Тёмный

KIJIJI ANAPOTOKA MPANGO WANAKIJIJI NI FULL SHANGWE “TUNASIKIA KAPANDISHWA CHEO" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 57 тыс.
50% 1

Ayo TV imefunga safari hadi katika Kijiji Cha kasumo Wilaya ya Buhigwe anapozaliwa Dkt Philip Mpango makamu wa Rais mteule, Wananchi wa Kijiji chicho ambapo Dkt Mpango kabla ya kuteuliwa kua Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania alikua ni Mbunge wa Jimbo Hilo la Buhigwe wameamua kutoa Salamu za pongezi kwa Kiongozi wao kwa kupata nafasi nyingine ya juu kuongoza Taifa na wameonyesha furaha kwa kilichotokea huku wengine wakimshukuru Mungu kwa Jambo hilo.

Опубликовано:

 

29 мар 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 145   
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 года назад
Ndiooo vijana wazee watoto wa tz wanataka mtu anayeweza kupambana na mabeberu na mafisadi MUNGU I BARIKI TANZANIA NA WATU WAKE TUEPUSHE NA HUSUDA CHUKI UONEVU IN SHAALAH MAGUFULI WAZALIWE WENGI
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 года назад
@Marco Nathanael why you comments in English why I want to know one by one please in sukuma language
@rizikiabdalla3308
@rizikiabdalla3308 3 года назад
Jaman njoo na huku zanzibar mje mtulizee wazaliwa wa kizimkazi kwao mh Rais na ss wana mkoa wa kusin unguja tunajiskiyaje yy kuwa Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania love nchi yangu Tanzania
@abubakarimchani8362
@abubakarimchani8362 3 года назад
pomoja sana Watanzani🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@jambo3751
@jambo3751 3 года назад
Wazanzibari hatushobokei. Tunaona ni kawaida tu not a big deal.
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 3 года назад
Mungu ni mwema japo Mimi kwetu Mbeya. Lakini mungu ametenda mema
@hamisisha
@hamisisha 3 года назад
Amina🙏🏽
@nkeshigomegwa1686
@nkeshigomegwa1686 3 года назад
Hakika ni Mungu tu
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 3 года назад
MILIARDO AYO UMEFANIKIWA KUFIKA HUKO MAPEMA KUTUONYESHA FURAHA YA WANABUHIGO. BIG UP KIGOMA NOW AND EVER.
@rihanawanzala4335
@rihanawanzala4335 3 года назад
Naona mpango akiwapanga vizuri ndungu watanzania vile anaongea maneno yake ya natoka moyoni kabisaa
@nyamangaking6608
@nyamangaking6608 3 года назад
Kijana anamtolea mpango unabii wa Raisi safin sana na well hivyo kwake Kwa Jima la Yesu.Amen
@mariamm2724
@mariamm2724 3 года назад
Kweli ni kijijin maan hata barabar ni shida
@salharamazansuleiman8957
@salharamazansuleiman8957 3 года назад
inapendeza kumtakia bark zakwaooo .chakusema alet.maendelo.katk.taif letu.amin
@fransgold7515
@fransgold7515 3 года назад
Yes nime pamiss nyumbani kwetu kigoma
@mosesmwakika5206
@mosesmwakika5206 3 года назад
Safi sana wananchi wanapokufurahia. Kumbe "Mpango" kwa lafudhi ya kiha ni "Mphango".
@lawmaina78
@lawmaina78 3 года назад
Lafudhi ya Waha hiyo, hongereni.
@hamisisha
@hamisisha 3 года назад
😂😂😂😂😂
@officialjaymwafricasana751
@officialjaymwafricasana751 3 года назад
Hahaaa
@marthakirahi3209
@marthakirahi3209 3 года назад
Awajali basi hata kwa barabar maana mhhhh
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Daah yani wana shangilia alaf wanakijiji wenyewe ata kula ya shida sema Mungu ambariki awa inue wananchi
@johnsonkiwia6577
@johnsonkiwia6577 3 года назад
@@sarafinampambije3750 mwananchi mwenyewe amesema wao hapo kijijini wanatoka kwenye Jjamii duni hivyo awatizame au umeweka pamba sikioni?
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 года назад
Kwani wewe UMESHIBA? Usimsahau Jirani
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 3 года назад
Hii! Ww vipi kila mtu anajua umuhimu wa mtu fulani kwa raha na taabu kwani tunavyowafurahiyaga wazazi wetu kula yetu inakuwaga wote ni ya raha?
@sarafinampambije3750
@sarafinampambije3750 3 года назад
@@jenyyusuph4973 mshangae
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 года назад
Hata km unashida kiasi gani,unaambiwa akipata mwenzio mpe hongera
@eligiusvitalis3504
@eligiusvitalis3504 3 года назад
Naona kuna Taa ya Umeme inawaka , Hahaha hiki kijiji kipo vizuri ase
@kiatu
@kiatu 3 года назад
Umeme wa REA, kila kona.
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 года назад
Mashaallah hapagazi 2👏👏
@josej9888
@josej9888 3 года назад
Hizo barabara mda c mrefu zitakuwa zarami.
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 3 года назад
Hana ujanja huo
@josej9888
@josej9888 3 года назад
@@ramadhanmwandambotuntufye5972 mda utaongea hii ndio Tanzania
@geofreyvedasto9873
@geofreyvedasto9873 3 года назад
Hana ujanja baada ya yakupita ubunge hapo meals jana tu hapokwenye pull table kwa juu alitoa pesa kwaajili yakituo chaafya kwani kituo chaafya kiko mbali nikijiji cha tatu kutoka hapo kinaitw bihari au shunga nimbali nanimilima nausafir nishida kutokana na milima hilo nijembe nakuhusu barabara alikuwa ameshaahid kuweka rami kwani huko wako na ndalichako navijiji vyao vimepakana
@eddyjuniortz2234
@eddyjuniortz2234 3 года назад
Hahahaha hiyo ni KG ,,Mwisho wa reli🤣🤣🤣
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 года назад
Hahaha waswahili bwana! Mwisho wa reli wapi- KIGOMA!!!! DUh!! Tanzania hiyo. BONGO!!!
@roi2553
@roi2553 3 года назад
Kama namuona OMY NA ALIKIBA
@ibrahimbakari6017
@ibrahimbakari6017 3 года назад
Mirlad ayo uko vzuri mpaka huko umeenda
@sabaskabonee1092
@sabaskabonee1092 3 года назад
Saanaaaa tuuuu
@abdallahantony9524
@abdallahantony9524 3 года назад
Mirad ayo ni mwamba kinoma.
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 года назад
Amen Amen 🙏
@officialsalim3955
@officialsalim3955 3 года назад
Mbona ayo hamkuja Zanzibar.. Kwa kupata Raisi
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
Yenyewe nimeisubiria saaana😁😁
@ramadhanimtetu7246
@ramadhanimtetu7246 3 года назад
Millard Vipi Mbona Hujahoji Kada Tofauti Kama Wazee , Wajasiliamali, Na Nk Umewahoji Wacheza pool tu Na Na Kidogo Wamama
@siprianopiusmakanyaga2806
@siprianopiusmakanyaga2806 3 года назад
Wahaa hatujambo 🤣🤣
@nkeshigomegwa1686
@nkeshigomegwa1686 3 года назад
Saaanaa Mungu ni mwemaa
@karimsalum7813
@karimsalum7813 3 года назад
Ayo mmebugi mngeanza kwanza Kuwaoj kwa namba moja
@simonchambo1230
@simonchambo1230 3 года назад
Waha bhna nainjoy kiswahili chao tu.
@fredialfredi202
@fredialfredi202 3 года назад
Yaaani wewe acha tu
@davidngwesa
@davidngwesa 3 года назад
Huko ni kijijini hivyo huwezi kuepuka hicho Kiswahili!
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 года назад
Hingereni kwa kumsapoti makam wa Rais
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 3 года назад
Inawahusu nn kusherehekea mpango kuwa makamu wa raisi, wabongo bwana sijui wataamka lini, lkni CIO kosa lao ni uwanakijiji
@roi2553
@roi2553 3 года назад
Wanatakia mema alafu kupata hiyo nafasi Sio suala rahc
@hamisisha
@hamisisha 3 года назад
Nafac adimu ndugu acha kurahisisha maneno yako
@jayjay4313
@jayjay4313 3 года назад
Atawakumbuka hata kwa barabara, wanakijiki hawanaga roho za kukunja. Na wanamshangilia kwa kuwa sasa atakuwa na manufaa zaidi na msaada mkubwa, kuanzia kijijini kwake mpaka wewe hapo ulipo. Haya na wewe anza kushangilia.
@dedanimakaka7645
@dedanimakaka7645 3 года назад
Acha wafurah
@petermatabwa5085
@petermatabwa5085 2 года назад
Kwan ulitaka wachukie kwa mpango kuwa makam wa rais co ukishindwa kwa chuki shinda kwa upendo
@vickyvals9729
@vickyvals9729 3 года назад
Kongole kwake Philip Mpango kwa cheo cha Makamu wa Raisi wa Tanzania. Pongezi kwenu Ndugu / dada zetu wa Tanzania , kwa Umoja wenu, na tunamushukuru Mola, kwa Kuwapa viongizi wema, wanao jali na nakupenda nchi yao pamoja na kutumikia wanainchi bila ubaguzi kwa manufaa ya nchi yenu. Mungu aendelee kuwabariki. Sisi huku Uganda, hatuna furaha wala upendo na viongozi wetu . Hatuwaombeei baraka, bali tunaomba Mungu awatuondolee . Viongozi wetu hapa Uganda ni wahalifu, wezi , wanyanganyaji , wanatuua , na hawaaminiki . Wametushikia bunduki , wanatuua , na hakuna amani yoyote kwetu. Nchi yetu iko nyuma kimaendeleo, nasi wenyewe tuko watumwa katika nchi yetu. Jameni , tuombeeni , nasi tupate viongozi mwema. Walio kuja kwetu kama wakimbizi kutoka Rwanda , tu kawasongeza , tukawafuta machozi , walipo kua wakubwa , wakashika bunduki , sasa wanatuua . Hatuna Amani , Uganda .
@davidngwesa
@davidngwesa 3 года назад
Poleni sana ndugu zetu Waganda. Mungu atawafuta machozi siku moja. Hivi, hao mnaosema kuwa ni wakimbizi kutoka Rwanda, walipewa uraia? Wanatofautiana na watu wa kabila la Bafumbira?
@levocatusgatu4295
@levocatusgatu4295 3 года назад
Wahaa tujuaneee kwa likee
@zawiajuma715
@zawiajuma715 3 года назад
Mashaallah kazi unaendelea
@sarahnyambaka5885
@sarahnyambaka5885 3 года назад
kigoma ni pale diamond ametokea ama nimesikia makosa
@hekimarichard1088
@hekimarichard1088 3 года назад
Akachepe kazi
@neemamwenda3451
@neemamwenda3451 3 года назад
🤣🤣🤣🤣kweli kufa kufaana jmn
@fransgold7515
@fransgold7515 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanaimaabdallah7825
@mwanaimaabdallah7825 3 года назад
😆😆🤣😆😆😃unaona mbali sana
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 3 года назад
Kwat sisi wasukuma ndo, hatuna jipya Tena jamani😭😭😭. Aya bwana ila mtambuka magufuri xana Yani.
@nipolive..2745
@nipolive..2745 3 года назад
Sawa tumesikia
@susanamollelkingu5814
@susanamollelkingu5814 3 года назад
Eeeeh, wamesahau nchi Ina msiba?
@mdabukomdabuko6250
@mdabukomdabuko6250 3 года назад
INAPENDEZA
@evamariadaudi5038
@evamariadaudi5038 3 года назад
Enock hujambo , Gombea ubunge naona Jimbo lipo wazi, nakuelewa siasa unaziweza.
@mohameda.i.baranyikwa6551
@mohameda.i.baranyikwa6551 3 года назад
Hakika kazi ipo kwa Rais na Makamu. Mimi hutoa machozi nionapo waTanzania wa vijiji kadha kusahaulika hadi kuishi maisha duni kuliko maisha ya wanyama wa mbugani.
@ibrahimmwalende2878
@ibrahimmwalende2878 3 года назад
Koleta nyanda ni nan kwenye millard ayo
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 года назад
Kula ale yeye nyinyi mfurahi hata mia hamtapata
@njiwapori.oursongsismedium2594
@njiwapori.oursongsismedium2594 3 года назад
Hawa nao shida
@ffaa4744
@ffaa4744 3 года назад
Hata kwetu Tanga wapo wasomi natabiri urais ujao atatokea tangaaa 😂😂😂
@tabuboone934
@tabuboone934 3 года назад
Siyo awe msomi tu awe na busara ajali mali ya uma. Wengi wamesema lkn ni wadokozi!!
@ffaa4744
@ffaa4744 3 года назад
Kwakweli 🤣🤣🤣🤣🤣
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 года назад
@@ffaa4744 halafu umwinyi upunguzwe Tanga. Mkoa wa malove davi
@ffaa4744
@ffaa4744 3 года назад
@@milomohamed7201 khaaaa 🤣😂😂😂😂 jaman 😆😆 asante sna Baba
@khadijagundumu6210
@khadijagundumu6210 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 3 года назад
Baba Levo nasikia rafdhi yako
@farajirubisi1114
@farajirubisi1114 3 года назад
mbn km mnaanza mambo ya ukabila tena ndugu na TZ hii sio sio nchi jiran....
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 3 года назад
We acha yu Yani, tunapo elekea hili taifa litakuja kugawanyika, Kama tusipo acha ukabila .
@stevenjoshua9437
@stevenjoshua9437 3 года назад
Waha shikamon 😂😂😂😂😂
@mussataliye7815
@mussataliye7815 3 года назад
Wamuhila
@babaggr2448
@babaggr2448 3 года назад
Tukipata raisi ikulu inahamia ujiji
@andrewkalyambeju2397
@andrewkalyambeju2397 3 года назад
Mfumo dune wanawake wako wapi
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 3 года назад
Mbona kama hamna chcht uko kwa mazingira yanavyoonesha?au mtu ADI awe rais ndo afanye mambo?
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 года назад
Mzee baba hicho ni kijiji, unataka kifanane na mji?
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 года назад
@@ladislausngoyinde4384 mwambie aelewe
@petermatabwa5085
@petermatabwa5085 2 года назад
Wewe kwenu pana maendeleo sawa na arusha mjini au
@abdihq4228
@abdihq4228 3 года назад
Semeni nne
@dorisrwahira7823
@dorisrwahira7823 3 года назад
Ine
@nadhirusadick7446
@nadhirusadick7446 3 года назад
Hahahaa vijana wakigoma bana!!
@khalfankhamis599
@khalfankhamis599 3 года назад
Mtajengewa nyumba mmojamoja au
@eliasjillanga3158
@eliasjillanga3158 3 года назад
Duh Viswahil kama vile shida kidgo vile
@petermatabwa4034
@petermatabwa4034 2 года назад
Sio huko tu hata usukumani na maeneo yote ya vijijini km hayo kiswahili ni shida kidogo
@novakauki5560
@novakauki5560 3 года назад
Kila kitu ni fulsa
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 3 года назад
Kwelikufa kufaana nimeamini yaleyo siyo yajana
@kazimilimadale702
@kazimilimadale702 3 года назад
Misemo ya zamani inamaana sana,kufa kufaana ni kweli kabsa wengine wanafuraiya
@alimuhamed1830
@alimuhamed1830 3 года назад
Kabisa
@reaganfame
@reaganfame 3 года назад
...maamivu ya kichwa baada ya kunywa pombe yanaitwa HANGOVER kwa kizungu na hyo inatokana na upungufu wa vitamin B,B12 na B complex Maumivu yankuw makali na yanatia uzia, wakati mwingine hata supu haifai kabsa So njia pekee ya kujinga na haya matatzo ni hii hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-DUr-EFk9JEc.html
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 3 года назад
Wanaongea kama wasukuma kabisa..au wasukuma walitokea pande hizo za kigoma??
@williamsville3493
@williamsville3493 3 года назад
Wewe ni mtanzania gani nani alikuambia wasukuma wanatokea kigoma?
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Waha wana lafudhi kama wasukuma
@ziadaonesmo5696
@ziadaonesmo5696 3 года назад
Waha hao
@williamsville3493
@williamsville3493 3 года назад
@@ilynpayne7491 Tofauti kabisa mimi nimekaa na waha miaka mingi sana lafudhi yao iko tofauti mbali mno
@davidngwesa
@davidngwesa 3 года назад
@@williamsville3493 Huyo hana sikio linalotambua lafudhi za watu!
@gophureykiluma2692
@gophureykiluma2692 3 года назад
Kuna viswahili hapa vinaongerewa hadi unabaki unacheka huku MB Zako zikiteketea
@fransgold7515
@fransgold7515 3 года назад
🤣🤣🤣👍👍
@davidngwesa
@davidngwesa 3 года назад
Hata wewe unatuchekesha wengine unapoandika 'vinaongeRewa'...ulitakiwa kuandika au kutamka 'vinaongeLewa' ndugu.
@berilyhnaji3623
@berilyhnaji3623 3 года назад
Wamelewa😜😜😜😜😜😜😜😜
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 3 года назад
Wako tungi
@chimbokiswaga8662
@chimbokiswaga8662 3 года назад
Wako tungi
@toyedward7475
@toyedward7475 3 года назад
Wanashangilia ujinga hawaa ukiwauliza kawawezesha kwa lipi hakuna mwenye majibu ya maana hapoo.
@geofreyvedasto9873
@geofreyvedasto9873 3 года назад
Usilolijua nidawa nausiku wa giza amepita ubunge mwala 2020 chakwanza Katia pesa wananchi wapate kituo cha arts unajua walivyokua wanahangaika ww hospital iko mbali nikijiji cha tatu kutoka hapo pia kwenda nimilima na usafili nimgum sana
@mohamedijuma5845
@mohamedijuma5845 3 года назад
hapo ndo chanzo cha ubaguz huyu ni makam wa rais wa nchi nzima sio kwa niaba ya Kijiji chenu araf mnashangilia nn wakat life lenyewe limekuwa ngum nyie VP yaan akili. za watanzania zimeondka na wakoloni
@mbaruokhamza4386
@mbaruokhamza4386 3 года назад
Ndo maana cc wazanzibar tunasema hii nchi yetu nyengine, kwa nchi ya zanzibar c rahic kuona mambo ayo.
@pendothomas7258
@pendothomas7258 3 года назад
Wewe ndio akili yako iliondoka na wakoloni.
@kellenalex6231
@kellenalex6231 3 года назад
@@pendothomas7258 😆😆😆😆ahsante
@fayhasani4197
@fayhasani4197 3 года назад
Furaha ya mtu Ina husiana nini na masuala ya Ukolon? Na kuna uhusiano upi kati ya mtu kumpa mtu sifia na Ujinga? Acha habal za Ushamba wa Bando;
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
💯
@rukiamahad4647
@rukiamahad4647 3 года назад
+
@princemgambwa9143
@princemgambwa9143 3 года назад
Huu ni ujinga wa kiwango cha rami yaani unashangilia kitu usicho kijua wala kuelewa maana yake na ukiwatazama hawa jamaa wamechoka ile mbaya na huyu mpango alikuwa waziri na mbunge lakini hari ya maisha yao ndiyo hiyo mnayoiona hapo niishie kusema tu sisi watz tuna matatizo vichwani mwetu
@pendothomas7258
@pendothomas7258 3 года назад
Wewe ndio una matatizo kichwani kwako
@victoriastephano4075
@victoriastephano4075 3 года назад
Wew bdo utakuw una matatinzo mboba UNAuganish watazania wote we vp me mwenyew nimefurahia alivyochaguliw maan naamin anaweza we ndo una matatinzo ya kiakili sio bure
@princemgambwa9143
@princemgambwa9143 3 года назад
@@victoriastephano4075 Hakuna jipya hapo fikiria kule kenya Obama alipoapishwa kuwa rais wa marekani watu walikesha Kenya ilizizima kwa shangwe wa kuamini neema imeingia nchini kwao leo vip nini kimefanyika Kenya kupitia obama ndiyo maana mi sema huo ni ujinga hakuna kipya hapo na kama huamini we tulia utaona mwenyewe
@kellenalex6231
@kellenalex6231 3 года назад
@@princemgambwa9143 🙆‍♀️we huoni tofauti ya kuwa raisi wa marekani na raisi wa kenya?Obama aliteuliwa kama raisi wa marekani hivyo lazima aiongoze marekani kama marekani na sio kenya, halafu kitu kingine wewe unaweza sema hawafanyi kitu kwakuwa hawakuiti uone walichokifanya, kila mtu hufanya kwa nafasi yake na namna yake ko usipende lawama zisizokuwa na ulazima
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 3 года назад
We ndo akili zako zliondoka na wakolon kama ndugu yako wa ubelgiji sabab hujui kama mpango hakuwa mbunge wa jimbo kwa miaka 5 bali wa kuteuliwa na rais
Далее
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 285 тыс.
Congo: Jungle Fever | Deadliest Journeys
50:42
Просмотров 15 млн
HISTORIA YA DKt. PHILIPO MPANGO
11:59
Просмотров 5 тыс.