Тёмный

MJENGO WA DR. MPANGO KIJIJINI UGENI ULIVYOMIMINIKA KISA PONGEZI, ASKARI KUWEKA FAMILIA ENEO SALAMA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 288 тыс.
50% 1

Kutoka kijijini Kasumo Wilayani buhigwe Kigoma kijijini kwao na Dkt Mpango Makamu wa Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nakukutanisha na Dada yake ambae hapa anaeleza jinsi wageni walivyofurika nyumbani kwa Mbunge wao kutoa pongezi lakini pia Jeshi la Polisi walifika kutazama usalama wa familia ya Dkt Mpango.

Опубликовано:

 

29 мар 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 261   
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 3 года назад
Hata dada yake mwenyewe anaonesha anabusara kama alivyo kaka yake Dk philipo mpango hii kweli familia ya wacha mungu mungu awabariki sana
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 года назад
Usikate tamaa mwamini mungu ipo siku usilolitarajia hilo ndo mungu analokupa
@amanisengele9684
@amanisengele9684 3 года назад
Mungu huwainua walio Wanyonge na kuwaketisha na wakuu naziona Nguvu za Mungu kupitia Hili 🙏🙏
@aliceokoth6810
@aliceokoth6810 3 года назад
When your sister has this confidence in you... Breath of fresh air.. The simplicity of the home... Tells you a lot about the politician... Love form +254
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 3 года назад
Mc ur caption
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 3 года назад
Lami hapo soon na wananzengo msiseme ni ufisadi siyo ni moja ya faida za utumishi mzuri kwa Taifa,big up dada mtu pia anajua kujieleza vizuri tena kwa upole
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 3 года назад
Dr Mpango asisahau pia shule la msingi aliposomea,,, Nchini Tz, sijaona majengo mabovu na chakavu kama shule hilo. It's shame:-)
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 года назад
Ongera Sana mh Mpango kweli Mungu mtamu aswaa ukimtegemea akitaka kukubariki Mungu haangali saa WALA majira wala umri ulionao anaachilia tuu maana Baraka za Mungu hazichelewi wala haziwahi ashukuriwe Mungu tunakuombea uanze salama umalizie salama🙏
@ashwramashallah7242
@ashwramashallah7242 3 года назад
Mashaallah dada ana hekima na busara..hajiskii allah akupe hifadhi..nzuri
@eddechriss2664
@eddechriss2664 3 года назад
Dada wa VP verry gd speech
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 3 года назад
Wana wa Kigoma tupo nyuma yakeeeee, tumefurahi mnoo. Hongera sana Kaka yetu.
@annevilembwa4950
@annevilembwa4950 3 года назад
Heko zangu kwake pongezi endelea kumcha Mungu ndugu.Kenya twafurahia
@dianamkita6571
@dianamkita6571 3 года назад
Hongera sana Mh.Philip Mpango..MTU Mnyenyekevu..Mungu akulinde siku zote..
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 года назад
Hongereni sana wazazi wake DR.Mpango kwa kukuza mtoto wenu kwa maadili mema.Mungu akulinde na akupe maarifa mema na zaidi sana kumcha Mungu kila wakati👏👏👏👍❤️🌞🙏🇰🇪.
@zurisana8068
@zurisana8068 3 года назад
Dk.Mipango anaonekana mcha Mungu sana Japo namwona tu kwenye TV...he seems humble person.
@henryyikobela5865
@henryyikobela5865 3 года назад
@travelstylish nurse saf
@neemakaluwa2146
@neemakaluwa2146 3 года назад
Wamakarama ya ustaarabu. Hilo zali la mental lingenipata mie mama lisinipite mweeee!!! Nusu ya dunia wangenijua🤣🤣🤣 Maana si kwa mbwembwe hizo ambazo ningetoa🙄
@Maggie-yx8pw
@Maggie-yx8pw 3 года назад
He's a humble person in deed .
@ernesthakihuinuataifa641
@ernesthakihuinuataifa641 3 года назад
Ana kaka yake ni padri pia bila shaka yuko Italia
@azizabdallah585
@azizabdallah585 3 года назад
Hongera sana Mh. Mpango kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania.....Mwenyezi Mungu Mtukufu ampe afya na maisha marefu Mzalendo huyu wa Taifa letu.
@josephihonde8125
@josephihonde8125 3 года назад
Yaani saiv naamua kumcha Mungu mazima. Dada hajazeeka mpaka saivi. Yesu nomaa
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 года назад
Ata mie jamn nianze kumcha mungu mazima kabsa bila kurudi nyuma
@josephihonde8125
@josephihonde8125 3 года назад
@@jescajulius8023 Jesca umeona ee.. Tumche Mungu maana anasema Ujana wako utarej3shwa.
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 года назад
Haya wewe shinda kesha kanisani uzee uko pale pale...
@josephihonde8125
@josephihonde8125 3 года назад
@@ezekieljacob5795 unatukatisha tamaa ee😂😂😂. We never give up
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 3 года назад
Mungu ni mwema kweli Alhamdullilah kutoka mbunge mpaka makamu wa Raisi...Tumtegemee Mungu kwa kila jambo
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 года назад
Sio mubunge tyu alikua wazili wa
@brightnesskajuna7716
@brightnesskajuna7716 3 года назад
Waziri wa fedha.
@jumamwesa6527
@jumamwesa6527 3 года назад
Alikuwa waziri wa fedha na mbunge,
@nassernajm5417
@nassernajm5417 3 года назад
Tuwache yote hayo kabla ya mawiki tu mh alikuwa marehemu mtarajiwa...!! Mungu ni muweza wa kila jambo.
@donaldtadeodontado9991
@donaldtadeodontado9991 3 года назад
Dadaa kafanana na Kaka ake hatariii Sanaa aisee hongera Dr Mpango
@mamachris6811
@mamachris6811 3 года назад
Dada hizi sifa ulizompa ni za kweli,zinaonekana wazi
@tutakusaidiakupatagari8831
@tutakusaidiakupatagari8831 3 года назад
Dada anaongea kiswahili kile cha kwenye kitabu tulichokuwa tunasoma shule ya msingi, safi sana
@mnnm1709
@mnnm1709 3 года назад
Ila tu hajui kuitamka herufi R🤔
@saumsalim9966
@saumsalim9966 3 года назад
@@mnnm1709 🤣🤣🤣🤣🤣ktoka kuwa Mbonge 🤣
@kasibalisaid7036
@kasibalisaid7036 3 года назад
Kiswahili..hamna tofauti kati ya l wala r ..Lais dalaja wazili .pongezini .sana
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 года назад
Eee cha lais
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 года назад
Jamaniii😄 comment zinafurahisha
@barnabasshemelelwa5730
@barnabasshemelelwa5730 3 года назад
Kweli kama alivyosema " MIMI NI MTOTO WA MASKINI"🤣
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 года назад
Nyumbani kwa Mpango kuna uwepo wa maadili mema ukianza na nyumba yake kawaida tu na dada yake ni Mtanzania na mwenye kuuishi Uafrika wake no mkorogo SAFI SANA NIMEBARIKIWA MUNGU AZIDI SANA KUWA NAWE MPANGO
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 года назад
Usifurahi sana bakiza ya baadae maana SSH hatabiriki asije akageuza kitabu yamkute yalomkuta Bashiru
@rukkysayid6613
@rukkysayid6613 3 года назад
Hongera zake sasa kuna mijitu akiigenga hii barabara utasikia kajifanyia maendeleo kijijini kwake walivyo na roho mbaya
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l 3 года назад
Dada unajua kujieleza vizurii ongera inaonekana famliya hii karimu wanyenyekevu Mungu awabariki pia Mungu anibariki na Mimi pia
@kimandafukitefu2999
@kimandafukitefu2999 3 года назад
Kweli huyo sio mwizi kwa nafas zake alizopitia nilitegemea ningeona ikulu ndogo hapo ila ana nyumba ya kawaida tu kama yng kweli huyu ndio mtoto wa maskini serious kabisa🙏🙏🙏🙏🙏
@ashangonyani7989
@ashangonyani7989 3 года назад
Kweli Hilo neno. Mimi mwenyewe nilijua kutakuwa na lami mpaka sebuleni kwake.Asante Yesu kwakiongozi huyu asiye fisadi
@joycembawala8781
@joycembawala8781 3 года назад
Yaan sio uongo,nyumba yake n yakawaida na hapo alikuwa waziri wa fedha iko hivyo wengne wanavyeo vidogo ila majumba yao wa wizi sio halali
@jipozeonline3983
@jipozeonline3983 3 года назад
Kwani viongozi wengi wamejenga vijijini wanamajumba mengi na makubwa kwenye miji mikubwa Tanzania na wengne hadi nje huko ila hawaweki wazi ingawa yeye anaweza akawa sio wa kujinufaisha kama wengne
@ramadhanyusuph7633
@ramadhanyusuph7633 3 года назад
Huyu ni muha anatabia zuli Sana si unaona kawajengea mjengo mzuli familia sio wa kimbiji mpaka a.........................ndipo wamjengee...................SAFI SANA MUHA MWENYE AKILI NYINGI SANA
@josej9888
@josej9888 3 года назад
Kwa hali hii mpango atakuwa na ulinzi mkali kuliko hata Rais, atachukuliwa kama Magufuli.
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Hii familia imeonekana ni wapole na upendo hata Dada ana muonekano huo alionao Philip♥️🔥🙏🙏🙏🙏
@OmegaThreads
@OmegaThreads 3 года назад
Asilimia kubwa wakigoma ni wataratibu Ila sijui babalevo na mwijaku ni wakigoma ipi??
@omarihamadumetishasanalava4725
@omarihamadumetishasanalava4725 3 года назад
Familia ya wa pole
@mosesmaiga7408
@mosesmaiga7408 3 года назад
Kweli ukiwa na Mungu uzeeki mapema hawa watu Mungu amewabariki
@kingsuleiman7201
@kingsuleiman7201 3 года назад
Uko vizuri Dada unajua kujieleza Mimi apa wa muyama.
@susanamollelkingu5814
@susanamollelkingu5814 3 года назад
Nawapenda hao wanaoruka ruka na kushangilia. Wapewe soda jamani maana Leo ndo mwisho kuingia mjengoni.
@patrickndichu3905
@patrickndichu3905 3 года назад
Ukweli yako.
@jacksonkamgisha723
@jacksonkamgisha723 3 года назад
Hahaha we suz Mungu anakuona hahaha
@alfredvida8780
@alfredvida8780 3 года назад
Hahaaaaa masaa kadhaa yajayo unapita umbali wa mita 💯
@simontamba1285
@simontamba1285 3 года назад
Kwenye Kahawa tutakoma maana waha huwa hawashindwi
@sabaskabonee1092
@sabaskabonee1092 3 года назад
Oyoooo home kabisa ayo tv umetisha sana Kwa kazi nzr
@michaelndabalinze1376
@michaelndabalinze1376 3 года назад
Ulashimye wambie wakuonyeshe nyumbani kwenu Sabas
@sabaskabonee1092
@sabaskabonee1092 3 года назад
@@michaelndabalinze1376 hahaaa ndahabhonye sowawe maana tulihamwe kabisa n.a. makamo wetu wa RAIS
@jennytugara9470
@jennytugara9470 3 года назад
Mbona Mama Samia alipokuwa makamu haya hatukuyaona na Mume tumemuona kwa Mara ya kwanza wakati anaapishwa. Alafu waandishi wetu kuna kitu kinaitwa privacy tuwe makini
@moshikilimanjaro5660
@moshikilimanjaro5660 3 года назад
Hongera sana doctor Mpango,na Makamu wa Rais , hiyo barabara muikukumbe kwa ajili ya lami. Pia " Msisahau barabara pia inayoenda kwenye mti mrefu afrika iliyoko kata ya Mbokomu,kijiji cha Tema .
@jayjay4313
@jayjay4313 3 года назад
Hhm. Hilo nalo jipya mtu wangu. Haya tufafanulie ila sijui tutapitia wapi maana sasa huo mti unaweza ukafa kwa barabara kutopitika tena na watalii wa ndani.🤣
@raymondleahrey695
@raymondleahrey695 3 года назад
Maisha yanabdilik kwel mtu unaingia. Bungeni utanska na ulinz Wa kutosha
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 года назад
Noma Sana
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 года назад
Saaana aisee
@simonfredy5383
@simonfredy5383 3 года назад
Dada maongezi yake tu inaonesha ni musomi kdogo Kuna watu wanashindwa kuongea hivi wapo kijijini uyu nimsomi kdogo
@kiatu
@kiatu 3 года назад
Basi tu kajaliwa, kuna wasomi wanashindwa kusoma yaliyoandikwa wakiwa mbele ya kamera.
@rachelbahahazo6362
@rachelbahahazo6362 3 года назад
Kiswahili Cha kwetu tunakijua huyu hajaishi Sana uko kijijini
@hildajumanne2698
@hildajumanne2698 3 года назад
@@rachelbahahazo6362 umenenaa
@hadasajoram7137
@hadasajoram7137 3 года назад
Ni nurse kasulu😍
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 года назад
Mashallah, hongera Sana kumbe MAKAMU wa Rais ni mtu wa watatu 🙏
@bakariyusufujuma
@bakariyusufujuma 3 года назад
Dah lami itafika sasa hivi hadi getini hapo
@lawistruth
@lawistruth 3 года назад
Well deserved
@musasabu6969
@musasabu6969 3 года назад
Namuombea jirani yangu mh.mpango atuletee Lami chanika
@lirastanley390
@lirastanley390 3 года назад
Lazima mfurahi sana kwakuwa ktk familia yenu amezaliwa mwanasiasa na mmoja kat ya viongozi watiifu kbs na tena anafaa kbs kuwa hata Rais hapo baadae...sina shaka na hilo...halafu dada kafanana sana na kaka yake vbaya mno
@paulmasunzu4663
@paulmasunzu4663 3 года назад
Hongera
@getitdoneright1938
@getitdoneright1938 3 года назад
Hongera sana familia
@husenimsumba8391
@husenimsumba8391 3 года назад
Huyo lazima apate baraka nanyota yake lazima iwake kwa sababu kwao hajapazarau wengi waliotoka vijijini wakifanikiwa kwao huwa wanapazarau,
@zakyahya4645
@zakyahya4645 3 года назад
Mnafanana pia hongereni
@yohanashefa5681
@yohanashefa5681 3 года назад
Dada mwenyew kasoma uyo sio kiazi
@timotheogodwin8140
@timotheogodwin8140 3 года назад
Hongera tunaimani na wewe mpango Phillip kigoma oyee ccm oye
@calolinamwandali3599
@calolinamwandali3599 3 года назад
HONGERENI SANA,NAMUNGU ATAMLINDA KWASABABU,BIBLIA INASEMA MUNGU ATAWAINUA NAKUWATAMBULISHA ALIEWACHAGUA,HONGERENI
@wiliampaulo5556
@wiliampaulo5556 3 года назад
Margret musa usiangalie nyuma daima mbeli ulimwengu unasonga mbele
@annacordune5933
@annacordune5933 3 года назад
Mimi nisimpongeze mh MPANGO Bali nampongeza mama Samia kwa kujua kuchagua yaani kwa maisha ya hapa nyumbani jamaa cy fisadi
@hadija846
@hadija846 3 года назад
Amiin🙏🏼💕💖😍
@Mabub492
@Mabub492 3 года назад
huyu dada Kama hajaolewa nipeni namba zake naweza kuwa mtu mkubwa baadae
@hermansuzan3622
@hermansuzan3622 3 года назад
😂😂😂😂
@zakiaramadhani1125
@zakiaramadhani1125 3 года назад
Ummmmh matajiri hawashiki nafasi kubwa kwani shida nini? Maskini ndo wanashika nafasi kubwa
@edsonisrael5176
@edsonisrael5176 3 года назад
LAMIII.... KALELA kupitia MUNZEZE JANDA Hadi jimboni BUHIGWE.. Kasulu -Buhigwe... BUHIGWE Hadi Muyama KWA MH
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 года назад
Kanda ya Magharibi ikainuke sasa jamani. Sio baada ya miaka.5 Mungu akijalia kanda iendelee kuwa maskini ama nyuma kimaendekeo. Hatusemi kila kitu kiende huko bali awe chachu ya maendeleo. Mkoa wa Kigoma unatosha kulisha Tanzania mafuta ya kula ( mawese). Si hivyo tu kanda hiyo sasa inao mgodi muhimu duniani yani Nickel na pengine cobalt. Nickel Alloys industry ni munimu mno. Mungu akutangulie daima Dkt Mpango.
@justerkitandala8914
@justerkitandala8914 3 года назад
Hongera Mrs Dr. Mpango Mwenyezi MUNGU Ametenda Mwujiza kupitia jina lako la MBONIMPA. MUNGU.Abariki familia yako.
@brightnesskajuna7716
@brightnesskajuna7716 3 года назад
Mbonimpa ni nini sorry?
@justerkitandala8914
@justerkitandala8914 3 года назад
MBONIMPA maana yake Ni kwamba. MWENYEZI MUNGU Ananipa.
@mansixofficialwilliam1456
@mansixofficialwilliam1456 3 года назад
Najivunia kuzaliwa Kijiji kimoja na Makamu wa Rais Dr mpango
@jescajulius8023
@jescajulius8023 3 года назад
Patabadirika apo sasa ivi,hongereni
@mansixofficialwilliam1456
@mansixofficialwilliam1456 3 года назад
@@jescajulius8023 tunaomb a mungu iwe hvo
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 3 года назад
Safii sana wengine wamejisahau wanalazimisha kubanana sehemu ambazo si kwao hlf akiaga dunia anarudishwa nyumbani pa kukaa wl kusimama wageni hakuna aibu.utaifa upo na sehemu ulipotokea na kurudia ipo.mnabaki wivu na roho mbaya tu oo kajenga kwao ulikatazwa au hn mshahara wake unaomuwezesha kujenga?roho mby ni ugonjwa.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 3 года назад
Yes!
@Ontuzu
@Ontuzu 3 года назад
Safi Sana dada badae ukafumue hizo yeboyebo Sasa usuke zingine mpendwa wangu
@marymabula9077
@marymabula9077 3 года назад
Ruth Maduhu olemhola nkoyi daaah una vituko
@prettypretty9745
@prettypretty9745 3 года назад
Sie uku kwetu Zanzibar mama Samia kachaguliwa kua Rais Ila kijijini kwao roho zimewatulia yaaaani zipo shwari kabisa 😂😂🚕 hakujajaaaa watu Wala Nini ndugi zake wanaendelea kucheza bao hapo matarumbeta mtundani..........wa zenji na shobo vitu viwili tofauti
@tabujumaa5961
@tabujumaa5961 3 года назад
Tuna xhukur
@sponsor7882
@sponsor7882 3 года назад
Tunahitaji barabara flyover haraka.
@majaliwamsigwa6206
@majaliwamsigwa6206 3 года назад
Kweli Mungu humuinua ajishushae,ajikwezae humshusha,sote tumefurahi
@shukamartine2765
@shukamartine2765 3 года назад
Number1
@godwinsokoni6069
@godwinsokoni6069 3 года назад
Mungu akubariki pamoja na mama mlitumikietaifa kwa moyo mkunjufu
@damianmakala2913
@damianmakala2913 3 года назад
Okay
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Daah hatar sana
@sarllemmtunze405
@sarllemmtunze405 3 года назад
Kumbuka Dk Mpango alifanya kazi Bank ya Dunia Miaka kadhaa Maana kuna watu tayari wanaanza kuukodolea macho kiuhusda mjengo wake.
@justinbosco8151
@justinbosco8151 2 года назад
Mungu amujarie makamu wetu tunamuona makamu Imedhihirika na mengi kingoma tunaona uangalie nahiro rakuitwa wanakingoma siyo rais kingoma hatufurahii kama tupo ichini kwetu tunaona utumwa wapererezi wakuriangaria hiri pia tunakuoba uangalie na ra uviza hatujui kama sisi wanaichi wakingoma ni rais iwe tupo mikowani tunaambiwa sisi ni warudi kingoma tunanyayaswa sana pakitokea tatizo kidongo katikakuperereza polisi wana tukadamiza sana kanakwaba sisi siyoraia tuna kutakia uongozi mwema Mungu akuride ukitaka ukweli tuma wapererezi hapa kwetu kingoma utapata ukweli wote Mungu awenawe
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 года назад
Wawa jengee barabara sasa
@jameshaule5460
@jameshaule5460 3 года назад
Mama furahia tuu ugali huo ushaongezeka kwenye familia
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Usikute ni mbele ya macho ya jamii, lakini nyumbani wala hawapendani,,,
@evancekimath7405
@evancekimath7405 3 года назад
Duh
@itaelyzabloni1089
@itaelyzabloni1089 3 года назад
Mbona ndugu zake mpango wamechoka ivi! Au ni undugu wa kuungwa na soltepu!
@dorothyannan8184
@dorothyannan8184 3 года назад
Mipango ya Mungu.
@salimsaid7200
@salimsaid7200 3 года назад
ULITAKA AJIPODOE KAMA WASANII WA KIBONGO?????
@lightrich6436
@lightrich6436 3 года назад
@@salimsaid7200 hahaha alitaka ajiedit 🤣🤣🤣🤣
@amosgerald7763
@amosgerald7763 3 года назад
Asante
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 3 года назад
Mungu atukuzwe na cc Kigoma tumeonekana buhigwa hoyeeee.......tunahitaji lami sasa
@hellenashely2167
@hellenashely2167 3 года назад
Dada anahekima huyo amejibu maswali yote kwa hekima bila hata kukoroga mungu aiongoze na kuitunza familia nzima ya makam wetu wa Tanzania
@dominicopastory7400
@dominicopastory7400 3 года назад
Hongera sana
@akidasalim3859
@akidasalim3859 3 года назад
Salama Lais talafa rekebisha lugha
@sethchupaza8599
@sethchupaza8599 3 года назад
Kigoma ni noma
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 3 года назад
Safi sana dada umeongea vizuli
@sadih5333
@sadih5333 3 года назад
Na wewe umeandika vizuli, sio vizuri.
@ignassindabaha1813
@ignassindabaha1813 3 года назад
Tunataka maendeleoo hahahaha barabara mbovu hizo.bhuhigwe ibadirike
@mbarikiwambarikiwa3988
@mbarikiwambarikiwa3988 3 года назад
Sema ahamasishe maendeleo Tz nzima na siyo Kigoma tu kwa kuwa yy ni mtumishi wa wtz wote.
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 года назад
Tuna madini tuko na kila kitu hapa Tanzania, lakini angalia maisha tunayoishi
@ezekieljacob5795
@ezekieljacob5795 3 года назад
Yako je ?? Ushafika India Wewe ?? Au upewe wembe....kama mtoto !!! Usikufuru ndugu yangu
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 3 года назад
@@ezekieljacob5795 sawa buan motivation speaker
@samsonkusupa8185
@samsonkusupa8185 3 года назад
kila la kheri mtalaam dr mpango
@veronikadalali7251
@veronikadalali7251 3 года назад
Nipen no za huyo dada
@kelvinaudax8287
@kelvinaudax8287 3 года назад
Hapo nje soon panapigwa lami
@Watema23
@Watema23 3 года назад
Sio Laisi jameni ni Rais.
@aminahassan3588
@aminahassan3588 3 года назад
Dada anajuwa kuelezea vzuri sn
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 3 года назад
Ahaa nyumba ya baba na nyumba ya mtoto Tujenge kwetu wakuu
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 3 года назад
Hayat president magufuli alikua anapinga san mtu akipandishwa cheo thn akashangilia cheo ni thamana cheo ni amana ya wanyonge lzm utendaji kazi uwepo isiwe ni kufarahia ufisad mpango ameaminiwa na rais
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 года назад
Ni kweli,kwa ss wanashangilia.wakati jukumu analopatiwa ni kubwa Sana.kutatua matatizo ya wananchi si nchezo
@agnesmpiluka7929
@agnesmpiluka7929 3 года назад
Mbona ubin tofaut kama ni dadake au nimesikia vibaya
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 3 года назад
DADA SIO LAIS NI RAIS
@ngasadere7465
@ngasadere7465 3 года назад
Nani anaweza kuwa na namba ya huyu dada
@frankmwacha8118
@frankmwacha8118 3 года назад
Mbona ya kisenge tuu
@davidnicas8431
@davidnicas8431 3 года назад
Anaongea kama Kaka yake aiseee
@annatariq5378
@annatariq5378 3 года назад
Hongeraaaa
@jacklinethomas110
@jacklinethomas110 3 года назад
Unafirai maana kibunda sikina inqia,pesa shetani kabisa
@monicamtewele9921
@monicamtewele9921 3 года назад
Kwa jinsi huyu Dada anavyo jieleza nampa ubunge
@abdallahjamaly6970
@abdallahjamaly6970 3 года назад
Wanyonge gao
@praxedadominic5193
@praxedadominic5193 3 года назад
Watani zng hawanaga dogo jmn 🤣🤣🤣 nawapenda watani
@frankgeorge9371
@frankgeorge9371 3 года назад
Dada mbona jina la bro wako na wew ni ubini tofauti 😁
@abdallahjamaly6970
@abdallahjamaly6970 3 года назад
Wanyonge hao
@zolongOne
@zolongOne 3 года назад
😂😂
@youngdira1584
@youngdira1584 3 года назад
😂🤣🤣🤣
@mmungalubunga4404
@mmungalubunga4404 3 года назад
Hakunaga mfanyasiasa mcha Mungu
@saknajumapili8282
@saknajumapili8282 3 года назад
Kg oyeeeee
Далее
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн
Копия iPhone с WildBerries
01:00
Просмотров 283 тыс.
ПОЮ НАРОДНЫЕ ПЕСНИ🪗
3:19:41
Просмотров 1,9 млн
CHUMBA MAALUM ANACHOLALA RAIS "SIMU HAIINGII"
6:33
Просмотров 428 тыс.
ALIKIBA ALIVYOMSUPRISE JAYMELODY KWENYE SHOW YAKE
3:15
HII HAPA HISTORIA YA DKT. PHILIP MPANGO
12:50
Просмотров 10 тыс.
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Просмотров 6 млн