Тёмный
No video :(

MKURUGENZI WA BANDARI YA DAR KUZIMA MJADALA WA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI BANDARINI 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

9 дек 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@enockjoseph3818
@enockjoseph3818 Год назад
Hapo sawa maelezo yako yamejitosheleza sana nimekuelewa vizuri lakini hakikisheni pasije jitokeza kitu kama hicho ni mbaya sana
@kitejamayunga7645
@kitejamayunga7645 Год назад
Great job Ayo tv
@chabitejamaljamal2082
@chabitejamaljamal2082 Год назад
Iyo video ya zamani sana iyo angola 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Год назад
Huu uhuru wa habari naona unatumiwa vibaya sasa kutoa habari potovu watu kama hawa wanalengo lao binafsi na wanahitaji kushughulikiwa kwa muujibu wa sheria
@georgemngongo6555
@georgemngongo6555 Год назад
Kunawizi sana hapo
@kitejamayunga7645
@kitejamayunga7645 Год назад
Video ilisambaa haihusu bandari zetu za TZ
@blockchain1203
@blockchain1203 Год назад
Kweli sio Bandarini..ila Kuhusu Vifaa vya Magari Kuibiwa Zipo Tangu Enzi za Mababu Wenye Magari Huwa Wana lalamika
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 Год назад
Uwizi pia upo tena sana..Msibishe
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Год назад
Maelezo mazuri sana,hapo Sasa ni kudili na ukweli wa kuibiwa kwa vifaa achana na video maana lisemwalo lipo,Kama hakuna kabisa aliyewahi kutokewa na changamoto hiyo hapo mpo sawa, shukrani.
@jonathanmnyone4003
@jonathanmnyone4003 Год назад
Tusikubali kurudi kwenye wizi wa vipuri vya magari. Naamini Kwa sasa bandari mpo makini.
@georgenshashi1308
@georgenshashi1308 Год назад
Mnajitetea
@francoishector8011
@francoishector8011 Год назад
Kwakweli wizi upo kwenye bandari zenu,mdogo wangu juzi kuna vifaa vimetolewa kwenye bandari ya zanzibar
@hallin9561
@hallin9561 Год назад
ukiachana na iyo video, ukwel bandari yetu ni wezi, wanaiba sana accessories zinazokuja pamoja na magari
@Hamy1109
@Hamy1109 Год назад
Tunaagiza magari kila siku na hatujaona kifaa chochote kilichoibiwa kwenye magari yetu. Nchi yetu ina changamoto nyingi lakini Bandari sio miongoni mwa hizo changamoto.
@dickaugustino8238
@dickaugustino8238 Год назад
Tuliyategemea usemayo!
@davidwassambo5463
@davidwassambo5463 Год назад
Bandari la Mombasa halihifadhi magari hatuna huo utaratibu. Magari yakishukishwa kutoka kwa meli yanaondoka bandari muda huo huo huyu akubali tu ni bandari ya Daresalam.
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Год назад
Iwe heri Kwa Tz
@subirahowen124
@subirahowen124 Год назад
Umeeleza vizur
@rammykandra2354
@rammykandra2354 Год назад
Acheni uongo wizi bado upo mkubwa sana
@annenduku5243
@annenduku5243 Год назад
I can simply trust TZ government.keep it up brethrens.
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 Год назад
Kwahiyo unakataa hamuibi vipuli vya magari bandarini?
@josephchiluka9357
@josephchiluka9357 Год назад
Hiii video walikuwa wanaongea kiswahili kabsa tena aliyechukua alikuwa yupoo ndani ya gari akawa anawachukua anaongea kabsaa kiswahili
@NtanunuraWillsonBaru
@NtanunuraWillsonBaru Год назад
Kwa kweli Africa ndio maana tunachanga moto hivi taasisi inayo simamia na serikali eti watu wana chafua maisha gani mbona duniani hakuna ujinga ujinga kama huo.
@godfreyathumani9912
@godfreyathumani9912 Год назад
Tunao soma cuber tumeelewa
@bakarimohammed2796
@bakarimohammed2796 Год назад
Hio clip ilikua ni SOUTH AFRICA na sio TZ...
@didimhutila8985
@didimhutila8985 Год назад
Wapuuzi nyie.
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Год назад
Hizo gari si mnipe moja jamani!
@hemeddaud618
@hemeddaud618 Год назад
Ukweli bandarini kuna wizi sana mpk masege
@stanleymartinkayuyuva6289
@stanleymartinkayuyuva6289 Год назад
Mm nishaibiwa sana mbona hapo bandalini,, sasa mnajifanya kutetea nini sasa ivyo ndivyo ilivyo hata kwenye ndege pia
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 Год назад
Wewe ongea ila umepewa ukweli,fuatilia kwa ubinafsi bila kuhusisha mtu mimi sina hamu na hapo niliagiza truck lilikua na vitu kibao vikaibiwa nikafuatilia mwisho nikasamehe kwa usumbufu nilioupata. Wafanyakazi wote wanashirikiana hapo ujue hilo. Ni ngumu kujua kama hutaki kujua weka mfumo tofauti wa kamera uone. Tunaomba kwenye form ya kupokelea gari muainishe magari makubwa tofauti na gari ndogo maana vitu vyake vingi viko nje
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 Год назад
CCTV Inawezekana zipo sema Geresha tu hazifanyi kazo
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 Год назад
Awawezi kuweka gar hilo nyuma ya makontena hapo kalibu na Tafafu akuna bomba kama izo
@simonndianga3377
@simonndianga3377 Год назад
Sawa video mnasema sio hilo eneo lkn chunguzen haya mambo yapo
@samyspesho1698
@samyspesho1698 Год назад
HILE VIDEO SIO YA DAR LAKINI WIZI KWELI UPO
@sadickmlawa2787
@sadickmlawa2787 Год назад
Achana na video hiyo bandali yako wizi upo tena kwa kiwango cha juuu sana usitetee kwamba hakuna wiz nifanyie kaz
@MujuniKamugisha
@MujuniKamugisha 8 месяцев назад
Wewe hujawai agiza ata peni alafu unalalamika wizi😂😂😂
@charlesmakanga7927
@charlesmakanga7927 Год назад
These must be my fellow Kenyans stealing from Mombasa port.
@guy_next_door3298
@guy_next_door3298 Год назад
don't be stupid
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Год назад
*Tuache Video lakini ukweli nikwamba wizi wavipuli hpo bandarini upo nakama ukifanyika uchunguzi tutaupata ukweli*
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Год назад
MAHASIDI HAO,WANATAKA KUONYESHA ETI WATU WALIOCHAGULIWA NA RAIS SAMIA HAWAJUI KAZI!! KAKA MRISHO PIGA KAZI,ACHANA NA MAHASIDI!! WAVIMBE MMPAKA WAPASUKE!!MAMA ANAUPIGA MWINGIIII!!
@iluminathankwera9583
@iluminathankwera9583 Год назад
kwenye hiyo clip ni kweli sio ya Tanzania , ila wizi wa vifaa upo Sana , tena kwa haya magari yanayopelekwa bandari kavu ndio kabisaaa , Jana nimetoa gari fuso wameiba mfuniko wa tank la mafuta kisha wakafunika na karatasi la kantoni ya maji ya Afya , na mwisho wa siku hata ikathibitika kuwa ni kweli Kuna kifaa kimeibwa pale utafatilia were hadi upandishe mikono
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Год назад
Magari yote yana Bima. Vinavoibiwa vilipwe.
Далее