Mkali wa R&B Jux azitaja sifa 5 za aliyekua mpenzi wake Karen Bujulu na muda waliokaa nae kwenye mahusiano! Ajibu swali kama kishapata mpenzi mpya tayari? Part 3 Subscribe, Like, Comment & Share! #Podcast #LilOmmyTV #Jux
Ulimuacha jack clifu kisa alipata matatizo ya kufungwa but ona Mungu alivy mwema dada katoka uyo hapo iyo ni ishuu machoziii ya jack ayoo yanakutesaa ulimwimbia mpk nyimbo mi nitasubiri lakini wapi ukamwacha 😅 sasa wew kula chumaa ichoo yani bado ujasemaaa jux all in all song la bado ni nomaaa🔥 umejuwa kuachiaa nyimbo aiseeeeeeee 🙌