Leo nitatengeneza sambusa za nyama ya ng'ombe. katika video hii nitaonyesha jinsi ya kufunga sambusa hatua kwa hatua ( step by step) pia nitaonyesha jinsi ya kuandaa nyama ya kufungia sambusa (stuffing/filling). Sambusa ni kitafunio kinacho tumika dunia nzima ni rahisi kutengeneza pia gharama nafuu. kiswahili tanzania mapishi how to make samosa
7 апр 2018