Тёмный

CHOZI LAZIMA LIKUTOKE | ALICHOKIFANYA MWANDALE MBELE YA RAIS SAMIA 

MrishoMpoto
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 327 тыс.
50% 1

Mwandale ni binti anaelazimishwa kuolewa na baba yake akiwa bado mwanafunzi kwaajili ya tamaa za mali. Na kutokana na baba yake kutokuwa na uelewa mzuri kuhusu elimu kwa mtoto wa kike anaona amuozeshe binti yake kwa ng'ombe 400, kwa kigezo cha kwamba mtoto wa kike hapaswi kupata elimu. Mwandale anakataa na kukimbilia kwenye Mfuko wa hifadhi ya jamii Equal Opportunity Trust Fund (EOTF). Kwasasa ni mhitimu wa ngazi ya sheria. #mwandale #mrishompoto #eotf2022 #ikulumawasiliano #mamasamia

Опубликовано:

 

26 июн 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 153   
@Mariam-kn3vi
@Mariam-kn3vi Год назад
Nimejikuta nalia 😢, may Almighty God bless me to accomplish my plans, wish to became a great lawyer in Jesus name 🤲🙏
@melkiadesmogella6402
@melkiadesmogella6402 Год назад
Hawa ndio wasanii halisi. Hongera Mrisho Mpoto
@mercyaa1863
@mercyaa1863 Год назад
Mungu aingilie kati ili mtoto msichana apate haki nchi zote,asante kwa mafunzo mazuri ,keep up that spirit mzidi kuelimisha wengi asanteni sana ,God bless you all.
@KassimuKassimu-do9gq
@KassimuKassimu-do9gq 11 месяцев назад
I love you anko mpoto ww nimwalimu hakika Tanzania tunakuitaji mjomba usiwaze pesa na dunia tufikishie ujumbe Kila kukicha mjomba hakika ww niwapekee nakuelewa mjomba mungu akuweke mjomba😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@lydiagesare6255
@lydiagesare6255 9 месяцев назад
Mungu wangu nipanguze majonzi nimelia yangu yote 😭😭😭😭
@dorcuswavinya
@dorcuswavinya Год назад
Watching from kenya but i alwys wish ningezaliwa tanzania
@bigk4767
@bigk4767 Год назад
Congratulations it's really touching and has a good teaching, thank you very much team
@paulinampwila2148
@paulinampwila2148 Год назад
Inasikitishaa sana nimejifunzaa daa mpaka machoz yamenitoka
@angelishika6054
@angelishika6054 Год назад
Mrisho Mpoto your the best asee unaweza sana 👊🏻👊🏻
@kaizafarmsTZA
@kaizafarmsTZA Год назад
Asante kwa message nzuri
@user-yz6ld6hw1l
@user-yz6ld6hw1l Год назад
Somo babu kubwa,mjomba big up sana
@user-wm6me3be1x
@user-wm6me3be1x 9 месяцев назад
❤ love that guys
@jamesgeofrey8692
@jamesgeofrey8692 Год назад
Muhhh! Mpoto is really something This creativity is beyond... salute
@iddomaryomaryomary-do6re
@iddomaryomaryomary-do6re 11 месяцев назад
😂😂😂😂
@josephmarwa5626
@josephmarwa5626 Год назад
Ila natamani kuwa sehemu ya wanaopigania haki za hawa watoto
@mzizirashid709
@mzizirashid709 11 месяцев назад
Nakupataje Tunaweza
@LilianNkitote-mb7hi
@LilianNkitote-mb7hi 3 месяца назад
nalia akh😭😭😭ckuweza kutimiza masomo yangu ckua na wakulilia.mungu bariki wadogo wangu
@user-oo1mp2mx3r
@user-oo1mp2mx3r Год назад
Kweli Mungu awasaidie mabinti wote wapate haki zao
@veshfondo
@veshfondo Год назад
Success comes by continuity and hard working ❤
@JossNaggure-yb7fj
@JossNaggure-yb7fj Год назад
Joseph. Mungu. Awabaliki
@sabunitv2121
@sabunitv2121 9 месяцев назад
Hayo ndio maisha halis vijijn mjini uko hamjui na watu wanaendelea kuish😢
@AlfaDondo-oz9pg
@AlfaDondo-oz9pg Год назад
Asante. Waeleweshwe wa vijijn elimu hii
@nasibumkopi79
@nasibumkopi79 2 года назад
MRISHO YOU MADE IT CONGRATULATION, I LOVE THE IDEA, GREAT JOB
@user-sj8os4zl5l
@user-sj8os4zl5l 4 месяца назад
Mlisho mpoto nimeipenda Asante
@Moviedisc
@Moviedisc Год назад
Hakuna kitu kama. Hii kenya😢
@LidyaMoshiro-on6tt
@LidyaMoshiro-on6tt Год назад
Hongera sana mpotoooooo
@marianyangi
@marianyangi Год назад
Mabinti wangu wamepitia Naomba ITF ifike vijijini Serengeti
@swalehbinaliy9413
@swalehbinaliy9413 Год назад
Duh inahuzunisha Sana 😭😭
@jemimahnafula9457
@jemimahnafula9457 Год назад
Wow 👏👏
@DanteAbraham-ky7ty
@DanteAbraham-ky7ty Год назад
Congratulations am really pleased and grateful for this wonderful education
@fabiosoudtz
@fabiosoudtz 2 года назад
Good my bro maneno yko mwanafunz kakaza
@ellymswahili1409
@ellymswahili1409 Год назад
Kazi nzuri Mjomba
@user-sx6mq1fm1b
@user-sx6mq1fm1b Месяц назад
Nimejifunza mengi kutoka katika historia ya mwandale na kwanzia leo sitalia tena nitakaza mwendo hadi nifanikiwe katika jina la yesu
@zamdasaid7248
@zamdasaid7248 Год назад
Good massage
@user-vg5tq2lo7i
@user-vg5tq2lo7i Год назад
Moto apewe haki Yake asome amalize atunzwe sii alazimizwe ety aoreke apana Kuna wazee hua wanawanyemerea wafungwe njela
@njerimaina426
@njerimaina426 Год назад
I love mama samia's eyes they're so pretty 🤩
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Huna akili hata chembe 😂😂
@user-sj8os4zl5l
@user-sj8os4zl5l 4 месяца назад
Pambana mwamba nwandale
@peter-zy5ey
@peter-zy5ey Год назад
Congratulations 👏👏 all the authors of this short advice for both male and female
@UpendeexmoSamsone
@UpendeexmoSamsone Год назад
Vichekesho
@UpendeexmoSamsone
@UpendeexmoSamsone Год назад
Videos.
@UpendeexmoSamsone
@UpendeexmoSamsone Год назад
Video
@UpendeexmoSamsone
@UpendeexmoSamsone Год назад
Video
@UpendeexmoSamsone
@UpendeexmoSamsone Год назад
.video
@LionessDadsDotaMoura3188
@LionessDadsDotaMoura3188 Год назад
Shukran....mafunzo mazuri haya...
@annahjohn6758
@annahjohn6758 2 года назад
Jamaniiii 😭
@sabunitv2121
@sabunitv2121 9 месяцев назад
Very creative 😮
@mercyogendo4280
@mercyogendo4280 Год назад
Waaa inaumiza moyooo
@EdwardGitari-qi8be
@EdwardGitari-qi8be 25 дней назад
Kweli mungu upo
@judynyantika1981
@judynyantika1981 Год назад
Wow
@AsifiweMunuo-it8yz
@AsifiweMunuo-it8yz Год назад
Aisee 😭
@saidmuhsin
@saidmuhsin 3 месяца назад
Story nzuri sana
@FollowGospelSingers
@FollowGospelSingers 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉baba yangu najisikia vizuri
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 Год назад
Nimejikuta Malia ooo my god
@EnockNanyaro-lk1zi
@EnockNanyaro-lk1zi 2 месяца назад
Ujumbe mzito sana unaelimisha sanaa
@gloriamichael6781
@gloriamichael6781 2 года назад
Aiseeeee😭😭😭😭😭😭
@LovenessDafa-ed7rg
@LovenessDafa-ed7rg 11 месяцев назад
Baba wimbo huu umetisha
@joycesalim3933
@joycesalim3933 Год назад
Wooooyi, mungu saudia watu wako 🙏🙏
@NasraMohamedi-eo1nk
@NasraMohamedi-eo1nk Год назад
Yaan nmtoa chozi
@MteyMaswager
@MteyMaswager Год назад
Good idea
@user-pw7zs2vf7m
@user-pw7zs2vf7m 9 месяцев назад
I very interested story
@velurakawiche5338
@velurakawiche5338 Год назад
Hakika nimepokea kitu kikubwa sana. We have to stand,stand and stand again without give up
@user-mu4xf4ij5l
@user-mu4xf4ij5l 2 месяца назад
Dahhh inawezekanaa,,hata ss tulikataliwa ila tunaeleke tulikopanga😭😭😭
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 Год назад
Nimelia sana 😭😭😭😭😭
@Mr.Queentz
@Mr.Queentz 10 месяцев назад
Macho ya mama samia ya kuibia❤
@TwalibuSalimu
@TwalibuSalimu 2 месяца назад
Bos mrisho nakupeda Sana siku mojaja
@user-be2ct6pj3o
@user-be2ct6pj3o 11 месяцев назад
Da nmeipend sana hiii
@kilengagasper3924
@kilengagasper3924 Год назад
😰😰
@rosekanini
@rosekanini Год назад
Aiseeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@JustusNema-vs7cm
@JustusNema-vs7cm 11 месяцев назад
Good vibes
@lilianamukoya7156
@lilianamukoya7156 Год назад
I like tanzanian they know how to act
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 10 месяцев назад
Nimelia jamani .ila mboto wewe ni hatari.awali yayote hongera mama samia
@RebeccaSagathi-e1p
@RebeccaSagathi-e1p 2 дня назад
👏👏👏👏👏♥️♥️♥️💋
@TeddyJames-rh6cl
@TeddyJames-rh6cl 2 месяца назад
😢
@zembojames7762
@zembojames7762 Год назад
Kweli mungu aingilie kati kwahawa mabit
@romanabarua9545
@romanabarua9545 Год назад
😭😭😭inaumiza mno
@aminasaid6317
@aminasaid6317 Год назад
inauma sana ak,
@saidmuhsin
@saidmuhsin 3 месяца назад
Mototo ameweza
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Год назад
🙏🙏🙏
@robertwanjala1892
@robertwanjala1892 3 месяца назад
Kipaji kipo. Wewe hatari. Sanaa ya kupigiwa mfano. Hii Ni ya kuufunzwa shule.. Chuo kikuu...
@fabrisisaluvastorkimary
@fabrisisaluvastorkimary 2 месяца назад
Jamani unaweza kuigiza mae
@MalakiMgoba-ym4ph
@MalakiMgoba-ym4ph 9 месяцев назад
Du kweli mlisho mpoto anaelimisha jamii
@lameckmochua8560
@lameckmochua8560 9 месяцев назад
@user-sd6hg4ui5m
@user-sd6hg4ui5m 5 месяцев назад
😢😢😢🎉🎉
@janetdaniely7945
@janetdaniely7945 Год назад
So sad 😢😢tuwape Haki watoto wetu🥺🥺
@iddomaryomaryomary-do6re
@iddomaryomaryomary-do6re 11 месяцев назад
😅😅😅😅
@solangebagal149
@solangebagal149 Год назад
Uwarabuni
@TwalibuSalimu
@TwalibuSalimu 2 месяца назад
Kuna watoo wanateseka huu uzalilishaji ufwatiliwe katika mafalili mahakamani
@kisamogoodservicesTv
@kisamogoodservicesTv 2 года назад
Hii kubwa sana mjomba, sjawahi kukuzoea....umenitoa chozi kijana wako.
@DamasceneHakizimana-bm4gw
@DamasceneHakizimana-bm4gw Год назад
Hongela sana mabinti
@joyceyustus3215
@joyceyustus3215 Год назад
Baba km awa wanyongwe Ila Kwa serikali yetu hii ata mahakani unaingia Na bahasha inauma sana tupeni aki zetu
@FloraGelvas-ro8ro
@FloraGelvas-ro8ro Год назад
Pongezi kwenu imenifundisha sana hilo igizo
@lucychuma84
@lucychuma84 Год назад
Machozi yamenitoka wakina mwandale wapo wengi mitaani ee MUNGU naomba utupe ufahamu wazazi tuache ukatili😢
@nyamawikha3971
@nyamawikha3971 Год назад
🤔🤷‍♂️😢😢🙏
@HurumaSanga-ro7vk
@HurumaSanga-ro7vk Год назад
Jamani mtoto wa mwenzio ni wako
@faizowali5230
@faizowali5230 Год назад
Salute sn kwa mpoto
@user-jf4lr8hi6y
@user-jf4lr8hi6y 11 месяцев назад
Dah adi urma
@Jane-ru2ut
@Jane-ru2ut Год назад
😢😢😢😢hata nisha lia bila kumaliza
@user-vn4cd9im1v
@user-vn4cd9im1v 8 месяцев назад
❤😂
@magdalinemadadi6366
@magdalinemadadi6366 Год назад
Oh my Fighting my 😢 am in a public place
@mercynina6288
@mercynina6288 Год назад
#bintiSioKitegaUchumi Walisema mengi nakufanya mengi lakin sikukubali
@JudithRubuyi-gn9ol
@JudithRubuyi-gn9ol Год назад
Ok
@sheillahkiprop8260
@sheillahkiprop8260 2 месяца назад
Yaguza huu jamani mimi mkenya lakini huu yaniguza zaidi mwandale dada hivyo ndivyo wazazi wetu wa jadi lakini kwa sasa hao ndio watuitaji kama vizazi vyao
@sylvianyonga7029
@sylvianyonga7029 Год назад
Inapendeza
@Mr.Queentz
@Mr.Queentz 10 месяцев назад
Machoz ghafla siijui kwa nn
@valerianfamilymwana802
@valerianfamilymwana802 9 месяцев назад
Ni vunzu kweli🙏🙏
@johngerald4677
@johngerald4677 11 месяцев назад
Mama tokomeza ufisadi ndoto za watoto zitimie
@user-yk8gt2yz4o
@user-yk8gt2yz4o Год назад
Had nime ria jamn daaa
@yustahyera4288
@yustahyera4288 Год назад
Hii elimu ifikishwe na vijijini jamani Hadi kule wilayani namtumbo mputa
@rosemarymmbaga
@rosemarymmbaga Год назад
Haki yakusoma niyakila mtu hata kwenye Bible imeandikwa ishikilie elimu eee mungu wasaidie mabinti zetu
Далее
One moment can change your life ✨🔄
00:32
Просмотров 10 млн
One moment can change your life ✨🔄
00:32
Просмотров 10 млн