Kwel hii ni ya kujifunza sana kwa wale wanawake wanaopenda maisha ya juu, bila kufikiria ,tamaa zimewajaa angalia mwanadada alivyokosa bahat, ona Rafiki yake ,alivyopata bahat yaan, dodo chin ya mwarobain
Woow mpaka ata usingizi sina nikiwatch Kevin nimvumilivu mpaka amekula makofi na bado anangangana tu wah! Ningekuwa ni mimi ningekuwa nishaaregesha kofi pia. Congratulations movie iko sawa kabisa yaani💯 kila mtu amecheza nafasi yake vizuri kabisa keep up all of you. From gulf team strong💪
Mapenzi sio magari dada kelvin ndio maana nakupenda ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹 amazing movie 🎥 😂😂😂 lovenes anataka magari na ma pesa nawe kelvin hauna pesa wala magari ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupenda sana kelvin 🫂 from 🇰🇪🎉🎉🎉🎉🥂🌷🌷🌷🌷💝💝💝
Wanake tuache tamaa ya pesa kuna wanaume wana mpenzi ya kwel alafu sisi tunawazarau san tukipenda wale wenye pesa zao kumbe wanakuja kutudanganya tu tuache tamaha ya pesa jaman Sijuwi mmenielewa mapenzi sio pesa mapenzi ni upendo kutoka moyon mmenielewa jaman wanake wenzangu 💔💔💝💖❤️🧡💛💚💙💜🤎🤍🖤🤍
Tumekuelewa ila Mimi nilimpenda mkaka moja akiwa hata hajui kuongea vzr nimembadisha Kwa Kila kitu ila ameniacha na ukumbuke hapo nilikuwa nadharauliwa na Kila mtu
Hongereni kwa stori nzuri sana ina sisimua . Wachezaji mmejitaidi sana kuvaa uhusika. Location pia cyo mbaya sana . Mwonekano mzuri kiasi stering wa mchezo yuko poa kiasi. Nafkiri kuna vitu amebaniwa vya kiubunifu sana. Dairector amejitaidi ila kuna viudambwiudambwi vimekosekana vingeleta hisia kali sana. Vyuu zime kosekana za mjini na uswazi zile kufunga na kufungua(Utambulisho wa mazingira). Tujitaidi kuonyesha mazingira yetu TZ ndo kwetu. Ila kwa yote Movie uko poa. Nimeongea kitaalamu hapo juu wahusika wa Filamu au watunzi wana elewa. Hongereni sana.🤝🤝🤝👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪.
Guyz mi nina kaswali ivi huy lovness na huy kaka masikin hii in real life ni couple au ??? maan daaaahh nimejikutaa kuwapendaa buree jamnii but nimeipenda hii movie
Movie nzuri sana, kwa sasa bongo movie imeimprove sana ,, na ipo kwenye viwango vya kimataifa, hongereni sana zidisha jitihada katika sanaa hii utatoboa br📌🇹🇿
Kenya ndo kwetu sisi lkn hata hivo napenda mipangilio mwanzo Hadi mwisho kazi safi hitifaki imezimgatiwa mapenzi yanaumiza na yule umpendae hajali Wala haoni lkn mwisho wa siku Mambo hulainika
Unatoka familia ya kitajiri Alafu unakunywa Serengeti lite ya buku jero na Pepsi ya 600 hapa kwenye set mmebugi japo story ni nzuri maula amejitahidi sana
Ooh....aysee mtafika mbali sana kiukweli Sina MDA mlefu kufahamu Chanel yenu nimetokea kuwaelewa na kunifundisha vitu vingi snaa kuhusu Maisha natamani sana. Niweze fanya Kazi nanyie lakini Ni ngumu kufika ❤❤ Nawapenda sana