Тёмный

KANISA LAFUNGIWA BAADA YA MAMA MJAMZITO KUJIFUNGUA KANISANI NA MTOTO KUFARIKI 

Geah Habibu
Подписаться 369 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

#geahhabibu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 месяца назад
Mwenyezi Mungu ni mwema sana, maana hata Mama angepotea kizembe sana
@hopechoirtwinfallsidaho3760
@hopechoirtwinfallsidaho3760 3 месяца назад
Mungu atusaidie saana, kanisani ni mahali pa kuabudia siyo mahali pa kujifungulia hio nitabia mbaya kwanza mjamozito kama talehe yakujifungua inatimia inatakiwa aende hosipitalini sio kwenda kanisani kwamaana Mungu hajalibiwi sikuhizi manabi wa uongo niwengi kwahio kuweni makini 🙏
@SalhaRamadan
@SalhaRamadan 3 месяца назад
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa,, unaumwa uchungu kitu uende hospital kujifungua unakimbilia kanisani kweli😢😢😢😢😢
@Shuweamussa
@Shuweamussa 3 месяца назад
Yaani mwk 2019 ilishawai nikuta mama wa kambo nipo kuw naumw uchungu alitaka kunipeleka kwa mganga kwa uwe wake Allah akufanikiw
@ChristerKoku
@ChristerKoku 3 месяца назад
Pongezi Mtatiro,kea hatuna nzuri uliyoichukuwa.Mtatiro ni kijana hodari sana mchapa kazi.namkumbuka sana kwenye utafiti alikuwa anaufanya kwenye majimbo ya uchaguzi enzi hizo.Mungu akubariki sana.
@lilianwaflotina1288
@lilianwaflotina1288 3 месяца назад
Inamaana huyu mzee ajui kiswahili kabisa
@elphinejoshua1914
@elphinejoshua1914 3 месяца назад
Afu awataki mchungaji aji explain vzr nishidatupu
@nancyg8664
@nancyg8664 3 месяца назад
huyo mama nae hana akili, hv uchungu unapona kanisani asa ulibeba mimba ili uishi nayo milele ama
@mamasalhat
@mamasalhat 3 месяца назад
Tahira huyo mdada
@HusnaMm-h3v
@HusnaMm-h3v 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@ramlamchonga7669
@ramlamchonga7669 3 месяца назад
Umeniwai sana kichwa cha mende uyo 😂😂😂
@nancyg8664
@nancyg8664 3 месяца назад
@@ramlamchonga7669 🤣🤣
@mariasixmund7964
@mariasixmund7964 3 месяца назад
😂😂😂😂
@faridahalil4456
@faridahalil4456 3 месяца назад
Sasa yeye anaumwa na uchungu kwa nini asiende hosp????? Anakwenda kwa Pastor😮
@zaliafahussein4451
@zaliafahussein4451 3 месяца назад
Sasa alienda kanisani ndio hospital
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 3 месяца назад
Baathi ya hawa wachungaji muwe nao makini hawa watakua filmason
@mamasalhat
@mamasalhat 3 месяца назад
Kumbe kuna midada mingine haina hakili mimba waenda kanisani badala hospital loh
@DM.2200
@DM.2200 3 месяца назад
Wajinga ndio waliwao kwa kweli 😢
@DM.2200
@DM.2200 3 месяца назад
Jamani serukali iangalie kuna maeneo watu wanahitaji elimu katika jamii hasa vijijini hasahsa elimu ya afya hata kama hawajadoma ila elimu ya afya ni bora kwa kweli
@jamilajamila183
@jamilajamila183 3 месяца назад
Hawa wachungaj wa sikuiz ni shida
@Zainab-qg6xv
@Zainab-qg6xv 3 месяца назад
Halafu naisi wanatumia nguvu za giza chochote wanachosema kinasikilizwa
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Wanajifanya madaktari hata sio watoto TU hata watu wanakufa Kwa upuuzi wa makanisa feki
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 3 месяца назад
Wachungaji wapimwe akili kwanza kabla ya kufungua kanisa.
@NunuKupela
@NunuKupela 3 месяца назад
Kwa kweli na ivi waumin hawajitafakari kweli Yan Kila kanisa na Sheria na taratibu zake adi wengine wapo tayar kuwa mazombi
@annajoseph9955
@annajoseph9955 3 месяца назад
Hivi wasukuma akili zenu mnaziwekaga wap,,,,,yani unaenda kujifungua kwa mchungaji
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
Yo dada nae hajitambui, hata kushika mimba kwake ni taahira, ujue kushika nakubeba mimba lkn usijue pa kupatia huduma za mama mjamzito na kujua utajifungulia wapi kweli?huu niupumbavu wahali ya juu
@marymanoni5536
@marymanoni5536 3 месяца назад
Jamani uchungu nenda hospital mnawajalibu watumishiiii ,jamaniiii cku nyingine nenda hospital sw dada mdogo pole
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 3 месяца назад
Yaan akili za kuambiwa weka na zako,yaan uchungu wa kuzaa unaenda kanisani???
@mpefu_4936
@mpefu_4936 3 месяца назад
Kafara hyo
@Thebaddest255
@Thebaddest255 3 месяца назад
Wafungwe jela wapumbavu hawa
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 месяца назад
Mikoa mingine nahitaji Elimu. Huyu mzee hajui kiswahili inaonyesha kuwa wanaixhi vijiji vya ndani sana. Pia huyo mchungaji bwege kabisa nia yake aue mtoto na mama mtoto
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 3 месяца назад
Sasa huko kanisani kuna kitanda mikasi na glove jamani huyo mtt akija anakatiwa na kitovu au kuna maandalizi huko 😮
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 3 месяца назад
Maombi tu kituv kinajikata😂😂😮😮
@SafariJohn-y4d
@SafariJohn-y4d 3 месяца назад
WATU wote walio katika dini wana mwabudu shetani bila kujua
@Zainab-qg6xv
@Zainab-qg6xv 3 месяца назад
Akaanza kutufanya maombi 😂😂
@dominickaugustino6643
@dominickaugustino6643 3 месяца назад
Ingia RU-vid channel andika Imani Mchimbwa kwa mafundisho ya kweli muda wa ukombozi umefika
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s 3 месяца назад
Tatizo wakirsto wanawaamini sana wachungaji
@DM.2200
@DM.2200 3 месяца назад
Tengua kauli yes ni wakristu ila "walokole"
@DM.2200
@DM.2200 3 месяца назад
Na isitoshe hawa wapo interior angalia elimu pia😊
@DM.2200
@DM.2200 3 месяца назад
Na isitoshe hawa wapo interior angalia elimu pia
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 3 месяца назад
Wallah upumbafu huo
@fatmaseiph5356
@fatmaseiph5356 3 месяца назад
Mmh hatari kweli kweli
@marrypius576
@marrypius576 3 месяца назад
Sasa kwanini ujaenda hospital jamn huu ni ujinga ten wakiwango
@annamlozi4538
@annamlozi4538 3 месяца назад
Kuangamia kwa kukosa maarifa
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 2 месяца назад
Kanisa limekuwa labour 😂😂 yan muda mwingine wakristo mnachefua kwanini mnakuwa kaa mazuzu hebu someni biblia zenu na muamini mungu acheni upuuzi hawa wachungaji watawamaliza
@Shuu.A
@Shuu.A 3 месяца назад
Mpumbavu huyo mwenye mimba kwani mchungazi ndio mzalishaji na huyo mchunga aje huko weye ndio unaemzalisha nyote mapumbavu
@theresiagideon2178
@theresiagideon2178 3 месяца назад
Yaani kwakweli elimu hata huyo dada nae anaonekana ana shida kwakweli
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 3 месяца назад
Huyu dada mpumbavu, yeye ana akili za kushika na kubeba mimba bila kujua mimba ina muda gani na niwapi pa kwenda kupata huduma za mama mjamzito
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 3 месяца назад
Acheni ulokole wajinga sana walokole kuna mama yangu mdogo alitaka kumuua mwanae kizembe
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 3 месяца назад
Huoni kama niujinga huo
@AgnesAgnes-tz8dp
@AgnesAgnes-tz8dp 3 месяца назад
Jmn 😢
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 3 месяца назад
Poleni ila ni uninga mtupu
@NasraAlMarjabi
@NasraAlMarjabi 3 месяца назад
Kwa nini kanisa Lifungwe Afungwe Huyo Mchungaji Maisha Yake jela
@DM.2200
@DM.2200 3 месяца назад
Upo correct lakini angalia wanasem ni kawaida yake kwa hyo amepotosha wengi vadala ya kuwapa elimu hi ni mbaya sana
@elphinejoshua1914
@elphinejoshua1914 3 месяца назад
Nendauko,wamamazetu walikuwa wakiombewa kanisani nawana zaa vizuri .ilikuwatu bahati mbaya😢😢
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 3 месяца назад
@elphinejoshua1914 wee subiria uje ufe kama wale wa Makenzi kule Kenya 😅😅😅. Punguza Imani tumia akili .
@Njeriii536
@Njeriii536 3 месяца назад
Huna akili wewe
@elphinejoshua1914
@elphinejoshua1914 3 месяца назад
@@Njeriii536 natembelea za mamako
@Njeriii536
@Njeriii536 3 месяца назад
@@elphinejoshua1914 mwanaume unaakili za kike shoga wewe kukesha makanisan
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 3 месяца назад
​@@elphinejoshua1914 Achana nao hao beba Mimba nenda kafate Nano Kwa maana anae fata Neno yupo Karibu na yesu Kristu Tuseme Ameen
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s 3 месяца назад
Uyo mchungaji mwanga anataka kuwatowa waumini wake kafala
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 3 месяца назад
Ao anatakaga awahonje waja wazito😂
@ZuwenaIssa-di5yy
@ZuwenaIssa-di5yy 3 месяца назад
Pombaavu huyu
Далее
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 95 тыс.
HUYU MAMA KAOGA MAPEMA LEO/WATU WA HUKU HAWAULIZI
9:47
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 95 тыс.