Тёмный

KILIO NYUMBA KUBOMOLEWA DAR KWA AMRI YA MAHAKAMA 

Daily News Digital
Подписаться 222 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

DAR ES SALAAM: FAMILIA ya Mzee Abeid iliyopo katika mtaa wa Maliki Upanga Jijini Dar es salaam leo imejikuta ikiwa katika majonzi makubwa baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kubomolewa leo kwa amri ya Mahakama.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@mamakayla6697
@mamakayla6697 21 день назад
Waziri Slaa.Mwenyezi Mungu akupe ulinzi na akubariki sana kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa wananchi kipindi chote ulipokuwa kwenye nafasi yako ya ardhi.
@alexjackson5960
@alexjackson5960 22 дня назад
Ukristo ni dini uislamu ni dini ila mungu muumba mbingu na nchi no mmoja .dunia ardhi iliisha laaniwa wamebaki watu Basi binadamu waliishaondoka.Kula rushwa danganya dhulumu utakavyo laana haikuachi mpaka kizazi cha nne watateseka maisha yote wataenda kusomewa dua wataenda kwa mitume na manabii mafuta ya upako havitafaa kitu laana iliyoletwa na babu. Tujiweke karibu na mungu ndio salama yetu kwingine kumeoza.ayubu 20.22 MJUE SANA MUNGU ILI UWE NA AMANI NA NDIVYO MEMA YATAKAVYOKUJIA.
@hafsamohamed6035
@hafsamohamed6035 22 дня назад
Poleni sana wanafamilia mungu atawastiri duniani na akhera . Mtapata haki yenu dhulma haidumu
@fetyalmas698
@fetyalmas698 22 дня назад
Jerry slaa Bora ungebakia huku jamaan 😢😢😢
@musamsangi1610
@musamsangi1610 22 дня назад
Poleni sana Allah awasimamie
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 22 дня назад
Subuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun. Allah karim. Utalipwa na Allah. Polesana mama Allah akupe subra
@labunaabouna6122
@labunaabouna6122 22 дня назад
Hatar
@HamzaMbasha-xs2ky
@HamzaMbasha-xs2ky 22 дня назад
Hivi yule waziri wa ardhi Tangu amechaguliwa amefanya nini Mbona Tangu jerr aondolewe haya mambo yamekuwa yanatokea sana.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 22 дня назад
Jerry Slaa alipambana sana na dhulma hizi
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 22 дня назад
Waziri wa Ardhi amefariki?
@shaban6644
@shaban6644 22 дня назад
Dah
@ZsbAlbarwani
@ZsbAlbarwani 22 дня назад
Jamani zulma hii kwa watu wamasikini Jamani rushwa zimezidi kwakweli 😢
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 22 дня назад
SUBHAANALLAH NAKUONA BRO NJAMA HAPO, SIJUI IMEKUWAJE TENA?!... LAA HAULA 😢
@rkcomercialenterprises3209
@rkcomercialenterprises3209 22 дня назад
Mtamkumbuka Jerry Slaa. Mafisadi wa ardhi wamerudi kwa kasi
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 22 дня назад
Jamani haki itendeke,mbona wakati mume alikuwepo kwanini wasije kuvunja, leo mnamvunjia baada ya mume kufa.Serikali iingilie kati.
@khairatsaleh2231
@khairatsaleh2231 22 дня назад
Dahh😢
@MasterPetro-oj1fd
@MasterPetro-oj1fd 21 день назад
Kwa kulitamka neno '(mama samia nakuomba,) ni sawa na maandiko yalio andika kuwa "mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikonoyake mwenyewe,,
@MohdAli-cx7bc
@MohdAli-cx7bc 21 день назад
Wakili mbobezi slaaa mama hajakutendea haki
@Marjeby
@Marjeby 22 дня назад
Huyu waziri wa ardhi wa sasa hivi ni likaza tuu na mwili wake mkubwa sijui kazi yake nn?
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 22 дня назад
Rais kamtoa slaha kuficha hayo maovu ya wakubwa😠😠😠
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 21 день назад
Ila mh ipo as siku nyinyi n Viongozi msio waadilifu mta itambua nguvu ya wananchi maana inatia uchungu na hasira embu vaa wewe Hilo joho la mama huyu Yani ndio maana muda mwingine mtu unapita boda tu shwaaa inaisha haki Iko wapi
@WRLD-qd7wi
@WRLD-qd7wi 22 дня назад
😢😢😢😢😢
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 22 дня назад
TLS mko wapi?
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 22 дня назад
NADHANI WAPO KWA WAMASAI WA KENYA HUKO NA JAMAA WALIOCHALAZWA VIRUNGU MBEYA, NACHOCHOKA NA HAO JAMAA HUWA WANATETEA MAMBO YENYE MASLAHI NA WAO KWENYE SENSITIVE ISSUES KAMA HIZI AMBAZO KWELI ZINAIGUSA JAMII YA WANYONGE MOJA KWA MOJA NA HASA KAMA HAINA MASLAHI NA WAO WALA HUWAONI KABISA... WANAKUWA KIMYA KAMA HAWAPO VILE!! SO SAD 😢😢😢
@sharifaal-masroori2238
@sharifaal-masroori2238 21 день назад
Serikali yenu wote wezi na hawajali wananchi Makosa nyie wenyewe mno ichaguwa CCM Mtadhalilishwa kila siku mpaka CCM WEZI NA MADHALIMU WAINDOKE HATA MAHAKAMA WANAKULA RUSHWA
@sharifaal-masroori2238
@sharifaal-masroori2238 21 день назад
Mtavuna mlichokipanda, mpaka mufahamu kama serikali yenu WEZI NA WAONGO
Далее
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Просмотров 454 тыс.
iPhone 16 - презентация Apple 2024
01:00
Просмотров 116 тыс.
MIAKA 13 YA MV SPICES ILIYOUA ZAIDI YA 1500
4:46
Просмотров 1,7 тыс.
Как подписать? 😂 #shorts
00:10
Просмотров 454 тыс.