Тёмный

KIMENUKA; DR.SULE ACHUKIZWA WANAOMWITA MSHIRIKINA ATOA SOMO KUBWA KUHUSU VIUMBE VYA AJABU 

Maks Media
Подписаться 134 тыс.
Просмотров 66 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

15 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 666   
@shukurually8769
@shukurually8769 Месяц назад
Kitu nilichogundua nikwamba watu hawataki mtu azungumzie uhalisia wa maisha ya binaadamu jamanai nje ya dini kunamaisha ndio kama hivo uchawi nje ya maisha sasa mnavombishia sule je uchawi hakuna? unakuwaje muislam alafu useme jini hakuna sule yupo sahihi na ukimbeza sule omba mungu yasikukute ila ukirogwa mwenyewe utaenda kwa mganga utake usitake uwo ndioukweli na kweli pesa za majini zipo mbona watu wanaishi kwenye zama izo na wanafanikiwa msitake kilakitu mlaum kwangu naona sule yupo sawa sababu hasemi kama dini ndio imeamrisha hivo
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b Месяц назад
Huuni mwisho wa DK sure kulingania uisilam AU mnaonaje like tujuwanr
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Месяц назад
Ww sio mungu kusema ni mwisho sule kutangaza dini sawa hakuna atalike ujinga kama huu unao usema chunga tumeletwa dunia kumuabudu Allah binadamu na majini na binadamu aweza mtumia jini kwa njia ya sawa soma bro
@suleim505
@suleim505 Месяц назад
mawazo ya kijinga, ndiyo unafaidika nini
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm Месяц назад
Hatutak dini na masheytwani mashekhe wapowengi wenye elim
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Месяц назад
@@OmanOma-xi3hm wataka dini na nani quran Allah kasema tumewaumba majini na binadamu kumubudu Allah sasa kama hutaki dini na majini hatukuelewi mana majini wamubudu Allah kama ww vile unavo swali nao wanaswali na kuna majini wengine wakiristo waenda kanisani hujui ww
@raymrash
@raymrash Месяц назад
@@saba-gv3mj hakuna majini wakristo....hakuna Hilo jambo kwenye biblia ni huko huko kwenu
@user-wf9tx7yj6b
@user-wf9tx7yj6b 2 месяца назад
Mzee sisi tunakupenda tunakuombea urejeye kwa Allah
@user-mr1sl6dd7g
@user-mr1sl6dd7g Месяц назад
Sule utammiliki vipi jini pasina ya kua mshirikina jibu swali????
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Месяц назад
Jini waeza miliki na usiwe mshirikina hata bin taymia alikua akitoa majini wabaya msome sheikh wenu ibn taymiyah
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 2 месяца назад
Jini humuoni unajuaje kama huyu ni mzuri na huyu ni mbaya acha kutudanganya we sio nabii suleiman
@shukurually8769
@shukurually8769 Месяц назад
Ukisoma utaelewa iyo ni kazi watu wanasomea omba mungu yasikukute ila uchawi upo na mchawi anamtumia jini
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 Месяц назад
Wasemaje kuhusu aya iliyomo ktk surat albaqarah هو الذي خلق لكم ما السموات وما في الأرض ALLAH NDIYE ALIYEKUUMBIENI VYOTE VILIVYOMO MBINGUNI NA ARDHINI. Maana yake ni kwamba vyote vimeumbwa kwa ajili ya kumnufaisha mwanadamu. Malaika huwaoni lakini wanakunufaisha, upepo huuoni lakini wakunufaisha. Sasa kwa nini jini asikunufaishe utapohitaji kumtumia?¿ Muogopeni Mungu kuattack msvyovijua. Kwani sule haogopi Jahannam mpk ajiingize kwenye ushirikina?? Anaogopa sana pengine zaidi yako, ila anaendelea kufanya hivyo kwa sababu sheria yamruhusu kutokan na utaratibu unaotakiwa. Nyinyi ndo mnaowahukumia waislam tena WANACHUONI WAKUBWA wanaabudu makaburi kisa tu eti wameenda kumuomba mungu ktk maeneo ya makaburi.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 месяца назад
Bado hajapatikana mtu sahihi wa kumuhoji. Kuna follow-up questions nyingi sana humo katikati, mtangazaji unahama na kurukia sehemu nyepesi, lakini zilikuwa sehemu nzuri za kupata ukweli zaidi wa anachokitetea. Dah!!!🤔
@habibiddy8096
@habibiddy8096 Месяц назад
Huyu janja janja nyingi hawezi kuruhusu watu sahihi kumhoji atakambilia tu kwa wasiojua wanaotafuta likes na viewers tu basi
@user-xz8mm5kt5m
@user-xz8mm5kt5m Месяц назад
Kama kuna wakati alimtaja jina huyo anayemhoji (12:12), kumbe anaitwa George, sasa unategemea mtu kama huyu anajua misingi ya shirki kulingana na uislamu?
@NMJAsaid
@NMJAsaid Месяц назад
Kwa sababu anaemuuliza hana ilimu ya kile sule anachokiongea, anahitaji aulizwe na msomi wa kiislamu. Huyu ni daktari wa wadudu
@tawfiqhamis
@tawfiqhamis Месяц назад
unatakiwa utubie kwani kujinasabisha na kuzungumzia dini ya kiisilaam hali ya kuwa unalingania katika kufru na shirki hii ni hatari na upotoshaji na haya ni matunda ya watu kuacha quruan na sunna kwa ufahamu wa wema walio tangulia mwisho wake mnawapoteza watu katka njia ya sawa allah akuongoze ewe sule
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 Месяц назад
SOMA KWANZA KISHA UTOE HUKUMU. USIHUKUMU KWA KUKARIRISHWA
@tawfiqhamis
@tawfiqhamis Месяц назад
Wee mweyewe utakujua mjinga ujui tawhiyd kama sule ndo maana unatetea uchawi na hii ni ishara kuwa uko mbali na quruan na sunna na aqual za ulamaa qadiyman wa hadiytha الله المستعان
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 часа назад
​@@tawfiqhamisKama hutaki ushirika na majini ondoka huko njoo kwa Yesu haraka achana na mafundisho potofu hayo
@hamzasuleiman9605
@hamzasuleiman9605 Месяц назад
Ama kweli ni bora mlevi wa Pemba kuliko shekhe wa Tanganyika 👐
@IbnuAlly-wm8il
@IbnuAlly-wm8il Месяц назад
Subhaana-Allah muogope Allah
@mazindamazinda4985
@mazindamazinda4985 22 дня назад
😊
@hashimmkongo3352
@hashimmkongo3352 10 дней назад
Sio kwl
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 месяца назад
Hivi waislam wenzangu hata kama hatujapata elmu ya kutosha vipi ikiwa katika maisha yetu kila mtu anatmia jini katika kutafuta kwake rizki? Namaanisha kila mmoja wetu awe na jini ambae anamtumia katika mambo yake hii dini itakuwaje ndugu zangu! Ni ushirikina ushrikina ushirikinaaaaaaaa
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 2 месяца назад
Pole sana ndugu angu Yesu anakupenda
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 месяца назад
@@charlesboniphace2249 Na mi nampenda pia kwasababu ni Mtume wa Allah ambae alimtuma kwa watu
@ibnhamduun3173
@ibnhamduun3173 Месяц назад
Kuna tafauti gani kati ya muabudu majini na wew unaemuabud mwanaume mwenzio​@@charlesboniphace2249
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 Месяц назад
Nyinyi waislamu ni washirikina
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 Месяц назад
Jini Super hili
@FadhilKassim-qj8tc
@FadhilKassim-qj8tc 2 месяца назад
Dr sule masala ya nyota pia niushirikina rasullullah amtufunza adhkar za asubuhi na jioni unakuwa strong mchana na jioni unaropokab2 huna Aya Wala Hadith
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj Месяц назад
Ahh na ukiwa baharini umepotea ukitumia nyota utakua umemshirikisha swali nijibu nijue kidogo
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@WitimaliTunduru-ho1hd
@WitimaliTunduru-ho1hd Месяц назад
Fact
@yasiniKingazi
@yasiniKingazi 2 месяца назад
Acha kulopoka jini hajaumbwa Kwa ajili ya kumilikiwa na binadamu jini ameumbwa Kwa ajili yakufanya Ibadan
@drmahwa8166
@drmahwa8166 Месяц назад
huyo jamaa anakaribia kuchizika
@drmahwa8166
@drmahwa8166 Месяц назад
kachizika huyo
@aliali-ji9ym
@aliali-ji9ym Месяц назад
Hii ndio hasara yakua mnafiq kwenye dini. Hatima yake mungu humuacha mkono na huishia vibaya
@zahranahmed4263
@zahranahmed4263 2 месяца назад
Tumuombee arejee kwa Allah anakoelekea pabaya
@shadrackgwamwanza4987
@shadrackgwamwanza4987 2 месяца назад
Ongera kwa kuona Muislamu mwenzio anavyopotea
@AbrahammamoMuda
@AbrahammamoMuda 2 месяца назад
makosa sii yake ni qurani enyewe
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 2 месяца назад
njooo kwa yesu
@BinAliy
@BinAliy 2 месяца назад
Kosa la Quran liko wapi????​@@AbrahammamoMuda
@ibnhamduun3173
@ibnhamduun3173 Месяц назад
​@@user-tz8zu2gt6u kuna tafauti gani kati ya anaemuabudu jini na anaemuabudu mwanadamu anaekula na kukidhi haja . Hatuwezi kumuamudu kiumbe mwenzetu sawa ni jini au yesu. Hamjielewi wakristo haifai kuabudu kiumbe jini au yesu
@tyronemofekeng7152
@tyronemofekeng7152 Месяц назад
Tuombeni sana mwisho mwema. Huyu bwana sikuwahi kufikiri angefikia hapa
@user-vg6gp3bz1f
@user-vg6gp3bz1f Месяц назад
Aaaamina ya Rabby 🤲
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 часа назад
Huo ndiyo mwisho wenu mwema maana ukimkataa Mungu naye anakukataa
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 2 месяца назад
Yaani unajichanganya sana mala nawatuma majini mala wengine wabaya mala huwa nawatumia majini kweli wewe mtumwa wa majini unayahubili majini kuliko. Mungu mungu wa mbinguni hutuma malaika kutusaidia hatumii majini
@mussakarata6650
@mussakarata6650 2 месяца назад
Mungu anaweza kutumia chochote akitakacho kwenda kwa mtu yoyote amtakaye na kwa mda wowote autakao sababu yey ndo kawaumba wote na hajiwekei mipaka kwenye kuwatumia ila tofaut ya malaika na binadamu ni kuwa malaika wao wapo na utiifu pekee juu ya mungu ila majini na binadamu tumepewa uhuru wa kujichagulia iwe tumuabudu mungu au tuasii. Mwishowe ktk Dunia binadam ndo kiongoz wa viumbe vya dunian so jiongez
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i Месяц назад
Ndio jini yyte anaeishi ndan ya mwili wa mwanadam uyo anamuasi Allah ,,,
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Месяц назад
Dr. Sulle yuko sahihi kabisa, mnaobisha endeleeni kubisha lakn ukweli ndiyo huo.
@SheheKhamis
@SheheKhamis 2 месяца назад
Subuhanalla Allah hamtumijini ktk utumwawakee ana majeshi yake ktk kazi zake sawa Sule sio jini yakh angelikuwa ni mtume sawa ila siyo jini kwenda kuchukua mambo ya nayokuja kweye lahi mahfzi akakuletea ww siri hiyo hiyo siuhalali bali ni ushirikina tubia sule hayo simambo mazuri bali nimambo mabaya kabisa unamzalilisha Allah na mtume wake unamzalilisha umati wake unaizalilisha dini yake
@aboudangot
@aboudangot 2 месяца назад
Iyo elim ni ndef san kbs kama hujaelew vizur dokt sule anachokisem ni sahihi kbs majin wapo wazur na wabaya kama jins balivy kuw viumbe wa allah katika wanadam ata na katika majin ni ivo ivo ,someni vizur Ila hakun sehem inaruhus kuwatumikia ,n'a ushirikina ni kumshirikish Hao kuabudu kinyum na mwenyezimung ata n'a kweny wanadam unawez kufanya shirki tuache kwa majini
@aboudangot
@aboudangot 2 месяца назад
Manak unatak kusem kuw na Nabii suleiman alikuw anafany ushirikina?? Mbon nae alikuw akiwatuma majini ten yéyé hakuw umoja lilikuw nikundi kubwa kbs
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Месяц назад
​@@aboudangotkwani nabii suleiman ni kiigizo chetu?
@nasrymashauri3559
@nasrymashauri3559 2 месяца назад
Sio kweli huo,huyo ni mshirikina tu
@barazasule9582
@barazasule9582 Месяц назад
Venye likuwa na heshimu huyu Dr,yaani sasa simuelewi anako elekea.
@salimobeid1470
@salimobeid1470 2 месяца назад
Utaftaji wa rizk kharamu huwa na fedheha nyingi sana rudi kaka angu sule katika haki na bora ufe masikini lakin si kula viapo vya majini kukupa mali
@user-em3uf8wz6r
@user-em3uf8wz6r 2 месяца назад
Acheni mitazamo ya ovyo
@mussamtupa
@mussamtupa 2 месяца назад
Pete ya Nabii sulaymani ilikua na jina la 100 la Allah.
@ibnhamduun3173
@ibnhamduun3173 Месяц назад
Acha abainishwe huyo mchawi Sule shekhe wako​@@user-em3uf8wz6r
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm Месяц назад
Anajibabaisha muongo japo kanizifi ellim anisamehe buret
@BakariSilimu-im2qv
@BakariSilimu-im2qv Месяц назад
Kwenye Qu'ran si Kuna sura inazungumzia majini
@muuibrahim1805
@muuibrahim1805 Месяц назад
Subhanallah inabidi sheikh sule aachane na hii elimu mwenyewe sasa anaongea lakini kiundani unaona anapata shida kusadiki anayoongea km ni kweli qur an imeruhusu, huwezi jua jini mmbaya na mzuri kwa sababu hawaonekani Hawa viumbe na ni waongo hatari
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..,Japo wengi wanafanya taqqiya kumpinga
@salehmohammedsalum2054
@salehmohammedsalum2054 2 месяца назад
Ushirikina upotevu
@hamisimapoch884
@hamisimapoch884 2 месяца назад
Kweli sule ni mchawii nimeani
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 Месяц назад
Umejivunjia heshima kubwa
@yusufyusuf-br5qk
@yusufyusuf-br5qk Месяц назад
Mtihan xana aisee Allah atunusuru atupe mwisho mwema yarabb
@NurudiniNdoka
@NurudiniNdoka Месяц назад
Asante kwa Elimu nyenyekevu Doctor
@abulfidaamedia
@abulfidaamedia Месяц назад
Huu ni upotevu kama ww ni mwislam kaulizie masheikh wengine au tafuta vitabu usome. Huu ni ushirikina wa wazi kabisa ndugu
@user-kr7ux2dw5l
@user-kr7ux2dw5l Месяц назад
Kweli ukitaka kujua tabia ya mtu ngoja apate viela. Na kweli mbwa ukimjua kina hakupi shida. Du hahaha ha ha 😅😅😅😅
@user-zm8nq6xv8o
@user-zm8nq6xv8o Месяц назад
Acha kiburi kubali makosa
@AbdallahOmar-bp8ij
@AbdallahOmar-bp8ij Месяц назад
Muna tumia uislamu kwa kutafuta pesaa.. Lakini muta kwenda mbele za alwa kujibu.. Ficheni makucha tu
@khanafrica22
@khanafrica22 Месяц назад
Inaandikwa. ALLAH na sio alwa......na yeye ndiye mjuzi zaidi
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@user-rg1fz7wr7p
@user-rg1fz7wr7p Месяц назад
Nabii lukman anamwambia mtoto ktk quran... Ewe mwanangu usikaribie shirki hakika shirki ni dhulma niliyokua kubwa mno mbele ya Allah
@ibrasaid9256
@ibrasaid9256 Месяц назад
Luqman si nabii lakini wanaeleza wanachuoni alikua mtu mwema lakini hakua nabii
@user-oo1fs7lp6d
@user-oo1fs7lp6d Месяц назад
Lukman hakuwa nabii na usiseme ivo ni makosa
@mwendajumbe6816
@mwendajumbe6816 2 месяца назад
Huyo sio sheh wala hana ilimu ya dini anachojua ni ushirikina na udanganyifu ila mungu atamuumbua
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 часа назад
Leo hii ndiyo unamkataa
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 Месяц назад
Thanks God Jam christian
@AnticsGG
@AnticsGG Месяц назад
whats christian can u prove christian exist stop lying to ur self
@SalmaSalmarashid
@SalmaSalmarashid 2 месяца назад
Pole Sana sheh
@ManShube
@ManShube Месяц назад
Uwongo mtupu dhwalimu
@salehekinui2975
@salehekinui2975 2 месяца назад
Hiyo siyo tafsiri ya kuwajus Majin wabaya na wazuri Tafsiri sahihi ni jini mzuri hausiki na mafungamano yoyote na wanadamu wao kwa wao watafungama kwa maisha yao Na wabaya yeyote atakayeenda kinyume na sura hiyo niliyoieleza kwa nyongeza Hawa sura kuwa ni kule kuingia kwa wanadamu na kushirikiana nao ktk mambo tofauti wacha uwongo tubu kwa Allah huo uliona wewe ni fundi tu wa kuongea mtume anasema ktk ufundi wa kuongea na kubainisha Kuna uchawi
@ewaldchambua
@ewaldchambua 2 месяца назад
Jaman tuwe ni makini na watu kamahawa mana mungu hashirikian na majin ndio maana alifukuzwa kwenye ufalume wa mungu
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 2 месяца назад
Umedanganya na umedanganywa mimi ni mkristo najua naish bila majini mm najua malaika
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 2 месяца назад
sule nakwita ndugu yng Rudi kwa Allah uislam hauko ivo majini wazur hawawezi kushirikuana na binadamu Kubali umekosea omba maghufira Hakuna muislam yeyote atakaekuelewa na Uongo wako
@alikurran150
@alikurran150 2 месяца назад
We kama unaweza kuwatumia basi oa funga ndoa na dada wa kakake jini unaemtumia Acha uongo hakuna mwenye uwezo wa kuishi na majini hiyo ilkuwa ya nabii Suleimani sio sule.Hauna uwezo huo.Uongo tu.
@roseatienoogutu7641
@roseatienoogutu7641 Месяц назад
Allah atuongoze yarrabh. tumuombeni Allah sana
@salehekinui2975
@salehekinui2975 2 месяца назад
Huyu jamaa ni mchawi Allah akuongoze
@adnaankhanbhai7057
@adnaankhanbhai7057 Месяц назад
We mshirikina mkubwa mja laana we sura kaa tundu la matako
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 2 месяца назад
Sehemu za majini kuishi n kwenye mapango ,,,,baharini labda uwe waishi nao ww ila sio sisi ,,,,tena chakula Chao utakapo kula n usema Bismillahi kama nyama kwa uwezo wa Allah jini akija atakula ila atakacho kula ww huwezi ona acha bangi bana
@user-xn3gs9qc8u
@user-xn3gs9qc8u 2 месяца назад
HUYU ANATAFUTA WATU AWATAPELI NILIKUWA NAMKUBALI KAMA SHEIKH KUMBE YUPO KINYUME NA DINI YETU YA KIISLAAM
@IbraahimSkochi
@IbraahimSkochi Месяц назад
Acha. Uchawi muogope allah ww
@badimakka0016
@badimakka0016 Месяц назад
Subhanaa Allah mwisho wa ubaya aibu.wataumbuka wingi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 месяца назад
SHIDA,ukishashirikiana na MAJINI,kisha ukaupata utajiri wa KISHIRIKINA,wanakuzidishia KIBRI,ili ufe na KUFRU zao!
@shifaaplusherbalmedicine
@shifaaplusherbalmedicine 2 месяца назад
Usifanye ghinadi weye unajua wapi shetani mzuri vyovyote muogope Allah dicta sule uo Ni ushirikiana acha kutaka sofa kujiona unajuwa Jina tokea lini akampa MTU utajiri acha ushirikiana uo
@YarmanAljahhdiry
@YarmanAljahhdiry Месяц назад
Warabi doct shule umeyakanyaga hi yote kuwa uliteleza tu katika uwaminifu baada kuamini ila insha'allah allah akuhifadhi zaid
@anwardamnan3616
@anwardamnan3616 2 месяца назад
Sule rudi kwa Allah kabla ya kifo .maisha ya dunia ni mafupi na kumbuka Allah ni mwepesi wa hisabu
@MargaretKiema
@MargaretKiema Месяц назад
Asante daktari
@abdullahijma2073
@abdullahijma2073 2 месяца назад
Huyu si ni mchawi lakini? Ni kama ana knowledge sana ya uchawi...
@Sheilahassan191
@Sheilahassan191 2 месяца назад
Umeongea vizur xna
@hamisaali8103
@hamisaali8103 2 месяца назад
Tatizo lenu wachawi wameshakufumbeni macho yaaani wao wanafanya yao
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 2 месяца назад
Hakuna jini mzuri acha uchawi. Sisi tunajua malaika na sio majini
@shawwalmsati3405
@shawwalmsati3405 Месяц назад
Kwa hiyo waipinga Quran iliyosema kunamajini wema na wabaya??? Tubu kwa Mungu kwa kukataa kilichomo kwenye maneno yake ktk surat ALJINNI
@RajabuKinyogori
@RajabuKinyogori Месяц назад
Yan doctor rejea kwa Allah unaharibu dini ya kisilamu wakiristo na baadhi ya watu watafikiria Kuwa dini ya kisilam ni dini ya majin na inatumikiwa na majin tumia akili na dalili shehe
@BisunKhalfani-hk2jy
@BisunKhalfani-hk2jy Месяц назад
Elimu ya Namba hizo sharifu teacher Alisha zisema MDA uchawi UPO
@EvanceMputa
@EvanceMputa Месяц назад
Habari broo naitwa Evans nina kesi mahakamani nadai nyumba Yangu nilianzia baraza la kata akashinda nikaenda mahakama ya wilaya akashinda nimeenda mahakama kuu jaji akafuta ushindi wake na akanambia nifugue Kesi ya kudai nyumba mahakama ya wilaya kwani wakili wangu aliitaka high court kupitia upya mauzi ya mahakama ya wilaya n
@user-nx8me3dc1r
@user-nx8me3dc1r Месяц назад
Jamani someni tafsir ya hii aya ili mujue hukmu ya kutumia jini 👉👉👉ويوم يحشرهم جميعا يا معشر الجن قد استكثرتم من الإنس وقال أوليائهم من الإنس ربنا استمتع بضعنا ببعض وبلغنا أجلنا الذي أجلت لنا قال النار مثواكم خالدين فيها /سورة الأنعام 128
@sonofmary-ro2bt
@sonofmary-ro2bt 2 месяца назад
Sule Wacha kuzunguka ww ni mshirikina TUbu uko na nfsi
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny Месяц назад
Ni mganga toka zamani alijificha kwenye kimvuli cha Dini, Wewe ndo unaelimu mdogo Sasa si mshirika wewe
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 месяца назад
Kunyamaza Ni hekma Sule, Yani utaropoka kama mtu aliolishwa usembe, Unaweza enedelea na mambo yako lakini usijinasibishe na Uislam, Wallah utadhalilika Saaana , Tazama hadi Nuru ya Uislam inakutoka
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 2 месяца назад
Uyu jamaa nilikuwa namkubari sna ila jinsi anavyojiweka kwenye shirki ananiudhunisha kw kweli yaani anaumbuka siku hadi siku😢
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 месяца назад
Majini alisema yote ni Mazuri mmmh
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 месяца назад
​@@sadathboutique6253Acha atwmbie jinsi mnavyoishi na majini
@phihirisembula
@phihirisembula 2 месяца назад
Allahu aalam😂
@hamisaali8103
@hamisaali8103 2 месяца назад
​@@trophywilson7211Hapana hakusema hivyo
@ramadhanimziray4606
@ramadhanimziray4606 Месяц назад
"Majini wabaya ni wale wanao muasi Allah" Umesema vyema sasa wewe Sheikh unawezaje kumjua asiye muasi Allah ilihali mwanadamu mwenzako tuu humjui.?
@hamiskakandilo1176
@hamiskakandilo1176 Месяц назад
Kama huo siyo ushirikina basi wanazuoni wate hawakufaham maana sahihi ya ushirikina, na kwa nini Mtume sala na salam zimfikie hajafundisha? Mche Allaah ndg yangu, hiyo ni shirki akhy.
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 Месяц назад
Tokahapo ww nimushirikina tu huwezi kuwaniji bila yakukupa mashariti ile umutiyi ww ukifanya ibada kwajili yajini uwoniwushirikina tu
@ShakimTyger-vw4ly
@ShakimTyger-vw4ly Месяц назад
W mshirikina hna elim kuzidi wengne. Akuna muumini anae muomba Allah kupitia vitu vingine. Ushirikina huo
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@AbulBarakaat-d4x
@AbulBarakaat-d4x 18 часов назад
Jibu maswali ya shekh abuu khawlah na ulete dalili kuwa huo si uchawi na sio ukafiri we shekh kichaa
@user-rg1fz7wr7p
@user-rg1fz7wr7p Месяц назад
Dr sule Allah anasamehe makosa yte ila kwa kuamini na kutubia ...... From holy quran "sikumuumba jini na binadamu isipokua kuniabudu mm" tusipingane na maandiko sahihi badilika shekh hizi mali tutaziacha apa apa.... Mali na watoto ktk dunia ni mapambo ya dunia amali zako njema ndio zitakazoenda kusimama yaamul hashir.... Hakuna kifo kinachotokana na uwezo wa jini izo ni biasbabi tu Allah ndio anapanga Sku ya mtu umauti kumfika na Allah kma hakuuandikia kufariki kwasababu ya uchawi bs utaish duniani mpk uyo anaekuroga aakaanza yy kutangulia.... Badilika shekh tusimshirikishe Allah
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@abdilahiriyami
@abdilahiriyami Месяц назад
Shehee kaakitako uaangaliee kwa umakini unacho kizungumza kukubali jambo ambaloo uliwekeaa mkazo sio chida kurudi kutubia kosa
@suleimanhemed9543
@suleimanhemed9543 Месяц назад
Mzungu kaiba teknolojia kwa mungu duuuuuuuuuuh
@abuutwalha8796
@abuutwalha8796 Месяц назад
Mtume Muhammad Swallaallaahu alayhi wasallam ndio kigezo chetu na ndio tunamfuata lini alitumia jini kwa ajili kusaidia ktika kitu fulani vita vilikua vikali hkutaka misaada Kwa majini wala katika shida yoyote hakutaka msaada kwa majini bali alitaka msaada kwa allaah pekee
@jumahamadomar9124
@jumahamadomar9124 Месяц назад
Freemason wamekuja kwa vitengo na style tofauti tofauti wengine wanakuja kama watu wa dini kumbe weeee
@user-mt4sd6cj5y
@user-mt4sd6cj5y 2 месяца назад
Kila tukiishii tuombe husnul hatima ulianza vzr sasa sheitwani ashakuteka.mchawi hana maana.mandhaladhi yashfau indauilabiidhini.....waislamu huu n msiba mkubwa ndio mana tz hamuishi mafuriko.
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w Месяц назад
Tangu sule anze kujieleza hakuna ayah wala hadithi porojo tu😂😂😂
@shifaaplusherbalmedicine
@shifaaplusherbalmedicine 2 месяца назад
Ndugu yangu tubu ila laah mrejee mola wako weye sio shehe
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 2 месяца назад
Daa kwa hiyo tukija kwako kusomewa wanachangia majini kisomotunapona mungu aniepusha kuja huko 😢😢😢
@ibnhamduun3173
@ibnhamduun3173 Месяц назад
Sio huyo tu wengi katika mashekhe wa kisufi ni washirikin na wakisemwa mnaanza kusema mawahabi kuleni chuma hicho mpaka muachane na Mashehena na mashehe ubwabw
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@ibnhamduun3173
@ibnhamduun3173 Месяц назад
Kusomesha majini na kuwatumia majini mbona ni mambo mawili tafauti tuletee aya katika Qur'an mtume alikuwa akitumia majini katika vita na mambo mengine yamsaidie​@@robertgeofrey4118
@BON357
@BON357 Месяц назад
Docita sure nimekuwerewa xana
@mattarjaiskel4625
@mattarjaiskel4625 Месяц назад
Hakuna kitu ambacho kinaweza kumlinda mtu isipokuwa Allah. Jambo la kusema nyota inakulinda ni ushirikina
@SwalehMsangi-yh3qq
@SwalehMsangi-yh3qq Месяц назад
Huyu mwenzetu kapotea
@lilmojr7
@lilmojr7 Месяц назад
Subhanallah dr sule umeacha kuhubiri ucha mungu sasa unaweka nguvu kwenye kuhubiri ushirikina na pete na majini? Allah akuongoze
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Месяц назад
Mshirikina Wewe unae Kufanya wewe ni Msomi wa Dini kumbe Mbumbumbu Mzungu wa Reli
@user-if9td5ec3i
@user-if9td5ec3i Месяц назад
Dr unasema kweli mtu akiambiwa ukweli hasiiikii paka aone twambiye mwenye kusikia asikiiye ailimiki
@myself4128
@myself4128 2 месяца назад
nakataa kwa Jina La Bwana,Siishinna Jini kamwe! Hayo maisha yenu waislamu!! Jini halizuiliki kwa Bismillahi ni Uongo mtupu sababu na jini nae anamuomba huyo huyo Allah na ni waislamu pia utawafukuzaje?bila Kristo Yesu hakuna uzima,Sisi wakristo Tunaishi na Malaika tuuu!!!!
@mohamm7khamis
@mohamm7khamis Месяц назад
Kwani yesu ni nani?
@user-ih3zu6zt6m
@user-ih3zu6zt6m 2 месяца назад
Nimeamini kuwa ukisoma sana kuruan mwisho wake itakupelekea kuwa na elimu ya kujua sana unajmu mashehe wengi km marehemu shehe Yahya ndiye aliyekuwa bigwa wa elimu hiyo
@HamadMtangi-zr4fs
@HamadMtangi-zr4fs 2 месяца назад
Nawale freemoson si wanatumia majini ni waislam wale ? acha upumbavu wew
@ZUBERIHASANI
@ZUBERIHASANI Месяц назад
Tofatisha kati ya waliozama KATIKA elimu ya kumjua Allah na mtume wake na hukumu za dini ya uislamu na WACHAWI.DR SULE NI JAAHILI HAJUI DINI HATA QUR-ANI HAJUI KUSOMA
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
​@@ZUBERIHASANIKwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao Dr.Sulle wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@ahmadmadaai1357
@ahmadmadaai1357 Месяц назад
Dokta sule umeongea point watu waa zama hz elimu zao ndogo kw hayo nabii sleman nabid ataend moton na ni mshiirikin mbn alikuw akiwatuma kw kheri
@Laizer3
@Laizer3 2 месяца назад
Unafundisha upotofu
@abalkib2866
@abalkib2866 Месяц назад
Ucjitetee kuna jini kukufata wew na kuna kumtuma haya ni maneno mawili tofauti wew umawatumia wakulinde. Huu ni ushirikina dhahir.
@khalifamahondo191
@khalifamahondo191 2 месяца назад
wewe ni Mchawi unatudhalilisha waislamu
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 2 месяца назад
Uso wake umepoteza nuru
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 Месяц назад
Sahii kabisa ..jahili huyu
@bakari52
@bakari52 Месяц назад
Sulley jiangalie vizuri, tafuta radhi za Allah. Kuna mahala ulikosea. Ulijificha muda murefu ila sasa umejidhihirisha. Nakuomba Sheikh wetu tafakari vizuri ulikosea wapi?
@mohammedshikanda7706
@mohammedshikanda7706 Месяц назад
Huyu ni mchawi na Mshirikina,,, Hasa huku kwa pete..
@user-cf9tt4vg9e
@user-cf9tt4vg9e 2 месяца назад
Wew mase unatumikia manjini ni ushetani uwo.
@ahmedsdk6736
@ahmedsdk6736 2 месяца назад
Hii dini imekamilika hatuendi kwa stori tunaenda na Qur'an na Sunnah. Mtoto wa nasoro Bacho Amekushinda hoja 😂😂
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini😅
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 месяца назад
We ni mshirikina kama washirikina wengine
@polyglot053
@polyglot053 Месяц назад
Esse sheik falou bonito
@user-fb1vw8eh9w
@user-fb1vw8eh9w Месяц назад
MUSHRIK MKUBWA WEWE!!!
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir Месяц назад
Allah keshasema وماخلقت الجن والانس الا ليعبوني
@kagalihussein1959
@kagalihussein1959 Месяц назад
Astagfirullah!Huyu bwana ni Mshirikina tu kiukweli sasa iliuijue hiyo Elimu lazima uisome na kila unazidi kusisoma hiyo Elimu ndipo unapozidi ku toka ktk Njia ya sawa!
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 Месяц назад
Kwa mujibu wa Quran Sulle Yupo sahihi..kama unataka Nijulishe nikuletee Aya Ambazo Mtume Muhammad alikuwa anazungumza na Kufanya darsa na Majini..wengi wampingao wanafanya taqqiya Ili kuwadangany a watu kuwa uislam unapinga majini
@musalumbi8490
@musalumbi8490 Месяц назад
Sule, Sule, Sule! Dua wakati wowote zafaa kuelekezwa kwa Allah. Dua inapoelekezwa kwa Allah jini hawezi kuitumikia. Hivi ni kusema kwamba dua zozote ambazo jini ndiye huzitumikia hazikuelekezwa kwa Allah bali kwa hao majini na huku ni kumshirikisha Allah, lakini walioonja utamu wa mali na mafanikio kwa kutumia majini wanajitahidi kwa hali na mali kuwaaminisha watu kwamba jambo hilo ni sawa kisheria.
@user-do7ui5wi3n
@user-do7ui5wi3n 2 месяца назад
Hamjuwi maana ya ushirikina Jini ni kiumbe na kumtumia kwa jambo ambalo anauwezo ambalo ni jema hakuna shida
@user-kr7ux2dw5l
@user-kr7ux2dw5l Месяц назад
Nilipokuwa sijasoma elimu ya dini nilimuona Shekhe mkubwa sana Afrika. Lakini nilipojifunza dini. Nikajua kwamba ktk watu waliokuwa hawaielewi dini ya uislamu mmoja wapo huyu sule. Ndugi zangu waislamu usiposoma dini yako kila mtu utamuona Shekhe lakini ukisoma ndipo utajua nani Shekhe na lipi shehena. Kwa roho safi.
@user-hm5lx8od3h
@user-hm5lx8od3h Месяц назад
We ndo shehena usio jua kitu na hujui kama majini pia ni viumbe kasome muaacje sule ana Elimu usiyo ijuwa wewe
@user-gf7zj8sx2s
@user-gf7zj8sx2s 2 месяца назад
Shindwa na uregee.mshirikina mkubwa wewe ni mchawi tu
@hamidaawadh9024
@hamidaawadh9024 2 месяца назад
Allaah Amesema nimeumba majini na binadam ili wapate kuniabudu, hakuna kingine
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 2 месяца назад
Leta aya isiwe kwa koroani lete kwa vitabu vya watu mliombiwa mjadiliane nao manaswala na wakristo,
@aminasaid6555
@aminasaid6555 Месяц назад
​@@nestarnestar4520pumba
Далее
skibidi toilet 76 (full episode)
08:11
Просмотров 8 млн
News At 10 | 19/07/2024
58:03
Просмотров 20 тыс.
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 6 млн