimrajabu8722
@ibrahimrajabu8722 4 года назад
Hahaha
@frankassey5971
@frankassey5971 4 года назад
mbona kikwete akikuwa hasimamishi watu ivo yaan kama imekuwa headmaster na mwanafunz sasa wababa na familia zao
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 4 года назад
Kila mtu na utawala wake
@rashidyshabanishewedy145
@rashidyshabanishewedy145 4 года назад
@@martinkipenya4592 Ni kweli kila zama na kitabu chake japo kuna misingi yake ktk hiyo kauli... Watu wa usalama ktk Nchi hii sio wa kuwatajataja mbele ya hadhala za watu. Hata ktk miiko ya kazi zao haziruhusiwi...
@saudatendega8250
@saudatendega8250 4 года назад
Hahahahaha nimecheka kwa sauti yani ndio hivyo rais tumempata
@beberurafiki3534
@beberurafiki3534 3 года назад
Ni bora hao unaowatambulisha wao ndio wangekuwa marais lakini c ww. kisa kukariri majina ya bara bara ndio ukafika hapo, tz bn!
Далее
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 21 млн