Тёмный

MAGARI YANAVYOBADILISHWA YATUMIE GESI BADALA YA MAFUTA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 52 тыс.
50% 1

Miongoni mwa Teknolojia inayoitangaza vyema Tanzania ni ubadilishaji wa mfumo wa matumizi ya Gesi badala ya mafuta katika magari ambao unafanywa katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (D.I.T) huku ikielezwa hadi sasa zaidi ya Magari 200 yakiwa yamewekewa mfumo huo.

Опубликовано:

 

7 июл 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 133   
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 5 лет назад
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. Nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana..........
@oswaldgasperdm.684
@oswaldgasperdm.684 5 лет назад
Hapo tatzo n gharama za ufungaj lakin pia inabid mfanye more research ili muwez kupata namna nyngine ya kuuwek huo mtungi wa gesi na sio sehem ya mzigo. Bt all in all congratulation keep it ahead guys.😍
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu Месяц назад
Kuna gari maalum za Gas, ila kwa hizi zilizoundwa maalum kwaajili ya Mafuta bado sehemu sahihi ya mtungi kuwepo ni huko
@saloomidd1084
@saloomidd1084 5 лет назад
Nimefurahi sana kumuona mwalimu wangu Dr Nyari na chuo changu. I am proud to be DIT Alumn.
@samweljulius2116
@samweljulius2116 5 лет назад
Kama umesoma DIT na unaikubali mpka kesho ,Gongs like twende sawa
@amanichanga3448
@amanichanga3448 5 лет назад
samwel julius Nna usemi wangu mmoja nilikuwa napenda kuusema kwamba kama kuna chuo kigumu dunian zaidi ya dit basi huko hawaishi watu. #OD12 CPT
@Punda284
@Punda284 3 года назад
Ibuniwe mitungi flat ambayo inaweza kufichwa kwenye ubavu wa buti pande mbili Kama tank isiwe inaonekana inaleta woga.
@mlionea
@mlionea 11 месяцев назад
​@@Punda284angalia mitungi ya kenya
@UzalendoNaUtu
@UzalendoNaUtu Месяц назад
​@@Punda284😅😅
@samsifuni
@samsifuni 5 лет назад
So impressive... Especially in addressing current global challages on climatic change
@loyceisack1781
@loyceisack1781 5 лет назад
Tz itatangazwa nchi TAJIRI soon. Vibaraka msije kutuharibia kama Libya
@mannabu9333
@mannabu9333 5 лет назад
Loyce isack kwel maana wananjaa
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 лет назад
@@mannabu9333 Unafikiri yaliyotokea Libya ni sababu ya njaaa..?
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 3 года назад
@@africanhappyadventure6951 yaliyotokea Libya ni kwasababu ya propaganda za wamaharibi wakijifanya hakuna democrasia Wakatumie media kujaza chuki kwa watu wachache wenye uchu wakakubali kutumika kama unavyoona Tanzania wameanza wengine mpaka wanatumia njia za kiarifu ili kuleta attention kwa wamagaribi Kingine wamagharibi na wa nchini waliozoea kunufaika na rasilimali wanahasira na haya yanayofanyika
@ablysonco8850
@ablysonco8850 5 лет назад
Me nmepitia hapo ktk maswala ya A/C za magar,,,majumba...na Frij/Friza...kiukwel hk chuo nakpa respect sana...Respect kwa wakuu wote...wa chuo hch...
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 5 лет назад
Nitumie anwani yao nmpeleka mdogo wangu
@pendael02
@pendael02 5 лет назад
Respect to my Institute
@josephbonday8510
@josephbonday8510 5 лет назад
Hongereni WATAALAM
@ibrahimsalim2231
@ibrahimsalim2231 5 лет назад
Me niko falme za kiarabu,huku taxi al most zote zimefungwa cng,kiikwel ni cheap ukilinganisha na mafuta,ila challenge iko kwenye upatikanaji wa ges coz si sheli zote zimefungwa gas,nafrah kusikia na ss tunapiga hatua kama hizi
@mlionea
@mlionea 11 месяцев назад
Uko Dubai?
@nemuelombasa8810
@nemuelombasa8810 2 года назад
Hongera watanzania,fungua kiwanda hapa kenya.
@bigowillythomaskayanda7763
@bigowillythomaskayanda7763 5 лет назад
Kama haujasikia jina la huyo fundi gonga like,,
@greatiq8234
@greatiq8234 5 лет назад
Ewe Mwenyezi Mungu ondoa ukaidi na jeuri kwenye vichwa na mioyo ya MADEREVA wa MAGARI Wa TANZANIA wakati wakiendesha MAGARI hayo!
@gaudinamosnchobe4909
@gaudinamosnchobe4909 5 лет назад
Safi sana
@johnrimoy1613
@johnrimoy1613 Год назад
Tatizo ni garama kubwa ya kufunga mfumo wagesi. Mngefunga gesi bure au kwa bei nafuu m toze / charge, kadri mteja anapokuja kujaza gesi.
@shedrackboniphace7755
@shedrackboniphace7755 5 лет назад
Hongeran pia kwa nunua yutong bus kwa 350milion
@fristonactary1371
@fristonactary1371 5 лет назад
Naomba msiweke kwenye daradara iyo mitungi Tafadhali
@genesbkimariokimario7357
@genesbkimariokimario7357 5 лет назад
😂 😂 😂 😂 kamweene
@nellywizz9631
@nellywizz9631 5 лет назад
Wakufe weny binafs au😅😅😅
@ismailmashimba3470
@ismailmashimba3470 5 лет назад
Tanzania oweeee
@hassanramadhan899
@hassanramadhan899 5 лет назад
DIT-2016 ,B.ENG 13 Mechanical, 'WHENEVER THERE IS HUMAN BEING MECHANICAL IS THERE' Mechanical Engineering is a farther of all Engineering.
@sulabdul6007
@sulabdul6007 5 лет назад
Watu wameanza kutumia hizi LPG toka 1998 ! Semeni mumeanza kufanya yaani mumeiga lakini hamja vumbuwa kitu.
@yustosassi1277
@yustosassi1277 5 лет назад
worldwide change sawa ila wameweza
@mohamedjuma3269
@mohamedjuma3269 5 лет назад
Hii sio LPG.....ni natural gas CNG
@barickprogrammer
@barickprogrammer 5 лет назад
computer Engineer dit... nimepita hapo... tupo juuu
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 5 лет назад
Noted
@kwelyphotographer423
@kwelyphotographer423 5 лет назад
Mika ndaba hongera
@abdallahlungo3816
@abdallahlungo3816 2 года назад
Ni jambo zuri nishauri serikali iweke utaratibu wa vituo vya kujazia gesi vipatikane maeneo ya mikoani pia.
@isacklissu847
@isacklissu847 5 лет назад
Millard Ayo itabakii juuu juu,itashuka nikianzisha yanguu
@festosilungwe126
@festosilungwe126 5 лет назад
Swali la msingi sana halijajibiwa, gharama za kubadili mfumo ni kiasi gani?
@donaldmalongo1214
@donaldmalongo1214 5 лет назад
1.3million
@applestru_cape2219
@applestru_cape2219 5 лет назад
@@donaldmalongo1214 vipi kwenye Bodaboda mfumo unawezekana kua wa gas baada ya petrol
@applestru_cape2219
@applestru_cape2219 5 лет назад
@@donaldmalongo1214 ?
@donaldmalongo1214
@donaldmalongo1214 5 лет назад
@@applestru_cape2219 hapana hawafungi kwenye pikipiki.. Inawezekana sema mtungi wa gesi kweny pikipiki utakaa waapi
@batrumeoephadamlyangano4609
@batrumeoephadamlyangano4609 4 года назад
Upatikanaji wao wanapatikanaje mbna hawajatoa mawasiliano
@tgeofrey
@tgeofrey 5 лет назад
Naomba Manila ya. We've mtaalamu ..
@ezekielkisika6254
@ezekielkisika6254 5 лет назад
TANZANIA
@emmanuelbitungwa766
@emmanuelbitungwa766 3 года назад
1.8M
@princepeter2110
@princepeter2110 5 лет назад
Kwaio no space 4 big sound
@jumamayunga7472
@jumamayunga7472 5 лет назад
Magari yasituripukie tu
@mneneybariki4772
@mneneybariki4772 11 месяцев назад
Mm naitaj kubadilisha gar yangu ambayo nidaladala inawezekana
@dr.erickjmazyala8905
@dr.erickjmazyala8905 5 лет назад
hapo kwenye knob hapo, ikitokea ajali kutoka nyuma kigongwe hicho inakuaje hapo mtaalam! Umeulizwa gharama ya ufungaji wa hiyo mitambo siyo tofauti ya bei ya gesi na petrol!
@nanyembeseif124
@nanyembeseif124 5 лет назад
Nadhani alijichanganya pale
@mlionea
@mlionea 11 месяцев назад
Huyo mtungi ni wa steel na fibre gas ?
@AliOmar-bx2oz
@AliOmar-bx2oz 3 года назад
Je vipo vituo vya kutosha vya kujaza gesi? vipo wapi?. Millard Ayo, gesi ni safi naturally, hivyo haichafui sana engine(combustion) , kwa hiyo ubadilishaji wa engine oil huchukua muda mrefu zaidi na pia Engine hizo hudumu sana kuliko zile zinazotumia petroli na diesel..
@bonifacemohono3486
@bonifacemohono3486 5 лет назад
Linganisha na mafuta
@paulkaijage3443
@paulkaijage3443 5 лет назад
maisha plas
@robertkimbira7634
@robertkimbira7634 5 лет назад
Mna Mpango gani wa kutembelea na kutoa huduma hii mikoani?
@eddyjustin5890
@eddyjustin5890 3 года назад
Hii bei 1.3 fundi pamoja na vifaa?
@hilalmohammed168
@hilalmohammed168 5 лет назад
Kwa maana hio ilo zoezi ni kwa ajili ya m-badala Wa petroli tu. Vp kuhusu diesel.
@paulsimbeye7216
@paulsimbeye7216 5 лет назад
Bei ya Jumla sh ngapi kubadili mfumo?
@donaldmalongo1214
@donaldmalongo1214 5 лет назад
1.3million
@alihabibu1812
@alihabibu1812 5 лет назад
Kwa sisi wa mikoani tunapate huduma hii na gharamazakee
@seifbaus385
@seifbaus385 5 лет назад
Hiyo ges kwenye kuongeza kwenye mtungi wake inachukuwa mud gani na inatumia pampu za aina gani kujazia au unafanya exchange kwa mtungi mzima
@mlionea
@mlionea 11 месяцев назад
4 hours.
@saintwiz
@saintwiz 5 лет назад
Akiii tunakujaa uko
@amourbrwn2501
@amourbrwn2501 5 лет назад
kwa nchi hii ilivo kesho kutwa gas itapanda bei
@user-nz2de7tj9r
@user-nz2de7tj9r 5 лет назад
Msiwadanganye watu gesi na joto letu mnaharibu engine ogopeni mungu wenu
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 3 года назад
Msije baadae mkaongeza bei
@optatusmwalongo1246
@optatusmwalongo1246 5 лет назад
Semeni gharama za kufunga huo mfumo ili tujue...
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 5 лет назад
Jibu swali ninahitaji kujua garama za uff
@donaldmalongo1214
@donaldmalongo1214 5 лет назад
1.3 million Mm n mwanafunzi wa chuo iko
@jumahili8121
@jumahili8121 5 лет назад
Hapa sikoment kitu. Naomba mtu mwenye chaja ya pini ndogo aniazime. Niko moshi.
@petermwantole9433
@petermwantole9433 5 лет назад
Hahaa,, Njoo uchukue niko Mwanza Pasiasi hapa
@jonijojoss9181
@jonijojoss9181 5 лет назад
Ya cm gan
@nellywizz9631
@nellywizz9631 5 лет назад
Niko kaham njoo tuma nauli nkutumie best😅😅
@yusuphlangay6929
@yusuphlangay6929 5 лет назад
Mawasiliano yenu
@benjatv2493
@benjatv2493 5 лет назад
Mbona sasa mitungi inakaa sehemu yamizigo inamaana hakuna sehemu nyingine pakuiweka ili isizibe nafasi yakuwekea mizigo
@boniphacetv739
@boniphacetv739 5 лет назад
BENJA TV huo ndo mzigo tosha mambo ya kufoji tu
@samsonmathew7562
@samsonmathew7562 4 года назад
Sasa unataka waweke wapi kwa dereva
@tj65
@tj65 5 лет назад
Maana gesi haitaki masihara .mm kama nitalijuwa gari linalotumia gesi silipandi
@kingsuleiman7603
@kingsuleiman7603 5 лет назад
garama nibei gani kwa gali
@gresianangowi8011
@gresianangowi8011 Год назад
Napataje au napata wapi huduma ya mfumo wa gesi kwenye gari yangu?
@michaelkessy5740
@michaelkessy5740 5 лет назад
Usivute sigara ktk gari hiyo ya Gas......itakula kwako.
@nanyembeseif124
@nanyembeseif124 5 лет назад
Hamna sio kweli, unless kuwe na leakage
@nanyembeseif124
@nanyembeseif124 5 лет назад
China taxi karibia zote zinatumia gas, na wahuni tunagonga chiga kama kalambwanda.
@jumakessy7560
@jumakessy7560 5 лет назад
Vipi kuhusu gari za diesel, maana nimeskia petrol tu, pia lazma ujiulize kwanini wazungu hawazalishi magari yenye uwezo wa kutumia gesi badala ya mafuta
@marthamashimba1750
@marthamashimba1750 5 лет назад
Kwa nn wewe usizalishe...eti kwa nn wadhungu
@jumakessy7560
@jumakessy7560 5 лет назад
@@marthamashimba1750 mimi nazalisha mbona, hata ww ukitaka nakuzalisha tu😈
@tj65
@tj65 5 лет назад
Kuripuwana huku kiurahisi
@adenihalisi4218
@adenihalisi4218 5 лет назад
We naye!
@norman4332
@norman4332 5 лет назад
NJOO UONE JINSI MTU ANAVYOWEZA KUBADILISHWA KATIKA MAUMBO MBALIMBALI, BONYEZA PROFILE PICHA YANGU HAPO KUSHOTO 👈 ITAKULETA KWENYE CHANNEL YANGU
@emeldaboniphace5901
@emeldaboniphace5901 5 лет назад
Weny baiskel tu comments wap
@harunakayega5531
@harunakayega5531 5 лет назад
Aisee huko ni pa maana lazima nije huko yan elf 20 kwa wiki hahahah lazima nije mana mafuta pasua kichwa sana aisee ila swali la msingi hamjajibu gharama za kubadilisha mfumo wa mafuta kuja gas ni kiasi gan hilo jambo la msingi sana
@princepeter2110
@princepeter2110 5 лет назад
Inapita M
@emmanuelmahenge02
@emmanuelmahenge02 5 лет назад
Kwa nini wasitoe kabisa system ya mafuta ibaki gesi pekee
@DreamyRelaxationAmbiance
@DreamyRelaxationAmbiance 5 лет назад
mbona usiwe na mbili
@VictorDMmari
@VictorDMmari 4 года назад
Gesi ikikuishia unadhani wataibeba kwenye kidumu??? Si washasema kituo cha kujaza ni kimoja... Think big
@selemanikunji672
@selemanikunji672 5 лет назад
sasa tutabaje kidumu chafuta almaarufu kupiga nyoka?
@hilalmohammed168
@hilalmohammed168 5 лет назад
Hahahaaaa hamna kupiga nyoka apo
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 лет назад
sasa hyo mitungi kuibeba kwenye gari si ni mzigo huo.
@heartnsanya1182
@heartnsanya1182 5 лет назад
Tanki la mafuta unalibeba ww
@matysamwel8592
@matysamwel8592 5 лет назад
kwani ukiweka mafuta lita 100 na mtungi mmoja ukawa kg 25 panatofauti gani ama unazungumzia space/ nafasi katika gari
@jumahnassor8471
@jumahnassor8471 5 лет назад
Mzigo naweka wapi?
@mohameddamka922
@mohameddamka922 5 лет назад
@@heartnsanya1182 kumbe na ww akili zako mgando. tank la mafuta ni sehemu ya gari mtungi wa gas hyo ni ziada unalazimika kuubeba kwenye buti sasa mtu ana passo kwa mfano halafu abebe na huo mtungi kwenye buti huoni kuwa ni mzigo wa ziada huo.
@innocentshao8291
@innocentshao8291 5 лет назад
Mnapatikana wap
@Apeacfulguy
@Apeacfulguy 5 лет назад
Weka na majiko ya kupikiya kabisa tupikiye ugali
@benjaminsharika9942
@benjaminsharika9942 5 лет назад
Kuweni makini mno ndugu zangu msije mkapoteza damu zisizokua na hatia. Gesi ni hatari sana ni nyepesi zaidi ya mafuta. Need more research and will cost a lot of money and time. Ni wazo zuri lakini gumu. Kwa nini msi shift kwa electric car reseach. Gas is too danger and very easy to burn. Mnaweza research kwa gari la kutumia maji. Convert H2O into energy.
@emmanuelpaul3017
@emmanuelpaul3017 2 года назад
Hii ni natural gas, wewe ndio ufanye research
@mlionea
@mlionea 11 месяцев назад
​@@emmanuelpaul3017uko sure ni Natura gas ama ni LPG?
@mlionea
@mlionea 11 месяцев назад
Petroli ni hatari kuliko gas. Gari ya stima ni bei ghali X 100 kubadilisha
@godwillkilangi9299
@godwillkilangi9299 5 лет назад
Iyo technology mbona kwa wenzetu walianza itumia miaka ya 70 kwa haps africa nchi ya kwanza kuitumia ni south africa walianza tumia mwaka 2012
@priscasiame9179
@priscasiame9179 5 лет назад
Gas ya majumban inauwa mbaya leo hii mnataka kutumaliza kwa magar yetu.kudadeki akuna uimara hapo gas ni gas tu
@olomweneabongela1717
@olomweneabongela1717 5 лет назад
Wewe unagari au hapana. Uliza wanao miliki gari wakwimbiye jinsi inavyouwa watu kwa ajali
@priscasiame9179
@priscasiame9179 5 лет назад
@@olomweneabongela1717 namiliki gar huu mwaka wa20 sijawahi pata ajal yoyote ile ajal ya barabarani ni umakin wako dereva.hila hii gas tatzo kubwa usitetee ujinga hapa sisi tumezoea kuni namkaa only
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 4 года назад
@@priscasiame9179 km hujazoea kausha
@asiliyakechuma4319
@asiliyakechuma4319 5 лет назад
Mm natumia mafuta mwanzo mwixho labda mzungu atangeneze gar ambalo special na gesi lakini sio haya yakufojali #eti naokoa cost ya mafuta pumbafu wakat unanunua gari ulikua unajua linatumia maji?
@barakaabdallah354
@barakaabdallah354 5 лет назад
Be positive or be quiet
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 5 лет назад
Stupid Mind
@asiliyakechuma4319
@asiliyakechuma4319 5 лет назад
Mnataka vya serereka
@user-nz2de7tj9r
@user-nz2de7tj9r 5 лет назад
Ishapitwa na wakati inaharibu engine ya gari hata pikipiki wanaweka mitungi ya gesi
@dicksonaloyce6924
@dicksonaloyce6924 5 лет назад
utajuaje ges imepungua kwenye gari kama Gage ya mafuta inavyo onyesha mafuta yamepungua niongeze
@jumahnassor8471
@jumahnassor8471 5 лет назад
Bei ya mafuta na gas ipi ghali?
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 3 года назад
Kutumia gas asilia hakuhitaji utafiti maana matumizi yake yantumika sehemu nyingi Duniani hivyo inatakiwa uwekezaji mkubwa katika kubadili mfumo kutoka matumizi ya mafuta kwenda kwenye matumizi ya gas, hata hivyo vifaa mnavyotumia ni imported.
@saadsalum3253
@saadsalum3253 5 лет назад
Hamna lolote acheni kuwadanganya watanzania kama imeshindwa Kenya mtaweza nyie
@pendael02
@pendael02 5 лет назад
Ingetoka china ungekubali, ila ya nyumbani unaidharau. Tuwe wazalendo
@godwillkilangi9299
@godwillkilangi9299 5 лет назад
Iyo technology mbona huku south Africa ni kitambo tu Wanaifunga? Kwenye magari sasa kama kenya wameshindwa si hao wenyewe akili viazi tu
@sanyolee1396
@sanyolee1396 5 лет назад
Kwa hiyo Kenya ni Nani Sasa?
@fadhiliromwald
@fadhiliromwald 4 года назад
Kenya ndo nini mzee
@jumatimbanga4973
@jumatimbanga4973 5 лет назад
Safi sana
Далее
УНИТАЗ В ЛЕСУ?? #shorts
00:24
Просмотров 584 тыс.