nliolewa mke wa pili, sikuwah kupangiwa zamu mpaka nmeachika, Alhamndulillah Nmepata watoto namuomba Allah amsamehe Baba wa wanangu 😢 na sisi atuongoze na awaliwe kheyri mashekh kwa kutufahamisha
Mashaallah uko na subra ilopitiliza, Allah atakupa darja yako, na huyo muhusika alokudhulumu anayo yakujibu kesho kwa Allah,na Allah atakuondolea huzuni yako kesho Aakhera kunamalipo