Тёмный

#kivumbi 

Yuhai media
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 141 тыс.
50% 1

#kivumbi "MPINA ASHINDA KESI YAKE" AFUNGUKA CHADEMA WAMEMSAIDIA PAKUBWA

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 338   
@patrickymkoma3558
@patrickymkoma3558 11 дней назад
Hongera sana
@amirmahanyu740
@amirmahanyu740 11 дней назад
Hongera kaka mungu yuko pamoja nawe. Endelea kusimamia haki.❤❤❤❤🎉
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 12 дней назад
Nawakubali sana ndugu zangu Wasukuma ndo maana watu wanaishi uthubutu wa Magu SGR RIP Magu
@frankhoffa8356
@frankhoffa8356 11 дней назад
Yaani mnanikera mnapoleta umagufuri namahali ambapo wala hapahusiani hata kidogo. Huu ni ulimbukeni na uzwazwa na undezi
@abdullahmuhammadKambona
@abdullahmuhammadKambona 15 дней назад
Nilikuwa namkubali sana mweshimiwa bashe kumbe na yeye ni mwizi kama wezi wengine tu😊😊😊
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 15 дней назад
Hivi kuna Msomali mzuri?
@gracemima5234
@gracemima5234 15 дней назад
@@abdullahmuhammadKambona Tena mwizi hatari. Anaiba huku anakuchekea.
@gracemima5234
@gracemima5234 13 дней назад
@@abdullahmuhammadKambona waulize wakenya. Wameiteka Kenya imekuwa Somalia. Magendo na ufisadi vimetawala
@MmbagaMmbaga
@MmbagaMmbaga 12 дней назад
Tatizo viongozi wanashindana na wafanyabiasha duuh 😢
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 11 дней назад
Pesa ni shetani ikiwa nyingi inakubadilisha tabia na kukufanya uwe na kiburi na kujiona Mungu mtu haya ndio matokeo yake.
@user-ce9pr3zs6b
@user-ce9pr3zs6b 12 дней назад
Kanda ya ziwa kwakweli wanajipambanuwa sana kiuwongozi, tungepata viongozi 1000 tanzania kama makonda mpina msukuma nawengine wachache wanawo fanana na hawa na ndugu yangu palamagamba tanzania miyaka 15 itakuwa mbali sana kimaendelewo na kiuchumi kwa ujumla.
@JoyceKisenga-mq8tt
@JoyceKisenga-mq8tt 12 дней назад
MHESHIMIWA MPINA HONGERA SANA ENDELEA KUSIMAMIA HAKI
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 15 дней назад
Tunamshukuru Mungu sana kutupa zawadi hii ya Wazalendo wataalamu wa sheria wote chini ya Rais wetu wa TLS kusimama na Luhaga Mpina-mbunge wa watanzania wote pale jimbo la kisesa aliyeamua kuasi wana haramu na kuja kwetu tunao kandamizwa na watawala wabinafsi,walafi,wenye tamaa. Mungu ibariki Tanganyika.
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 14 дней назад
Hongera wasukuma kwa uza uzalendo Msomali si mzalendo kabisa afukuzwe
@danielmwampeta3338
@danielmwampeta3338 15 дней назад
Hongera sana Mpina kwa kutetea Haki. Hakika HESHIMA YA MTU HAIPO KWENYE MALI BALI KUTENDA HAKI
@Salmahilali-l4o
@Salmahilali-l4o 16 дней назад
Mpina uko vzr sana,pambana baba na mungu yuko pamoja na ww.
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 15 дней назад
Yupo vizuri kwenye nn ?
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 15 дней назад
Ungelikuwa na D2 ungejua
@AgaelJoackim
@AgaelJoackim 15 дней назад
​@@HenryCastuli-jz3cxachana nae huyo pengine anakurupuka
@amosmwakalundwa3031
@amosmwakalundwa3031 8 дней назад
Acha ku kalili Misemo tumia akili yako wenye D ndo hawajitambui uko advance
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 16 дней назад
WASUKUMA SALUTT MUNGU AWABALIKI
@benshark3212
@benshark3212 15 дней назад
Awabariki✔️ Awabaliki❌
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 15 дней назад
Katiba KWANZA ndoo itapunguza ugumu w maisha serikali ipunguze Tozo petroleum sukar matbab juu maisha magumu
@judicalosika7642
@judicalosika7642 15 дней назад
​@@HamisMghuna-fj3vzhata benki wanatoza!!! Yaani fedha unakatwa PAYE dado tena uki-withdraw wanakata tena. Madini, Utaliii fedha zake siku.hizi zinakwenda wapi!!?
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 15 дней назад
Saf sana mpina mungu akutanguliee umeonyesha uzalendo wa kweli
@ramadhanimmana3829
@ramadhanimmana3829 12 дней назад
Hongera saana mpina
@MichaelPaulo-i7m
@MichaelPaulo-i7m 15 дней назад
Safi sana Mpina, TANZANIA KWANZA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 13 дней назад
Safi San mweshimiwa mpina
@JenipherCharles-z2j
@JenipherCharles-z2j 12 дней назад
Mwabukusi nakukubari sana mungu ukulinde
@aboubakarali1700
@aboubakarali1700 15 дней назад
Mpina is the Champions.
@shaamemchauru1365
@shaamemchauru1365 13 дней назад
SAFI SANA MR LUHAGA MPINA👍👍👍👍👍🙏🙏🙏
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 15 дней назад
Mungu niwewetu utakae simamia kesihii tusaidie sisi watanganyika mana kesi hii niyetu sisi watanganyika ila inasimamiwa na mpina ikiongozwa na mawakili wazalendo mungu saidia tuwadhinde Hawa mafisadi
@SadiadJosephMwakaniemba-xe6mx
@SadiadJosephMwakaniemba-xe6mx 13 дней назад
Mpina karibu chadema kamanda
@amanimakombe7141
@amanimakombe7141 15 дней назад
Mpina 💪💪💪💪
@mussamatondo-w3h
@mussamatondo-w3h 14 дней назад
Mpina hongera sana tumechoka iv spika wa bunge amesoma sheria au aliamua kama kujiona yuko juu zaid ya mpina asituhalibie viongoz tuliwatuma kutuwakilisha,ebu mnatakiwa mkubali kuna watu wamepewa kibali cha uongozi na mungu na mungu
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 12 дней назад
Spika hamna hapo
@abdalahasuman8740
@abdalahasuman8740 15 дней назад
Viongozi wenye moyo kama wako wapo wachache mpina mungu akutangulie
@frenktarimo4703
@frenktarimo4703 15 дней назад
Bashee mast go
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 13 дней назад
Walikuzomea sana mpina ukuwa na mtetezi pole san
@LemaliMeyasi-r4c
@LemaliMeyasi-r4c 15 дней назад
Bora mungu akubariki
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 15 дней назад
Safi sana mimi nakutakia mafanikio makubwa Mpina
@alexmahenge3817
@alexmahenge3817 15 дней назад
JAMANI TUWE WAKWELI WASUKUMA NI WATU JAMANI NAWAKUBALI MAZIMA HAWA WATU WANAFAA SAANA KUA VIONGOZI WA TAIFA HILI. WANA UTU MNOOOOOO
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 15 дней назад
Ningeweza kuwekwa like Sita
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 15 дней назад
Hamna kutu
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 15 дней назад
​@@yosephatMasanyiwa-oh1rlila wazanzibar eee
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 15 дней назад
Katika wasukuma mia ni95 wanafaakuongoza watu niwa5 hawafai ,,katika wakwele mia ni95 hawafaikuongoza watu katika wabena mia 70 wanafaa katika makabila mengi 50 kwa 50
@TegemeaFutemakatifu
@TegemeaFutemakatifu 12 дней назад
Ni sahihi Lakini sio wote, Mf angalia Tulia na Mwabukusi wote wanyakyusa Lakini Tulia anachumia Tumbo Mwabukusi amejitolea kutetea haki
@EricUbalijoro-x1l
@EricUbalijoro-x1l 15 дней назад
Mpina wewe ni mzalendo wa kweli tena ni shujaa Mungu akulinde
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga 13 дней назад
Safi mpina na uyo waziri wa fedha atoke ana masibi ester
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 13 дней назад
Uadui wa Mpina ni wakiwango cha hali ya juu sana...
@SkaleJorde
@SkaleJorde 13 дней назад
Mpina keep on moving.
@airlights
@airlights 12 дней назад
Mwabukusi the great.......
@babawawiltegamaso4367
@babawawiltegamaso4367 15 дней назад
mungu awasaidie sana nchi hii inaviongozi wasiokua na hofu na mungu wanaangalia masilahi yao tu mpina mungu akubaliki sana
@gracemima5234
@gracemima5234 16 дней назад
Hongera sana Mpina. Tungekuwa na wabunge wengi kama wewe, Tanzania ingesonga mbele. Watanzanis tunao elewa tuko nyuma yako. Tunafuatilia kesi hii kesi hii kwa makini. Tanzania ni mali ya watsnzania wote. Mateso haya yanatokana na watanzani wengi wasioelewa ikiwa pamoja na wabunge wanao fikili CCM ni kubwa kushinda Tanzania. Wameikabidhi nchi kwa vyama vya siasa. Mali za Tanzania ni za watanzania wote na sio za vyama. Elimu yetu inatutesa ni kama bado nchi iko chini ya ukoloni. Woga umetujaa tunaishi kwenye nchi yetu kama wakimbizi kwa viongozi wetu kutuona mabwege
@eliabbanyikwa8716
@eliabbanyikwa8716 16 дней назад
Heshima kwako Mpina haijalishi wewe ni upande tofauti na mimi lkn kwa maslahi ya Taifa nakupa maua yako,hongera sana Jopo la mawakili kwa masilahi ya Taifa
@lgf7297
@lgf7297 12 дней назад
Yuda Iskarioti akihutubia Baraza la Hedrine
@gracemima5234
@gracemima5234 16 дней назад
BASHE must go
@KishaKisha-ux4ul
@KishaKisha-ux4ul 15 дней назад
Mama umeliona Hilo. Mh ana uchungu na wananchi wake. Wabunge tunaotaka ni wale watakaochaguliwa na wananchi.
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 15 дней назад
Daaah!...ndani Kwa ndani sasa ngoma inachezwa
@sophiaamnaay9726
@sophiaamnaay9726 15 дней назад
Asante Mungu wetu kwa kupambana na maadui wa Watanzania wanyonge na masikini.
@johnyosia7342
@johnyosia7342 15 дней назад
Mungu hawezi kuwatupa maskini mbalikiwe Sana mtalipwa na mungu
@alfredbee7967
@alfredbee7967 16 дней назад
Asante mpina umesimama ktk Mungu na kwel
@PototMetui
@PototMetui 16 дней назад
@cassianyapesa5406
@cassianyapesa5406 15 дней назад
Mzee wetu wa sumbawanga mzee Mzindakaya nimemkumbuka sana jembe
@MehmetMtonga
@MehmetMtonga 13 дней назад
Mh makonda arisema wapo wanao mtukana mama wapo
@KishaKisha-ux4ul
@KishaKisha-ux4ul 15 дней назад
Unaongea ukweli Mh. Mungu atakusimamia Kwa Kila jambo
@ChinarChilemeji
@ChinarChilemeji 16 дней назад
Pambania taifa na jamii kamanda mpina
@spaitermwansasu5167
@spaitermwansasu5167 15 дней назад
The year of our RIGHTEOUSNESS
@usafiaps318
@usafiaps318 15 дней назад
Hawa Wezi Washughulikiwe Kwelikweli. Keep On We Want Our Tanganyika Back.
@richardnganya2311
@richardnganya2311 15 дней назад
Hakuna wa kuwashughulikia kwa Katiba hii ...
@usafiaps318
@usafiaps318 15 дней назад
@@richardnganya2311 Basi Idaiwe Kwa Nguvu Ya Uma.Maadamu Tunaweza Kuandamana.
@KijibaHaji
@KijibaHaji 14 дней назад
😂😂😂
@FarianManase
@FarianManase 16 дней назад
Busokelo tunakusubili
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 16 дней назад
Mama alitukana Mukenda stupid pole Mukenda ukanywea na kuhamishwa wizara. Hongera sana Mpina kutojali masurufu ya ubunge ukajitolea muhanga kwa ajili ya sisi wanainchi masikini. Pamoja na umasikini wetu mtuambie michango inawekwa kwenye Account ipi au namba ya simu ili tuwachangie. Haba na haba ujaza kibaba
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 15 дней назад
Taratibuuu Mpunda anauteke umma wa Tanzania
@Mjulius-27
@Mjulius-27 16 дней назад
Bashe amekaa kihuni-huni sana
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 15 дней назад
Huyu Bashe alitakiwa awe gerezani kwa makosa aliyoyafanya.
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 15 дней назад
Muhuni baba Yako.
@humphreymkony8915
@humphreymkony8915 15 дней назад
@@mansooralaisri5200 wewe kibaka tu watanganyika!
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 16 дней назад
kuna watu wapo madarakani kujilimbikizia mali hawajui wajibu wao. Mpina hongera sana wewe ni mfano wa wabunge wachache wanaoelewa maana ya uwakilishi
@willymgaya7618
@willymgaya7618 15 дней назад
WA-TANZANIA , SASA WANAJITAMBUA . WATAWALA LIJUENI HILO . WASOMI NI WENGI SANA , WANAELEWA WANACHOFANYIWA.
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 8 дней назад
Hilo wasema wewe, watz sisi bado tumelala 😂😂. Yaan mwanaume mwenzenu anachukuliwa kwenye basi alaf anaenda kuuwawa wanaume wenzake wamekalia suruali shame on you.
@titusrobert5890
@titusrobert5890 15 дней назад
Good
@NgamelaYussuph
@NgamelaYussuph 16 дней назад
Bashe Amesababisha Leo Viwanda Havilip Mishahara sbb Sukari haiuziki
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 15 дней назад
Haiuziki Kwa bei kubwa au Kwa bei ndogo?
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 15 дней назад
Una uhakika sukari iuzwe tshd 6000 upo sawa wewe kwani wakiagiza kwa tshs 3000 wanaumia nini
@paterinishayo-ef4sx
@paterinishayo-ef4sx 11 дней назад
Tatizo sukar tunalima wenyewe afu tunauza ghali kuliko ya Kutoka nje
@markmashauri9310
@markmashauri9310 15 дней назад
Mzimu wa mwendazake una watesa sana akina bashe,
@billgussy6099
@billgussy6099 14 дней назад
HONGERA MPINA KWA KUPAMBANIA TAIFA NA SIO CHAMA KAMA WANAVYO FANYA WENGINE WENGI
@user-sm7gj4mn5n
@user-sm7gj4mn5n 15 дней назад
Mbunge mpina najua wewe ni mzalendo wa nchi hii nakuomba uwe makini na wahuni hasa ndani ya chama chako kumbuka Magufuli amina chifupa deo ila hata ukilala damu yako itanena
@GodfreyErene
@GodfreyErene 16 дней назад
We are together
@froma3732
@froma3732 14 дней назад
Sasa hivi viwanda si Walisema hawana Sukari ndio ikapotoe bei ikawa juu Sasa leo Wanasema ipo Nyingi hapo Hatuelewi
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 13 дней назад
Namkumbuka msukuma alikusema vibaya sana
@rogersiddy
@rogersiddy 15 дней назад
Hapo yule DARALI Waziri flan sasaivi plesha juu juu anaona washamuumbua kwa ulanguzi wa sukari😂😂
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 15 дней назад
Ksbisa
@rogersiddy
@rogersiddy 15 дней назад
@@verdianabanabi2205 maana hawa watu Wanavuna mabilioni ya pesa wao mawaziri lkn nje ya mshahara wake wanakula cha juu hapo hapo kwenye ununuzi wa bidhaa za wananchi wake Bei kubwa kumbe wao wameweka chao hapo tunakilipa sisi yaan Mungu atuondolee ccm wababe wao wazurumati wao na wengine ndo wale wanaropoka hovyo walishiki kwenye mapoli hatujui walioshiliki nini dah aiseee
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 15 дней назад
Nazani hujui hata kesi inahusu nini hiyo sukari wasipoagiza nje ukiuziwa tshs 6000 unayo? Bibi na babu yako wanayo? Mpina aache kutumika na matajiri wa sukari.
@KijibaHaji
@KijibaHaji 14 дней назад
​@@isaacmwaseba9972tulio wengi ni Bendera tunafuata upepo
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 15 дней назад
Pandeni mpunga au ndizi nyie wakulima.. achaneni na hiyo miwa mtakuja kufirisika bulee....
@nyembobea7285
@nyembobea7285 15 дней назад
Hajashinda chochote umeandika kishabiki na umetulaghai ili utulie bando letu hufai na inapashwa ushtakiwe
@patrickymkoma3558
@patrickymkoma3558 11 дней назад
Haki imetendeka. Hongera sana Mpina
@EmmanuelSabibi
@EmmanuelSabibi 14 дней назад
Hakika nchi hii ,Hawa Ndio wazalendo kabisa, sio wale wanaoangalia masilahi Yao binafsi wanaotuvulugia nchi waliopo CCM walio wengi sana
@molenicharles9107
@molenicharles9107 15 дней назад
Mlindeni huyo dhidi ya wasiojulikana!😳😳
@markmashauri9310
@markmashauri9310 15 дней назад
Enzi zamwenda zake alivyokuwa akijipendekeza juu ya pembejeo za kilimo,akimsisitizia kutoa ushauri kwa meku,mekuakakubaliananae,akamwambia swala la pembejeo kwawakulima ukinidanganya nitakufukuza kazi na adhabu juu,basi bashe nyota ikawaka,sasa leo hii nashangaa bashe kakengeuka yani tena siyo yule bashe wa enzi za magufuri
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 15 дней назад
Mfumo mbovu wa serikali , huwa ccm hawataki kusikia ushauli. Ccm wengi wapo kwaajili ya maslahi yao binafsi
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 15 дней назад
INAFIKIRISHA SANA....KUMSIKIA MH. RAIS SAMIA ANAMTETEA WAZIRI BASHE NA ANATETEA UVUNJAJI WA SHERIA WA WAZI KWENYE UINGIZAJI WA SUKARI ULIOJAA RUSHWA NA UFISADI WA KUTISHA TENA HADHARANI KWA KUDHANIA WATANZANIA NI WAJINGA NA WASIO NA WELEDI.
@JoyceSaulo-m4b
@JoyceSaulo-m4b 15 дней назад
Bunge lingekuea na watu 10 hata bandari zetu zisingeenda lakini wote wamechoma sindano za korona wote ndiyo na makofi juu😮😮😮
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub 15 дней назад
Viongozi wa nchi aslimia 99 mafisadi sababu yote hiyo ni cccm,mliambiwa mle ila msivimbiwe lakini mumekiuka mashariti,mumejisahau mkavimbiwa
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 16 дней назад
KUWENI WAZALENDO NA MTU ANAE TETEA TAIFA KWANI AKIKOSA UWAZIRI NA UBUNGE ATA LALA NJAA
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 16 дней назад
hamtetee nani mnafki tu huyo kama anataka aende chadema aende hana jpyaaa wala hana nguvu iyo kahama sumaye na lowasa na wakarudi sembuse yy kule ubinafsi mwingi ukiingia unaona afadhali ya nilipotoka
@JonasMathias-s6m
@JonasMathias-s6m 16 дней назад
N​@@shubebunyesi542Kuma WEWE kakojoe ulale
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 15 дней назад
​@@shubebunyesi542siyo kweli JPM alipokataa kuagiza sukari nje alitaka kuhamia chadema???
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 15 дней назад
@@mariamfaicalhassan2890una akili kubwa sana🎉
@user-fq8qu2qp9o
@user-fq8qu2qp9o 12 дней назад
Jaman naomba mpina agombee CCM nawaomba CCM Hilo mliangalie anastahili Hilo ni jembe
@petermilol2104
@petermilol2104 13 дней назад
CCM watamuona wa hovyo lakini jamaa kanyoka sana
@DOUBLESTVSAUTIYETU
@DOUBLESTVSAUTIYETU 2 дня назад
Big up mpina Sinaga maswali linapokuja swala la uzalendo
@kitulasamson
@kitulasamson 15 дней назад
Kua makin kiongoz wasje kufanyia ya tundu lisu wabaya watu akuna kitu kigum kama vita ya uchumi.
@Erasto.Engineer
@Erasto.Engineer 12 дней назад
alieshindwa kesi ashitakiwe ni mhujunu uchumi
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 15 дней назад
Mpina tusaidie huko tozo,wamezidi ubabe kama Farao Firaun ilikua hivhiv ubabe akaangamia,
@khamismohammed7500
@khamismohammed7500 15 дней назад
Ana hasira ya mda mrefu kukosa uwaziri buyo hana lolote
@denissylvester542
@denissylvester542 15 дней назад
Hujitambui
@Kaambale-ve5el
@Kaambale-ve5el 15 дней назад
Acha ulofa wewe hajitambui ndo mhemko gani kwenye virutubisho vya akilini mwako
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 16 дней назад
Vijana amkeni kumekucha CCM majambazi kabisa wauniiiiiii wakubwa nchimbi kachimba
@rogersiddy
@rogersiddy 15 дней назад
😂😂😂et nchimbi Kachimba😂😂🙌
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 15 дней назад
Jambazi ni nani hapa , huyu anaetaka sukari iuzwe 6000 au wanaotaka iagwize bei ishuke?
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 15 дней назад
​@@ShamteMohmed-ed2kkunajua hiyo sukari ya kuagizwa madhara yake ?
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 16 дней назад
MUNGU awalindee
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 5 дней назад
Mungu Baba Mwenyezi Akutunze
@yohanemwitumba3711
@yohanemwitumba3711 13 дней назад
Tatizo la serikal yetu mkweli anaonekana muongo na muongo Au mwizi anaonakan Yuko sahihi
@modestus123
@modestus123 13 дней назад
Usilo lijua ni kama usiku wa Giza Kuna kitabu kimoja cha Riwaya na mkumbuka mhusika mmoja aliitwa Chifu Nanga katika siasa aliongea "Majority are not always True"Mimi naweza kusema viongozi tuache kuwa wafanyabiashara katika nafasi tulizopewa ili kutoka utata kwa watanzania Maslahi Binafsi
@YangaNews
@YangaNews 15 дней назад
Tls hii ni moto
@danyohanatv1926
@danyohanatv1926 13 дней назад
Ila Waziri Bashe siyo mtanzania ni chotara siyo mtanzania huyo
@reubenelias6766
@reubenelias6766 6 дней назад
Mpina nakukubali sana
@ABIHUDIKIHEMBA
@ABIHUDIKIHEMBA 6 дней назад
Wewe ndie kiongozi uliobebe dhamana yawatanzania,simamia msimamo wako mungu atakuwa nawedsimsmpina
@chiefnumborecords4819
@chiefnumborecords4819 13 дней назад
OK Mr. Mpina, you have advocated for sugar not to be exported so that factories do not disappear here in the country, but how do you defend the issue of Tanzanians not having enough sugar produced in this country if there are many factoriesWhen the month of Ramadhan arrives, sugar is sold until the police are in charge of the shops and they have to sell sugar. or the price will be increased every time and at other times, sugar will be completely lost and defense on the problem. 🙏🙏
@AmaniMwaka
@AmaniMwaka 15 дней назад
Kaka mungu akusimamie sisis watanzania typo pamoja naww
@HumudSalim-b3l
@HumudSalim-b3l 16 дней назад
Nyiny jidanga yeni nahawo akina mpina huyo ametumwa. Waa galieni wa Congo. Ndo mtapata jibu
@emmanuelrweikiza6117
@emmanuelrweikiza6117 15 дней назад
Acha uongo wewe kani DC longido katunwa na nani
@ellylema9042
@ellylema9042 15 дней назад
Mmm!Tutumie akili vizuri ambazo Mwenyezi Mungu ametupatia.Una macho na pia masikio.
@ManswetKimario
@ManswetKimario 15 дней назад
Acha ujinga ww katumwa na nani tuambie au na ww ni....
@Flvian
@Flvian 15 дней назад
kwaiyo????
@JackKanyigo
@JackKanyigo 15 дней назад
Jinga lingine hili hapa😢😢😢😢
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 16 дней назад
Bashe ni mtoto wa mama. Kwahiyo anatafuta kufurahisha warabu wa mama. Kwani hiyo sukari ingeagizwa wapi? Badala ya kukuza mashamba ya miwa na kupata sukari.
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 16 дней назад
Huna akili...
@MsAggie5
@MsAggie5 15 дней назад
@@nahlaaasidee1848anayo sana, kwani uongo?
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 15 дней назад
Hana akili kweli usimtete
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 15 дней назад
​@@ShamteMohmed-ed2kknaona kila mahali unawatetea,Hao majambazi
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 15 дней назад
@@mariamfaicalhassan2890 sio kuwa tetea angalia hoja, Kama mtu anaetaka sukari iuzwe 6000 wakati juhudi zimefanyika kuishusha unata tusiseme. Hapo mpina kayakanyaga anatetea mafisadi wa viwanda vya sukari waliozoea kutuhumiza kwa kisingizio Cha uwekezaji. Mimi ni mlaji naangalia maslai ya walaji kama wewe ni mzalishaji au mkulima wa miwa tetea maslai Yako sio kufuata mkumbo.
@rashidyardo7929
@rashidyardo7929 13 дней назад
Ila sukari ilikuwa bei kubwa sana' naomba mnisaidie, lile wazo la Bashe mbona limeleta unafuu wa bei?
@iddyamana545
@iddyamana545 11 дней назад
Mpaka kielewekeee kudadadeeekiii
@BarakaMmari-pf4jw
@BarakaMmari-pf4jw 15 дней назад
Uko sawa mpina
@RashidShinza
@RashidShinza 12 дней назад
Wasukuma oyeee
@emanuelmargwe7087
@emanuelmargwe7087 8 дней назад
Wasukuma woote saluti kwenu. 😢😢😢.
Далее
MNYIKA ATILIA MKAZO ''SAMIA LAZIMA TUMUONDOE........''
29:22