Тёмный

Kisa Cha Nahodha Wa Jahazi Na Majini /Fanya Nyiradi Hizi Kabla Kufanya Kitu/Sheikh Hashimu Rusaganya 

DARSA TV
Подписаться 98 тыс.
Просмотров 4,5 тыс.
50% 1

Kisa Cha Nahodha Wa Jahazi Na Majini / Fanya Nyiradi Hizi Kabla Kufanya Kitu /Sheikh Hashimu Rusaganya
Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Kisa Cha Nahodha Wa Jahazi Na Majini / Fanya Nyiradi Hizi Kabla Kufanya Kitu /Sheikh Hashimu Rusaganya
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
RU-vid @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Развлечения

Опубликовано:

 

19 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 6   
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 2 месяца назад
MashaAllah shkh Allah be blessed Ameen
@ur4meAnwar
@ur4meAnwar 2 месяца назад
Ustadh, Umekielewa kisa chacMfalmecna Mtume aliyechaguliwa na Mola? Je ww na yeye sawa? Pili Wuran yasema sisi hatuwaoni ila wao watuona hapa wazi wapinga aya za mola, ndugu yangu muislamu Tubu na rudi kwa Allah, usidanganye watu kwa sjili ya sinia la UGALI
@user-oz9ib8gl5y
@user-oz9ib8gl5y 2 месяца назад
Asalam alaikum, pole shekh lakini hizo story kama izo zakuelezwa sijui ni rafiki mara mwanafunzi Kwa kweli nyingi uwa nizauongo kwahiyo sivyema Kukaa msikiti kama shekh mbele ya umma wakiislam kupoteza mda kuwapotosha na maneno usiyokua nayo uhakika ata asilimia Moja, ni mbaya sana wewe umesoma vitabu vingi unayo mengi yakuzumgumza wachana na hadithi za marafiki
@MwanaKessy
@MwanaKessy 2 месяца назад
Hv unaelew ulichoandika
@mumking8985
@mumking8985 8 дней назад
Huyu hajielewi ama una chuki binafsi
@rashidmsita6588
@rashidmsita6588 2 месяца назад
Hivi visa sio vya kuzugumza Sheikh na unakubali hujasoma kwenye kitabu, Ni habari za uzushi tu, Majini ni viumbe ambao sie hatuwaoni ila wao wanatuona na hata kisa cha Mtume aliposwalisha jini akamjia maswahaba hawakuona ila ni Mtume tu alimuona na kijinga cha moto anataka mchoma akamzuia, Mtume akawasimulia maswahaba kuwa alikua napambana na jini je ni vipi leo viumbe dhaifu sisi tuone majini na maswahaba wasimuone jini? Et jini anapiga kabali😂😂😂
Далее
This or That 🛍️
00:52
Просмотров 9 млн
Украшаю чехлы 🎀
00:51
Просмотров 203 тыс.
#краснодар
0:14
Просмотров 3,6 млн