Тёмный

JE UNAHITAJI KUAGIZA GARI KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM? TIZAMA HII... 

Online Bandari TV
Подписаться 2,7 тыс.
Просмотров 33 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 45   
@shedrackjacob6038
@shedrackjacob6038 3 года назад
Technology yenu bado sana wakat ungekuwa na limashine flan yaan gari linaingizwa humo halafu mashine hyo inalisican lote na inatoa taarifa zote za gari km kuna kifa kimekosekana
@fadhilimatandala7629
@fadhilimatandala7629 5 лет назад
Now I see why storage charges zinakua nying too much beaucracy
@shebbydante6640
@shebbydante6640 10 месяцев назад
Unaweza kutoa mzigo bandalini bila kulipa kodi za Tra au VAT
@samwelpaul7334
@samwelpaul7334 4 года назад
Ningeshauri mpunguze milolongo..process zimekua nyingi mno..hata kama nia nikuongeza ufanisi lkn naamini mnawezafanya mambo kwa ufupi nakuokoa muda mrefu mno mnaotumia kwa ajili ya hizo documentation.
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 Год назад
Nyie mmeitwa waizi na tulia speaker wa bunge kwa hio tunasubiri Dp
@zefamange7281
@zefamange7281 5 лет назад
Mimi napongeza jitihada za raisi wangu John Pombe Maguri kwa kuifufua bandari ya dar na kuongeza kina cha bahari. Maombi yangu kwa wafanya kaz wa hapo bandarin, iweni na moyo Wa uzalendo ili tuinue pato la taifa kupitia bandari hizo
@kiumanursingtv1647
@kiumanursingtv1647 3 года назад
Eka 2 na robo zilizolimwa mwaka Jana, Ila tuliongeza robo tatu eka Amina anazijuw, jumla kuwa 3
@remmywartmann3214
@remmywartmann3214 5 лет назад
Tunaomba kujua bei ya kutolea gari kulingana na aina ya gari na umri wake. Mbona hua hamjiweki wazi kwa Hilo????
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 года назад
Aaah...Hapo Ndio kwenye KINDUMBWENDUMBWE.....gharama za ulipaji haueleweki....! Magari mbelembele bei Rahisi Lkn ikifika hapo ni danadana zisizo na sababu...! INABIDI WABADILIKE’
@fahminasser3855
@fahminasser3855 5 лет назад
Mlolongo mrefu hauna msingi wowote wakati ukisha lipia mambo yote yanakuwa kwenye system nenda rudi mnasumbua tu wateja
@philipojosephlukumay3965
@philipojosephlukumay3965 5 лет назад
Nimewapata barabara kabisa. Nina swali, Process zote zinatumia mda gani ?
@fetychina3273
@fetychina3273 3 года назад
Process jinsi ya kutoka kuagiza au namba za cm
@muragaraphilippe9087
@muragaraphilippe9087 4 года назад
Mlolongo mwingi wa process unasababisha kuwepo RUSHWA corruptions bandarini
@muzneali5111
@muzneali5111 4 года назад
Document nyingi sana fanyeni utafiti kupunguza hizi document kuokoa pesa za kununua hizi karatasi
@andrearafael2277
@andrearafael2277 4 года назад
Naomben namba ya cm kwa mawasiliano zaid
@muzneali5111
@muzneali5111 4 года назад
Hivi NI lazima kumtumia ajenti wakati WA kutoa gari????
@muzneali5111
@muzneali5111 4 года назад
Yote mliyoyasema sawa Tatizo NI usiri WA ushuru gari zote zinajulikana uzito WA engine gari NI ya mwaka Gani sasa kwa nini ushuru NI Siri???
@bigboys016
@bigboys016 4 года назад
At least kidogo sana mnahamasosha lakini boresheni mifumo mpunguze milolongo mingi sana,
@dostovan5142
@dostovan5142 2 года назад
Too many processing documents
@alvinsafi2733
@alvinsafi2733 4 года назад
Tatizo kuna taasisi nyingi. TBS.TPA .Starage.Nk punguzeni Paper work..
@onlinebandaritv4745
@onlinebandaritv4745 5 лет назад
"Process" ya kutoa mzigo inategemea uwepo wa nyaraka zote muhimu kwa wakati na endapo zipo tayari ndani ya muda mfupi mzigo unahudumiwa kwa wakati.
@tzkwanza3861
@tzkwanza3861 5 лет назад
Online Bandari TV Bandari TV kuuliza sio ujinga jaman gali inakua na ghalam gani. kuingiza tz maana tunatishia sana mitaana uku
@isaackitogo5043
@isaackitogo5043 5 лет назад
Wahusika TPA, Majibu bado hayajajitosheleza. Itapendeza mkitoa jibu sahihi kwamba endapo gari halina tatizo na nyaraka zote zipo sawa, Je, gari litatoka baada ya muda gani? Kwa uelewa wangu ni kwamba processes zote hizo TPA kwa kushirikiana na wadau wengine ilifanya utafiti na hatimae kuidhinisha utaratibu mliotuhabarisha kwenye video hii. Ni muhimu kujibu maswali kwa ufanisi kwani gharama za kutayarisha na kurusha video hii zioane na malengo yaliyokusudiwa. Nitashukuru kupata mrejesho ndani ya wakati.
@abiollashayo5698
@abiollashayo5698 5 лет назад
punguzeni milolongo,mbon kutoa contena simpo tu
@yohanandalahwa983
@yohanandalahwa983 5 лет назад
Gari ikiwa mbovu mnafanyaje kwa mteja?
@maritinikisoda5308
@maritinikisoda5308 5 лет назад
Noah mbei gani nataka gari
@hajimakame4578
@hajimakame4578 5 лет назад
TPA inamazonge ming ya kutoa gar argent abazunguka mpka anaisomba number kwa upande wa argent anapata shida sna kufatilia prosses
@josephlugala3182
@josephlugala3182 5 лет назад
Naomba kuuliza gharama za kulipia gari ndogo kama ist ni sh.... Ngapi maana nimeona Japan gari zinaonyeshwa hadi bei ya kununua
@minjamiraji1086
@minjamiraji1086 5 лет назад
nimekupata
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 4 года назад
Yaani ndugu yangu magari mbelembele Sio INSHU kabisaaaaa....! Tatizo likifika BANDARINI Yaani utafikiri unakomboa DEGE au unakomboa mzigo wa haramu...! HAPO BANDARINI BADO KUNA MAMBO YA KITOTO SANA...!
@salummuhija4435
@salummuhija4435 5 лет назад
Nimependa sana utaratibu huu, na vipindi kama hivi kutujuza habari za kazi na majukumu ya TPA sisi kama raia wa kawaida, zamani tulikuwa hatuyapati haya.
@gm7045
@gm7045 4 года назад
How to make a payment? By credit card payment or cash payment?
@edgerpeter1355
@edgerpeter1355 3 года назад
Jamani samahani naombeni kuuliza
@thabitiseapower4499
@thabitiseapower4499 9 месяцев назад
Mnasachi kizamani hamna atambwa kama Kuna madawa utajuaje mnacheza nyie
@ramadhanmhadim1501
@ramadhanmhadim1501 5 лет назад
too many documents
@rajabuomary3258
@rajabuomary3258 5 лет назад
Tatizo hamwashikishi wateja mnatumia madalali ambao waongeza garama kama mteja ni kama analipa mapato garama ni nyigi sana kwa madali utafikiri unalipa ushuru
@mussamalugu1793
@mussamalugu1793 5 лет назад
Mbona bado hamjaweza kudhibiti wezi wanaoiba matairi
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 Год назад
Waibaji Ni waliomo kwenye mfumo hawawezi kujikamata
@sanidathomas6355
@sanidathomas6355 4 года назад
Refrigeted fuso trucks
@sanidathomas6355
@sanidathomas6355 4 года назад
Refrigeted truck
Далее
OBAMA IN TANZANIA 2013
13:00
Просмотров 22 тыс.
MAGARI YANAVYOBADILISHWA YATUMIE GESI BADALA YA MAFUTA
11:23
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Просмотров 289 тыс.