Тёмный

JINSI YA KUTENGENEZA SKONZI/ SCONES | Easy way to MAKE BUNS for beginners 

Cooking With Tina
Подписаться 89 тыс.
Просмотров 48 тыс.
50% 1

Katika video hii nitaonyesha jinsi ya Kutengeneza skonzi za ufuta. Skonzi ni mikate midogo inaweza kuwa katika umbo la duara au umbo la mraba. Itategemea na wewe unavyo penda, katika video hii nimetengeneza za umbo la duara.
Mahitaji
Unga vikombe 4 1/2
Samli/ butter 1/4 kikombe
Hamira kijiko 1 1/2 kikubwa
Mayai 2
Chumvi kijiko 1 kidogo
Sukari vijiko 2 vikubwa
Maji 1/2 kikombe
Maziwa kikombe 1

Хобби

Опубликовано:

 

22 сен 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@tibrucetesha7424
@tibrucetesha7424 3 года назад
Nimejifunza kitu
@spicykitchen2083
@spicykitchen2083 5 лет назад
Thanks for sharing Looks delicious going to try to make the buns
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
Zahida Hasham thanks 🙏
@aseelaaseela4913
@aseelaaseela4913 5 лет назад
Umekoroga w2 hapa hujaonyesha mayai umefanyia nn
@mamsywachia6923
@mamsywachia6923 5 лет назад
Nimependa
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Mamsy Shy Asante kwa kuangalia 🙏
@mamsywachia6923
@mamsywachia6923 5 лет назад
Cooking With Tina Nisaidie number yako
@rossamengo7211
@rossamengo7211 5 лет назад
Very nice
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Rossa Mengo thanks 🙏
@daudilinuma4042
@daudilinuma4042 3 года назад
hiyo mashine inauzwaje?
@daudilinuma4042
@daudilinuma4042 3 года назад
na inaitwaje?
@farhiasalad1920
@farhiasalad1920 5 лет назад
Thanks
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Farhia Salad Thanks for watching
@ummunifaljabry2266
@ummunifaljabry2266 5 лет назад
Machine yako Mara ya Kwanza kuona
@irantehran6426
@irantehran6426 5 лет назад
hi salam کلم کاهو گوجه فرنگی خیار تربچه قارچ تخم مرغ روغن اجاق گاز شامپاین bon appétit thanks goodbye
@mariamshebwana177
@mariamshebwana177 5 лет назад
Mayai kazi yake ni nini?
@jacklineboniface821
@jacklineboniface821 5 лет назад
Yummy
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
jackline boniface Thanks dear 🙏
@aquilinajohn7885
@aquilinajohn7885 5 лет назад
Kikombe cha ukubwa gani,ni vema kutumia kipimo kama vile Lita au kg,maana vikombe havina saiz sawa
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Aquilina John ni kikombe cha ujazo wa ML 250
@k.suufromborafamilyteacher4983
Unaweza kufunika mda inaiva naje kutumia jiko LA mkaa kama kuna hiyo mashine inawezekana
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
k. suu from bora family Teacher Ndio unaweza tumia jiko la mkaa. Kama unatumia jiko la umeme usifunike ila kama unatumia mkaa unafunika ili uweze kuweka moto kwa juu ya mfuniko. Hii mashine nimetumia tu kukanda unga ila unaweza kufuata vipomo vya unga hamira n.k. Kisha unakanda kwa kutumia mikono kama unavyo kabda unga wa mandazi.
@hellenmakupa3616
@hellenmakupa3616 5 лет назад
Dada tina ulinunua wapii Hii!??
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
Hellen Makupa Sikununua hapa tz but ilikuwa ni siku nyingi 2004
@mariethaluvunzu1693
@mariethaluvunzu1693 5 лет назад
Kama huna oven unafanyaje
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
marietha luvunzu unaweza weka moto wa mkaa juu na chini ila wazima kuwa makini
@mwanamisikibwana1893
@mwanamisikibwana1893 4 года назад
Jamani pia tuonyeshe jinsi ya kutengeneza buns na jiko la makaa
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
Mwanamisi Kibwana Nitalifanyia kazi dear
@mwanamisikibwana1893
@mwanamisikibwana1893 4 года назад
Sawa
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 4 года назад
Binti Kibwana
@mwanamisikibwana1893
@mwanamisikibwana1893 4 года назад
🤔
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 4 года назад
@@mwanamisikibwana1893 hayo majina nakufananisha samahani wewe binti Kibwana wa wapi ??
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 лет назад
Hiyo mashime inauzwa shiringi ngapi?
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
James Ngunda Teresia Sorry nilinunua kitambo sana sikumbuki bei yake na haiwezi kuwa bei hiyo hadi lea.
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 лет назад
@@cookingwithtina8186 Yaweza fika laki nne au tatu
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 5 лет назад
James Ngunda Teresia I am not sure! Nikiziona dukani nitakuangalizia bei
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 лет назад
@@cookingwithtina8186 Ok asande sana
@hellenmakupa3616
@hellenmakupa3616 5 лет назад
Ulinunua wapi sorry
@heshamkama8017
@heshamkama8017 4 года назад
Butter umeiyeyusha vipi
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
Hesha Mkama unaweza weka kwenye microwave kwa dk 1 au kwa kutumia sufuria jikoni ila usiache muda murefu isije ungua ( ikianza kuyeyuka epua itaendelea kuyeyuka kwa joto la sufuria)
@heshamkama8017
@heshamkama8017 4 года назад
Cooking With Tina asante mamy hapo nimeelewa mungu akujahaalie uzidi kutufundisha vingi
@heshamkama8017
@heshamkama8017 4 года назад
Cooking With Tina na mfano unga kg1 inatakiwa uweke vitu kiasi gan nusu nusu au na butter naiyeyusha kiasi gan samahan kwa usumbufu..
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
Hesha Mkama vipomo kwa 1kg ya unga matumizi ni kama nilivyotumia mimi hapo kwenye video (1kg ni sawa na vikombe 4) ndo nlivyotumia mimi hapo
@heshamkama8017
@heshamkama8017 4 года назад
Cooking With Tina sawa
@aminarashidi5649
@aminarashidi5649 4 года назад
Nashukuru nimejifunza jinsi ya kutengeneza skonzi nitajaribu kuzipika kesho,,but ungesema umetumia kikombe gani au kipimo Cha nusu au kilo,,au ungesema umatia kikombe Cha Cha bcz vina saizi moja tungekuelewa??
@cookingwithtina8186
@cookingwithtina8186 4 года назад
Amina Rashidi size ya kikombe 1 ni mil 250 kwahiyo vikombe 4 ni sawa na 1 kg
@aminarashidi5649
@aminarashidi5649 4 года назад
@@cookingwithtina8186 Thanks so much and big up 💌👍👍
Далее
CHAPATI RECIPE//HOW TO MAKE SOFT LAYERED CHAPATI
11:01
Просмотров 3,6 тыс.
MAANDAZI MALAINI YA KUSUKA/KUPAMBA
6:25
Просмотров 88 тыс.
How to make EASY HOMEMADE BREAD
17:07
Просмотров 542 тыс.
Головоломка от дедушки🔥
0:31