Тёмный
No video :(

Itakuliza.! HOTUBA YA KUSISIMUA NA HISIA KALI YA HAYATI MAGUFULI 

Jicholauswazi
Подписаться 197 тыс.
Просмотров 307 тыс.
50% 1

Tazama Dk 10 za hotuma ya #HAYATI #MAGUFULI Aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa #TANZANIA awamu ya nne akihutubia kwa hisia kali na kusisimua.

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 175   
@user-zg6qi7uo8h
@user-zg6qi7uo8h 9 месяцев назад
Huyu ndiye alikuwA laisi wetu anauchungu na wananchi wake mungu amuweke mahali pema peponi. Tuseme. Ameni
@peresjohn9763
@peresjohn9763 Год назад
Mwenyezi mungu akupumzishe kwa amani mzee wetu, ulikua na future Sana...R.I.P
@TadeusJoseph
@TadeusJoseph 2 месяца назад
Upumzike Kwa Amani Baba Magufuli🙏, I don't forget about National Development
@user-wh8qb4ho7p
@user-wh8qb4ho7p Год назад
Mungu akuna mkubwa zaidi yako tuonyeshee miujiza katika kaline hiii😢😢😢😢😢
@dorisjohn1272
@dorisjohn1272 Год назад
Baba .ni..kweli. Tunakumbuka..Sana..baba. Yetu
@idrissamustafabukenya6110
@idrissamustafabukenya6110 6 месяцев назад
Our hero baba wawanyonge. President John Magufuli. Tunakumiss hapa Rwanda. Ulikuwa rafiki wa raisi wangu Paul kagame. Mashuja wa Africa
@user-yx5lv4pn4v
@user-yx5lv4pn4v 10 месяцев назад
Mwenyezi munguakuwekesehemuzuri
@yusuphmarcelmasinde7263
@yusuphmarcelmasinde7263 7 месяцев назад
Mungu ilitupa na kisha ukachukua kipenzi chako ,Mtetezi wa Wanyonge. Mungu uona sasa Watanzania tunalia na kuumia sana kwa kukosa haki.
@HashifuHashifu-tx2xv
@HashifuHashifu-tx2xv Год назад
Wewe magufuli mungu akupunguzie Azabu ukouliko akim wayote Nimungu Dunia mapito hakuna Mwehishimiwa zidi yamungu
@josephryoba9999
@josephryoba9999 Год назад
Naumia kupoteza 😭😭😭😭
@geophureysamsoni5033
@geophureysamsoni5033 Год назад
Sasa angaria wanatuuza huku tunaona mungu akukumbuke mzee
@gosbertireneus5558
@gosbertireneus5558 2 дня назад
"tukiendelea kukaa kimya,tunaliangamiza taifa" hii kauli ni ngumu sana kuiishi ktk jamii yetu,hakika yataka moyo. yataka moyo tena moyo kweli kweli
@MohamedBlanker-jw9qy
@MohamedBlanker-jw9qy Год назад
Inauma Sana
@ZahrasaidiSaidi-ux4ru
@ZahrasaidiSaidi-ux4ru Год назад
Tunakukumbuka baba
@JEROMEMAHANGA
@JEROMEMAHANGA 5 дней назад
Daaah baba tutakukumbuka sana
@user-zg6qi7uo8h
@user-zg6qi7uo8h 9 месяцев назад
Huyu ndiye alikuwA laisi wetu anauchungu na wananchi wake mungu amuweke mahali pema peponi. Tuseme. Ameni ❤ 9:20 9:20 9:20 9:20 9:20
@user-bc5kt8hh6n
@user-bc5kt8hh6n 7 месяцев назад
Rest internal peace,, watanzania tunakuombea upumzike kwa amani daima maneno yako tunayakumbuka
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Год назад
Who's watching in 2023 After our legend JPM is gone.
@aminasaidi5010
@aminasaidi5010 9 месяцев назад
Hakika ulikua unaona baba mambo yaliokuwayakitendeka kwa siri sasa nani atatuhurumia wamachinga baba kilakitu kimeharibika baada ya wewe kufa tunakuombea ulale mahala pema pepon amminn❤❤❤❤❤
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Год назад
Pumzika kwa Amani Baba yetu. Huku wanauza Bandari yetu Baba malaika wako waje kutusaidia😢
@user-gj9wk9vt5y
@user-gj9wk9vt5y 10 месяцев назад
😂😂 ni uzuni kwel
@kuzenmndele
@kuzenmndele 11 месяцев назад
Uncle magu pumzika kwa aman kaka wa mama ata mungu akupokee uendako tutakumiss sana
@KhadijaJuma-zb7or
@KhadijaJuma-zb7or 3 месяца назад
Ee mwenyezi mungu muweke baba magufuri mahari pema kwani arikuwa ni shujaa wa watanzania🎉
@ZahrasaidiSaidi-ux4ru
@ZahrasaidiSaidi-ux4ru Год назад
RAISI WA MFANO
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b Год назад
Alikuwa Yuko vzuri Sana mh Magufuli
@Bulayampuya
@Bulayampuya 6 месяцев назад
Baba yetu umekuwa dira ya watanzania fikra zako bado zinazunguka akilin mwa watanzania pumzika kwa amani kama unamakosa Mungu akuhurumie ulijito kafara kwa watanzania mola akupee neema huko ulipo rais wetu hayati
@user-hr7xv1lb6i
@user-hr7xv1lb6i 10 месяцев назад
Uka pumzike kwa Amani baba yetu.tulikupenda lakini yeye Alie hai ndiye amekupenda zaidi.🙏😭😭
@msamgunda7684
@msamgunda7684 Год назад
Walikuwa wanakusubir ufe waendelee kusafirisha makinikia. Najiuliza yale mashimo yanayochimbwa sijui watayafukia na nn, ili hali mchanga wanaupeleka ughaibun😂😂😂allah akuangalie kwa jicho la huruma. AMINA.
@SingoBirnvenu
@SingoBirnvenu 3 месяца назад
Nakukumbuka sana baba
@user-xv7vd2fq9w
@user-xv7vd2fq9w Год назад
Magufuli we ndie unafahamu visuri nakupenda mzee
@NduluMaguta
@NduluMaguta 11 месяцев назад
Mungu akupumzishe kwa amani milele
@jalimpanga9315
@jalimpanga9315 Год назад
Huku tunakutafta jitokeze huko uliko umejificha wapi?
@HalfaSaid-vl6ki
@HalfaSaid-vl6ki Год назад
Alisema mtanikumbuka😢
@user-jo5ym6ev7n
@user-jo5ym6ev7n 8 месяцев назад
❤❤❤nalia baba mwema
@HajiJuma-xw7vh
@HajiJuma-xw7vh Месяц назад
Safiii
@user-lj4te6rh6x
@user-lj4te6rh6x 11 месяцев назад
Pumzika kwa amani mtetes wa wanyonge dua za watanzania wengi zikufikie Mungu akusamehe dhambi zako
@MarcellabernardWella-vk3zh
@MarcellabernardWella-vk3zh 9 месяцев назад
Godbless him forever
@stevenkalenzo6457
@stevenkalenzo6457 Год назад
Baba Magufuli Mungu akupokee kwake
@user-gj9wk9vt5y
@user-gj9wk9vt5y 10 месяцев назад
Mungu amulaze maali pazuri alikuwa mtetezi wetu
@SalmahIddy-oz6wt
@SalmahIddy-oz6wt 10 месяцев назад
Mungu mwenyez akulaze mahal pema pepon
@tadeusmartin8266
@tadeusmartin8266 Год назад
Mungu tuinulie mtumishi mwaminifu
@user-xn5rb1gc8g
@user-xn5rb1gc8g Год назад
Kwa kweli Mungu ungetuachiaga amalize ndoto zake.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 Год назад
Pumzika kwa amani baba..
@HasaniMohamed-qt9vf
@HasaniMohamed-qt9vf Год назад
Pumzika kwa amani magufuli
@user-zw4dx4go8o
@user-zw4dx4go8o 10 месяцев назад
Jemedali haswa
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i Год назад
Jemedar wetu watanganyika pumuzika Kwa amani uliokuwa ukiakataa Kwa sasa ndo yanafanyika mikataba ya hovyo,Kwa kujali maslahi yao na watoto wao😂
@mhochibiliclintony8625
@mhochibiliclintony8625 10 месяцев назад
Walaji wote walishakusaliti mzee kuanzia alokua makamo wako waziri mkuu na hata mkuu wa majeshi mana ulivofariki vyote na yote uliyoyafanya yalionekana hayafai
@user-yd6wk2gj8j
@user-yd6wk2gj8j 7 месяцев назад
Baba Pumzka Kwa Aman Wanyonge Tunanyanyaska Sana Nan Atatuokoa Tuonyeshemiujiza Baba Hakika Ww Ulikuwa Raid Kweli
@Ayrngalasian
@Ayrngalasian 10 месяцев назад
Safi sana baba 1:03
@yusuphmarcelmasinde7263
@yusuphmarcelmasinde7263 10 месяцев назад
Kipenzi cha wengi pumzika kwa aman Magufulification. Tunakumbuka na tutamkumbuka daima milele.
@user-cd9re4wt2b
@user-cd9re4wt2b Год назад
Nimeipenda
@richardbagonza2031
@richardbagonza2031 6 месяцев назад
RIP daddy
@martinkipenya4592
@martinkipenya4592 Год назад
Ulisema hatukukuelewa inauma sana
@user-ow6wc1qv2h
@user-ow6wc1qv2h 5 месяцев назад
Da akiyamungu chema akidumu
@eliudkimari-wt5cl
@eliudkimari-wt5cl 9 месяцев назад
Ndio hayati utauĺizwa sku ya kiama
@user-wj4hc6fn2s
@user-wj4hc6fn2s 9 месяцев назад
Daaaah😢!!!
@TeddyKisesa-xx3yb
@TeddyKisesa-xx3yb 10 месяцев назад
Kweli baba makufuri tutakumbuka daima
@hashakishabani4896
@hashakishabani4896 7 месяцев назад
Ewe mola wangu mlaze mja wako huyu mahali pema peponi.ulitupa zawad ukatunyang’anya mapema
@ludotheplanet7475
@ludotheplanet7475 9 месяцев назад
Mungu angemchukua hata samia
@KabadiKiloma
@KabadiKiloma 10 месяцев назад
Ina uma Sana jaman😢😢😢
@user-br6rb5gz5w
@user-br6rb5gz5w 10 месяцев назад
KIONGOZI THABITI MWENYE MSIMAMO HARISI KIONGOZI WA KWELI SIKILIZA HOTUBA HII LINGANISHA UONE
@EugeniaKimbe-ik1pi
@EugeniaKimbe-ik1pi 10 месяцев назад
Hakika wema hawana maisha malefu
@sr.elizabethmbuligwe5540
@sr.elizabethmbuligwe5540 Год назад
Viongozi mliopo madarakani mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio na asikie mjifunze hata Kwa vitendo kutoka Kwa mtangulizi wenu mjiulize Sasa sisi tunaotaka kusaini hiyo mikataba msiisaini bila kujiridhisha
@marystambuli8045
@marystambuli8045 Год назад
Huna baya baba ulitufungua macho ukatutoa matongotongo, uliyoyasema leo yanatokea live! Tunakukumbuka sana.
@linahmatayo2650
@linahmatayo2650 Год назад
Tunakumiss baba tuomboe uko uliko
@user-ct5ts1wq9e
@user-ct5ts1wq9e 10 месяцев назад
Huyu jamaa alikua ni kiongozi bora kuliko maraisi walio kutangulia
@RopianMolle-yy6jo
@RopianMolle-yy6jo 10 месяцев назад
Hakika ulikua shujaa ila Pi uliko Mungu akutuxe
@elishalameck-hj1qo
@elishalameck-hj1qo Год назад
Baba tutakukumbuka sana baba yetu
@bonneanneebizimana2788
@bonneanneebizimana2788 3 дня назад
Hamuta pata tena laisi kama huyu magufuri
@SiyaweziManchare
@SiyaweziManchare Месяц назад
Vzur havidum ila ipo sku
@veronicabundala3273
@veronicabundala3273 Год назад
Wahenga walisema kitu chema hakidumu kweli baba upumzike kwa aman
@IsakaMnzajila-lf8fy
@IsakaMnzajila-lf8fy 10 месяцев назад
Baba tangulia na tunafuata Dunia Inamengi
@MarcellabernardWella-vk3zh
@MarcellabernardWella-vk3zh 9 месяцев назад
Kilamtu anamapungufu yake natahukumiwa namungu ajuaye yote
@exploremountainkilimanjaro929
@exploremountainkilimanjaro929 10 месяцев назад
Daa!!!! Rest in peace daddy
@user-nh6zq5ce9y
@user-nh6zq5ce9y 10 месяцев назад
Kwakweli tunakukumbuka sijui walikuelewa au walikuwa wamewaeka nta masikioni?
@anisiamchembe6552
@anisiamchembe6552 Год назад
Tunakuombea kwa mungu
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 8 месяцев назад
Dah!
@levinapreus5492
@levinapreus5492 8 месяцев назад
tutakuku m buka mtetezi wetu L.I.P
@issaissa1361
@issaissa1361 Год назад
Kweli ulicho kisema tumesha salitiwa WATANZANIA huku nikiamini sana maneno yako kweli u aweza ukawa kiongozi wa malaika huko waje watusaidie eeee mungu baba mrudishe hata masaa mawili tu ashudie
@shazppetersolomon1822
@shazppetersolomon1822 2 года назад
Duh!! 😭😭😭Jembe letu
@thomastarimo
@thomastarimo Год назад
Yani baba umeondoka na ibilis akarudi tena lakini mungu huyu asiyethalimu iko siku ambayo aina jina utainuka tena ipo siku watoto wa yatima wanateseka wajane awana vyakula mfumuko wa being ya vyakula uko juu but mungu ajawahi kushindwa ipo siku
@thomastarimo
@thomastarimo Год назад
Baba ulitufungua macho lakini kwakua mswahili alikosa elimu bass tumerudi kule kule baba ila baba magufuli utarudi tena
@BeatriceSaid
@BeatriceSaid 10 месяцев назад
baba tumesha uzwa masikini tunajifia mama hata hatuoni, watokee hata ndotoni baba
@YonaKajiba
@YonaKajiba 9 месяцев назад
Mungu amkumbuke😢
@user-ow6vh6mz8u
@user-ow6vh6mz8u 6 месяцев назад
Sawa
@Bulayampuya
@Bulayampuya 6 месяцев назад
Hon maguful rest in peace 2takumbuka daima
@user-jm9yw5cg9b
@user-jm9yw5cg9b 10 месяцев назад
Mmmmh tutajifunza kwako baba😂😂😂😂😂
@MichaelKabume
@MichaelKabume Месяц назад
Rip mwamba
@PiusThadeo-li9oe
@PiusThadeo-li9oe Год назад
Rais wa wanyonge
@mwessahdoris5604
@mwessahdoris5604 Год назад
Bado unasema kupitia uliyoyaasisi
@jacklinejosam3713
@jacklinejosam3713 Год назад
Walikuua kwakweli wako baba
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 Год назад
Haitotokea tena Tanzania kumpata raisi kama huyu dah lala salama jpm
@jumaabdalla3374
@jumaabdalla3374 Год назад
Waliopo ni kwa maslahi yao tu
@BeatriceSaid
@BeatriceSaid 10 месяцев назад
hata walokuwa wanakusema vibaya Leo hii wanatamani ungekuwepo
@user-bx5jg1rl9i
@user-bx5jg1rl9i 9 месяцев назад
Tutakukumbuka daima
@stevenmbaga7238
@stevenmbaga7238 9 месяцев назад
duuu maneno mangum sana yenye maumivu makali
@neemamichael253
@neemamichael253 6 месяцев назад
tunakumbuka baba
@DeogratiasAugustin-qf7wx
@DeogratiasAugustin-qf7wx 9 месяцев назад
ANCLE MAGU
@bibibomba4515
@bibibomba4515 9 месяцев назад
❤❤❤❤
@JohnIkumbo
@JohnIkumbo 10 месяцев назад
Maisha haya shida 😂😂😂😂
@glorysungura3180
@glorysungura3180 Год назад
Kama roho inaona, basi magufuli tazama uyaone yanayotendeka sasa.
@babudingi-gd7pz
@babudingi-gd7pz Год назад
Ndicho kinacho enderea mzee uku pumnzika pazuri
@RaphaelPeter-cf5zs
@RaphaelPeter-cf5zs 10 месяцев назад
akika uliipenda nchi yako nasi tuta kukumbuka
@user-ps1nr6tp9u
@user-ps1nr6tp9u 7 месяцев назад
Mng amlz mahali pema
@MagrethMbwilo-jg5un
@MagrethMbwilo-jg5un 10 месяцев назад
Tutakukumbua daima
@AshaJuma-yh6nc
@AshaJuma-yh6nc 10 месяцев назад
Hadija yusufu
@mabhoto-dt8zi
@mabhoto-dt8zi 10 месяцев назад
😂 jamani awe
@emmanueliman7408
@emmanueliman7408 Год назад
Hayo huku duniani amebaki mpina mbunge wa jimbo la kisasa tu ndie msemaji wako,ila ccm hawamuelewi,
@user-uj6ym9xy6y
@user-uj6ym9xy6y 10 месяцев назад
😂😂😂 jamani basi tuu
@jalimpanga9315
@jalimpanga9315 Год назад
Tutakupatia wapi? Baba
@JohnIkumbo
@JohnIkumbo 10 месяцев назад
Hata unamaliza mb zako ni halali
Далее
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 17 млн
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA MEATU - 08/09/2018
1:10:38