🇹🇿Tanzania also is constructing SAMIA maglev 320km/h sgr from Mtwara to lake nyasa via songea in Ruvuma Region.God bless Tanzania for a good job to its people.🇹🇿
As a Tanzanian i think Kenya and Tanzania should aim at cooperation and not competition. Mashirikiano yatainua uchumi wa nchi hizi mbili. Tunahitaji reli kati ya Mombasa Voi Moshi hadi Arusha na tunahitaji reli kutoka Nairobi iunganishe Arusha hadi Dar es Salaam. Lengo kuimarisha uchumi wa wananchi na si vinginevyo.
Tanzania acheni uzembe, angalao mgekuwa mfekia Makutopora Singida na sio Dodoma tu. Toeni fedha nakaza buti, kazi masaa ishiri na manne. Nadhani mpo katika kulinda mabasi na malori ya usafirishaji ya wakubwa.
Kenya n role model ya tz ndo maana kila siku wanajifananisha na kenya.yaan paka kenya ifanye kitu ndio tz iige nayo ifanye.tunajivunia kua role model ya east africa countries.
KE is about the economy (Moving goods from Mombasa Port to EA Countries). I understand TZ is more about moving the people(Passengers). A clear reason for you to understand why the track wasn't electrified is the Double Cargo Cars the Loc pulls
Nyie Jenafa(Fadhili Mtevangu) Kama vitu vingine huvijui ni bora kukaa kimya tu..nani alikwambia treni ya umeme haiwezi kubeba (double stuck container)?? na je umefanya research ya kutosha kuhusu reli ya Tanzania kuhusu kubeba kontena mbili mbili?
@@JenafaTV nikuulize kitu..kwa nn mabehewa ya gorofa ya abiria tuliyonunua ujerumani kwa nini yanaweza kupita katika reli yetu alafu daouble stuck container yashindwe kama kigezo ni urefu??!
@@JenafaTV inducer ya waya za umeme kama mabehewa ya gorofa yameweza kupita au kufit ktk reli ina maana hata double stuck container itaweza labda uniambie uwezo wa reli yetu kubeba uzito mkubwa uwe ni mdogo..nakwambia hv kwa sababu ujerumani wanatumia double stuck container na kimo na kama chetu na inducer pia na hata hayo mabehewa ya gorofa yametoka ujerumani pia! pia unatakiwa ufahamu mabehewa au chases/kichanja au kitako cha mabehewa yanayochukua makontena mawili mawili kitako chake hakiko juu..kitako kipo chini kidogo na nafasi hubaki ya kutosha juu..
WEWE MTAGAZAJI UNATIA AIBU UNAJUWA MANA YA S G R NIMFUMO WA KUEDESHWA KWAKUTUMIA UMEME KENYA TRENI YAO WANATUMIA MASHINE DEISEL SIO UMEME JAMANI MWENDAGE SHULE
Reli yenye mfumo wa sgr sio reli ya umeme bali ni upana wa reli tu, inaitwa standard gauge railway upana wa kisasa wa 120 cm au zaidi ni tofaut na mgr yani meter gauge railway upana wa mita 1. Hivyo usichanganye madesa, sgr sio lazima iwe ya umeme, kenya wana reli ya sgr ya upana wa zaidi ya metre 1 ila sio ya umeme. pole kwa kukosa elimu juu ya hili, tunaimani sasa umejua, karibu sana