Тёмный
No video :(

KISIWA CHA KIPEKEE DUNIANI ILA HAYA NDIO YANAYOTOKEA 

KTV TZ ONLINE
Подписаться 375 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #Zanzibar #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
cc: Sadia Rashid

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@ashaally6993
@ashaally6993 5 лет назад
Jamani natamani kupatembelea huko ila sina mwenyeji nimepapenda sana!!😍
@hamidbahren1650
@hamidbahren1650 5 лет назад
twenzet nitkutembez mim usjali ntfte nkaktembez
@lazoboykisaboy6212
@lazoboykisaboy6212 5 лет назад
Yaani ni pazur sana
@kassimkasi846
@kassimkasi846 2 года назад
Karibu mamyy mwenyeji ushampata ss wa znz ni wakarimu sana
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 5 лет назад
Dola tatu kidogo sana sehemu nzuri kama hiyo wangeweza kulipa hata dola 50 tena kwa masaa.lazima tujinunie mandhari yetu na kuipa thamani.09.02.19.
@carenmihayo1152
@carenmihayo1152 5 лет назад
Dallas 50 unazuju au unaongea tu kwa kip labda cha kutoa iyo hela kimfano
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 5 лет назад
@@carenmihayo1152 Hivi unajua unachokizungumza?! Hiyo pesa dola 3 bado ni ndogo sana kwa ustawi wa pato la taifa letu. Hao wazungu wakitembelea maeneo hayo wanafanya mambo mengi sana na faida wanazopata ni zaidi ya hizo dola tatu. Wanadaiv, wanafanya research mbalimbali, wanachukua video na kutengeneza documentary za kimazingira wanazitumia kibiashara na kuwaingizia mamilioni ya dola. Inasikitisha kuona mtanzania kama wewe bado unaongea kauli kama hiyo badala ya kuionea huruma nchi yako inavyonyonywa na hao wazungu namna hii.
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 5 лет назад
Serekali ya zanzibar ni doro hasa
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 лет назад
MASHAALLAH KUZURI HODIIIII MATEMWE🙄NIKUZURI SANAAAA NATAMANI NIWE HUKO NISIISHIE KUKUKUKU😐
@jumamohamed9648
@jumamohamed9648 5 лет назад
Mimi siwakubali kabisa nyinyi Zanzibar maneno mengi kuliko vitendo.
@ahmeidyoung2410
@ahmeidyoung2410 5 лет назад
Mazingira kutunzwa ni muhimu sana
@yussufhimid5676
@yussufhimid5676 5 лет назад
Hela wanazo pokea za viingilio wanafanyia nini hela ninyingi chochote kile wakitakacho wanafanya swala la sehem ya kubadilishia nguo hapo mumeongea vyamaana sana
@belgieboys9867
@belgieboys9867 5 лет назад
dola 3 kweli ni ndogo
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 5 лет назад
Na usafi muhimu
@carenmihayo1152
@carenmihayo1152 5 лет назад
Sahiv ndo mnajifanya mnazijua hela si ndyo?
@khamisame9436
@khamisame9436 5 лет назад
Natamani niende mnamba laki mda sin
@salummkubwa
@salummkubwa 5 лет назад
Ktv hakika ni fahari yetu, mumeweza ZBC waliposhindwa. Hilo suala la plastiki zikiwemo hasa chupa za plastiki liangaliwe kwa umakini zaidi kabla halijawa janga, upo uwezekano wa matumizi ya chupa za boksi kama anazohifazia juice bakhresa, ikiwa inawezekana kuhifadhia juice na maziwa ishindweje kuhifadhia maji?
@suleimanally5870
@suleimanally5870 5 лет назад
Ali dingongo njoo mm mwenyeji wako
@dulakess8928
@dulakess8928 5 лет назад
uko kisiwan huwez kwenda apo ni sehem ya kuondoka mwenda kisiwan
@abdullatifsaggaf4259
@abdullatifsaggaf4259 5 лет назад
Kisiwa cha mzungu
@kombomussakombo5225
@kombomussakombo5225 5 лет назад
Huwezi ukatenyzamlango baharin Mana majimkali tafakarin Tena mcmbrukuke?
@hamishamis9905
@hamishamis9905 5 лет назад
Wacha kigugumizi wewe
@yussufmiraji5477
@yussufmiraji5477 5 лет назад
Ww njoo tu namba yangu hii +255772945207
Далее
🎙А не СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?
3:09:39
Просмотров 1,6 млн
СМАЗАЛ ДВЕРЬ
00:31
Просмотров 188 тыс.
Raia elfu moja wa Ukraine wakwama visiwani zanzibar
3:49
UWEKEZAJI KISIWA CHA BAWE
7:10
Просмотров 14 тыс.
Hoteli mpya ya Kisiwa cha Bawe, Zanzibar
4:17
Просмотров 15 тыс.
🎙А не СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?
3:09:39
Просмотров 1,6 млн