Тёмный
No video :(

LIVE: MAGUFULI AMKATAZA MKURUGENZI KUONGEA KIINGEREZA "NITAKIFUNGA" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 102 тыс.
50% 1

#JPM #MAGUFULI

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 85   
@user-rh4hf3yo9t
@user-rh4hf3yo9t 3 месяца назад
Watanzania mulikuwa na kiongozi mwema.much love from Malawi 🇲🇼
@awadhgugu317
@awadhgugu317 3 месяца назад
Wewe hujielewi
@etemesiedward1508
@etemesiedward1508 3 месяца назад
pombe best
@CharlesWanyeche-er6rw
@CharlesWanyeche-er6rw 3 месяца назад
Kweli kabisa tena mtetezi wa wanyonge
@zitojosempakama8918
@zitojosempakama8918 Месяц назад
Tatizo huko Tanzânia kuna wa2 waovyo sana. Kama huyo jamaa apa
@user-rh4hf3yo9t
@user-rh4hf3yo9t 27 дней назад
@@zitojosempakama8918 yah. Bila shaka. Africa nzima ilimulilia raisi wa Tanzania ila watanzania wengine bado hawajui kwamba mangufuli alikuwa best in Africa.
@osircharles9371
@osircharles9371 3 месяца назад
Mungu amweke mahali pema peponi,Kwa kazi aliefanyia wanainchi mungu mukumbuke
@etemesiedward1508
@etemesiedward1508 3 месяца назад
Best president in Africa
@tumainichengo1477
@tumainichengo1477 5 дней назад
Tanzania ilipoteza RAIS mchapa kazi,your the one and only sir.wewew ndio mr.president wa kweli
@blackhunter455
@blackhunter455 3 месяца назад
Nikimkumbuka "Jembe" nakuja hapa tu,kamwe hatusahau ❤
@joelkiiru1223
@joelkiiru1223 28 дней назад
He was a man by the people for the people, sijawahi kuumwa na kifo cha mtu Kama chake magufufi tangu kuzaliwa, I literally cried when I was alone kwa nyumba, I will name my son after him, it's a must bora nipate mtoto wa kiume.
@tumainichengo1477
@tumainichengo1477 5 дней назад
mungu akulaze mahali pema palipo na wewe RAIS POMBE
@PauloLeonard-ol5oo
@PauloLeonard-ol5oo 3 месяца назад
Daaaaaaaah.spati picha mpaka Leo magufuli angekuwepo cdhani kama kuna inch africa ingetufikia kiuchumi lakin leo hii,😂.
@user-tp8fq9mb8e
@user-tp8fq9mb8e 3 дня назад
Respectfully Dr. John Magufuli and Mr. Dr Paul kegame. We as first African countries or as other African countries we always wish for a president like John Magufuli from Chato city Tanzania and Paul Kagame from Urundi city Rwanda. We have dream one day to be stable like Rwanda and Tanzania. From Esta Africa
@user-ml5tq8hj2x
@user-ml5tq8hj2x 10 дней назад
Rip legendary tunakukumbuka sana sana usingelala tungekuwa ulaya ulaya 😢 wakuregenzi walikomaga mana na vilikuwa viizi vya kufikia
@victorgerryson2695
@victorgerryson2695 3 месяца назад
MPAKA SAS TZ IMEPATA MARAISI WAWILI TU, HAYATI MWALIMU NYERERE NA JPM
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 9 месяцев назад
Huyu jamaà waliomchukia walimkosea sana na kulikosea taifa hili, aliju😢kubalanci mambo
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 22 дня назад
Wewe ni mbinafsi tu angeliuliwa baba yako kwa uonevu,kaka zako,wajomba zako wangelitekwa na kutoweka mazima kwa uonevu tu ungelikuwa na uthubutu wa kuandika hayo basi wenzako kwa mamia yamewafika hayo wapendwa wao wengi waliuwawa na wengine kutekwa hadi leo hawajaonekan tena.Tuwe na ubinadamu,utu,kujaliana na kuhurumiana si kukifanya kumpenda mtu kwa maneno yake ya kinafiki.Anahubiri amani nyuma kafichs panga linavuja damu.
@ubunifulifestyle3492
@ubunifulifestyle3492 22 дня назад
@@user-oh6pc7zd4s we bwana weee skiliza babu na acha ulimbukeni, kutekwa kupotea kuuuawa hakutoisha kamwe mpaka siku ya mwisho, mama yu madarakani mbonana kunawatu wanalalamika wanatekwa kwahio magu yupo? Acha fikra binafsi na acha hisia na mawazo ya mtu au watu yaongeee, hupendezwi nayo kausha
@ibrahimmungure7493
@ibrahimmungure7493 4 года назад
Mh.magufuli Miaka Kitano mbele haitoshi bado una kazi kubwa kuinyoosha Tanzania .
@TysoniTarimo
@TysoniTarimo 28 дней назад
Mwenyenzi mungu amrehemu na amlaze kulingana na matendo yake
@user-ey9sb2zp8u
@user-ey9sb2zp8u 4 месяца назад
Tunakukumbuka sana rais wetu pendwa ulikua mchapakazi makini sana 😢😢
@MobileDawat
@MobileDawat 5 дней назад
Magufuli,Traore nyinyi ndiyo wa Africa wenyewe!wengine wezi tu!!!
@RASHIDIKAHINDI
@RASHIDIKAHINDI 18 дней назад
Nitakumbuka daima mimi niko Masumbwe❤❤
@TysoniTarimo
@TysoniTarimo 28 дней назад
Mwenyenzi mungu aturehemu zone na atuepushie na adhabu ya kabuki a moto wa jeanamu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 23 дня назад
Chuma jpm I'm still watching 2024..R I P😢
@MuendoJusto
@MuendoJusto 4 месяца назад
Best President in Africa,,, continue resting in peace
@CharlesWanyeche-er6rw
@CharlesWanyeche-er6rw 3 месяца назад
R.I.P Dady nakukumbuka sana utumishi mwema wenye kujali maslahi ya taifa zima.
@paschalnghomba4671
@paschalnghomba4671 8 дней назад
Naomba Makonda awe Rais hakika ni Magufuli mtupu
@hastings456
@hastings456 4 месяца назад
A true leader who loved to deliver for his people
@estermpare4078
@estermpare4078 Месяц назад
Mpakaa leoo nafwqtilia hotuba zako babaa 😢😢😢 R.i.p jembe letu😢😢
@hongeramgaya714
@hongeramgaya714 4 года назад
Rais mwenyewe huwa anaongea kingereza wakati mwengine kidogo Sana siku izi kapunguza lakini huwa anaongea.
@AnordJoseph-e2e
@AnordJoseph-e2e Месяц назад
Eti raisi samia nae Raisi mhhh ata ningekuwa mm mbona naweza, Raisi alikuwa huyu Toka Tanzania ianzishwe
@paulmatonange6718
@paulmatonange6718 4 года назад
Fukuza mukulugenzi kwanza hajui anachofanya hana cha maana
@jayjay4313
@jayjay4313 4 года назад
Duniani kwenyewe wanamtambua kwa jina la "BULL~DOZER" alafu nyie bado mnajifanya anko wenu. Atafunga mutu hapa. FANYENI KAZI/ NO JANJA NYANI 😁 ALA!
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 Месяц назад
Huyu Mwamba Sio Poa Duuh 😂😂😂 Anatukana Watu Na Familia Zao R.I.P JPM
@ROBERTMAXIMILIAN
@ROBERTMAXIMILIAN 3 месяца назад
Utumishi wa Umma ni zaidi ya Utumwa
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 2 месяца назад
Nenda dunia nzima ndo ilivyo ukiona mtu kaajiliwa na serikali harafu hataki ahoijiwe jua haitumikii serikali au wananchi
@shizoshop2469
@shizoshop2469 2 месяца назад
Magu alichifeli ni kutaka lissu afe tu ila mambo mengine alikuwa shwali sana
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 2 месяца назад
Hapana bora awatukane weweumepewa hela miaka 3 hujafanya chochote nahela unayotu nchihiii nishida
@shijakaswahili1374
@shijakaswahili1374 2 месяца назад
Atakubukwa sana mwenda zake
@DjamilaNdikumagenge
@DjamilaNdikumagenge Месяц назад
Magufuri sitakusau maisha
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 4 года назад
Mwandishi ni "NITAKIFUNGA" au "NITAKUFUNGA". Kuweni Makini katika Uandishi
@solemba595
@solemba595 4 года назад
Sijui inakuwaje kila siku viongozi mpaka wakumbushwewajibu wao, wakati pesa wameshapewa...
@mcgabby
@mcgabby 3 месяца назад
Msiwe mna mpost tu huyu mzee coz yanayo endelea hayaendani walai😢😢😢😢
@LeonardLukongola
@LeonardLukongola 3 месяца назад
Inaumaaa sanaa 😢😢😢
@CharlesWanyeche-er6rw
@CharlesWanyeche-er6rw 3 месяца назад
Yaan we acha maumivu Mungu tu atusimamie tunakoelekea
@naphtalleyakoyi1336
@naphtalleyakoyi1336 15 дней назад
Mii ,Mkenya najiuliza Raisi Samia Huwa Anaya fuatilia mazungumzo haya kweli?
@salimshaban7120
@salimshaban7120 4 года назад
Ni shida kweli
@user-cc4jk1ll5v
@user-cc4jk1ll5v 2 месяца назад
Bb pumzika kwa amani haitatokea kiongozi kama wewe mwenyeudhubutu kama wewe hakikatutakukumbuka
@zakiazakia4552
@zakiazakia4552 4 года назад
Mfunge kifungo cha maisha pumbavu
@benardmartine244
@benardmartine244 4 года назад
Hene bangosha ise yaniye Hiiiiiii!
@nazirnoor4160
@nazirnoor4160 4 года назад
Majitu mazima hadi aibu. Mnashindwa kufanya vitu vyepesi namna hiyo. FUKUZA TU HAYO MAJITU
@awadhgugu317
@awadhgugu317 3 месяца назад
Dunia tunapita tu haijalishi wewe ni nani utaiacha tu dunia mchew!!!
@mohamedomar4037
@mohamedomar4037 4 года назад
Kiingereza ni kiswahili ya Dunia
@kenedzouma9406
@kenedzouma9406 4 года назад
viongoz na watumishi kaz mnayo😂😂😂😂😂
@kevinjohn4507
@kevinjohn4507 4 года назад
Wamekua wazembe sana mpaka wapigwe pigwe mgongoni ndiyo waende
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 3 месяца назад
Babaafrica nakumisssi
@jeremiahjoseph3358
@jeremiahjoseph3358 26 дней назад
Nmeielewa hyo
@kenedymbangule9105
@kenedymbangule9105 4 месяца назад
Huyu Rais mungu
@awadhgugu317
@awadhgugu317 3 месяца назад
Wacha kufru na ushirikina wewe
@eng.lazarongoro
@eng.lazarongoro 25 дней назад
hakutaka kupambwa
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 3 месяца назад
Much tears for you JPM😂😂
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 года назад
Kiswahili kwanza (Africa) ayo tv no 1
@philosophicallearning.3194
@philosophicallearning.3194 3 месяца назад
👏👏
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 4 года назад
Amekataa Kiingereza cha Mkurugenzi na Mkurugenzi alitamka "nukta" lakini Magufuli amesema "point", je point ni lugha gani?!😂😂😂
@MaryNgeni
@MaryNgeni 2 месяца назад
😂,😅
@MirajiSimba-qi7zj
@MirajiSimba-qi7zj Месяц назад
We unatakaje kwan ongea wew bhc wew hayupo tena ongea zamu yake
@MaryMapunda-xm3ek
@MaryMapunda-xm3ek 2 месяца назад
😊
@mashaurimasolwa2601
@mashaurimasolwa2601 28 дней назад
Vibarua😂
@anthonymchilika3224
@anthonymchilika3224 4 года назад
Mtanyooka mwaka huu🤣🤣🤣🤣😂😂😂huy msukuma ana sifa hadi raha
@agreytitus4603
@agreytitus4603 4 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@MegaAlexison
@MegaAlexison 4 года назад
Wafukuze wote
@Rashidmhedhery
@Rashidmhedhery 4 года назад
Huyu Raisi anadhalilisha sana watu! Iko siku yako!
@user-gz8xs1tx7m
@user-gz8xs1tx7m 5 месяцев назад
Adabu huna
@michaelnzunda7347
@michaelnzunda7347 4 года назад
mbona unaonekan mpumbavu sana ww...,hajahahaha..
@user-um7rz2lv3t
@user-um7rz2lv3t 28 дней назад
😂
@fredrickotsieno9775
@fredrickotsieno9775 3 месяца назад
Lala pema jembe
@waziriwaziri4330
@waziriwaziri4330 3 месяца назад
H
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 4 года назад
hapo kuambiwa mpumbavu imevuka kabisa taratibu za maelekezo kazini. Hayo nimatusi mbele ya familia yako
@kevinjohn4507
@kevinjohn4507 4 года назад
Mpumbavu kabisa huyu Pesa inatolewa wanashindwa kuzielekeza ktk kazi za maendeleo
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h 28 дней назад
Sasa wew ulitaka rais asemeje kwa watendaji wazembe au na wew ni kipumbavu nn
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 28 дней назад
@@user-xx1je7sy4h mwehu si lazima atembee uchi hata katika kauli hujulakana
Далее
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018
1:08:30