Тёмный

KIMEUMANA: MSUKUMA AMVAA BASHE,MWIGULU SWALA LA SUKARI | HIVI HAMUONI AIBU | TUTASHIKANA MASHATI 

RAI TV
Подписаться 87 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

18 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@alexmatt9504
@alexmatt9504 28 дней назад
Ahsante Msukumo kwa kuwapa ukweli hao Mawaziri wawili.Kuhusu utafutaji wa vyanzo vingine vya kukusanya pesa sina uhakika kama wana huo uwezo.Na nilimsikia Mbunge Shabiby akilalamikia hivyo hivyo.Na hii issue very simple kwa nchi kubwa kama Tanzania kuna vyanzo vingi sana vya serikali kutengeneza pesa bila hata ya kuwakaba koo wananchi wa kipato cha chini ambao wanashindwa kula hata milo 3 kwa siku! Kuna vijana wengi huku mtaani hawana hata degree 1 lakini ukiwadadisi kwenye nyanja ya Uchumi unagundua wana positive economics strategy ideas!
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 Месяц назад
wanachomuadhibia Mpina ni nini kumbe anayosema Mpina ndicho wengine wanalalamika,ukiwa mkweli hukubaliki.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 28 дней назад
Musukuma hawezi kumpenda Mpina kamwe sababu ya kukamatwa kwa gari lake likiwa na samaki wachanga enzi Mpina akiwa waziri.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 28 дней назад
Naona waziri anataka watu wanywe uji na limao au ukwaju
@user-nv7kj3gl3o
@user-nv7kj3gl3o Месяц назад
Jamani sukari piya dili tuwachiyeni sukari
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 12 дней назад
Msukuma mm niliisha kusukumaga kitamboo sana ukiona wabunge wanamuandama mbunge mwingine na wewe unamuandama ukiona kisu kimerudi upande huo unatudi tena huku usituvuruge tulikupenda sana kwaasilimia 💯 lakini nimepunguza zimebaki 25 tu
@leahmagaiwa9099
@leahmagaiwa9099 4 дня назад
Msukuma bendera fata upepo. Umenitoka haswaa. Sijui utasema nini nikuelewe kwasasa
@user-yv8ww7lg1x
@user-yv8ww7lg1x Месяц назад
Watanzania tunaenyeka mafisadi wanenepe Mungu anakuja kl chozi mtalilipa wallah
@frankpeter4178
@frankpeter4178 25 дней назад
Huyu naye ninashawishika kuamini siku hizi hayuko upande wa Wananchi maana hata ishu ya Dubai alitajwa......😂
@festosimlembe6906
@festosimlembe6906 25 дней назад
Wanajua wanacho kifanya,hapo tunazungukwa tu,lengo nikupoka uhiru waviwanda wanataka kuhalalisha makampuni yao yaanze kuleta sukari maana yake viwanda vyetu vyandani vitakufa wakulima wamiwa wataacha pia kulima miwa watakosa wakumuzia
@festosimlembe6906
@festosimlembe6906 25 дней назад
Mambo ya ajabu yanajadiriwa hakuna anae wapigania wananchi wahali ya chini hapo tunadanganywa tu,kila kitu walisha jadiriana na mawaziri wote nichama kimoja,kilicho pangwa ndicho watakikamilisha hicho hocho hakuna kinacho amliwa kipya hapo.
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 28 дней назад
😊
@dismasmtui729
@dismasmtui729 Месяц назад
Waruhusu biashara ya sukari iwe huru serikali ihakikishe ubora na bei, wakati mwingine tunasema tunataka kulinda viwanda vya ndani huku tunadumaza viwanda vyenyewe.Mbona viwanda vingine vinashinda bidhaa nyingine lakini havifi bali vinatoa bidhaa nzuri kuliko hizo zinazoingizwa.Mfano TBL, Cement etc
@zully756
@zully756 Месяц назад
Wakamateni mafisadi watumishi wa umma
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 12 дней назад
Shida yenu mnataka kuvuruga soko la Tanzania ili mkuze soko la Dubai ndio maana mmemfukuza mpina lakini halitafanikiwa kama halipo kwenye mpango wa Mungu sasa kosa la MPINA lipo wapi? mmemdhalilisha mmwmbeza leo mnasema nini? hatuwaelewi
@badribilali4146
@badribilali4146 27 дней назад
Msukuma mauwa yako mzee
@user-cz7bd9tc5k
@user-cz7bd9tc5k 28 дней назад
Badala ya kujenga vinda na kuongeza Ajira Munafikiria namuna ya kuagiza sukari Dubai Jamani humo Bungeni Wote ni chumia tumbo kabaki Mpina peke yake naye Mta hakikisha Anakufa
@ludovickndaki4616
@ludovickndaki4616 29 дней назад
Siku zote alie zoea KAZI lain hajui kuumiza kichwa atakwambiatu tutabana sehem frani watatoatu dah mnatukatisha tamaa jaman
@mwakalingaamani4693
@mwakalingaamani4693 Месяц назад
Huyu jamaa ni kichwa
@cynthiamcguire1495
@cynthiamcguire1495 28 дней назад
£3 bag of sugar is an absolute rip off😢
@richardhezron2588
@richardhezron2588 29 дней назад
Watu hatushirikishani sheria kutunga sheria
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 28 дней назад
Mbona Mpina alisema ukweli,sasa wanamtuhumu kwa lipi?
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 28 дней назад
Mfanyibiashara wa karakoram alimuuliza mwiguru kuwa anapenda kamatakamta mipakani
@sembuakimbosho3319
@sembuakimbosho3319 28 дней назад
Sorry kariakoo
Далее
Жалко эту собаку 😥
0:34
Просмотров 3,5 млн