Тёмный

BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 241 тыс.
50% 1

BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere
Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Leo Septemba 05, Rais Magufuli ametembelea shule ya msingi Mwisenge mjini Musoma aliyosoma Baba wa Taifa , Mwl Julius Nyerere.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.ru-vid.com FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Suazi1
/ uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli. .

Опубликовано:

 

4 сен 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 176   
@jolitejolite1497
@jolitejolite1497 6 лет назад
Mungu akubariki rais wetu akionekana kila siku unabadirisha dila ya maendeleo Tanzania
@yuzotv458
@yuzotv458 6 лет назад
love heart,is the key to leadership.congratulation Dr J.P.M (our presedent of tz)
@michaelsukwa4371
@michaelsukwa4371 5 лет назад
HONGERA RAIS wetu MAGUFULI kwa kazi nzuri
@marconzilankoma7581
@marconzilankoma7581 5 лет назад
Mungu ibariki Tanzania Mungu Mbariki Rais na umrinde Mungu wabariki na watu wake
@ayubunjiwa2818
@ayubunjiwa2818 6 лет назад
Miaka 10 haimtoshi kwa nzuri anayoifanya! Inabidi aongezewe miaka 5 zaidi! Be blessing mh Rais
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 года назад
Na utabiri wako wakipumbavu haukutimia
@habilicharles4410
@habilicharles4410 6 лет назад
Huyu Rais ataacha alama kubwa sana baada yakipindi chake kuisha maana anayoyafanya niyaleee ya Baba wa Taifa hili Mwl. J.K. Nyerere. Hongera sana mkuu wetu wa nchi hii mungu akulinde zaidi.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 2 месяца назад
na ameshaenda baba huyu dah jmni
@binurarassi8156
@binurarassi8156 6 лет назад
Wanafunzi hao ni Malaika, nao pia Wamefurahi mno kukuona Laivu Rais Magufuli, Na sadaka Hiyo uliyoitoa Hapo ni DUA tosha, Mungu akubariki.
@alexjosephat9030
@alexjosephat9030 6 лет назад
Utawaleeeee daimaaaa baba. Nakukubali snaaaa
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 6 лет назад
the best presendet in africa for now
@user-wk7hz2ct1m
@user-wk7hz2ct1m 29 дней назад
This one was exceptional... Human touch per excellence!
@pilibarakaiteba8750
@pilibarakaiteba8750 6 лет назад
Apoo safi sanaa yanii nakupendaa kufaa
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 6 лет назад
MaashaAllah
@maryammaram2612
@maryammaram2612 6 лет назад
Najivunia kuwa mTanzania hongera baba magu
@mosesmajige913
@mosesmajige913 6 лет назад
Hi
@godlovemrosso8715
@godlovemrosso8715 6 лет назад
Huyu rais ni wa mfano kabisa tumempata kutoka kwa mungu nakuombea rais wangu uwe na afya njema na moyo huo huo
@hajiubwa5659
@hajiubwa5659 5 лет назад
Y
@sakinayusuf5072
@sakinayusuf5072 5 лет назад
Aamin
@deustutu1162
@deustutu1162 6 лет назад
hongera sana rais kuwajal hao watoto walemavu
@paschaljeremiah4903
@paschaljeremiah4903 6 лет назад
Big up Rais wetu kwa kukumbuka wakombozi wetu, I actually appreciate you so much!
@yuzotv458
@yuzotv458 6 лет назад
safi sanA WEWE TU NDO UNANIISPIRE KUJA KUA HEAD LEADER WA NCHI.GOOD BETTER BEST,WATOTO LEO NI SIKUKUU YAO JAMENI.👏👏👏👏
@fredkyara.babamunguwambing482
@fredkyara.babamunguwambing482 6 лет назад
Hongera Rais wangu
@yuzotv458
@yuzotv458 6 лет назад
good
@jonasamos555
@jonasamos555 6 лет назад
Big up diwan Ila sitaki kujua chama chako
@rezegerezege691
@rezegerezege691 3 года назад
CCM😆😆😆😆😆
@BarakaWaya
@BarakaWaya 6 лет назад
Mungu akibariki Sana mhe. Rais
@maigabarikiwasanamtuwamung5712
Hakika Mungu akubariki Sana Mheshimiwa Raisi wetu tunakuombea
@atleyutonga6131
@atleyutonga6131 6 лет назад
Hakika Watanzania tuendelee kumuombea huyu Rais, hakika Mungu ametupatia mtu sahihi kwa wakati sahihi
@jamesjamesalpha8361
@jamesjamesalpha8361 6 лет назад
nakukubali sana Mh Rais wangu
@charleskaflela5747
@charleskaflela5747 6 лет назад
Mungu akubariki mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Wa Tanzania Dr John. P.Joseph Magufuli
@rezegerezege691
@rezegerezege691 3 года назад
Mwanangu naona Rais na Diwani Manyama Mungu Awalinde . AMINA.
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 лет назад
Asante san baba yetu asante sana viongozi wetu asante sana raisi wetu raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe
@firdausabdullah6315
@firdausabdullah6315 6 лет назад
Kazakh allah kher allah ukaipate akhera yako
@samwellwiza5339
@samwellwiza5339 4 года назад
Sasa nahisi Nina Raisi....
@agneomasonda2462
@agneomasonda2462 5 лет назад
Safi sana mheshimiwa Rais Mungu akubarikiwe
@allykivike7228
@allykivike7228 5 лет назад
Nimefurahi sana raisi kama wewe Africa hakuna mungu akusamehe pale unapo kosea kwani wewe ni binadam ila mimi nakupenda sana nashindwa kujizuia hisia zangu
@pigapesa1013
@pigapesa1013 6 лет назад
safi sana mh Rais
@zakiamaungazakia720
@zakiamaungazakia720 6 лет назад
Safi sana
@binurarassi8156
@binurarassi8156 6 лет назад
Rais wetu Magufuli, Ni mfano wa kuigwa, Yaani hapo Mzimu wa Nyerere unakuona, Kila anaekuona Hapo Ana furaha isiyo kifani, Nakuombea DUA, Mungu akulinde.
@petermahimbo9450
@petermahimbo9450 5 лет назад
Aamen Aamen Mr president. Mungu akupe uhai mreefu kama ule mount meru
@patrickKitambo
@patrickKitambo 5 лет назад
Mimi naona magufulia tumpe ufalme aongoze mpka mwsho wake atatuo kwenye huu umaskini
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096 5 лет назад
Wale ambao hawajashuhudia utawala wa Nyerere,Sasa wanaishuhudia kupitia rais magufuli
@nelsonmumghamba3767
@nelsonmumghamba3767 6 лет назад
Mh:umekua mfano wa kuigwa ndani ya nchi, ndani ya Bara la África na kimataifa kiujumla, GOD bless you
@paiwanjara3502
@paiwanjara3502 5 лет назад
hongera mheshimiwa namimi nmesoma hapo tangu dalasa la kwanza mpaka 7 naipenda sana
@mfubwakilua5380
@mfubwakilua5380 6 лет назад
Mm mwenyewe zaid machozi yananitoka kweli hakuna km Magufuli
@saulikinahi6703
@saulikinahi6703 6 лет назад
Dhamira yako na maono yako juu ya nchi inatia moyo sana
@frankakuno.9511
@frankakuno.9511 6 лет назад
Safi sana j.p.m
@sembosayenda7182
@sembosayenda7182 5 лет назад
Jamani ukiwa na rais ambae anaijua Tanzania vizuri raha sana
@abdallahomari8680
@abdallahomari8680 5 лет назад
Nampenda Sana Rais magufuli anaroho inayoongozwa na mungu lkn namshauri pia awe mvumilivu akubali maoni yawengine na aruhusu uhuru wa kujieleza, na kukosolewa anapo teleza.
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 лет назад
Abdallah Omari alikataa lini kukosolewa??
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 лет назад
Abdallah Omari alikataa lini kukosolewa??
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096 5 лет назад
Rais wa wanyonge,wakenya wenzangu mupo,wakenya tutapata rais Kama jpm lini.
@sadikingstudio8166
@sadikingstudio8166 6 лет назад
Bravo Rais Dr JP MAGUFULI
@nzengamwamulima7724
@nzengamwamulima7724 5 лет назад
I la we we unatakiwa kuwa Rais wa Africa nzima
@abdallakassim9954
@abdallakassim9954 5 лет назад
Big up our president
@kartelgizemc1590
@kartelgizemc1590 5 лет назад
Good President..
@mako331
@mako331 6 лет назад
Yani ndio nikisikia wajinga wengine wakimpinga huyu Raisi ninasikia uchungu sana, hao ndio watu hawaitakii hii nchi mema wanakula na mafisadi, Mungu akulinde Raisi wetu
@user-kt1ev1ph1p
@user-kt1ev1ph1p 4 месяца назад
Mzalendo wa kweli ulielipenda Taifa lako Kwa dhati endelea kupumzika 😭😭😭
@magibomwita8134
@magibomwita8134 5 лет назад
Mungu hakupe maisha marefu JPM
@ceciliaonyango301
@ceciliaonyango301 6 лет назад
jamani hadi machozi ya furaha yamenitoka
@habilicharles4410
@habilicharles4410 6 лет назад
Kwel kabisa huyu niwapekee
@enriquebalome8460
@enriquebalome8460 5 лет назад
amini hata mm moyo unatamani aendelee kuwa rais ili Tanzania tuifaidi
@lukasochola576
@lukasochola576 5 лет назад
kiaje na wee ni mkenya tu
@robertpeter4283
@robertpeter4283 6 лет назад
Hongera jpm rais wetu
@GodfreyMushi-kn3nb
@GodfreyMushi-kn3nb 4 месяца назад
Bonge la raisi ajawahi kuepo apa tanzania eeeh YESU kumbuka taifa la watu wako utuletee mwingine kama uyuu tunaomba katika haki yako eeeh BWANA tusiaibike
@saidbarawa9096
@saidbarawa9096 5 лет назад
Tanzania mnarais wa kujivunia, ningependa kuwa mtanzania kwa utawala bora
@felistermatindi119
@felistermatindi119 4 года назад
Baba rais wangu nakupenda mpaka nasisimka, hongera baba kwa kazi nzuri
@angelinaelishachisongela7859
@angelinaelishachisongela7859 5 лет назад
Yaan hatuna la kusema zaidi ya kumshukuru MUNGU WETU
@francisgituti2494
@francisgituti2494 28 дней назад
Fantastic
@bikosi9537
@bikosi9537 5 лет назад
Magu hoyeeeee
@rezegerezege691
@rezegerezege691 3 года назад
Tunakubariki Mh. RAIS WETU JOHN POMBE MAGUFULI . TUSAIDIE SANA MKOA WA MARA .
@shukurudavid4369
@shukurudavid4369 6 лет назад
naona my colleague angu unahojiwa ahahahhha, hataree brooooo
@NicodemusMwakifwange
@NicodemusMwakifwange 2 месяца назад
Hongera kwa kumhenzi Baba wa Taifa Mwl.Julius K.Nyerere
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 4 месяца назад
Mungu akuweke pahala Pema peponi
@lisanzai8246
@lisanzai8246 6 лет назад
Mungu akubariki Sana mueshimiwa
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 2 года назад
😭😭😭🙏🙏
@suleimanramadhan6
@suleimanramadhan6 6 лет назад
Kwa hiyo hili dawati alikuwa anakaa peke yake Haya bhana penda Sana kiongozi wangu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 4 месяца назад
Mashaalah
@rajabungereza8755
@rajabungereza8755 5 лет назад
Jembe letu hilo jaman mungu atume nn
@muddyso1953
@muddyso1953 Год назад
Mwenyezi Mungu humjalie na woote waliefanya makubwa na kuacha alama kubwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu
@thomasmartinez786
@thomasmartinez786 2 года назад
Pumzika kwa amani jembe daima utakumbukwa 😭😭
@mwasitihatibu9691
@mwasitihatibu9691 6 лет назад
mashaallah
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 лет назад
Watanzania wenzangu nazidi kuwaomba tuzidi kumuombea raisi wetu kwa mwenyez MUNGU kwa imani zetu
@neemaadamu3698
@neemaadamu3698 3 месяца назад
Utakumbukwa milele
@JamalDaudlulyeho
@JamalDaudlulyeho 2 месяца назад
Huwa nikimwona magufuli inaniuma sana kwann tumempoteza
@gipsonice7gipsonice791
@gipsonice7gipsonice791 5 лет назад
Asantee
@JustusMwania
@JustusMwania 4 месяца назад
Good and important history
@SophiaMagoti-li8bc
@SophiaMagoti-li8bc Месяц назад
Sijui ndiyo ulikuwa unaianga tz 😢😢
@fredkyara.babamunguwambing482
@fredkyara.babamunguwambing482 6 лет назад
Penda sana wewe JPM. Rais wa mfano wa kuigwa Dunian
@AliBaba-zb3tg
@AliBaba-zb3tg 5 лет назад
Ushauri tu nakupa huu upendo ukimpa mama yako utafanikiwa sana kama huyu unae mpenda alipata baraka kwa mama yake akaja kukuongoza wew sasa nawe jaribu aya mapenzi utafika huku
@user-yg5xv5gq9i
@user-yg5xv5gq9i 4 месяца назад
Mungu amuweke mahala pema ,amin
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 2 месяца назад
Chema hakidumu magu ugekuwwpo saizi tungekuwambari
@raurau1015
@raurau1015 6 лет назад
Asate raising
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 лет назад
Tunaotumia Airtel Kwakweli Kazi Tunayo Hata Raisi Wetu Atumuoni Vizuri Mtandao Unazunguuka Tu Nilimuomba Wa Halotel Imefunguka Araka Tatizo MB Zimekwisha Nimerudi Kwenye Airtel Malazi Tupu Hata Raisi Wetu Kipenzi Video Zake Za Ziara Atuzioni Kwa Wakati Mpaka Utumie Halotel
@user-ec1pe9yy2h
@user-ec1pe9yy2h 3 месяца назад
Ulela kwa Amani Tutakukumbuka Milele
@onyangodominick3789
@onyangodominick3789 3 месяца назад
Huyu ndio alikua raisi wa Africa Hawa wengine mmmmmmmmm
@charznyamaresa5571
@charznyamaresa5571 6 лет назад
jamani tatua matatizo wanaogopawanatetemeka
@hassankimweri3646
@hassankimweri3646 5 лет назад
Nashindwa niseme nini
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 4 месяца назад
Eh mungu
@suzanpatrick8381
@suzanpatrick8381 6 лет назад
hahaha mwl. mkuu nayeee katumwaaaa
@clementhiddi1486
@clementhiddi1486 2 месяца назад
JPM♥♥
@saidpara7494
@saidpara7494 5 лет назад
Hapa ndipo unapogundua mtu mwenye kipawa .toka moyon
@elishangendabanyikwa3573
@elishangendabanyikwa3573 6 лет назад
Siyo yeye unayemuona huyo!, bali ni MUNGU aishiye ndani yake... Ashukuriwe MHESHIMIWA RAIS wetu JOHN MAGUFULI kwa kukubali kufanyika kuwa makao Makuu ya MUNGU... Hapana shaka kuwa UFALME wa MUNGU umo ndani yake...!!!!!
@imamuhemedi4387
@imamuhemedi4387 4 года назад
Elisha Ngendabanyikwa
@Tollykiyangakiyanga
@Tollykiyangakiyanga 2 месяца назад
...😮😮
@AllyLufunga-bh4zs
@AllyLufunga-bh4zs 4 месяца назад
Baba pumzka hatuna namna Mzee wetu tumeondoka wakati tunakuhitaji sana
@abdallahmdanga1140
@abdallahmdanga1140 4 года назад
Muheshimiwa Mungu anakuona hiyo inatosha kabisa kusema
@tatusaid1223
@tatusaid1223 5 лет назад
huyu mzee, basi tu,sina la kunena juu yake, mungu ampe maisha maleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@piushappyness226
@piushappyness226 5 лет назад
jpm Mungu akutunze baba duh
@trickytriggtz9440
@trickytriggtz9440 6 лет назад
Asante JPM
@jamesangole6330
@jamesangole6330 5 лет назад
Love to u Mr President good leadership style
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 6 лет назад
Imenigusa sana
@mcmackone1958
@mcmackone1958 5 лет назад
Nashangaa hiyo rangi ya jiwe la kumbu kumbu mbona Ccm?
@Mwasungastanley
@Mwasungastanley 3 месяца назад
Rest In Peace My lovely President J.P.M❤️❤️❤️
@ipandeipande538
@ipandeipande538 6 лет назад
vizur
@azizmunawar2026
@azizmunawar2026 5 лет назад
Kunamambo mengi hamjayaona nendeni mkaone makumbusho ya baba wa Taifa alipokuwa anaishi!!!
@mrhusseinmtitu4008
@mrhusseinmtitu4008 5 лет назад
THANKS MR PRESIDENT
Далее
JPM Alivyompigia Lukuvi Hadharani, Amkopesha MIL 1!
10:21
Shughuli nzima ya maziko ya hayati Magufuli
50:37
Просмотров 586 тыс.