Тёмный
No video :(

Kicheko cha Mama Magufuli Igizo la Vijana Kumbukizi ya Hayati John Joseph Pombe Magufuli Kawekamo. 

Archdiocese of Mwanza - Jimbo Kuu la Mwanza
Подписаться 6 тыс.
Просмотров 193 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 464   
@neemalaurent9836
@neemalaurent9836 5 месяцев назад
Yohana 12:24_26, nazo zile mbegu zilizoanguka kwenye udongo mzuri,zimeota na kuzaa matunda mengi na mazuri, hongera sana kijana uko vizuri
@marymabuga1036
@marymabuga1036 5 месяцев назад
AMINA
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 месяцев назад
Jamani watu wanakarama hongera Sana Kwa kumuigiza Rais wetu apumzike Kwa Amani
@KazimilyEpimack
@KazimilyEpimack 5 месяцев назад
Ningependa kushiriki pia kwenye hiyo Filamu mnayoiandaa kwa ajili ya Baba yetu @MAGUFULI and his political Philosophy❤👏
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 5 месяцев назад
Ni zaidi ya igizo jmn.Mungu awainue kiwango Hadi kiwango.❤❤🎉🎉
@jenipherishengoma1239
@jenipherishengoma1239 4 месяца назад
Itawaliza watu Sana
@jonaycemoshi7261
@jonaycemoshi7261 5 месяцев назад
Dogo huyu ameweza sana kwa kweli na atafika mbali sana!Amenikumbusha mbali sana hadi nimetokwa machozi.Mungu akubariki
@anamarykaduma5639
@anamarykaduma5639 4 месяца назад
Hongera sana Kijana,Unatukumbusha maisha ya Hayati Baba yetu Mpendwa,tunamkumbuka kwa mengi saana. Iwe kumbukizi Kitaifa.
@CHRISANTUSDAUDI-tn3cu
@CHRISANTUSDAUDI-tn3cu 5 месяцев назад
Hongereni sana vijana.. daima tutamkumbuka rais wetu JPM..
@Itarusii
@Itarusii 5 месяцев назад
Hongera kijana. Joseph una kipaji. Kitumie vizuri. Endelea kuamasisha. Hiyo filamu itauzika sana. Hakikisheni inakuwa na kiwango.
@Ambwene
@Ambwene 5 месяцев назад
THE LEGEND OF JOHN POMBE MAGUFULI TUNAITAKA SANA HIYOO
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 5 месяцев назад
I wish ningeshiriki hiyo🎉🎉daah!! RIP my JPM
@ROBERTBALAMA
@ROBERTBALAMA 5 месяцев назад
Mungu alitumia Sura yake Hayati Magufuli kwaajili ya watu wengine. Aendelee kupumzika kwa Amani. Naendelea kujifunza Falsafa zake
@Usxznt
@Usxznt 5 месяцев назад
Mungu awabariki vijana kazi nzuri Sana,nimejikuta nalia
@siaammo1104
@siaammo1104 5 месяцев назад
Hata.mimi aisee nimejikuta nalia tu😢 Kweli mungu alitupa mtu mzuri nasasa amemchukua tena apumzike kwa amani jembe letu.
@julianapatrick7911
@julianapatrick7911 5 месяцев назад
😢😢
@matondokija
@matondokija 5 месяцев назад
Hongera kijana kwa kazi nzuri . tuendelee kumkumbuka na kumuombea baba yetu Magu
@neemamahimbo4711
@neemamahimbo4711 5 месяцев назад
Aiseeee kijana ameweza sana,asante machozi yanapungua
@janepatrickmesso7487
@janepatrickmesso7487 5 месяцев назад
Mungu ikikupendeza, turudishie magufuri, najua ni ngumu lakini ikikupendeza Mungu tunamuomba tena
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 месяцев назад
Mungu abariki vizazi vyetu tupate wakina Magufuli wengine
@FiniasEnock-uv7lo
@FiniasEnock-uv7lo 5 месяцев назад
Honestly nilikuwa natizama hii igizi but nimeshindwa kumaliza kwa sababu ya uchungu. Napenda kusema you all deserve to make his film. Munaweza sana na mnajua kuzingatia itifaki na maadili ya fikra zake. I'm ready to support your film by whatever way. You're so amazing guys.
@AnnoyedGondola-pi2bv
@AnnoyedGondola-pi2bv 5 месяцев назад
Duh huyu kijana amesababisha nimelia Tena namuomba mungu amsamehe ndugu yetu JPM makosa yake yote picha yake haifutiki kwenye Nuru ya uso wangu
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 месяцев назад
Amina
@jamaa2760
@jamaa2760 5 месяцев назад
MAGUFULI was magician!!
@gasperymisungwi960
@gasperymisungwi960 5 месяцев назад
Brilliant idea. Nitainunua filamu hiyo kwa gharama kubwa. Good memories live forever
@zurufaseme8595
@zurufaseme8595 5 месяцев назад
Unanikumbusha mbali wee kijana,ila pokea maua yako 🎉🎉🎉🎉
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 5 месяцев назад
Hivi kweli hii kumbukizi imeshindwa kua ya kitaifa mungu gawa sawasawa na mapenzi yako
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 5 месяцев назад
Waaaaaaaah 😮 YANIIII 😢😢😢
@anthony_genge
@anthony_genge 5 месяцев назад
Daaaaah
@vanessajames2192
@vanessajames2192 5 месяцев назад
Walinikera hadi TBC et wakakausha
@editamujuni94
@editamujuni94 5 месяцев назад
TBC wamekausha..yaani
@nshomajuke2553
@nshomajuke2553 5 месяцев назад
Yaaaniii hiiiii soo soooo mwaaaa. I salute u pple
@ombeniulime2768
@ombeniulime2768 5 месяцев назад
JPM you deserve for your sacrifice to Tanzanians Kijana pongezi kwa kufahamu legacy ya mtu aliyeishi kwa aliyoyaongea
@EdwardJohn-xz5oi
@EdwardJohn-xz5oi 5 месяцев назад
Mm nimesikia hii sauti na machozi yameanza kunilengalenga.
@user-ig1ch4gy7s
@user-ig1ch4gy7s 5 месяцев назад
Hongera sana kijana, kazi unaweza tena sana. Mungu amlaze mahali pema peponi. Inauma na inafariji we really lost the man. Mungu akubariki Upande zaidi ya hapo. Songa mbele usirudi nyuma.
@ThomasShija-rn3fy
@ThomasShija-rn3fy 5 месяцев назад
Hongereni sana. Mbegu iliyopandwa imeanza kumea yohan 12,24-26. Mungu awabariki.
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 5 месяцев назад
Lazma atatokea tu mwenye kuamini na kuyafanya ni kama Burkina Faso alikufa Thomas Sankara katokea Ibrahim Traore na anafanya yaleyale
@stellaphilipo5112
@stellaphilipo5112 5 месяцев назад
Big up boy ,,Sauti kama ya aliyekuwa Baba na Raisi wetu wa awamu ya TANO😢..PUMZIKA KWA AMANI KIPENZI CHA WENGI pamoja na wanafamilia wenzetu waliotangu mbele za Mungu.
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 5 месяцев назад
Brilliant, kitu kikubwa sana wadogo zangu, natamani niwe na nakala ya filamu hii ktk kabati langu
@Emma300b
@Emma300b 5 месяцев назад
Je suis à Dakar, je suis très content pour cette video. Qu son âme repose en paix
@Sebastian-to4qd
@Sebastian-to4qd 5 месяцев назад
Ahsante kwa Hilo Mungu akubariki Sana kijana. Late Magufuli tutamkumbuka Daima. Tumwombee apumzike Salama. Ingawa ameondoka Lakini kiroho bado Yupo nasi. Tizama vijana wanavyoweza kuiga Sauti yake ni Kama Bado Yupo nasi. Ahsanteni Sana Mungu kwa Maisha ya Dr JPM. Ahsante kwa JPM kwa kuliongoza Taifa hili masikini. Ahsante kwa kujitolea na Ku- sacrifice your Life for our Land Called Tanzania. Ni Bahati KUBWA Sana Kwetu watanzania.
@firmakisika5073
@firmakisika5073 5 месяцев назад
Hongereni sana wana Mwanza. Keep it up
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 5 месяцев назад
Hqkika magu 😢😢😢umeondoka na tunakukumbuka kwwli hakika baki salama mola akuhifadhi pema baba magu
@JustineAloyce-lu8ux
@JustineAloyce-lu8ux 5 месяцев назад
Jamani mungu azidi kumpa amani huko aliko baba yetu DR JONH POMBE MAGUFURI JPM.mwanga wa milele aangaziwe
@audaxbizimana8084
@audaxbizimana8084 5 месяцев назад
Magu😢😢😢😮😢 kila mtu alimwelewa😢😢😢😢R. I. P JPM
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 5 месяцев назад
Hiyo filamu tena nitawatunzia watoto wangu.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 месяцев назад
Tutamkumbuka daima Mungu amlaze mahali pema peponi
@ceciliamanfred9757
@ceciliamanfred9757 5 месяцев назад
It is amazing congratulation dears you'r talented❤
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 5 месяцев назад
Ukiskiliza hii utatoka machozi kama magu anaishi ndani yako
@emmanuelpolle4922
@emmanuelpolle4922 4 месяца назад
Stephano Joseph Shimba nakuona mbali kijana keep moving keep growing!
@SaidMwaikambo
@SaidMwaikambo 5 месяцев назад
Hongera sana dogo mungu akuongezee zaidi kipaji chako Kwa uigizaji wako
@emanuelnyambo7486
@emanuelnyambo7486 5 месяцев назад
Excellent.. Well done...
@bensonmasanja9862
@bensonmasanja9862 5 месяцев назад
VIJANA WA MAGUFULI TUPO HUTAPOA SUBIRI WAKATI UFIKE..
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤tunakupenda sana mzee magu Mungu akupe pepo ya juu in sha allah
@calistgwaydamuy8813
@calistgwaydamuy8813 5 месяцев назад
Mbarikiwe jaman kazi nzr
@PeterNMzee
@PeterNMzee 5 месяцев назад
Kazi nzuri....brings back wonderful memories
@johnfuraha9151
@johnfuraha9151 5 месяцев назад
All the best.. Good idea
@meshack3266
@meshack3266 5 месяцев назад
Dah mwamba kaua kinomaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@theodoramzigaba4916
@theodoramzigaba4916 5 месяцев назад
Dogo umetisha sana mungu akubariki sana
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 4 месяца назад
Daaaah... Mungu Ni Mwema Kila Wakati...
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 5 месяцев назад
Woow nimecheka nikalia. Good job young man ❤ Roho ya Baba yetu magufuli ipate Rehema kwa Mungu apumzeke kwa Amani Amina.
@AlredDeousdedith
@AlredDeousdedith 5 месяцев назад
Mko Vizuri Sana Vijana Mungu Awabariki Sana
@henryngwaulanga3103
@henryngwaulanga3103 5 месяцев назад
Hongereni sana,vijana mnaweza, hapa kazi tu
@STEVEMAGUFULI
@STEVEMAGUFULI 4 месяца назад
Shukurani sana mwalimu wangu❤❤❤❤
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 месяцев назад
Tec wako vizuri sanaaaa tafadhalini sana sambazeni jamani hii filamu pesa mtapata sana hayati Magufuli yuko mioyoni mwa watanzania ssna huyo ni sawa na Nwalimu Nyerere hawatasauliwa kabisa
@sananeDotto-xe7ht
@sananeDotto-xe7ht 5 месяцев назад
Hongera sana shimba kumbe kipaji hicho bado unakiendelelza nakukumbka sana kula Mlale jkt op mabeyo songea Ruvuma 2022 big up sanaa
@marymabuga1036
@marymabuga1036 5 месяцев назад
Mmmmmm Sina la kusema. Apumzike kwa Amani Rais wetu mzee MAGUFULI
@user-zj9uz6vz3g
@user-zj9uz6vz3g 5 месяцев назад
Wewe ni kiboko😂😂, unaweza sanaaaa🎉
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 4 месяца назад
It's So Sensitive... 😢
@aminamwivita7690
@aminamwivita7690 3 месяца назад
Congratulations keep it up good job ❤❤
@user-ks7tr1fd5d
@user-ks7tr1fd5d 4 месяца назад
Daaaaaaah pumzika kwa Amani baba wa wanyonge. Watanzania bado 2likuwa 2nakuhitaj lakin MUNGU kakuhitaj zaid. Ubarikiwe sana kijana kwa kumuenz baba wa wanyonge piaa hongera sana kwa kipaj chako MUNGU azid kukuina zaid na zaid. R.I.P 😢😢😢😢Magufuli
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 5 месяцев назад
Tunakumbuka daima JPM😢😢😢😢😢 Mwaga waa milele ukuangazie ameen😢😢
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u 5 месяцев назад
Nice one stephano
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 4 месяца назад
Mimi ni mkongomani , nili hishi Tanzania ukimbizini , naipenda sana Magufuli ali kuwa rais nilie mpenda sana kwa utendaji kazi wake , nita endelea kumuenzi , Mungu aendelee kumpumzisha mahali pema ❤❤❤❤❤❤❤
@thobiasmasabile-cw9xo
@thobiasmasabile-cw9xo 5 месяцев назад
Umetukumbusha mbali sana, na hivi tunavo pambana na warasimu, wanaouza lasiamali yataifa, tuombe sana aje magufuli zaidi ya wakwaza
@leonardRuben
@leonardRuben 5 месяцев назад
Very good Brother
@user-ek6td4kt4t
@user-ek6td4kt4t 5 месяцев назад
Kipenzi Cha watu wanyonge. Mtu mnyenyekevu 😭, I fill to cry but kijana ameweza kutukumbusha yote mazur mema aliyokuwa anatenda rais wetu Kwa Upendo wa dhati
@chazp6436
@chazp6436 5 месяцев назад
Very impressive...
@zainabuabdulahi5012
@zainabuabdulahi5012 4 месяца назад
Ipo vizuri vizuri sana hongera kijana hata ukichukua line ya uongozi itakufaa sana baadaye
@stephanosimon
@stephanosimon 5 месяцев назад
Aisee Mr Mwaka mmetishaaaa❤
@josephsamwel2845
@josephsamwel2845 5 месяцев назад
Amina Nice job
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 5 месяцев назад
Natamani ningeweza kusave ili kila mara naingalia hongerani sana mlishiriki tulimpenda sana king of afrika mzee jembe john magu rip
@reginamagere9910
@reginamagere9910 5 месяцев назад
Unaweza download ikaingia kwenye offline
@mwinjilistiaristidesmeja1834
@mwinjilistiaristidesmeja1834 5 месяцев назад
Nitumie namba yako nikutumie mimi ninayo hii
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 5 месяцев назад
@@mwinjilistiaristidesmeja1834 sawa
@nassorowaziri3076
@nassorowaziri3076 5 месяцев назад
Safi Sana mko vzr
@firmakisika5073
@firmakisika5073 5 месяцев назад
Hongera sana kijana Mwenyezi Mungu akuongoze ktk maono hayo.
@agnesswai7174
@agnesswai7174 4 месяца назад
Dah umeipatia Sauti hiyo haswa kuliko wengine wote bro,,Big up kwa kweli🙌🙌
@SmilingBoaSnake-sw3zx
@SmilingBoaSnake-sw3zx 5 месяцев назад
Daaah inaumiza sana
@luciajohn8962
@luciajohn8962 5 месяцев назад
Yaan nimejikuta nalia tu 😭😭😭😭 pumzika kwa aman JPM tutakukumbuka kwa mengi sana acha vijana wakuenzi na kukumbuka mambo uliyoyafanya enzi za uhai wako🙏🙏🙏🙏
@luciajohn8962
@luciajohn8962 5 месяцев назад
😭😭
@helencyprian8745
@helencyprian8745 5 месяцев назад
Hongera sana
@elikanaernesti8440
@elikanaernesti8440 5 месяцев назад
Dahhhhh vizuri sana
@MariumIbrahim-zm9cx
@MariumIbrahim-zm9cx 5 месяцев назад
Nimelia San ongera San vijan wenzangu mmefanya kazi nzr adi mama kacheka amani ya bwan iwe nanyi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 месяцев назад
Nitaipataje filamu hii tunaiomba muiuze kwenye makanisa yote ya Roman Katoliki mtauza sanaaaa
@user-yk5gm5qj4u
@user-yk5gm5qj4u 5 месяцев назад
Sio Roman Catholic tu huyu ni kipenzi Cha watanzania wote waislam, wakristo madhehebu yote wahindu , na wasio na dini ni hivyooo
@barakalawrence742
@barakalawrence742 5 месяцев назад
​@@user-yk5gm5qj4uumesema kweli
@SmilingAlpineVillage-ee7if
@SmilingAlpineVillage-ee7if 5 месяцев назад
Haha sisi tunataka
@nestor384
@nestor384 5 месяцев назад
Magufuli dah💔 sijui Tanzania itakuja kupata Rais tena wa aina hii.. M/mungu tuinulie Magufuli mwingine Please tunataka Magufuli day Ana haki na kila sifa ya kupewa siku maalum ya kumkumbuka na kuenzi kazi yake njema
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 5 месяцев назад
Nimefurahia sanaaaaaaaa
@mohamedkutwambi
@mohamedkutwambi 5 месяцев назад
Amazing and very interesting waooo keep it up 💪💪
@TabibuGift
@TabibuGift 5 месяцев назад
Nice job brother, continue to use your talent that God grant to you
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 4 месяца назад
Daah aisee inaumiza sana..... Yule mzee😥😭😭😭🙏
@bahatirashidi2793
@bahatirashidi2793 5 месяцев назад
Uyu kijana yupo vizuri sana ndiye aliyeigiza sauti ya rais samia
@alphoncegadafi1341
@alphoncegadafi1341 5 месяцев назад
Good work
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 месяцев назад
Jamani tutainunua hiyo filamu sanaaaa
@veronicamnico4773
@veronicamnico4773 5 месяцев назад
😢😢😢ila sijui kama tutampata kiongozi Bora kama magufuli duh
@VeronickaAdam-jn4rn
@VeronickaAdam-jn4rn 4 месяца назад
Kijan hongera sana kwa kumwekti bwana John pombe magufuli, naamini tutamkumbuka kwa mazuri!😊
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 5 месяцев назад
Kaz nzr sana
@nipaelkinkoro3169
@nipaelkinkoro3169 5 месяцев назад
Hongera Sana Joseph Tumia vyema kipaji alichokupatia Mungu.Hakika Rais pendwa wa Taifa la Tanzania na Afrika Mashariki hatatoka kwenye MIOYO yetu
@estherraphael4739
@estherraphael4739 5 месяцев назад
Lo! Nawashukuru sana vijana Hawa kwa wazo hili zuri la kumbukizi ya Hayati Rais wetu John PombeJoseph Magufuli. Mungu Awaongezee vipaji zaidi na Awezeshe kupatikana kwa Uzinduzi wa Filamu hiyo ya Mpendwa wetu . APUMZIKE KWA AMANI. Tutamkumbuka daima kwa Utendaji Kazi wake na Falsafa nzuri za Uongozi na Uzalendo wa Hali ya Juu! AMINA.
@bakarindemanga2318
@bakarindemanga2318 5 месяцев назад
Well done
@marselinarweyemamu4034
@marselinarweyemamu4034 5 месяцев назад
Ongeren sana viijana
@agnesmartin5716
@agnesmartin5716 5 месяцев назад
Daaah Ee Mungu Ee Mungu mweke mahal pema Magufuli
@afandechanel1507
@afandechanel1507 5 месяцев назад
Huyu ana mshinda ata baraka magufuli kwa kuigiza sauti ya magufuli
@jacquesmoninga9245
@jacquesmoninga9245 5 месяцев назад
Ndio ni kweli
@anthony_genge
@anthony_genge 5 месяцев назад
Ikweli, dogo yuko vzuri mno
@user-tl1nz7qx2l
@user-tl1nz7qx2l 5 месяцев назад
Haswaaa
@sheysarahnjeno5207
@sheysarahnjeno5207 5 месяцев назад
Hskika kijana umetisha,umenikumbusha mbali
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 5 месяцев назад
Waio amaizing Magufuri oyeee
@syliviamgeta8131
@syliviamgeta8131 5 месяцев назад
Ameweza sana
@deodatuscabwine4148
@deodatuscabwine4148 5 месяцев назад
Meseji send and delivered
@basumaadam2686
@basumaadam2686 5 месяцев назад
Haswaa
@daniel.shao.9028
@daniel.shao.9028 5 месяцев назад
Kazi nzuri.... May God bless you all.
@user-dk5kd5wl2q
@user-dk5kd5wl2q 5 месяцев назад
Nimeipenda sana
@user-sj2ii4gm7z
@user-sj2ii4gm7z 5 месяцев назад
Kijana, umefanya vizuri. Ila jambo moja ninakuomba uweke number ya simu yako ili watu waweze kukusuport. Tutaendelea kukukumbuka mgalme Magufuli. Rest in power King.
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 4 месяца назад
Nice work
Далее
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Просмотров 4,5 млн
Moto Trial vs Moto acrobática 🏁
00:29
Просмотров 2,4 млн
ПРОСТИ МЕНЯ, АСХАБ ТАМАЕВ
32:44
Просмотров 1,6 млн
1976 interview with Robert Mugabe | CTV News Archive
6:43
MAGARI WALIYOZAWADIWA MAPADRE
4:24
Просмотров 7 тыс.
BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere
13:30
Просмотров 246 тыс.