Тёмный
No video :(

Je Yuda Naye ni Jini au Shetani Sheikh Shafii Atoa na Maandiko Kwenye Bibilia Kutoafautisha Haya 

Ustadh Shafii Online Tv
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 3,8 тыс.
50% 1

usisahau ku subscribe channels hii

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@sayeedmsct4255
@sayeedmsct4255 2 месяца назад
Masha-allah hakika wewe ndio sheikh mwenyezi mungu Akuifadhi ❤❤❤❤
@ABDIKASIM-qe4lc
@ABDIKASIM-qe4lc 2 месяца назад
Maashaallah mungu amupe umlimulefu uzidi kutuelimisha
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 2 месяца назад
Shukrani xana Shekh umejibi vizuri kabisa ALLAH akulipe kheri na akuongezee elimu zaidi tuzidi kufaidika Amiin.
@fadhilfathamula4224
@fadhilfathamula4224 2 месяца назад
Sheikh shaff kichwa saaana mwenyezi mungu akujaalie khel
@ndayisengaamissi6102
@ndayisengaamissi6102 2 месяца назад
Sheikh Shafii. ALLAH AKUBARIKI SHEIKH LANGU , NAPENDA SAN UFAFANUZI WAKO
@barazasule9582
@barazasule9582 2 месяца назад
Ustadh Shafii,nakuelewa vzur,asokuelewa kusudi tu.
@user-cy4xf1eu3q
@user-cy4xf1eu3q 2 месяца назад
Utofauti wa Yesu alikemea majini na shetani
@abdallahjuma2608
@abdallahjuma2608 2 месяца назад
Sheikh shafi ❤
@HappyKiteboarder-du9th
@HappyKiteboarder-du9th 2 месяца назад
On fire shafi
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 2 месяца назад
Shafi kuja kenya kisii, haki ijulikane,
@suleimanmosooud9405
@suleimanmosooud9405 2 месяца назад
Nabi Suleman Sheikh Sheikh Shari. Nakukubusha Tu. Ukosawa.
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 месяца назад
Uchawi upo kila Taifa kila kabila sio dini, Kuna Uchawi wa Kinyamwezi, kinyakyusa, Kimalawi , Ki Botswana, kila kabila hapa duniani, Sema watu wakikosa hoja hushambulia dini za wengine kwa hoja za Kichawi, Wameru na hata uchagani kuna uchawi je wamefundishwa na Waislam? Hapana
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 2 месяца назад
Hoja nzito kabisa hizo
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 2 месяца назад
Tatizo huyo jamaa sio muandishi wa habari bali ni mshabiki wa dini. Tena bahati tu Ustaadhi hakutaka kumuwekea manani tu. .....
@halimakunary8802
@halimakunary8802 2 месяца назад
Unaongea vizuri na unafafanua vizuri
@user-gb5hq7tv2u
@user-gb5hq7tv2u 2 месяца назад
🙏🙏💯
@DawaUnityGroup
@DawaUnityGroup 2 месяца назад
Ni walawi 17:7
@UessoSalimo-cd3mw
@UessoSalimo-cd3mw 2 месяца назад
Sheikh shafim mi Nina swali na nimkaazi wa msumbiji Nauliza hivi ktk zama za zamani kuna baazi ya wazee walikua na uwezo WA kuchuma nazi hata uwe mrefu VIP Kwa kutumia kuinamisha Swali namna hii walikuwa wanatumia mashetani Au majini au walikua wanatumia uwezo WA qur ani?
@MirajiMiraji-yu4gg
@MirajiMiraji-yu4gg 2 месяца назад
Shehe shafi .kama hujaumwa na Hawa majini mtu hubishia ww mzima. Hujaumwa na Hawa ..wengine ss wagonjwa miaka 40 tunaumwa mnatusaidiaje au ss sibinaadamu tuachwe ..wapo watu wanawatuma majini kututesa na hutupanda husema hawatoki jee huyu jini hajatumika au katumwa mm naamini Kuna binaadaam wengine wanatumia viumbe Hawa kututesa mm naumwa na jini miaka 40 sasa
@abubakarmuhammadsaid3244
@abubakarmuhammadsaid3244 2 месяца назад
Nenda kazung7mze na imamu msikitini, utapata msaada. Au mfuate Sheikh mwenye elimu aliesoma dini, utapata msaada. Insha Allah
@NNCTVnewnurucinema
@NNCTVnewnurucinema 2 месяца назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-0Mi1eCx0mVE.htmlsi=PAWKhl0F0yPjD2et Tazama na hii utajifunza mengi
Далее
Mtoto Aliyesahaulika na Jamii-Ustadh Shafii Shomari
20:58
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
USTADH SHAFII AMLIPUA MWAMPOSA NA UONGO MAFUTA YAKE
12:56