Mmezingua mnamalizaje hivo movie nyieeee ujue tunawafuatilia lkn sasa naona mnaanza kuzingua alf muwe mnachange location sio kila movie hapo hapo mnapoteza radha ya movie
Muache kukosoa watu.wkt funzo lipo kuwa watu wanapata utajir kupitia kuumixa wengine hilo ndio funzo na uridhike na kidogo ulichojaliwa nacho kuliko kutaka kikubwa jaaho haramu
Chizi gan msafi mmmmh jmniiii sometimes muamgalie hapo mnaigiza huyo kaigiza Kam chizi usafi wa nn Sasa mmmmh jmniiii muangalie na mnachofanya hiyo ni move hvy anaye igiza kweny nafasi Fulani bx akubali na nafasi hy
Me sitaki koment leo ila nna ushauri jamani hii location muibadilishe maaana series zote hayo mabati lazima yaonekane huo mtaa mtafute mazingira mengine