Тёмный

Kikao Baraza la Wafanyakazi GPSA 2021 

GPSA Tanzania
Подписаться 287
Просмотров 246
50% 1

Viongozi, wajumbe na waalikwa wa Baraza la Wafanyakazi la Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) wakiimba kwa pamoja wimbo wa "Solidarity Forever" (Mshikamano daima) wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Baraza ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu Prof. Geraldine A. Rasheli pamoja na Katibu wa Baraza ndugu Stephen Muro ambaye ni mtumishi kutoka GPSA makao makuu.
Kikao hiki kilifanyika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Temeke katika mkoa wa Dar es Salaam siku ya Ijumaa 23.04.2021.
*******************************************
GPSA;Ununuzi unaozingatia thamani halisi ya fedha

Опубликовано:

 

6 май 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Я НЕ ОЖИДАЛ ЭТОГО!!! #Shorts #Глент
00:19
hangana choirs
3:46
Просмотров 17
How to win a argument
9:28
Просмотров 430 тыс.