Wapo kabisa wanaofurahia mateso ya binadamu wenzao.Na Mungu hakutuagiza hivyo bali aliagiza UPENDO. Na huo upendo umebeba kila kitu ktk maisha ya mwanadamu, msamaha,uvumilivu nk.
Wee ulimwengu tatizo laki wajificha nyuma ya gazeta lako UKWELI wewe ni mchochezi mkuu nchi hii Wakumbuka mshirika wako sit hole kulichomkuta enzi ya baba wataifa Nadhani umekumbuka Wacha kudanganya watu
Sio maelekezo kutoka juu ni kufuata sheria tujifunze kufuata sheria iliobaki ni wivu uloho wa madaraka ulikuwepo katika maazimio ya zanzibar kama chama gani wewe na fatuma karume kama sio ukibaraka na chuki binafsi tunaitaji tufuate sheria tusije kugeuza maneno na kusema tumepata maagizo kutoka juu iyo akuna ukivunja sheria utachukuliwa atua ya kisheria kimfano mbowe aliwamashisha wananchi eti tuwashe moto kuanzia dar es salaam iwe mfano mikoa mingine wasikie na kuendekeza kuuwasha moto nyumba adi nyumba mtaa adi mtaa kata adi kata wilaya adi wilaya iyo nayo ni haki
Anuary Ally mh !mbona kesi ya msingi sasa haisemwi ili wahukumiwe kwa kusababisha kifo cha Akwelina ? tunafunikizwa na rufaa ya kutokutii mahakama vp???
Anuary Ally serikali ndio yenye mamlaka jambo hili ni sawa na ccm kulalamika kwamba wameibiwa kura kwenye uchaguzi na idadi ya waiiouawa hata polisi waliuawa je,polisi nao walikua wanaccm?
Huyu jamaa anachokiongoa cyo.kutii no utimamu.uoga ni mupaka .1=mfano mfanyakazi ofisini awemwaminifu 2= mwingine awe mzembe,muvivu,3=na anayekubali amuli ya mkubwa.je kati ya hao utamupenda nani katika kazi yako!
HUYU MZEE ANA AKILI KUBWA .AFRIKA NI WACHACHE WA AINA YAKE.MTII MUNGU ASIYE NA UOVU LAKINI MUHESHIMU KILA ALIYE MBELE YAKO.MAISHA HAYANA BINGWA WA KUDUMU.
Mzee wewe umeanzisha mavyombo yako ya habari wewe ata mara moja sio ukawa na kipa umbele na majukumu ya wananchi japo kua kua viijiji tunaitaji tufanyiwe ichi na ichi. Sasa wewe kwa nini uweki wazi kua chama chako cha siasa ni /hili gazeti lako hili ukawa unachukua ruzuku kama ni kuliko kua unajificha jificha kwa nini ???!!!!