Тёмный

KIMENUKA HARMONIZE AMJIBU KAJALA, AFICHUA UCHAFU WOTE 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 74 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

9 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@liljon1231
@liljon1231 11 месяцев назад
Baloz Jay hapa from Kenya..mutaongea sanaa kumulaumu konde lakini kwa nn kajala asiongee mupaka yale mazuri aliyo fanyiwa...siowanaume wote wanaeza kukufanyia mazuri kama konde wengi wakikosana na mwanamuke wanamupokonya kilakitu hata simu yenye amenunua kajala shukuru ulicho pata dadangu tena muheshimu sanaaa huyo mwanaume thanks God bless you bro konde endelea kupambana na maisha yako upepo ni wako bro hawakuwezi wamebaki na bifu tu hakuna zaidi.
@marthaadammakatobemwakatob4246
@marthaadammakatobemwakatob4246 11 месяцев назад
Woote wamekuwa madem sasa maana mwanaume anakuwa na kabaa😂😂uwiii
@AngelaNicolaus
@AngelaNicolaus 11 месяцев назад
Jamn harmonize wang m nakushabikia ww saan lkn mi nkiona unatoa ayo mambo ya wakat uliopita naumia sana msanii wangu ,,,,,yaan sawa ata kama anakusema vbaya we kausha t ila Mungu atakulipa .....YAAN PLZ HARMONIZE USIFANYE HAYO MAMBO JAAAMAAN DUUHHHH CJUI ATA NKWAMBIE VP LKN ACHA BAS KONDE BASIII!! Ukifanya ivo nakwambia utakua mtu mkubwa sana zaid ya ulivyo now God bless 🎉
@hodgebukaya5112
@hodgebukaya5112 11 месяцев назад
Harmonious Ni Fisi. Na Anajiabisha Kumjibu Kajali, Mwanamme Aliekamilika Hawezi Kuisabu Vitu Alivompa Mwanamke.
@DogoMicheale
@DogoMicheale 11 месяцев назад
Hamna hakili harmonize na kajala
@sweet16honey75
@sweet16honey75 11 месяцев назад
Alitaka mwenyewe kajala Kwa Nini alimsema mwenzake
@hidayapaulo6752
@hidayapaulo6752 11 месяцев назад
Konde nakubali ngoma zako Sana ila tabia sometime unafeli usiweke Sana mambo hazaran nawanao wanakua Kaka utauponza⚠️ maisha yanabadilika kausha Dunia itakufunza Safar Bado Mwanaume haongei Sana anakifua.
@AchouNdao-uf1ud
@AchouNdao-uf1ud 11 месяцев назад
Aca asema bwana mwanaume ndo asisemi kinaco muumiza kisa nimwanaume
@katsuvakamatedaniel7893
@katsuvakamatedaniel7893 11 месяцев назад
Sasa uyu naye vipi tena?kama mwanamuke moja ivii 😢
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 11 месяцев назад
Hivi wanaume wote wangekua hivi kungekuaje duniani?😢
@IgnasKamanyi-mp4qu
@IgnasKamanyi-mp4qu 11 месяцев назад
Wamakonde ndo zao ata wolper alimfanyia ivo ushamba ty
@user-ze3mv8sx2h
@user-ze3mv8sx2h 11 месяцев назад
Jeshi ndio ashalewa hivyo sema ukweli Mzee baba😂😂
@user-gr2iw6hj1p
@user-gr2iw6hj1p 11 месяцев назад
Harmonize funguka yote kk yangu weye ni Sawa kbs Na ule kajala Na paula niwa mbaraga wote '😅😅😅😅😅😅😅Na kajala ana wivu sana kuachana Na konde boy
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 11 месяцев назад
Harmo alivoishiwa akawa anaishi kwa kajala,,kajala alimtangaza?chizi huyo kenge
@user-xl7tb9xr9t
@user-xl7tb9xr9t 11 месяцев назад
Kwanini unamfuata kaka? Bado unampenda?????
@Shany-iu8dl
@Shany-iu8dl 7 месяцев назад
HARMONIZE anaumia bado anapenda sana Kajala, please stop that crap of spoiling each other love is intolerance.
@habililailo271
@habililailo271 11 месяцев назад
Mimi nikajua harmonize anasema yey mwenyew
@MUSAELIAH-uv2ox
@MUSAELIAH-uv2ox 11 месяцев назад
Harmonize una feli una taka uludishiwe vitu vyako ya nn kusema yote hayo u binya tu mungu ana kuona
@user-wy7yq2ed9h
@user-wy7yq2ed9h 11 месяцев назад
Harmonaizi yupo sahihi mwachen asem maan ata likhajala lenyew linafoka foka hovyo halina ata shukurani
@zawadikombe7289
@zawadikombe7289 11 месяцев назад
Hakukua na haja ya kuongea vyote hivo. Harmonize hajakomaa kiakili
@norbetosolano1823
@norbetosolano1823 11 месяцев назад
Kwahiyo mnataka huyo bibi amseme kijana wa watu bila kujibu sio? Raundi hii hakuna kutia huruma mwaga mboga namwaga ugali.
@LilianAchieng-bo9xo
@LilianAchieng-bo9xo 11 месяцев назад
Hormonize bado wampenda kajala wacha maneno mengi
@bahatirobert1009
@bahatirobert1009 11 месяцев назад
Ko kama ni mwanaume ndo asiseme ,aumie tu moyoni naye ana kifua ,mwache aseme ndo anapona moyo wake jamani, mwanaume naye ana moyo
@MunyololoDorcas
@MunyololoDorcas 11 дней назад
Sema baba alikuanza yeye
@mishimohamedndeguwa6665
@mishimohamedndeguwa6665 10 месяцев назад
Kwa kweli hamonais hyo yote anyone mfanyia ilikuwa ni upendo so ilikuwa hana haja kusema Alison mfanyia kwa sababu yeye mwenyewe ndie aliye lala getini kwa kamala so tumeambiwa tenda wema wende zako isingoje mariposa konde na msapoti sana bt kama nimuungwana hakuvuliwa nguo huchuchuma siyo kusimama maoni yangu ni hayo mimi
@Shany-iu8dl
@Shany-iu8dl 7 месяцев назад
😂😂😂Murudiane mapenzi anauma muwachane na iyo mambo ya kuchafuana jamani.
@masizitony9800
@masizitony9800 11 месяцев назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ShabirBizoza-yt4ty
@ShabirBizoza-yt4ty 10 месяцев назад
@Carssimabdallah
@Carssimabdallah 11 месяцев назад
Harmonize wacha ushamba kujibizana na wanawake upuuzi huo
@AllyStonetz
@AllyStonetz 8 месяцев назад
Jesh Yuko sahihi
@TZ123_king
@TZ123_king 11 месяцев назад
watu niliokuambia kuwa Harmonize pia anajua mambo ambayo kajala sio ya kawaida pia unaona unaenda sawa baada ya wanaume kutuhumiwa lakini mwanamke pia ni sana.😂😂😂
@themicbandforeveryone19997
@themicbandforeveryone19997 11 месяцев назад
Harmonize ni Matako tu
@MunyololoDorcas
@MunyololoDorcas 11 дней назад
Sh aaaa munyabungo
@nononona7625
@nononona7625 11 месяцев назад
Harmonize alisema akilewa atasema yote I hope amelewa 🤣🤣🤣kuonde buoy jeshiii mwambie asikie vizuri lijimama hilo atafute rika lake wewe ni mtoto kwake aache kukuharibu
@user-ci5vy5sc3i
@user-ci5vy5sc3i 4 месяца назад
ivi kaandika posh au konde mwenyewe mbona nashindwa kuelewa
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 11 месяцев назад
Hii stori ina boa sasa sikilamtu afate maisha yake jamani
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 11 месяцев назад
Ndo hayo
@user-iw1wm6ug2h
@user-iw1wm6ug2h 8 месяцев назад
Konde ni mbora kwa kajala ila kajala kawa mjanja kumpita konde ndiyo tatizo
@user-hk6yf3cv1l
@user-hk6yf3cv1l 11 месяцев назад
😗😗😗😗
@evelynensanga3330
@evelynensanga3330 11 месяцев назад
😂😂mapenzi yasiku hizi dhu!
@user-ys7lo2nx4m
@user-ys7lo2nx4m 8 месяцев назад
Hizo ndo changamot za mahuxiano ko waxameheane2 maixh yaendelee
@mrrockboy9508
@mrrockboy9508 11 месяцев назад
Eti awa nivyoo au vyoo😅😅😅
@raiyasaid2866
@raiyasaid2866 11 месяцев назад
Ushamba mzigo...kuachana sio vita
@aminabakari8383
@aminabakari8383 11 месяцев назад
Kajala hakumsema Hamonize kajibu tuhuma kajibu maswali alioulizwa msizushe
@issaibrahim8796
@issaibrahim8796 11 месяцев назад
Yeah wewe ni mwelewa sana
@GeorgeEbake
@GeorgeEbake 11 месяцев назад
Uyu Jamaa bado anampenda kajala. Mbona ni Yamda mrefu haya. Kajala ni wakike tu. Asifuatane na maneno yake. Akizidi kuongea lazima kajala ajione ni mtu wa ajabu.
@user-yy5lb4vl1r
@user-yy5lb4vl1r 11 месяцев назад
Harmonize, iyo ni shamba. Mwanaume kama wewe uko na bishana na mwanamke. Iyo ni ushoga
@SadikBakary
@SadikBakary 10 дней назад
ww mwanaume achan na mamb yakike fanya mamb yako utakua lin harmonuz
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 Месяц назад
Anauzee Gani Si ilikuwa una Mlilia Mpaka Mabango Barabarani Je Kwenu Mrwara kukoje wewe ni Mwanaume ushamba
@eusilahjepkemei8881
@eusilahjepkemei8881 11 месяцев назад
Mapenzi ya siku hizi ni kujianika tu bure kabisa😂😂
@user-ny3kb6cf3s
@user-ny3kb6cf3s 7 месяцев назад
Kkkkkkk jamani
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o 11 месяцев назад
Acheee ujinga bwana hamo
@yuui1878
@yuui1878 11 месяцев назад
what😢😢😢😢
@ntegrity277
@ntegrity277 11 месяцев назад
KAJALA ni Malaya tu Wala Hana jipya KAJALA anajiuza kwa watu wengi mno na KAJALA amezeeka na Hana mvuto
@mamujoha6034
@mamujoha6034 11 месяцев назад
Lazima ampe kajala hana shukrani ata wema sepetu akuwai kuona mazuri homo pia ana moyo mwacheni aseme
@saadabakar7750
@saadabakar7750 11 месяцев назад
Huyu bwana nakumbuka alimsema na kumponda diamond ,anawaimba maex wake imekuaje😂
@user-uo6qt6rl1m
@user-uo6qt6rl1m 11 месяцев назад
Hatar jaman
@Chimamy-yg4se
@Chimamy-yg4se 11 месяцев назад
Huyo mnae muutwa konde geni kifupi namshamba kwani wakati alipokuwa anamtumia hakuona hizo kasoro zote sasa amekuja kuona wakati wameachana siku zote ukitenda wema nenda zako nasio kutangaza
@dstaroficial
@dstaroficial 11 месяцев назад
Kuna haja gan kuzungumzia mambo kama hayo kuna maana uchafu tu huo
@FredoBoy
@FredoBoy 11 месяцев назад
Harmonize anataka arudi mjini, ameona Mondi anakuja na shindo kubwa
@aminabakari8383
@aminabakari8383 11 месяцев назад
Mimi namshangaa Hamonize mwanamme ana pesa mtoto wa dini yangu mwislam anashindana ana poteza subira yake akinyamaza anakosa nini?
@hamidasaif4065
@hamidasaif4065 11 месяцев назад
Kajala nimze hukuona kwazA
@rachelnabarikiwasanananyim784
@rachelnabarikiwasanananyim784 11 месяцев назад
Harmonize uliandika hadi mabango hukujua kama ni mzee
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 11 месяцев назад
Leave him Danga
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 11 месяцев назад
Ote washenzi tu
@user-nq7sx7xm1i
@user-nq7sx7xm1i 11 месяцев назад
Mapenzi yakuiigiza yasiwatie presha
@user-po3ud2me2w
@user-po3ud2me2w 8 месяцев назад
Pore
@catherinemasiga6666
@catherinemasiga6666 11 месяцев назад
Nani alikuambia ujipendekeze kwa vyote ulivyofanya ? Ulifanya kwa kujipendekeza kwako wacha ushamba kajala hawezi kwenda kwako
@zaharaashraf9373
@zaharaashraf9373 11 месяцев назад
Aaaaa huuuu ni utoto sasa na upuuuzi sasa offf!😡😏
@catherinemasiga6666
@catherinemasiga6666 11 месяцев назад
Mwanaume hua haongei ovyo hivyo unakua kama dem kama umempata mwanamke basi tulia na huyo wacha ushamba wa kuongelea x unaonekana unaumia Mali zako
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 11 месяцев назад
Je Kajalla nae aendelee kutoa mapungufu ya Hammo itakuaje?
@user-vf9nr8gf9b
@user-vf9nr8gf9b 11 месяцев назад
unazingua konde ❤hayo yote yann achananae mama mkwe wetyu🎉
@user-uz5no9tv9z
@user-uz5no9tv9z 8 месяцев назад
Konde una akili wewe fanya yako kwanini unamfatilia kajala akili yako iko matakoni
@dstaroficial
@dstaroficial 11 месяцев назад
Machoko wote nyie
@nononona7625
@nononona7625 11 месяцев назад
Umesema kweli ndungu yetu mwanaume pia ni binadama wa kawaida lazima likimkera aseme harmonize enda ulewe zaidi ukuje useme yote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-rj7hs9dp2x
@user-rj7hs9dp2x 11 месяцев назад
Hamo kaa kimya kajala akihamsha midude yake haki tutapofuka macho🙈😆😆😆😆
@masizitony9800
@masizitony9800 11 месяцев назад
🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣🦣
@EstherMbinga
@EstherMbinga 11 месяцев назад
Aya Sasa munazidi jamani au munatakana
@Suda-dv7rz
@Suda-dv7rz 11 месяцев назад
Maneno ya mkosaji, mwanxo hakujua kama ni mzee, ushamba tu unamsumbua mungu anasema ukimsaidia mtu usitangaze
@ntegrity277
@ntegrity277 11 месяцев назад
Hizi ni habari za kijinga maana hazina maana
@kizzasadamj629
@kizzasadamj629 11 месяцев назад
Leo ndo nimeamin kwamba hata kuba ma RU-vidr wajinga au washenzi
@florentinamachange7760
@florentinamachange7760 11 месяцев назад
Wote ni wajinga
@hidayapaulo6752
@hidayapaulo6752 11 месяцев назад
Konde nakubali ngoma zako Sana ila tabia sometime unafeli usiweke Sana mambo hazaran nawanao wanakua Kaka utauponza⚠️ maisha yanabadilika kausha Dunia itakufunza Safar Bado Mwanaume haongei Sana anakifua.
@IgnasKamanyi-mp4qu
@IgnasKamanyi-mp4qu 11 месяцев назад
Wamakonde ndo zao ata wolper alimfanyia ivo ushamba ty
@MonicaAlex-nf9sl
@MonicaAlex-nf9sl 11 месяцев назад
Amonaiz bado ana anautoto .yan akikwazana na mtu anatoasiri ambazo zilikuwepo baina yao .hayo nimambo yakitoto .alafu acha zalau unaita nyumba ya mtu choo chasokoni .br usijianimini sana dogo
@martinamatho8520
@martinamatho8520 11 месяцев назад
Mwanaume jinga anacha kudanya kazi anpambana na unbea kwa Simba alivotoka maneno Leo kwa kajala m ababaishaji, Zombii ilo
@raiyasaid2866
@raiyasaid2866 11 месяцев назад
Ushamba mzigo...kuachana sio vita
Далее
D3 BMW XM LABEL Король.
31:52
Просмотров 488 тыс.
НОВАЯ ПАСХАЛКА В ЯНДЕКСЕ
00:20
Просмотров 333 тыс.
HOUSE GIRL EP 52 || love story💞💕
24:13
Просмотров 31 тыс.