je wajua Kilimo Cha pili pili mwendokasi kina faida kubwa?pili pili mwendo Kasi soko lake Bado liko nje nje kwani uhitaji ni mkubwa sana. karibu kwetu ujifunze Kilimo hiki Kwa nadharia na vitendo
22 ноя 2023