Тёмный

Jinsi ya Kuswali kwa Ufasaha 

Muumin
Подписаться 4,9 тыс.
Просмотров 144 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 июл 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@mathayojackson2344
@mathayojackson2344 2 года назад
Mimi sijaingia kwa uislamu lakini kweli sala yao inanipendeza sana kwanini inanipendeza kwa kuwa kila siku wanaonekana wana sali lakini nam pia nitaongoza kwani ninaye Mwabudu ni Mungu mwenyezi yoye
@muumin7118
@muumin7118 2 года назад
Mwenyezi Mungu akuongoze uupate ukweli na umuabudu mola wako kwa ufasaha zaidi🙏🏿
@hashimfarsy8862
@hashimfarsy8862 Год назад
Allah sw akuongoze MashaAllah Kwa kupendezwa na Hilo
@sasi_tv6702
@sasi_tv6702 Год назад
Karibu Katika Uislamu Uje Furahiye Maisha Yako Ya Dunia Na Akhera... Afwan
@mariamissa4029
@mariamissa4029 6 месяцев назад
Karibu ktk dini ya khaki
@user-qj9sn5ge3b
@user-qj9sn5ge3b 3 месяца назад
Fata moyo wako
@Fatuma_12323
@Fatuma_12323 5 месяцев назад
Allah awawekee ilman naafia kwa wenye hawajui Ameen Inshallah 😊😊
@UessoSalimo-cd3mw
@UessoSalimo-cd3mw 10 месяцев назад
Mashallah Ila ukiisoma dua ya kufungulia swala ,hautakiwi kuirimia Tena takbira
@shadiaaboud-rn4gf
@shadiaaboud-rn4gf Год назад
Masha Allah Allah akufanyie wepes inshallah
@mariamuselemani3192
@mariamuselemani3192 Год назад
Allah atujaze yaliyo ya kheri
@chikunuru5404
@chikunuru5404 5 месяцев назад
MashaAllah, nilikua natafuta video kama hii yenye maana ya maneno ya swala. Japo cjapata yote
@user-kr6zp6zj9e
@user-kr6zp6zj9e Месяц назад
Shekhe naitwa hawa hassan napenda kuswali lakin sijui nataka kujifunza lakin ndoivo tafadhali nisaidie
@officialmarrow3845
@officialmarrow3845 Год назад
Allahu akbar...Masha allah
@nurukamtande1657
@nurukamtande1657 Год назад
Jazakallah Khair
@HairatySaidi
@HairatySaidi 15 дней назад
Saw nmeeelewaa Asante sana
@khadijahussein4019
@khadijahussein4019 Год назад
Maasha Allah
@user-zd5qb9yy6b
@user-zd5qb9yy6b 6 месяцев назад
Mashalla nimejfunza meng
@KudrackAbubakar
@KudrackAbubakar 2 месяца назад
Masha Allah Allah atujalie hekima
@mwatangachaurembo3405
@mwatangachaurembo3405 Год назад
Maa sha ALLAH Wa jazakallahu khayran
@user-ke9jf6ny6b
@user-ke9jf6ny6b 11 месяцев назад
Mashaallah mashaallah
@ismailhussein3723
@ismailhussein3723 Год назад
Masha Allah
@sabihamohd3673
@sabihamohd3673 2 года назад
Mashaallh
@ayshamsami1167
@ayshamsami1167 2 года назад
Mashaallh👰
@meterinenanjala9509
@meterinenanjala9509 Год назад
Mimi sijaingia kwa Islam lakini natamani Sana kuingia sababu ya kuswali kila siku
@ramearfe9509
@ramearfe9509 Год назад
MashaAllah mola akuongoxe...ameen
@hancekimario9562
@hancekimario9562 Год назад
Mashaallah Allah akufanyie wepesi
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
Fanya kuslimu ili uswali vizur
@maulidyusuph1559
@maulidyusuph1559 Год назад
M.munguh akufanyie wepesi inshaallahu minal aaminin
@sasi_tv6702
@sasi_tv6702 Год назад
Karibu Katika Uislamu Uje Furahiye Maisha Yako Ya Dunia Na Akhera... Afwan
@aishayosuf3531
@aishayosuf3531 2 года назад
Shukrani
@bilalbizimana980
@bilalbizimana980 3 месяца назад
Nilikua naomba uniandikie kwa wasap please ashhadu kubwa na ndogo. Na tofauti yake ni ipi na huezi kusema ndogo kwa raka y mwisho?
@salmakassim3456
@salmakassim3456 2 года назад
Asante 🙏
@Tatu-kx8jf
@Tatu-kx8jf 26 дней назад
Napenda kusoma dini
@moviolintz
@moviolintz 4 месяца назад
Mashaallah 🙏
@Tatu-kx8jf
@Tatu-kx8jf 26 дней назад
Napenda kupata msada
@user-mm2sq9gz2g
@user-mm2sq9gz2g 10 месяцев назад
Mashaallah
@rehemadunia8227
@rehemadunia8227 2 года назад
Nzuri nimependa mnafundisha vizuri
@muumin7118
@muumin7118 2 года назад
Asante sana tunafurahi kuwa ujumbe umefika kama ulivyokusudiwa Allah atujaalie utekelezaji mzuri wa ibada zake. Amiin🙏🏿
@hatimyusufyusuf1253
@hatimyusufyusuf1253 2 года назад
Mashallah
@subiraally7366
@subiraally7366 2 года назад
Mashalah
@muumin7118
@muumin7118 2 года назад
Barakallah🙏🏿
@hazlatmajidi5191
@hazlatmajidi5191 2 года назад
Shukran
@jasmineliana5238
@jasmineliana5238 4 месяца назад
Asante sana mm nilikuwa sijui
@ShamimAlex
@ShamimAlex 4 месяца назад
Mashallah
@user-rd3mq8bj1q
@user-rd3mq8bj1q Год назад
Mungu akubrik
@user-ux1rg1oz5b
@user-ux1rg1oz5b 8 месяцев назад
Mashalwhh
@judieyasmiin9789
@judieyasmiin9789 Год назад
Allah 🤲🤲🤲
@sumaiyamikidadi3589
@sumaiyamikidadi3589 11 месяцев назад
Shukran ❤
@jumaexaveryliwalijel6600
@jumaexaveryliwalijel6600 9 месяцев назад
Best
@user-fj4wx6xd3y
@user-fj4wx6xd3y 4 месяца назад
Nimependa❤❤❤❤
@mwanamisiramadhan4773
@mwanamisiramadhan4773 Год назад
A alaikum mimi nina swali je? baada ya shahada hii dua ya mwisho ya kumtaja rasulullah (swa )pmj na nabii Ibrahim (as)nk ni faradhi /lazima au ni sunna tu nauliza hivyo kwa sababu wakati nasoma madras hatukufunishw hivyo nimekuja kujifunza kwenye mitandao wabillahi taufiq
@scenic6
@scenic6 Год назад
Ni lazma ila unaisoma kwenye shahada ya mwisho sio ya kati yaan (baada ya kumaliza rakaa ya mwisho)
@mwanamisiramadhan4773
@mwanamisiramadhan4773 Год назад
@@scenic6 shuqran ila madras hatukufundisha mwisho ilikuwa kwenye shahada tunatoa Salam japo sahi najua alhamdulillah
@mwanaidially2576
@mwanaidially2576 2 года назад
Je inawezekan kufunga ramadhan kam huja slimu
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
hujawa mwislam bado
@chiamamy8167
@chiamamy8167 2 года назад
Funga ni kwa ajili ya mwislamu tu
@rashidsaleh1828
@rashidsaleh1828 Год назад
Mimi naomba ile dua ambayo umeingia chooni umejisaidia dua unayosoma kuna mda tunaitahitaji kujua vitu vingi lakini ubize wa maisha tunakosa mda wakukaa chini na mtu kujifunza
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
Dua ya kutoka chooni n fupi sana unasema tu 'Ghufranaka'
@rashidsaleh1828
@rashidsaleh1828 4 месяца назад
​@@muumin7118sio dua ya kutoka chooni dua umemaliza kujisaidia haja kubwa au ndogo unasoma dua ipi
@abdurazakiabdukadiri9949
@abdurazakiabdukadiri9949 4 месяца назад
Dua ya kuigia choon ni, allahumma innii audhubika minalkhubuth walkhabaaith
@rehemaqueen8646
@rehemaqueen8646 11 месяцев назад
Karibu
@eddahmwinzi
@eddahmwinzi Год назад
😘😘😘
@mwanatumujuma4090
@mwanatumujuma4090 2 года назад
Masha Allah nmejifunza mengi ...
@muumin7118
@muumin7118 2 года назад
Alhamudulilah ni jambo zur ilo
@iddially
@iddially Год назад
Usichoke kuangalia utaelewa Tu kwani hakuna zito
@sophiabernard6406
@sophiabernard6406 Год назад
Asalam aleykum, mimi nimeingia kwenye uislam lakini sijui kuswali na kinachoniumizaa nimiezi 3 sasa nipo kwenye uislam bila kuswali kila nikiangalia videos sielewi chochote
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
Asalaam aleykum we upo mkoa gan?
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
Kama hutojali namba yangu 0718235197 nitafute tuongee ili tujue tunatatuaje ilo suala
@iddially
@iddially Год назад
Usichoke kuangalia utaelewa Tu kwani hakuna zito
@frdosr5794
@frdosr5794 8 месяцев назад
Allahu Akbar!Allahu Akbar!Allahu Akbar!Masha Allah tabarakalah,mimi nilikuwa hivo basi Alihamdulillah nikajiunga na madrasa iliyokuwa karibu,Nashukuru Allah maana hata mwezi mmoja haukuisha,nikajua hatua hadi nyingine,Takbir!mpaka Salah.Tia bidii Kaka,Allah akufanyie wepesi InshaAllah.Mimi najivunia kuwa muislam.
@copycopy2729
@copycopy2729 Год назад
Mm ni mwislam lakin sijui kuswali Wala kuchukua udhu
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 10 месяцев назад
Njoo nikufunze ndugu yang
@mwanaidially2576
@mwanaidially2576 2 года назад
Mim nataka kuslimu je inawezekan
@muumin7118
@muumin7118 2 года назад
Asalaam aleykum ili matendo yako yasajiliwe moja wapo ya kigezo ni kuwa muislamu kwahyo silimu kwanza ndo uanze kufunga
@muniraomar5412
@muniraomar5412 2 года назад
Yes inawezakana. Welcome to the truth religion.
@sulaimanafrican8134
@sulaimanafrican8134 Год назад
Inawezekana.. kusilim
@copycopy2729
@copycopy2729 Год назад
Ila napenda kuswali
@raynar6164
@raynar6164 Год назад
Me nataka kujifunza kuswali
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 10 месяцев назад
Njoo nikufunze ndugu yang sio kazi kubwa hiyo ukitaka tu utajua
@user-xn2qm8bi6l
@user-xn2qm8bi6l 6 месяцев назад
Mh nahitaji kujua zaid
@gsjudeu8052
@gsjudeu8052 Год назад
Je km ujui kuswali waeza kuswali kw kutafilia kw simu lbda ili uje kuswali
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 10 месяцев назад
Njoo nikufunze ndugu yang sio kazi kubwa hiyo
@user-lq6ub5mz1j
@user-lq6ub5mz1j 7 месяцев назад
​@@YahyaYahya-vp2pphey
@rosemose8174
@rosemose8174 Год назад
Natamani kujua kuswali jamani
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp 10 месяцев назад
Njoo nikufunze ndugu yang sio kazi kubwa hiyo ukitaka tu utajua
@emmanuelalbert
@emmanuelalbert Год назад
Natamn niingie uislam lakn cjui nianzie wap
@khadijahussein4019
@khadijahussein4019 Год назад
Mbn rahisi uko wap ww
@salmasudi8901
@salmasudi8901 Год назад
Naomba namba zako xa watsap natKa kujifunza zaidii
@muumin7118
@muumin7118 Год назад
0718235197
@nuiyaswalehe3421
@nuiyaswalehe3421 Год назад
Mashaallh
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 9 месяцев назад
Mashaallah
@maryamabdallah1609
@maryamabdallah1609 Год назад
Shukran
@subiraally7366
@subiraally7366 2 года назад
Mashalah
@hassansuleiman9083
@hassansuleiman9083 2 года назад
Mashaallah
@johnsonmlay5371
@johnsonmlay5371 6 месяцев назад
Mm nataka kuslm lakin sielewi namna ya kuswal naomben mnielekeze au mpka nisilm
Далее
Mafunzo ya Udhu na Sala 2 - SHEIKH RASHID AL SHUKERY
32:02
DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI
11:30
Просмотров 461 тыс.
Namna Ya Kuoga Janaba /How to perform Janaba - PART 4
11:52
Jinsi ya Kuchukua Udhu kwa Ufasaha
3:58
Просмотров 74 тыс.
NAMNA YA KUCHANGANYA SWALA MBILI
1:24:02
Просмотров 79 тыс.