Тёмный
No video :(

Ismail Jussa Apinga Hoja Mchakato wa Katiba Mpya Kurudi Baada ya 2025 

The Chanzo
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 1,3 тыс.
50% 1

Kwenye sehemu hii ya pili ya mahojiano na mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo Ismail Jussa, mwanasiasa huyo anasema hakubaliana na pendekezo kwamba mchakato wa kuandika Katiba Mpya uanze baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Mjumbe huyo wa zamani wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar anasema mchakato wa kudai Katiba Mpya unaweza kwenda sambamba na ule wa kudai mageuzi madogo kwenye mfumo wa usimamizi wa uchaguzi nchini, na kwamba si suala la kipi kitangulie kipi. Jussa anadai hili ndiyo chama chake cha ACT-Wazalendo kinachomaanisha kwa kauli mbiu yao ya Tume Huru Kuelekea Katiba Mpya.
Jussa anasema mkakati huo ni muhimu kwani anaamini kwamba licha kwamba mchakato wa Katiba Mpya unapaswa uanze sasa muda uliobaki mpaka kufikia Uchaguzi Mkuu wa 2025 ni mdogo sana kufanikisha upatikanaji wa Katiba Mpya. Hapa Jussa anaanza kwa kuelezea kwa nini anaamini hivyo.

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 4 месяца назад
Jaman najisikia furaha kumsikiliza Muheshimiwa Jussa
@mkalimlanzi6335
@mkalimlanzi6335 2 года назад
Nice
@mussakhamishaji328
@mussakhamishaji328 2 года назад
Asante kiongozi
@ommymehmed8880
@ommymehmed8880 2 года назад
iko haja ya kufunguliwa chuo kikuu cha Siaaa Zanzibar ...watu waje wajifunze Siasa...
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 4 месяца назад
Na Jussa awe ni principal
Далее
KULA 'APPLE' BAADA YA NUSU SAA- PROF. JANABI
2:47
Просмотров 11 тыс.
IJUMAA MASHAIRI VOL 1
57:17
Просмотров 18 тыс.