Me dr sule nakuelewa na hao wengi miongoni km ww wanajua sema wao wanatka kuficha hya mambo ili watu wasije wakapondokea huko kiujinga pc na elimu wakaungia kwenye shirki lkn kw wale wasomi hya mambo ypo na unaweza kufanya pasi na kumshirikisha allah kw maana vitu vyote vimedhalilishwa kw mwanaadamu tunatakiwa tuvitumie kw haqi pac na dhulma,kw anaekupinga eidha hajui na km anajua hajakuelewa na km kakuelewa ni ujeuri tu apinge ili ajulikane.watu wasone na kla mtu abwebwee ktk fani yake ahakikishe tu acvuke mipaka ya allah.
Wapi Aya kwa Quran au Hadithi za mtume unaruhusiwa? Usomi unayoongelea ni nje ya Quran na hadith. A true muslim only follows what's in Quran wa Sunnah.
@@mohdkhatib223 ww uliye active brain,kusoma na kuelewa hujishughulishi kz yko ni kusikiliza kw sheikh wko alfu wapinga PC na kusoma unabkia na ubishi,usisome kila kitu Ila soma sna na utajua mengi acha ubishi na kejeli pasi na elimu
Dr sule anamaarifa mengi sana ndio maana anajua vitu vingi sana mashaallaa. Na kawaida mtu anayejua vitu vingi hupingwa na watu wasio jifunza na kujua anavyovijua mwenzao. Vijana tusomeni gogo huwezi kupata kila kitu.
Leteni dalili kua Mitume Muhammad alifuga majini Kuna watu wachache wataingia (Sisi ni umma Bora yaani ummati MUHAMMAD vipi nyie hamuelewi? Wajinga nyie makufar na mushirk ) Hao Manabii wange kuwepo zama hizi wasingekua na njia nyingine isopokuwa kumfuata Mitume MUHAMMAD koo fahamuni kuwa hizo fimbo,Pete,nguvu za mejeshi, na utajiri wange usalimsha apa kwenye ubora uliotimia)
Una muombea kafiri ane mzulia Mungu uongo na mtume wake. huyu labda ni jini la ummati SULEYMAN kwa Nini asipate dalili kwe Hadith sahihi anakimbili Manabii, HAO NINYUMAT ZILIZOPITA WALA HATUTO HUSISHWA KWENYE MÀSUALA YAO, Pumbavi nyie mnae danganya wasikilizaji kasomeni kwa akili ya dini yenu nakhera yenu mtafaidika kuliko kupakia mambo ya wenzenu.
Hili tapeli kabisa Na dini halija soma Hili tapeli na shirikina Itakuwa kwa sasa hana namna ya kutapeli kupitia michango ya waislam sasa ameamua kutangaza uchawi wazi
Yani kwa mujibu wa Sule unabii unachezewa Hili jinga kweli Unabii ni wahyi na sio Pete Kwahiyo kwa visa hivi nabii alipokonywa unabii wake kwa siku 40 Sulle kasome dini acha ujinga
Na nyinyi Masjid Mtoro msitie aibu, achanani nae huyo mshirikina. Masjid Mtoro ni msikiti mkubwa na wenye historia lakini post zenu ni aibu katika uislamu.
Tahadharini na shirki alafu ziko aina nyingi ya shirki . alafu unakuta mtu anaunga mko eti huyu Sule yuko sahihi ? Dni ya Uislam inakwenda na dalili hayo mambo ya Pete za mvuto mara majini hayafayi kuyatumiya kwakutaka mali n.k...
Sisi ni ummati Muhammad si ummati nabii suleiman.tupe dalili ktk qur'aan au hadithi kuwa yafaa kuwa na pete ya mvuto au kufuga majini. Tupe dalili? Ww ni mshirikina. Na mwenye kupoteza watu.
Usimtukane mtu kw uchache wa elimu na upeo mfupi wa tafakuri yko uliyonayo ndg yng , kila kitu Mungu alichokileta dujiani kina nguvu ndani yke na kina matumiz yke ispokua matumiz yko ndio yanayoweza kubatilisha haki, elimu hii ya giza ilishushwa kule kusini mwa iraq babel na kuwafundisha waliotaka kujua lkn wakausia namna ya matumizi lkn mashetani/waovu ndio wakakufuru kw kwa kuwafundisha watu uchawi / kw hiyo maana yke waliitumia hii elimu vibaya .
hakuna cha eti watu waache matusi hapa... ukweli ni kuwa huyu sule ni mshirikina kwa kile alicho kidhihirisha yy mwenyewe bila kusingiziwa... lau asingekuwa anawalazimisha watu wachukulie kuwa hiki anacho kifunza kuwa ni ukweli basi watu wasingemfuatilia
Unasema kweli lakini wanaojuwa hawataki wengine wajuwe kwasababu wataerevyuka na hilo ndilo hawalitaki.lakini wao wajuwa unayoyasema lakini hawataki wajuwe.
Hakuna pete ya bahati. Hio ni shirki. Bahati mbaya au mzuri inatoka kwa Allah, hio ni nguzo ya sita , "wabil qadari khairihi wa sharrihi minallahi Taala" Mwenye kutegemea pete kwa bahati ame ingia katika mlango wa shirki .