Тёмный

Jkci inafanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa watoto na watu wazima na pia matibabu ya Tundu ndogo 

CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
Подписаться 632
Просмотров 20
50% 1

"Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete inafanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa watoto na watu wazima na pia matibabu ya Tundu ndogo. Hivi karibuni tumebadilisha valvu ya moyo bila kupasua kifua. Hii ni kitu kikubwa sana kimefanyika na kwa Afrika nchi kama South Africa, Misri na zingine za Kaskazini ndio zinafanya upasuaji huo"- Afrika zinazoendeshwa na Serikali"- Dkt. Peter Kisenge, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
"Kuna uwekezaji mkubwa sana ambao umefanyika hapa nchini kwetu hasa kwenye upande wa moyo. Taasisi yetu ya Jakaya Kikwete imekuwa Moja ya taasisi bora Afrika Mashariki na kati lakini kwa Afrika vilevile ni katika taasisi kubwa ambazo zinaendeshwa na Serikali ipo kwenye Kumi Bora. Nadhani ni taasisi ya Tatu kwa Afrika zinazoendeshwa na Serikali"- Dkt. Peter Kisenge, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
"Taasisi yetu ya Jakaya Kikwete imekuwa Moja ya taasisi bora Afrika Mashariki na kati lakini kwa Afrika vilevile ni katika taasisi kubwa ambazo zinaendeshwa na Serikali ipo kwenye Kumi Bora. Nadhani ni taasisi ya Tatu kwa Afrika zinazoendeshwa na Serikali"- Dkt. Peter Kisenge, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
"Ni lazima kuulinda moyo sana kwa sababu una kazi nyingi sana na wanamuziki wakitunga nyimbo zinazohusiana na moyo kwa sababu zinahamasisha na kuongeza hamasa na kwa sababu lazima tulinde moyo ili tusipate magonjwa ya moyo"- Dkt. Peter Kisenge, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris
16:53
Просмотров 754 тыс.
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Просмотров 290 тыс.
MAOMBI YA USIKU WA MANANE by Innocent Morris
3:14:49
Просмотров 130 тыс.
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga
22:08
Просмотров 344 тыс.