Тёмный

Malalamiko ya Halima Mdee kuhusu uchaguzi 

DW Kiswahili
Подписаться 173 тыс.
Просмотров 409 тыс.
50% 1

Mgombea ubunge katika jimbo la Kawe, kwa tiketi ya chama cha upinzani CHADEMA Halima Mdee, amelalamikia udanganyifu katika kupiga kura ambapo anasema alishuhudia mwenyewe udanganyifu huo. Hata hivyo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Tanzania Jaji Semistocles Kaijage amesema mbele ya waandishi wa habari kuwa taarifa za kukamatwa kwa kura feki ni uzushi na siyo za kweli. Kurunzi 28.10.2020

Опубликовано:

 

27 окт 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,1 тыс.   
@shaddybmc8342
@shaddybmc8342 3 года назад
Nimesomea saikologia. Maneno yote uliyoongea ni uongo mtupu. Mungu akusaidie na kukuponya. Uache huo uongo. Maana hata usoni unaonekana unatengeneza maneno.
@Pihansmo1129
@Pihansmo1129 3 года назад
Nimesomea saikologia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 года назад
😄😄😄😄👍
@kingsanya6860
@kingsanya6860 3 года назад
vp uyo mchungj wak mungu wake nae kubal wiz ni mungu yup
@JohnPaul-wc4lh
@JohnPaul-wc4lh 3 года назад
Mwanzoni kabisa kameza hadi mate pia nikiashirio anatunga maneno😂😂😂. Speaking without any evidence doesn't bring any sense by the way.
@fabianomswima
@fabianomswima 3 года назад
Umesomea wapi 😅😅😅
@halimamasai2234
@halimamasai2234 3 года назад
Umeshindwa we nenda zako Gwajima oyeee
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 года назад
Oyeee! Halima akarushe mdomo wake mrefu mbele ya safari. Ccm oyeee! President Magufuli oyeee! 🇹🇿✔👍
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 года назад
Mawani kama bundi.🤪😂🤣
@halimamasai2234
@halimamasai2234 3 года назад
@@nishasalim2880 Na kweli utadhani mganga wa kienyeji
@mussasaidy5553
@mussasaidy5553 3 года назад
nyerere alitunyima elimu ili awapate wapumbavu wa kuiona ccm ni kama mungu
@myself4128
@myself4128 3 года назад
Subiria mbunge wako gwajima atajenga kanisa la pili badala ya kuleta maendeleo jimboni
@gwanman1858
@gwanman1858 3 года назад
Watu humu ni ushabiki tu wala hamjali kinachoendelea nchi nzima, mnadhani mna mkomoa mgombea, kura ni kwa ajiri ya kizazi kijacho, watoto wenu, haki kwanza bila haki ata ukifurahia haupati chochote! Kuweni wa kweli mioyoni mwenyewe acheni kashfa na maneno ya kejeli wakati watu wanapigania mambo ya maana!
@vikitu4793
@vikitu4793 3 года назад
Mmh! Mlituambia kitawaka. Sasa huu upole wa hivi umetokea wapi? 😂😂😂
@joycejumanne4737
@joycejumanne4737 3 года назад
Huyu halima mdee na mkubali Sana big up halima .......🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mpelajohn2681
@mpelajohn2681 3 года назад
CHADEMA huwa mnalalamika tu bila action mnatupotezea muda tu mimi kuanzia leo CCM damu damu wala sitabadilika tena.
@rahmakishiwa1528
@rahmakishiwa1528 3 года назад
huna hoja wew kibib huna jipyaa kaaa pemben acha kusmhilisha mungu kwa usanii wako huo huna hoja mishindwa mnaanza porojo chadema tunawajua kwa porojo bhana achen hamsitustuwi
@geofreymatengo9746
@geofreymatengo9746 3 года назад
HE rahma ninavyokujua na ,aisha yako magumu unaongea kwa watu hivyo
@fatumangatele6864
@fatumangatele6864 3 года назад
Afu anaongea kihuni
@bjzee1981
@bjzee1981 3 года назад
Ngoja siku yata kukuta ndio utajua
@yohanabundala9162
@yohanabundala9162 3 года назад
Unadharau we Rahma, pia hayajakukuta2 kwa hiyo anachokiongea Mdee anajiongelesha2!? Ni haki yake lazima aongee
@rahmakishiwa1528
@rahmakishiwa1528 3 года назад
@@yohanabundala9162 huyo anatetea ugali wake kaongoza miaka 10 kawe kafanya nin sasa cha maana😀😀
@richardluoga6246
@richardluoga6246 3 года назад
hongera dada tujenge nchi hii ni yetu sote, busara zinahitajika pia nashukuru kwa kuwa msikivu japo mimi c muumini wa chama chako umenielewa ushauri wangu pia liziki haiji kwa njia moja tu mungu huwa na sababu zake sisi ni wanadamu tu hatuna uwezo wa kutambua siri za mungu.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 3 года назад
Pole sana ndugu yangu.Sasa hivi songa mbele,tugange yaliyopo Na yajayo.. Wewe bado kijana, fikiria maisha mengine siyo lazima uwe mwanasiasa.Hasira ni hasara
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 3 года назад
Mlevi we umeshalewa uko njwiiii!. Tafuta jembe ukalime..Huna chako hapo kazi tu!.
@b.warron4631
@b.warron4631 3 года назад
Bana subiri utapata viti maalum Kwa mbowe
@AlAl-sd9pl
@AlAl-sd9pl 3 года назад
🙄🙄🙄
@nyandwifidele8528
@nyandwifidele8528 3 года назад
😁😁😁😁😁
@thelivingwordchannel9027
@thelivingwordchannel9027 3 года назад
It's a new beginning mama! unaongelea mambo ya zamani!
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 3 года назад
Halima shukuru mungu kwa kila Jambo! Huo Ni mpango wa mungu ukose ubunge ili angalau upate mume Na kuijaza dunia.Umeishi ukiwa nugahembe kwa muda mrefu sana Ni wakatii wako wa kuolewa sasa Na kuzaa watoto! Usagaji sio maisha.Umewasaga wengi sana inatosha.
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
We need a woman like you Halima
@haggaikinyau1395
@haggaikinyau1395 3 года назад
Unakuta mabegi ya kura halafu unayaachia hupigi hata picha wala kuyakamata hata moja tu
@annapeter4994
@annapeter4994 3 года назад
@@haggaikinyau1395 labda walishafanya hivyo. Wasingeongea hewani
@everinemsaki9626
@everinemsaki9626 3 года назад
Wee hu na akili
@lilyamidah3412
@lilyamidah3412 3 года назад
Yeah chadema need a womenlike she but not Tanzanians... don't include us pls
@abdullaalwikabil3371
@abdullaalwikabil3371 3 года назад
Hatari tupu kwanini hataki kuondoka madarakani
@sturbontv2515
@sturbontv2515 3 года назад
Hatari fire
@adenwarsame7357
@adenwarsame7357 3 года назад
Shoga la ccm abdulla kauze mkundu
@saidikasawale5138
@saidikasawale5138 3 года назад
Njaa kali
@saidikasawale5138
@saidikasawale5138 3 года назад
@@adenwarsame7357 njoo utolewe malinda
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 3 года назад
Nduguu madaraka rahaaaaa😁😁😁😁😁
@perpetualjohn9233
@perpetualjohn9233 3 года назад
Duuh kazi kweli kweli yaani ,Mungu idumishe Amani ya Taifa letu mimi naamini Mungu Kuna jambo utafanya siku moja na litashangaza kwa kuwa wewe Mungu ni Mungu wa wanyonge na hupendi kujiaibisha haki kwako ndiyo sehemu yake Kuna siku itafahamika !!!!
@annawilliam9276
@annawilliam9276 3 года назад
Pole Sana. Naamini ipo siku mungu atafungua njia usikate tamaa kila kita pita na maisha yataenderea
@muzneali387
@muzneali387 3 года назад
Huna mpya Dada
@arnoldjacob9338
@arnoldjacob9338 3 года назад
Mh.Halima, umri wako umesonga tena sana; hupaswi kuwa mwongo tena!! wewe kweli ambaye huogopi chochote kweli umeona mabegi ukaweza kutulia bila kuchukua hatua yoyote hata pcha kama uthibitisho?? pili wewe ni mgombea haki ya kumwita polisi unayo wewe kama mgombea; ukashindwa kumwita polisi alieko hapo kituoni nae athibitishe?? Acha izo,tunakujua wewe ungeyaona hayo unayoyasema ungepga nduru,ungelia tena kwa sauti ya juu na hapo ucngeondoka hivyo acha uongo
@paulinazacharia8474
@paulinazacharia8474 3 года назад
Mhu hujaona video Instagram kawaita polisi wa hicho kituo wasimamizi na wapiga kura waliokuepo,walichofanya n kuzichoma Moto hzo kura,, hapo ND alipokosea, alipoteza ushahidi
@vivianinnocent4106
@vivianinnocent4106 3 года назад
Punguza uchama shoga ww polisi watasaidia nn wakat wao wenyw wamewekwa wazilinde hizo kura za wizi
@simonmanyelezi628
@simonmanyelezi628 3 года назад
@@paulinazacharia8474 Hawezi kukosea ,ni muhuni tu ,mwanasheria gani anakosea kosa Dogo kama hilo,Ndo ujue ulikuwa ni mpango wake na kafanya vile makusudi wala sio makusudi ili kutimiza udharimu wake.Kwani kama mawakala hawakuwepo wananchi walikuwa wapi?,ambao wanaoonyeshwa masanduku na baada ya hapo yanafungwa na siri mbele yao,then yanakuwa teyari kwaajili ya kutumbukiza kura..
@tesha3606
@tesha3606 3 года назад
@@paulinazacharia8474 Ujamuelewa Dada angu hapo wewe unavyosikia Hapo una mwalimu 😂😂😂 Hizo picha za Instagram ni za mabegi😂😂 au ni kibegi
@paulinazacharia8474
@paulinazacharia8474 3 года назад
@@tesha3606 lakin liwe begi moja au mawili havitakiwi
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 3 года назад
Dahhh poleni Sana ,, pole mdehee
@emanuelshijangassa4761
@emanuelshijangassa4761 3 года назад
Kweli Jaman
@Wastara001
@Wastara001 3 года назад
Jimboni kwangu? Limekuwa lako?
@sameeraabdallah1560
@sameeraabdallah1560 3 года назад
Gwajima oyeeeeeeeeeeee we ni jirani yangu lkn sjakupigia barabara mbaya mbweni miaka 15 tulikupa ujatufanyia chochote licha kutwa mahakamani tumekuchoka bi kidude pumzika sasa mambo ni kwa Askof Gwajima tu 😀😀😀 Nashkuru sijakosea kukuchagua
@nyandwifidele8528
@nyandwifidele8528 3 года назад
😁😁😁😁
@aminamwimbe7485
@aminamwimbe7485 3 года назад
Mimi bado sijaelewa, mmekamata mabegi ya kura halafu yanachomwa moto, mmeharibu evidence.
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Ajabu😂😂😂😂😂😂😂😂
@jamalbites5639
@jamalbites5639 3 года назад
zipo hawakuchoma
@joycejumanne4737
@joycejumanne4737 3 года назад
Umesikia vibaya wajachoma
@fatumangatele6864
@fatumangatele6864 3 года назад
Zipo wapi ili zipelekwe kufanyiwa uchunguzi kama ni karatasi kutoka tume Kisheria alikua anatakiwa kua na kibari maalumu cha search warrant NA KAMA WALISHIKA HIZO KURA KWANINI WALIZITEKETEZA KWA MOTO? TAFADHALI WATANZANIA MSIFUATE MIKUMBO
@elliottrahema
@elliottrahema 3 года назад
Hawana lolote huyu bibi kidude kweli akamate mtu kitu cha kwanza ni video na picha zingesambaa. Mitaani in second halima nice try we are not buying
@ains1122
@ains1122 3 года назад
Huu uongo unafikunavyomjua halima mdee angekuwa ametulia hivi kama Kweli kashika kura, mmnnhh
@pambaquick8177
@pambaquick8177 3 года назад
Nimeiona hiyo prophetic bango of Love mkononi🤝🤝 ya Chief Prophet
@dullahdullah5499
@dullahdullah5499 3 года назад
Pole sana sister tunakuelewa
@isaacshauri4828
@isaacshauri4828 3 года назад
Hayo mazungumzo, dah! We ni kinongozi kweli? Bora umeshindwa
@gracegrace3530
@gracegrace3530 3 года назад
Hadi nimeshangaa eti nikamkuta amesiz ,chadema bangi tu
@georgenyalulu4550
@georgenyalulu4550 3 года назад
Huyu kasha data! Gwajiboy oyeeeeeeeeee
@kennethmwalukama2009
@kennethmwalukama2009 3 года назад
Hahahaa, upako,upako wa Mungu. Siku zote watanzania hatupigani vita kwa nguvu zetu , Bali Mungu anatupigania. Wachache msio amini mnapona kwa imani ya walio na imani. Mungu bariki uchaguzi Mungu ibariki Tanzania.
@ayubujackson6994
@ayubujackson6994 3 года назад
Pole Mama, 2mia pesa vzr Ushafeli
@lailaselmin9590
@lailaselmin9590 3 года назад
Sasa izo kula kwann ujazipiga picha kwaushaidi ili sisi wananchi tuamini naomba fanya mpango utuonyeshe hayo bag yalio jaa kula ili tuamini maana uwongo uezidi
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 года назад
Hata me sijamuelewa
@ombenkallenge1924
@ombenkallenge1924 3 года назад
MUNGU hawezi akakuteuwa wewe kuwa kiongozi .❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎❎
@ombenkallenge1924
@ombenkallenge1924 3 года назад
Yaani wanasaikologia hatuchelewi kutambua uongo .. "" namshukru mungu Ali aliniwe wee" angalia action on face ni uongo mtupu😂😂
@fatmambarouk8107
@fatmambarouk8107 3 года назад
Huu sio uongo video mm mnayo wala sijaifuta
@richiemlonga1962
@richiemlonga1962 3 года назад
Niukweli vidio zimeonexha kabixa zipo vidio
@sumayahfathi9413
@sumayahfathi9413 3 года назад
Dah! Pole dada Bunge lqsafari hii kutakuwa hapa kazi tu, kapumzike kwa Amani hakuna tena kelele na ubishi, Safi sana tuwaache ccm wagombane wenyewe kwa wenyewe,
@gwakisamwakabulutu4247
@gwakisamwakabulutu4247 3 года назад
Wagombane au wajitajilishe vizuri na ufasadi wao kama zamani
@khalfaniramadhani4742
@khalfaniramadhani4742 3 года назад
Ongera dada salima kwa kazi uliyoifanya ya ujasiri nakubali kwamba wao baadhi ya wanawake wanazo akili zidi ya baadhi ya wanaume,wewe unatosha kwa ujasiri kitendo ambacho umetoka kuonesha ulimwengu ndiyo mana jeshi la polisi linafanya mizengwe ya kuzingira nyumba yako ili kuadaa ulimwengu kutaka kuficha wizi wa kura uliogunduliwa nawe asante ALLAH akubariki.
@alfredaloyce6835
@alfredaloyce6835 3 года назад
Sauti ya zege nakubari alakati zako
@siporaleonard6532
@siporaleonard6532 3 года назад
Pole sana,ngoja tuwaone this time wakiwa wenyewe bungeni,tupate experience mpya..hakuna marefu yasiyo na ncha,tuombe uzima,kwani tutaendelea kushuhudia maajabu mengi
@azizawadh5973
@azizawadh5973 3 года назад
Mazingaombwe ya kutosha bunge safari hii
@tonacreativestudio1905
@tonacreativestudio1905 3 года назад
Kwa ulimwengu huu unaongeaa maneno tuu, duuuh afu mbunge uliekula kodi zet miaka yote hiyoo duuuh
@jokeableking7039
@jokeableking7039 3 года назад
Umeona eee walizoea hawa wacha upepo wa kisulisuli uwasugue pa1na Yule wa mbeya mjini😅😅😅
@maktabayahabari
@maktabayahabari 3 года назад
"0:55" I don't need anymore my work thanks to *p y p t o l m o n. x y z* I can finally enjoy life thanks අනුගාමිකයන් ඇති කර ගැනීමට හොඳ ක්‍රමයක
@tpdancersvevo9203
@tpdancersvevo9203 3 года назад
Oiii
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 года назад
Muongo wewe mbona masaki hujaja na km unaweza kutembelea vituo mbona ilivyokua Mbunge hujawahi kututembelea mitaani kwetu km ningetaka mabadiliko Bora kuchagua chama kingine sio wewe fyuuuu
@saadarashid8174
@saadarashid8174 3 года назад
Kweli kabisa achie ngazi ccm babalaooo
@pericykiko6198
@pericykiko6198 3 года назад
@@saadarashid8174 Bora hata angeshinda cuf ama hata asie na jina
@musadavid9938
@musadavid9938 3 года назад
Anayosema mzee ni sawa kabisaa maana Mimi pia kabla ya uchaguz nilikua safar moja ya kurud Tz na baroz furan tuliongea mengi na kusema kwa Ss hakutakuja kua na upinzani bungeni hata mmoja na ikitokea basi huyo mbunge au kiongoz wa upinzan hua haipond serikal kiukwel maongez yetu halikua marefu sana na kwakua nilikua nabisha aliweza kusisitiza kwamba kama ntabisha sana namba Yake ya simu nichukue hili baada ya uchaguz nimjulie hali na kumpa mrejesho wa matokeo ya uchaguz yatakua sio vile alivyoniambia
@maktabayahabari
@maktabayahabari 3 года назад
"0:55" I don't need anymore my work thanks to *p y p t o l m o n. x y z* I can finally enjoy life thanks අනුගාමිකයන් ඇති කර ගැනීමට හොඳ ක්‍රමයක
@jullykebeni6438
@jullykebeni6438 3 года назад
Roho inakuuma kutorudi bungeni
@severinmmassy7627
@severinmmassy7627 3 года назад
Pole sana dada sasa kwakatiba hii dada yetu nn kifanyike
@praisesamson8298
@praisesamson8298 3 года назад
Ajafanyiwa Halima dhuruma tumefanyiwa sie wananchi na wana wa wajukuu zetu Mungu atulipe c kesho sasa
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 года назад
Mshenzi uyuu saaana mwezetu wanasutana wenyewe kwa wenyewe
@vibetz9991
@vibetz9991 3 года назад
Anavosema jimboni kwake Ana maanisha nn.....kwani ana jimbo huyu asa ivi!!??😁😁😆😆😅atuache kwanza uyu bibi
@anifermhando4847
@anifermhando4847 3 года назад
Kwendaaa kalime bunge co kwenu
@simbomart6186
@simbomart6186 3 года назад
Pole sana
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 года назад
Halima umeshindwa uchaguzi.End off.
@kingwattanlibz9391
@kingwattanlibz9391 3 года назад
so mnasherehekea muongozwe na gwanjima mwenye kuonyesha chuki dhidi ya waisilamu na hata wakristo wasio dhehebu lake?
@laliapamba4187
@laliapamba4187 3 года назад
@@kingwattanlibz9391 Wewe usituletee uchonganishi wa Dini lol
@pilimwalimu1805
@pilimwalimu1805 3 года назад
Sio ameshindwa uchaguzi hem kua naadabu jap kidoogo halima amepokonywa haki ya ushindi wakeee
@pilimwalimu1805
@pilimwalimu1805 3 года назад
Nawaliomo madarakani woote kuanzia chini hadi juu inaelekea wametoka ktk maisha dhalili ndio maana hawataki kuacha madarakaa
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 3 года назад
kwanini jimbo lako.../MWONGO WEWE...MUNGU ANAKUONA..
@kingsanya6860
@kingsanya6860 3 года назад
vp ccm mungu awaoni ndo mahn wana burz watu
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 3 года назад
@@kingsanya6860 Mjipange....Muache fujo na hila...imalisheni chama chenu....watu hawawaamini..kama nyie wenyewe mnanyimana haki ndani ya chama...mtampaje haki mtanzania,,jipangeni,,jamii haiwaamini ila wapenda fujo na vituko peke yao
@omariabduly858
@omariabduly858 3 года назад
Ccm wanaonwa na mamako
@loyleskar759
@loyleskar759 3 года назад
Daaaaaaaaaah muongo kinyama
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 3 года назад
Nakupenda bure kamam ume vaa gold zina onyesha
@joaquimmasengwa1283
@joaquimmasengwa1283 3 года назад
Umekosa sifa zote nzuri....... ulizo nazo zote ni mbaya, hufai asubuhi, mchana, jioni wala usiku.
@kingsolomon0
@kingsolomon0 3 года назад
Wa Tanzania mpo . Kenya tunawapenda sana 😂😂😂😂😂
@jonathankyandojr8345
@jonathankyandojr8345 3 года назад
Tuombeeni kwa Mungu
@JKQGAME
@JKQGAME 3 года назад
Sawa Jack king
@kingsolomon0
@kingsolomon0 3 года назад
@@JKQGAME , kwani mambo yako vipi , tulisikia kuna kimbunga cha Tundu Lisu ???
@JKQGAME
@JKQGAME 3 года назад
@@kingsolomon0 kweli cjui isitoshe nikaa mbali kidogo na mjini Jack
@donprince9752
@donprince9752 3 года назад
Tupo vp kwenu uko hali vp
@joojombi2341
@joojombi2341 3 года назад
Inshallah ushindwe rikodi yako mbaya sana wee
@meme123naser6
@meme123naser6 3 года назад
Unakamata begi unamuacha mbeba begi kweli hii inaingia akilin
@Lahyzeecrucial
@Lahyzeecrucial 3 года назад
@@meme123naser6 Hhhhhhhhh
@husnashabani7495
@husnashabani7495 3 года назад
Mwenyezi mungu ndiye mjuzi hakuna anayemuweza binadam ila mungu peke yake
@dominickallute3169
@dominickallute3169 3 года назад
MWACHIE GWAJIMA MAMA. WEWE NI MLALAMISHI MNO, WATU WANAONA.
@goodlucky8532
@goodlucky8532 3 года назад
Tuonesheni evidence 😀😂😂😂 kila mwananchi ckuiz ana smart phone wangepiga picha huo uongo kubali kushindwa muhuni wetu kiroho safi
@franciscogeorge6172
@franciscogeorge6172 3 года назад
Haukuwa na vpn ww ndo hujui kinahoendelea
@dukakuu7225
@dukakuu7225 3 года назад
nunua kitu chako chochote www.dukakuu.com alafu njoo mnishukuru badae kwa huu ushauri
@emmanuelkonki59
@emmanuelkonki59 3 года назад
Mungu akutie nguvu we all need right ninazishangaaga sana comments za watu wenye akili timamu zinapo sapoti wizi wa kura kumbuka mgombea mmoja anapohujumiwa wanaoumia ni pamoja na waliomchagua. NEC please tendeni haki. haki hudumu for all Tanzanians.
@cashmoneytz2759
@cashmoneytz2759 3 года назад
Hamna Uhuru tz wizi mtupu
@joycedinden530
@joycedinden530 3 года назад
Hapo jiulize huko wamekuaje wengine
@emmanuelkonki59
@emmanuelkonki59 3 года назад
@@joycedinden530 arusha saa 1 tu washazirusha juu hamna uhuru wala haki
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 3 года назад
Tatizo la waTZ hawajui kutofautisha sasa nini kosa la mh Halima?? Huyu dada ni Suoer Woman na ni mkweli na wanamjua hilo halipingwi
@emmanuelkonki59
@emmanuelkonki59 3 года назад
@@margarethsaramaki3966 perfect watu wanashabikia immoralities its too shame. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. halima is strong and trustfull.
@ozzyjama145
@ozzyjama145 3 года назад
Pole sana aiseee
@kosespaulo7337
@kosespaulo7337 3 года назад
Muulize mwenzi Es braya
@albertofilipe1116
@albertofilipe1116 3 года назад
Yani ulishindwa hata kutoa😋😋 vídeo fupi hata kituo kimoja?
@devothadonaldsimbi3499
@devothadonaldsimbi3499 3 года назад
Umenichekesha kwa usemi wako Hilo nalo neno
@josephferdinandy9823
@josephferdinandy9823 3 года назад
Video mbona tunazo sisi wewe unaishi tanzania ya wapi?🤣🤣🤣
@innocentmlangu3347
@innocentmlangu3347 3 года назад
Unaishi jehanamu nini mbona video zipo kibao za makura feki hasa za jimbo la kawe zinaonekana social media kweli wee ndezi
@onamasaki1211
@onamasaki1211 3 года назад
@@josephferdinandy9823 nasi tuzione basi
@maktabayahabari
@maktabayahabari 3 года назад
"0:55" I don't need anymore my work thanks to *p y p t o l m o n. x y z* I can finally enjoy life thanks අනුගාමිකයන් ඇති කර ගැනීමට හොඳ ක්‍රමයක
@baptistaseverinonchamocose2359
@baptistaseverinonchamocose2359 3 года назад
Mwali auna chako sasa, ,,,,Gwajima sasa in WETUuuuuu CCM11111111111
@hamisrashidi6922
@hamisrashidi6922 3 года назад
Wewe waccm kuma wewe
@godfreyonyango2782
@godfreyonyango2782 3 года назад
Iv kwel unakaa unatetea bungen kiende chama kimoja Sasa serkal itapewa na nan changamoto acha ujinga ww wapinzan Wana umhim Sana bungen
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 3 года назад
Halima imeishaa hiyo karudie kazi yako ya zamani na esta bulaya ya kusagana
@teacherd
@teacherd 3 года назад
JINSI YA KUFAULU MTIHANI WAKO BILA KUSOMA ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-Jt0oh4NkVf0.html
@mazruitz5737
@mazruitz5737 3 года назад
Usiaminishe Umma maovu yko, Hakuna kitu kama icho ktk kituo cha Jangwani
@beatrice3671
@beatrice3671 3 года назад
Hivi kwanini hawa jamaa huwa hawakubali kushindwaa?.. Hahahaa
@eliassospeter
@eliassospeter 3 года назад
Hivi wale watu wa kupima mkojo ili ku-observe kama mtu anatumia madawa siku hizi wako wapi? "Chukueni Sample hapa"
@nasmabanda6340
@nasmabanda6340 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 3 года назад
sample itachanganywa na ya kwako
@fetychina3273
@fetychina3273 3 года назад
😃😃😃
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 3 года назад
Kabisaa maana kulalamika kwake ndiyo anaona maendeleo ya wananchi UMESHINDWAA kubali matokeo
@yusuphpaulwaryoba8316
@yusuphpaulwaryoba8316 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 года назад
Nakupenda. May
@bigvision9909
@bigvision9909 3 года назад
Dada tuko pamoja Tutaandamana kuidai nnchi yetu dhidi ya mkoloni mweusi....tutawalinda viongozi wetu
@lulurubby2235
@lulurubby2235 3 года назад
Umedataaaa bungeni zerooooo
@gwanman1858
@gwanman1858 3 года назад
Yani hauoni chochote kinachoendelea hiyo roho gani?
@lulurubby2235
@lulurubby2235 3 года назад
@@gwanman1858 halima huyu ni gangster, tyshamzie akapumzike in peace..labda atapata jibu la jinsia yake ni ipi msagaji au wa kawaida
@kingsanya6860
@kingsanya6860 3 года назад
uyo gwajim ndo zimo au wewe kondoo wake nini
@lulurubby2235
@lulurubby2235 3 года назад
@@kingsanya6860 utajua kesho kama anazo au hana
@charlesmpemba9387
@charlesmpemba9387 3 года назад
Ushahidi uko wapi.? Tushawazoea na kutunga story nyie.mgekuwa mmepigwa hata picha tunavyowajua nyie.achauongo.katafute kazi nyingine mama tumekuchoka wakazi wa kawe
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 года назад
Etii!! Huyu Halima aziachie kura feki kasha shindwa huyu Dada moja maelezo ukiyachanganua hayaendanani kabisa
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 3 года назад
@jenny Yusufu wewe mwenyeji wa Kawe gani?
@mamafaiza2651
@mamafaiza2651 3 года назад
Nyie makuma ushahidi upo wakutoshaaa
@michaelmwangoka6793
@michaelmwangoka6793 3 года назад
Kura zilikuepo zmechomwa moto
@rudypaul7862
@rudypaul7862 3 года назад
@@michaelmwangoka6793 na kwann zichomwe badala ya kuchukuliwa kama ushahid?
@keflenlugwila9594
@keflenlugwila9594 3 года назад
Nakupenda xanaaa
@lucksoncharles5321
@lucksoncharles5321 3 года назад
Kampeni noma kumbe mweusiii hivi! ..njoo kanda ya ziwa upate mme
@hasnasaif1075
@hasnasaif1075 3 года назад
Mhuu kumekuchaaaa
@emmanuel.rweyemamu
@emmanuel.rweyemamu 3 года назад
Gwajima
@mahabsaid5324
@mahabsaid5324 3 года назад
Madam Halima uko sawa kwa haki n uhuru wako kujieleza.
@oscarafricasafaris7934
@oscarafricasafaris7934 3 года назад
Hahahahahaha yani chadema mkute kura feki mtulie nyie au wengine acheni kutuchocha hamna jipya hamtakaa amini mtakachokisikia
@mbithejustus246
@mbithejustus246 3 года назад
Toa evidence, ya mabagi hayo, wapi picha
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 3 года назад
HUYU NI WA KUPUUZWA TU KELELE ZA NINI SI UNA USHAHIDI KAFUNGUE KESI MAHAKAMANI. NYIE CHADEMA KWA SERIKALI HII YA MAGUFULI KUSHINDWA KWENU NI HALALI . HATA KURA MLIZOPATA LABDA MLIPEWA NA MAFISADI NA FAMILIA ZENU. HATUWAPENDI KABISA HAMNA MNACHOKIFANYA ZAIDI YA UPUUZI TU UONGO , UZUSHI NA MAKELELE! KWA UJUMLA HAMNA JIPYA TENA MMEBAKI VITUKO . CHAMA KIZUMA CHALI ?? MJUE WATANZANIA SIO WAJINGA TENA HAWASHABIKII UKANDA WANATAKA MAENDRLEO. OVYO LABISA NYIE.
@ismailyramadhani6074
@ismailyramadhani6074 3 года назад
Kwani hamjaona
@MYLIFE-ez7dh
@MYLIFE-ez7dh 3 года назад
YESU anawapenda sanaa karibu kwa YESU
@aloycemasele7236
@aloycemasele7236 3 года назад
Mmh, yaan sijawahi kukuelewa, mumeo ana kazi sana
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 3 года назад
Alafu mi uyu dada ata simuelewi.mapovu yanamtoka kwa uroho wa madaraka.kawe umefanya nini kikubwa? Ndugu zangu msisubutu kupotoshwa na awa wapenda madaraka✌🏼🇹🇿.
@mazruitz5737
@mazruitz5737 3 года назад
Gwaji Boy amekemea mapepo yote...
@samsonmshana7965
@samsonmshana7965 3 года назад
Kajiuze huko huna adabu mbele ya wanaume
@bahatitendega8836
@bahatitendega8836 3 года назад
Poleni Sana makamanda wetu tunapitia kipindi kigumu sana
@omarbabile5308
@omarbabile5308 3 года назад
Sisi tunataka amani ujinga wenu pelekeni mbele sisi sio wa ivyo nyinyi kwani we lazima uwe mbunge tatizo wapinzani amko Sirius kuchukua nchi
@masundelwa
@masundelwa 3 года назад
Finally I opened my RU-vid 😄
@dukakuu7225
@dukakuu7225 3 года назад
nunua kitu chako chochote www.dukakuu.com alafu njoo mnishukuru badae kwa huu ushauri
@silvestermfipa4133
@silvestermfipa4133 3 года назад
Pole sana Dada tupo pamoja
@mgallason...5686
@mgallason...5686 3 года назад
Kwani we halima umeshawahi fanya tathmini ya jimboni mwako kuwa ni wangapi wanakuhitaji na wasiokuhitaji, katika utafiti wangu binafsi niliofanya watu hawakupendi ukiacha wachache wanaokuvimbisha bichwa. Cheefuuuu!
@mwesblind8990
@mwesblind8990 3 года назад
Mikocheni mawakala wa wake walikuwepo wa tatu mimi nimepigia hapo mpaka wengine wanatoka na kurudi sasa hapo unadanganya nn
@josephdogan7650
@josephdogan7650 3 года назад
Wewe no mtu mzima hembu. Jaribu. Kutumia uwezo wako was kufikili vzr ingalao ujitofautishe na mtoto mdogo. Labda kidogo nikusaidie kufikili kidogo.halima anaongelea mbinu za wizi wa kura uliotokea mahsla pengi Tanzania na hspa anasisitiza Hindi eixi was kura ulivyofanyika ktk maeneo mengi ya Jimbo la kawe.si lazima mbinu iliyotumika mikocheni itumike Kila mahali.kwa mfsno unajuaje mawakal walifika saa ngapi vituoni?unanua kuwa mawaksla wengi walitolewa.vituoni ,ili wizi ufanyike?unajua kuwa Kuna sehemu mawajsla walufukyzwa.?HV unsjua kuwa mpaka maaskali walikywa wana mabegi ya kura. Yani kuwatetea Hawa watu walioshinda kwa hila ni jujivunjia heshima na kuhalilisha utu wako.hv unajua madhala ya kuwa na uchaguz wa kijinga kiasi hiki kwa maisha yako ya kesho.
@mwesblind8990
@mwesblind8990 3 года назад
@@josephdogan7650 nisikilize meakala walifika mapema sanaaa walikuwa 2 kwa kituo kimoja wa chadema pia katibu wa kata wa chadema nayeye alikuja sisi ty.eingia wakala tumemkuta sasa nawashangaaaaaa
@glorioustitus4043
@glorioustitus4043 3 года назад
Peleka uozo huko huna lolote mwendawazimu mkubwa tafuta bwana uoelewe akili ikuwe sawa si uzithibitishe hizo kura nyooooo!!!
@sulelubwaza9335
@sulelubwaza9335 3 года назад
Wewe ndo kuma kuma la mamako
@EyeseesPictures
@EyeseesPictures 3 года назад
Matusi na Dharau sio Mpango wadau tunachoreshana huko kwa Wajerumani ... Mwisho wataona waliwahi kutuachia UHURU watarudi tena ... Hahahaha 🤣🤣🤣
@simonmanyelezi628
@simonmanyelezi628 3 года назад
@@sulelubwaza9335 wewe lazima utakuwa mchadema.
@salminisalehe9417
@salminisalehe9417 3 года назад
@@sulelubwaza9335 Punguza Matusi Kidogo Hayatakusaidia Zaidi Ya Kuwa Mjinga
@taslimanyange2850
@taslimanyange2850 3 года назад
Hahhahahahahahhahahaha
@blackmamba7553
@blackmamba7553 3 года назад
Nice story
@kiulungmsomali8445
@kiulungmsomali8445 3 года назад
Uchaguzi ili uwe flesh lazma mdeee uwe mbunge?/au mbowe ,zitto ,lema wawe wabunge? Au sugu nk?/mmekaaa bungeni miaka mingi sana kazi yenu ni kukashifu government tu I'll mujulikane ,,hiii safi kabisa yaan good
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 года назад
Unajua Umeshindwa.... kudadadeki...... Hatukutaki mara hii.... CCM WINS KAWE 80%✔
@ihanomadili
@ihanomadili 3 года назад
Wanasiasa mnachumia matumbo yenu tu, wewe na wananchi nyote mna simu za kupiga picha, mbona hatuoni kidhibiti?kwenye mabomu ya machozi mbona huwa mnatuonyesha?mnatuchosha sasa.
@musasaid964
@musasaid964 3 года назад
Nakuunga mwili mzima sio mkono tuu uyudemu boya
@avinkaijunga3954
@avinkaijunga3954 3 года назад
Hivi hufahamu kuwa ni kosa kupiga picha kwenye chumba cha kupigia kura au unajitoa ufahamu tu wewe
@mrh2812
@mrh2812 3 года назад
yan kabisaaaaaaaa wanazingua sana hawaaa
@chiantyezra16
@chiantyezra16 3 года назад
Hilo neno nalo kweli 😂 😂 😂 😂, waongo hawa
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 3 года назад
Etiii
@richardluoga6246
@richardluoga6246 3 года назад
Halima ubunge sio ajira ya kudumu kuwa lazima ufike miaka 60 au ustaafu kwa hiari miaka 55 ila maamuzi ya wananchi. Nachokushauri ziba mdomo upate heshima na tunza peshen uendeshe maisha kwa mtindo mwingine siasa hizo acha sifa
@bulldogcushuk
@bulldogcushuk 3 года назад
Wewe Halima mungu anakuona unajua ulichokifanya huna lolote kila siku hamuishi kutafuta shari, yataja wapata mnayoyatafuta muogopeni mungu kha!
@jokeableking7039
@jokeableking7039 3 года назад
Halima mdee naye alikuwa Mbunge wa wapi maana huyu ni Raia tu kama mm tu Aje tu nimuoe mm😅😅😅
@badriaahmed4373
@badriaahmed4373 3 года назад
hahahaaaaa
@justinmutabazi7353
@justinmutabazi7353 3 года назад
Hhhhhh ila wwe kweri kirasiku shida shida tu? Amini kuwa umeshindwa acha kuchafuwa Wenzako Dada,
@salmaabdulla7797
@salmaabdulla7797 3 года назад
Nani achafuliwe YAANI WATU WANACHEKESHA YAANI UWE JAMBAZI AU MWIZI HALAFU ETI WATU WANYAMAZE . KAZI YA UCHEKESHAJI HAPA SI SEHEMU YAKE
@maujikoblogspotcom
@maujikoblogspotcom 3 года назад
Unashabikia upumbafu ambao hata mungu haukubari. Shenzi kabsa. Nyie ndio mnao vunja amaini hii aratibutaratibu kwa ushabiki wa kijinga. Ukweli unaonekana na bado mnashabikia. Ugaidi ndio unaanziaga hapo.
@omariabduly858
@omariabduly858 3 года назад
Unasikia kwa matako au masikio
@samwelimoto9503
@samwelimoto9503 3 года назад
Kalime mihogo
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 3 года назад
Iyo ndio Tanzania ya wanyonge ukisema ukweli wewe ni rock up
@sponsor7882
@sponsor7882 3 года назад
Super woman
@mwesblind8990
@mwesblind8990 3 года назад
Yaani mwongo mbona mimi nimepigia mikocheni wakala wake alikiwepo tulikuwa na mawakala wa 4 wakwake sasa hii ndo nini
@mitanotena5149
@mitanotena5149 3 года назад
Mbona mhuni mhuni hivi!! Sijawahi kumsikiliza ila leo nimegundua huyu sio ni drug inamdrive mmoja wa genge la wapiga nyagi
@nyandwifidele8528
@nyandwifidele8528 3 года назад
😁😁😁😁😁
@festofredrick1090
@festofredrick1090 3 года назад
pole sana mungu u pamoja nawe ✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@shedrackkisumbe6733
@shedrackkisumbe6733 3 года назад
Duuuh pole
@maidamwaipopo7645
@maidamwaipopo7645 3 года назад
Zitachafuka sana hizo raba
@maxjofrey70
@maxjofrey70 3 года назад
😂😂😂😂 wa Tanzania awapangiwi now wa najua kitu kizuri na kibaya so pambana na haliyako.
@issakapemba6115
@issakapemba6115 3 года назад
Pole halima tuko pamoja
Далее