Тёмный

JIWE LA MAAJABU UKARA LINACHEZA NA KUTOA SAUTI - HADUBINI YA TBC 

Gangana Info Channel
Подписаться 371 тыс.
Просмотров 911 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 508   
@lyssahmie7561
@lyssahmie7561 3 года назад
My beautiful homeland,,,so proud of ukerewe island..💖💖💖
@MelickLinus-m8t
@MelickLinus-m8t Месяц назад
good work
@dorismbise2927
@dorismbise2927 4 года назад
Wangap wanasema huo ni mzmu au uchaw wa uyo jaama anayeongea nalo kikabla like hapo
@kakuruchiganga507
@kakuruchiganga507 2 месяца назад
Jamaa wahuni sana, yaani wanalisukuma linatikisika liko kwenye kizingiti na kudanya watu linacheza, nimefika Ukara mara 2 bahati mnbaya sikufika hapo, nitafika siku moja.
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 лет назад
Majini yashindwe kwa kina la yesu
@rozmihambo1935
@rozmihambo1935 3 года назад
Mm siji kuna majini mnaabudu
@AndrewLikiti-yb2ws
@AndrewLikiti-yb2ws Месяц назад
Alafu kwanini mpaka asukume huyo mwenyeji? Mmh!
@juliussyonga3859
@juliussyonga3859 5 лет назад
BARAKA swila
@andeorusandrew1352
@andeorusandrew1352 4 года назад
Mmmmh dunian kuna mengi,imuka nyaburebeka
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 5 лет назад
Look it again ..naona hii bwana yabonyenya hii jiwe kwamuguu moja hapo nchi.. jiwe yacheza🙏🙏💗
@abduliefessi2786
@abduliefessi2786 5 лет назад
oooooooh haleyaaaaaa uyo ndie bwana tunae muabudu alisema ata inua ata mawe
@athumanmnyasa1729
@athumanmnyasa1729 4 года назад
Mmmh, Hilo iwe ni balaa.
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 5 лет назад
Alieona jiwe hilo lina macho na puwa na mdomo a like.
@gahanalugwisha8316
@gahanalugwisha8316 5 лет назад
vyote vimeumbwa na mungu tusishangae Sana
@dorroboss
@dorroboss 5 лет назад
He is shaking the stone, its not moving by itself
@andersonjira37
@andersonjira37 5 лет назад
mbone hamjaweka hiyo pesa, na nyinyi mkasimama kando mkaliacha likacheza, mwalisukuma mkidanganya watu JIWE LACHEZA, nyinyi ndo mna mchezo na macho ya watu
@alsinambise9155
@alsinambise9155 5 лет назад
Uko sahihi kiini macho hichi
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 5 лет назад
Hata sisi kwetu Kigoma kuna mto maji yake yanapandisha mlimani wambie watalii waje watoe pesa.
@blackprist5197
@blackprist5197 5 лет назад
No way. Wajua walolifanya.
@adamtimotheo3157
@adamtimotheo3157 5 лет назад
kweri
@alfrefymsigwa2411
@alfrefymsigwa2411 3 года назад
Nice
@OdiloMganga-bm1xb
@OdiloMganga-bm1xb 4 месяца назад
Mambo ya hasili ayo lakni kuna watu apa wamekazana kusema mapepo majini uchawi haafrika kuamini chao mtiani ila yesu wao awajai kumuona
@douglasmgina5471
@douglasmgina5471 4 года назад
Je in kweli haya
@florenceatambo2579
@florenceatambo2579 2 года назад
Mbona pesa itolewe ndo liongee walijuaje kwamba Hadi pesa itolewe,,
@beatricebatista528
@beatricebatista528 5 лет назад
tumuimbie na tumsifu Mungu coz as tukinyamaza mawe yataimba na upepo utasifu
@alphoncesiogo1675
@alphoncesiogo1675 5 лет назад
F Bc
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 года назад
Beatrice Batista Amina
@sol-ql1kt
@sol-ql1kt 5 лет назад
This is beautiful
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 5 лет назад
Hata iringa sehemu moja inaitwa lupilo kuna jiwe Lina umbile LA binadam linaitwa mwanakatinga nendeni mkaone maajabu yake msishangae sana hizo zote ni rehmaza mungu
@omanmamulove9878
@omanmamulove9878 3 года назад
mungu hashindwi kitu naan no icho kitu🤝
@sheridabenjamin7462
@sheridabenjamin7462 5 лет назад
Mungu amusamehehe san
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 3 года назад
Nitalihamishia kwa mwamposa
@anamayala8896
@anamayala8896 3 года назад
Huyo anaelichezesha ana uchawi unaosambabisha linacheza mbona huyo kajaribu lakini limeshindikana kulisukuma ana nguvu fulani
@mgetazacharia1061
@mgetazacharia1061 4 года назад
msidhani. kuwa ni uongo nikwel jiwe hilo linacheza liko ukara
@rebeccaedward6795
@rebeccaedward6795 5 лет назад
Jmn watu wengine mwafurahisha sasa kwa akili yakawaida wao wananguvu gani kusukuma jiwe kubwa hivyo hadi licheze? Usisimuliwe Fanya kufika tu uone mwenyewe pesa wameweka kdg liongeeje. Watu wanatengeneza biashara kimiujiza tu kama babu wa loliondo
@mashakulangwa4761
@mashakulangwa4761 5 лет назад
Aiseee hayo ni maajabu ya kiulimwengu, ila lingekuwa kwangu ningefurah sana coz linaingiza kipato bila jasho!!!
@izooscyber9091
@izooscyber9091 5 лет назад
huo niukora tu mwisho wa siku walewale wenyewe ndio watarudi kuzichukua zile hela siamini hayo tu nimalimwengu
@nicodemmlagala2148
@nicodemmlagala2148 5 лет назад
Masha Kulangwa
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 5 лет назад
Please pata vizuri angalia hii bwana simba.hapo kwanchini juwe ndogo so anaponyeza naguu moja hapo ethen jiwe iko yacheza...just look it kwavizuri ukikuwa naakili waona Hii ujanja tu😯😯😯
@shillaazuwaji5438
@shillaazuwaji5438 5 лет назад
Mila zipoo mie nakubali
@ClintonNyamsera
@ClintonNyamsera 5 месяцев назад
Mimi huwa Namibia eti huwa ilinacheza had linahama sasa mbona hailiami
@najlaomar6854
@najlaomar6854 5 лет назад
Ufffff urongo. Mtupu. Huu. Jiwe. Watoa pesa. Halafu. Pesa. Achukua nani
@rukayamsuya1045
@rukayamsuya1045 5 лет назад
Jamaani hilo jiwe nimchezo tu we kimiujiza msilete ushirikina mkasema eti tumpata utalii onyesheni vitu vya msingi na sio hilo mnataka kutuletea mambo ya loliondo
@alinealine3740
@alinealine3740 5 лет назад
maman tanzania kali kwa kichawi
@mercypatrick2737
@mercypatrick2737 5 лет назад
Mizimwi hiyo
@ashuraashura882
@ashuraashura882 5 лет назад
Ni miujiza ya mungu ila mweye mnatumiya ucawi
@hamadilaumaelindi7555
@hamadilaumaelindi7555 5 лет назад
mungu si wakawaida tukae tukijua hayo ndio maajabu yake
@hamoudjaruphu2893
@hamoudjaruphu2893 5 лет назад
nikweli kabisa ata mm ilisha fik huko
@consolathanamajojo9869
@consolathanamajojo9869 2 года назад
Haha😀😀 htr xanah hii
@tomasimmwamulima8433
@tomasimmwamulima8433 5 лет назад
Kwer hayo nimaajabu daaaaaa jaman jiwe rinacheza
@SmilingDragon-qt4ig
@SmilingDragon-qt4ig 2 месяца назад
Sasa kwann licheze baada ya kuwekewa pesa? Au Kuna mtu uko chn
@zenassylvester125
@zenassylvester125 5 лет назад
Mapepo yanafanya kazi zake
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 4 года назад
Clack Bonny hili jiwa linge kuwa ulaya ungesema malika wanafanya kazi ila kwasababu liko tz unasema mapepo hapo ndipo wa napo tukamatia wa zungu
@stevenshija2848
@stevenshija2848 2 года назад
Me nikajua linacheza lenyewe kumbe hadi utumie minguvu 🥺
@salumjuma4885
@salumjuma4885 4 года назад
Allah akbar
@pendolugembe7026
@pendolugembe7026 5 лет назад
Mbona mpk walitingishe km linasikia waliambie bila kutingisha
@dorcusmsinga3136
@dorcusmsinga3136 5 лет назад
Halmashauri yann tena Kwani hilo jiwe linalindwa
@isaacmgidange5700
@isaacmgidange5700 2 года назад
However la ajabu kisiwa cha ukara
@assanassanal7990
@assanassanal7990 5 лет назад
kwahyo hzo ela anazichukua nani sasa😅😅😅 kama sio kuibiana jaman mmmhhh
@susangraf3297
@susangraf3297 5 лет назад
Anaongwa ndio acheze, dunia ina mambo itafika wakati wa kumba kuku pesa ,ndio umjinje!!!!
@jeniphapius495
@jeniphapius495 5 лет назад
😂😂😂😂😃😃😃
@verynicesingano5850
@verynicesingano5850 5 лет назад
Mmmh co kweli
@juliusmataba1919
@juliusmataba1919 5 лет назад
Nomaaa
@hassanfurahe6809
@hassanfurahe6809 5 лет назад
jaman hayo ya kwel kunalingine liko huko huko katikati ya kisiwa linacheza kaa linataka kuangukia upande mwengine linainuka
@ismailladha7617
@ismailladha7617 2 года назад
Hilo jiwe linasukumwa na mguu sio mikono
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 5 лет назад
Hello tunashukuru kwa kusapoti tukifanyacho, tunaomba muendelee kuwa nasi na maisahau kusubscribe !
@jamesjohn4158
@jamesjohn4158 5 лет назад
fatili stor ziko nyingi sana
@kambonaonesmo5452
@kambonaonesmo5452 4 года назад
Hiyo ni maajabu kwa jiwe hilo
@mwidzuhuluhapalataii6945
@mwidzuhuluhapalataii6945 5 лет назад
yaani watu wasio wa kiroho utawaona tu.Kimsingi hiyo ni mizimu ya kabila/ukoo wa sehemu husika,mambo ya sayansi hayahusiani hapo.Cha kushangaza watu wanakuja kuliomba na kulitolea sadaka,Binadamu kuweni makini sana,hiyo ni kazi ya shetani na malkaika zake maana alipotupwa duniani,makao yake ni kuzimu na sehemu za ajabu kama mito mikubwa,bahari,miti mikubwa,majabali kama haya,milima mikubwa,
@annakletayohana4561
@annakletayohana4561 4 года назад
Litakusaga saga bure ilo jiwe
@sontrillthereal8186
@sontrillthereal8186 4 года назад
Hakuna kitu hapo
@verynicesingano5850
@verynicesingano5850 5 лет назад
Linacheza kweli au kuna mzimu umo
@valentinemdenge474
@valentinemdenge474 5 лет назад
kwel ni utenga uchmi wa kisiwa cha ukara
@karuhangastephen9950
@karuhangastephen9950 5 лет назад
Kuna uchawi kweli
@marthakisangi1067
@marthakisangi1067 5 лет назад
Maajabu ya musa
@loycecharles2618
@loycecharles2618 5 лет назад
Nenda na Kijiji cha Bukungu kuna mti umeota karibu na ziwa lakn hata upepo upulizeje majani hayaendi majini nayakienda majini hayo majani yanageuka kuwa mamba huko kunavitu vingi kama nikutalii unaweza maliza hata mwaka chezea ukara wewe bado umizimu umejaa Tuwaombee tu kwa Mungu maana kunatisha
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 5 лет назад
Ni kweli au unadanganya nawe
@anithabisoma5656
@anithabisoma5656 5 лет назад
Loyce Charles mungu atuhurumie jmn
@winfredkaroli9145
@winfredkaroli9145 5 лет назад
Nachojiuliza mm ni lazima huyo mzee kulisemesha au ni mtu yeyote akiliongelesha Linachacheza..? Nakama niyeye tu anauhusiano gani na hilo jiwe au alielekezwa na nani ukisema hayo maneno ndo linacheza?
@shukrankapinga8530
@shukrankapinga8530 5 лет назад
Kama jiwe limekuwa kimila zaidi.. Je nini kitatokea endapo msemeshaji mteule wa ukoo atafariki dunia?.. Amakweli dunia na maajabu yake.. Tuupende na kuuenzi utalii wetu wa ndan..
@jennefergikonyo8322
@jennefergikonyo8322 5 лет назад
Aaiii hio ni kama uchawi,bona wanaweka pesa.Hizi ni nguvu za giza
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 5 лет назад
Hii ni Ibada kamiri ya uchawi wa mizimu ,Na haya ndiyo mambo ya kishetani yaliyolifikisha taifa hili kuwa katika hari ya umasikini Mungu tusaidie ...
@heavendarliahblackqueen58
@heavendarliahblackqueen58 5 лет назад
Hahahaaa!kweli hlo ni jiwe la ukweli?
@janetaswa8590
@janetaswa8590 5 лет назад
Emmanuel u r right
@magdarenanguvumali803
@magdarenanguvumali803 5 лет назад
mch Emmnueli
@wolframchikomo8873
@wolframchikomo8873 5 лет назад
Ni kweli haya ni mambo ya KUUTUKUZA ushirikina. Kuna watu hawajui kuwa mambo kama haya YANAILETEA NCHI LAANA KUBWA. Tuwaombee lakini tusiache kuwashauri pia. Asante kwa kuliona hilo
@danyonlinetv1847
@danyonlinetv1847 5 лет назад
hayo maneno uanamaanisha nn
@annastaziavenance1735
@annastaziavenance1735 5 лет назад
Hapa mmetudanganya nikijuacho mie ilo jiwe lacheza na kuimba endapo utaziweka zile pesa za zaman na sio za sasa 😂 mmetupiga togooo hapaaa
@annakletayohana4561
@annakletayohana4561 4 года назад
Mxiieeem nimemind kumaliza MB za kuingilia kwa Millard loo
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 2 года назад
Kweli dunia hii kuna maajabu mengi
@nasraabdi1529
@nasraabdi1529 5 лет назад
Uwizi mtupuuuu
@husnakijoji4082
@husnakijoji4082 5 лет назад
Huo ni uchawi kabisa hakuna majabu huo mkono wa mzee ndo kapakaa madawa yake yakichawi hata mv nyerere kupinduka kwenye kina kifupi kama kile na kisha kuua watu wote wale ndo uchawi kama huo mnaoutumia
@fauzianduku9333
@fauzianduku9333 5 лет назад
Mpaka jiwe liongwe ndo licheze,hiyo ni ufisadi.anti corruption mko wapi😁😂
@edimundo3829
@edimundo3829 5 лет назад
Fauzia Nduku nani
@amanibisho7622
@amanibisho7622 5 лет назад
Duuh kweli
@willycharlemanyanza8789
@willycharlemanyanza8789 5 лет назад
Duuuuh hilo jiwe ni zaidi ya BIKO
@geoffreyluckson8866
@geoffreyluckson8866 5 лет назад
Tatizo la watz wanaamini sana mambo ya wazungu, lakini yanayo wahusu kwenye nchi yao wanayapuuza, hapo angekuwa mzungu hata angesema walipie milioni hata wasinge sema lolote, huo ni utumwa...
@milelesaimon8619
@milelesaimon8619 4 года назад
Wanaotaka kufa ni wengi lakini kifo ndo hakiwataki2
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Wazungu wenyewe hawawafahumu sawa sawa wana bwabwaja tu na ushamba wao
@dothopacha8808
@dothopacha8808 5 лет назад
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa madhabahu yashetani hiyo mcdaganyike hakuna maajabu wala nn,ushirikina huo
@mussanganda505
@mussanganda505 3 года назад
Uchawi tu,
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 5 лет назад
Kama mtaingiza manjonjo ktk hilo jiwe na mkawabana pesa hao ndugu jiwe hapo kwaheri halitacheza tena na pesa hakuna.
@saidramadhan5900
@saidramadhan5900 5 лет назад
Alikiba
@clavery-verisnicholouc2062
@clavery-verisnicholouc2062 5 лет назад
Mmh namaliza mb zangu bure
@annakletayohana4561
@annakletayohana4561 4 года назад
Umeona ee
@solomonmasanja7111
@solomonmasanja7111 5 лет назад
nahisi kama kuna vijana wamejificha chini wanalitingisha ...hahah
@kahlandallucy2373
@kahlandallucy2373 5 лет назад
Solomon Masanja kwa kwel 😂😂😂😂
@rithabanyanga6886
@rithabanyanga6886 5 лет назад
Solomon Masanja ni shida
@worldrapamako3960
@worldrapamako3960 5 лет назад
ilojiwe ningekuwa mimi bila buku laki moja sichezeshi tena ningelijengea nyumba
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 лет назад
Nyaburebeka ikabudike cheza rubeka byabu nyabu
@asnathmajid7772
@asnathmajid7772 5 лет назад
nyaburekeba duh mbn mnamsukuma alaf unasem maajabu😂😂
@aishaomar4318
@aishaomar4318 5 лет назад
😁😁😁na mm nilijua linasemeshwa kilugha halaf linacheza lenyewe.lkn kumbe hadi lisukumwe
@obimbomarybenter2165
@obimbomarybenter2165 5 лет назад
dunia kunashangaza sana ila tu hatuwezi amini hadi tujionee
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 5 лет назад
Hakuna cha nyabulebeka wala nini akiri zenu ndio zimewambia hivyo.huyo ni Mungu tu mnageuza maajabu ya Mungu mnampatia nyabulebeka? ovyoo 😌
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 лет назад
Umeona
@mamawawili3725
@mamawawili3725 5 лет назад
Joyce mashikolo. mm kama mm nasema ivi hatudanganyiki kwann lisiachiwe kucheza na kuongea lenyewe had litingishwe?acheni kutushika maskio
@salumkabeth2048
@salumkabeth2048 5 лет назад
nikweri wajinga
@aminamohd604
@aminamohd604 5 лет назад
kweli kabisa
@jeanmarieniyokwizera269
@jeanmarieniyokwizera269 5 лет назад
Ni kweli Joyce 😅😂😃 Nyabulebeka 😅😂 Mtangazaji atajamba bureeee Acha nicheke mieeee
@shukranialmasi7942
@shukranialmasi7942 5 лет назад
Nilishafika kwenye hilo jiwe nililipia Tsh.30,000= ktk familia hiyo inayolimiliki jiwe hilo ila nilichogundua ni kama kuna kausanii fulani anakafanya ili kulichezesha.
@saloomidd1084
@saloomidd1084 5 лет назад
Wanafanyaje Kaka huo usanii wao
@felicianabakuju5166
@felicianabakuju5166 5 лет назад
Me nahisi hilo jiwe halija shikana kuna kausanii wanakatumia lingetakiwa licheze lenyewe bila kusukumwa
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 5 лет назад
Hahahahahahahahahahahaha umenivunja mbavu. Et uliona kama kausanii. Kwani si ilitingiha nawewe! ukajionea maajabu au
@wanjikukaguara3900
@wanjikukaguara3900 5 лет назад
Shukrani Almasi 😀😀
@anglebaraka3576
@anglebaraka3576 5 лет назад
Duuuuh hatari xana jiwe linapenda ela ilo
@mamumiyaskitchenvlogs5858
@mamumiyaskitchenvlogs5858 5 лет назад
Hilo litakuja wafinika siku moja nyie msimfanyie masikhara mungu
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Ni kweli inawezekana kwasababu hapo kuna mambo ya mizimu
@steveswakei9600
@steveswakei9600 5 лет назад
sijui ni lini mwanadamu ataerevuka jamani!
@amanikingdomndatu9817
@amanikingdomndatu9817 5 лет назад
Geografia hiyo tu
@dr.hamiduibrahim1307
@dr.hamiduibrahim1307 5 лет назад
Sipati picha kama hili jiwe lingekuwa nyumbani kwa mangi! Pangekuwa ni zaidi ya fursa.
@charleswilonja2320
@charleswilonja2320 5 лет назад
Wewe ndo umenichekesha Sasa aaaaaah
@loycecharles2618
@loycecharles2618 5 лет назад
Dr. Hamidu Ibrahim hahahahaha umetisha hata huyo nifurusa kwake yani ukienda lazima uache hela kama hivyo hata wenyeji was huko huwa wanatoa hela kwenda kuliona nakucheza
@happymwaseba9493
@happymwaseba9493 5 лет назад
Nimecheka sana mangi
@ismailladha7617
@ismailladha7617 2 года назад
Angalia mguu wa kulia huyo anaeimba kimila anasukuma mguu ndio jiwe linacheza
@lizyulempole9326
@lizyulempole9326 5 лет назад
ni radio mmeweka chini yake
@naomijohnnaomiasenga8988
@naomijohnnaomiasenga8988 5 лет назад
maajabu ya mungu meng
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 5 лет назад
Allah ameeka hiyo miujiza ili tueze kutafakkar na sio kuanza ushirikina
@omanmamulove9878
@omanmamulove9878 3 года назад
subuhanallah
@lordgardmwiri2966
@lordgardmwiri2966 5 лет назад
Mm sina comment on this zaidi ya Inna lilah waina ilayhi raj-űn
@yaredharuni449
@yaredharuni449 5 лет назад
Mhhh,Kweli usipo yaona ya mussa baxi subli uyaone ya firauni
@beatricekarisa7145
@beatricekarisa7145 5 лет назад
Sasa huu si ushetani tuu mbona mpaka liekewe pesa
@yohannajohn9128
@yohannajohn9128 5 лет назад
Beatrice Karisa hahhaahha
Далее
MAAJABU YA JIWE LA GINGILI UKILISEMESHA LINAKUJIBU
14:26
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 121 тыс.
Grand Final | IEM RIO 2024 | BO5 | КРNВОЙ ЭФИР
6:35:24
Watuhumiwa wa Uchawi waibua Kasheshe kwenye Mkutano
10:31
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 6 млн
MTI WA AJABU WAONEKANA MKOANI GEITA.
0:56
Просмотров 59 тыс.
The Story Book : Usiyoyajua Kuhusu Jua
26:54
Просмотров 967 тыс.
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Просмотров 16 тыс.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 121 тыс.